YESU KUMBE NI MUANGILIKANA NA SI MUNGU UST MAULANA AWABANA WAINJILISTI WASHINDWA KUTETEA HOJA

  Рет қаралды 4,770

Ustadh Shafii Online Tv

Ustadh Shafii Online Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 44
@ShakurAKBAR
@ShakurAKBAR 17 күн бұрын
MaashaAllah hapo wakristo wameelewa kbs kinachobaki ni wao tu kuamua kusilimu na Namuomba ALLAH awaongoze kwenye haki
@Noorein-ws8wk
@Noorein-ws8wk 11 күн бұрын
Masheikh wetu wapeni dozi wakristo mpk waelewe. Kitaeleweka tu
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 18 күн бұрын
Wakristo wanalaana ya ubishi jambo lipo wazi lakini pia anapinga huo ndiyo ukafri ulipo kwa wakristo
@zaynababdullah3061
@zaynababdullah3061 18 күн бұрын
😂😂😂
@mayemba_james
@mayemba_james 17 күн бұрын
YESU KRISTO Ndiye MWENYEZI MUNGU Mwenyewe ​@abuhassan9552
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 17 күн бұрын
Sio kosa lao ni kosa la shetani ,kwani mpinga Kristo atatokea huko huko na hiyo ni maandalizi ya jeshi lake kuanza kukataa Kila kitu ,Mungu awasaidie watambue ukweli kwani ni wafungwa walio Huru uraiani lakini Roho ziko gerezani .
@MuhinaSemhando-x3j
@MuhinaSemhando-x3j 16 күн бұрын
Mandiko Hamjui kazi kelele
@mayemba_james
@mayemba_james 17 күн бұрын
YESU KRISTO Ndiye MWENYEZI MUNGU Mwenyewe Kila Goti Litapigwa na Kila Ulimi Utakiri Kuwa YESU Ni MUNGU
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 17 күн бұрын
Wakristo tuwache uongo hata mimi siwezi kusema yesu n mungu maana hakuna uthibithisho na yaliyoko kwenye biblia yana zengua
@mayemba_james
@mayemba_james 17 күн бұрын
@shifaazawadi4438 Kulingana Na Mafundisho Ya Biblia Ni Dhahiri Shahiri Kuwa YESU KRISTO Ndiye Mwenyezi Mungu Mwenyewe
@mayemba_james
@mayemba_james 17 күн бұрын
@shifaazawadi4438 Halafu Wewe Kutokusema Yesu Ni Mungu Haiondoi Wala Kubatilisha Ukweli Kwamba Yesu Kristo kuwa Ndiye Mungu.
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 17 күн бұрын
@mayemba_james Hivi naakili yako uliyo nayo Mungu huuliwa na watu alio waumba yeye ? Tena wakamuweka seli na kumpiga makofi hii inaingia akilini ? Toa taka kwa masikio safisha ubongo
@mayemba_james
@mayemba_james 17 күн бұрын
@@shifaazawadi4438Mbona Hata Nyie Waislamu Kwa Umbumbumbu wenu mnamuabudu Shetani Allah Na Kumkataa Mungu Wa Kweli YESU KRISTO
@MaimunaMhina
@MaimunaMhina 17 күн бұрын
Sasa basi kama hujui sinnagogi muulize mzee wa upako
@charlesmapunda-g5l
@charlesmapunda-g5l 18 күн бұрын
Wasilam wana laana ya kupinga kila kitu ndio mpaka Quran imeandikwa kinyumenyume ili tu kupingana na Biblia
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 18 күн бұрын
Wakristo wanalaana ya kupinga mpaka biblia yao ilimradi tu wakatae uislamu
@samxx411
@samxx411 17 күн бұрын
Wakristo wanampinga hadi yesu hakuna hata kitu kimoja ambacho yesu amefundisha au amefanya ikisha wao wamfuate.
@shifaazawadi4438
@shifaazawadi4438 17 күн бұрын
Mbona munakataa maandiko yalioko kwenye Biblia mm niacha kuenda kanisani kwa uongo mwingi wenye tunafundishwa nilipo amua kujisomea bibli niliona upuuzi amba hata niaibu kubwa sana
@ZayyanaBamuni
@ZayyanaBamuni 17 күн бұрын
@@shifaazawadi4438 karibu katika uislamu kwenye ukweli
@malifedhaanyasio811
@malifedhaanyasio811 17 күн бұрын
Kk muombe Allah msamaha kk napia wewe huna elimu Sasa Mimi nataka nikujuze kitu hii Dunia ili tupate usiku na mchana sharti Dunia lizunguke jua kuli kwenda kushoto na sio hiyo tu mpaka wakati mimba inapotunga tumboni kwa mamazetu shart zile mbegu zizunguke yai kulia kwenda kushoto na hii ndio system ya uumbaji alio iweka Allah na kusibitisha Hilo kwanini unapo kula hutumii mkono wa kushoto alafu huo wakulia ukaendea chooni kk penda kuji funza kwa jambo usilo lijua tusiwe washa biki😮
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
ACHA KUFUNDISHA CHUKI WAMBIE WATU UKWELI-USTADH SHAFII AZIDI KUMPA DARASA LA UISILAM
14:42
UST ALLY KAPERA AKIONESHA MAAJABU KATIKA MJI WA MASASI
19:33
Ustadh Shafii Online Tv
Рет қаралды 1,6 М.
Air Sigma Girl #sigma
0:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 45 МЛН