Рет қаралды 504,321
#PAPI_CLEVER_DORCAS
#Yesu_Ni_Furaha_Yangu
#NYIMBO_ZA_WOKOVU
#INDIRIMBO_ZO_MU_GITABO
#MORNING_WORSHIP
Audio Producer : Papi Clever
Video Director : MUSINGA
D.o.p ; Musinga, Kayitare, Chrispen , Cyusa
Video Editor : Cyusa
colorist : Cyusa
location ; Musanze - Rwanda
You can support this ministry through
Phone: +250783255262
Email : Cleverpapi18@gmail.com
Number 121
NYIMBO ZA WOKOVU
1
Yesu ni furaha yangu, amejaa pendo kweli. Anaweza kusimika kila mwenye udhaifu. Ananipa ujasiri, nguvu, raha na faraja. Hata nikionja kufa, Yesu ni mchunga wangu.
2
Nimefungwa na Mwokozi kwa kifungu cha upendo, hata kufa hakuwezi kunitenga naye Yesu. Mimi wake siku zote, ninataka kumtii. Kwa neema nimepona, nisitumikie dhambi.
3
Kwa mikono ya upendo ninakumbatiwa naye, sitaweza kutafsiri pendo lake kubwa kwangu. Napokea nguvu yake, yanijaza moyo wangu. Yesu ananiongoza katika safari yangu.
#kenyagospel
#tanzaniagospel #swahiligospel #swahilimusic #kenyangospel #congogospelmusic Alka Mbumba #kenya #kenyadigitalnews #RoseMuhando #SecretAgenda #Gospsongs #Gospelmusic2022 #Jesus
#kelsykerubo #rosemuhando #msanii_music_group
Kelsy Kerubo
Tanzanian icon, Rose Muhando.
JUSTINA SYOKAU (MADAM 2020) - TI UHORO
rose muhando songs
Rose Muhando - Secret Agend
Shetani huzuia sana maono yako, sasa tumechoka na kama mbaya iwe mbaya lazima apigwe.
ROSE MUHANDO - KAMA MBAYA MBAYA