YESU NI MUNGU AJE?

  Рет қаралды 8,399

Ukweli Ministries

Ukweli Ministries

Күн бұрын

UUNGU WA YESU KRISTO.
Karibu Ukweli Ministries. Sisi ni huduma iliyoitwa na Roho kuhubiri ukweli, na hatutapita wiki bila kuhubiri ukweli kwa roho zilizopotea huko nje. Hili si dhehebu na kamwe hatutajiona kuwa ni dhehebu, lakini Bwana ametuita kurekebisha madhehebu. Kwa neema ya Mungu, tumefundishwa na Yesu Kristo kwamba yeye ndiye Mungu wa pekee wa kweli, mkamilifu katika uumbaji wake. Hatuamini utatu, kwa sababu hautoki kwa Mungu, na tumefundishwa na Mungu kukaa imara kwa kichwa ambacho ni Kristo (Wakolosai 2:19.) Mafundisho yetu yote yamethibitishwa na Mungu aliye juu zaidi. , Kristo Yesu. Na tunahakikisha kwamba hatufundishi chochote ambacho hakitoki kwake. Bwana awape kila mtu ufahamu na subira katika kusoma haya. Amina.
Welcome to Ukweli Ministries. We are a ministry called by the Spirit to preach the truth, and we will not go a week without preaching truth to the lost souls out there. This is not a denomination and we will never consider ourselves to be a denomination, but the Lord has called us to fix denominations. By God's grace, we've been taught by Jesus Christ that he's the one and only true God, perfect in his creation. We do not believe in the trinity, because it does not come from God, and we've been taught by God to stay steadfast to the head which is Christ (Colossians 2:19.) All of our teachings are confirmed by the highest God, Christ Jesus. And we make sure that we do not teach anything that does not come from him. May the Lord give everyone understanding and patience in reading this. Amen.
Social Media:
/ ukweliministries

Пікірлер: 90
@Albertjacobokalo
@Albertjacobokalo 2 жыл бұрын
Amen! Amen! Macho yangu yamedunguka! Nalijua kuna Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, kuwa ni watatu kila mmoja na kazi yake, Bali sasa nafahamu kuwa yeye ni mmoja. My eyes have been opened and now understand wholly. Oh my Father and my GOD, your wisdom is ndeed far from finding out. Be blessed MOG.
@MtumeAugust
@MtumeAugust Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@AmuriEzekiel-bb1kc
@AmuriEzekiel-bb1kc 7 ай бұрын
Amen kabisa ubarikiwe sana
@mussafanto7088
@mussafanto7088 8 ай бұрын
Amen
@suvenkanyolo6104
@suvenkanyolo6104 2 жыл бұрын
Amen hallelujah hallelujah amen 🙏 Asate sana kwa Neno la Mungu
@majorazacharia21
@majorazacharia21 2 жыл бұрын
Yesu ni Mungu, kwa sababu jina Yesu ni jina lililotoholewa kutoka kwenye jina Yehova, lakini pia Yesu ndiye muumbaji wa vyote na katika yeye vyote vikawapo, Yohana 1:1 lakini pia ukisoma wakolosai 1:15-17 Lakini pia ukisoma mithali 8:22-31 Lakini pia ukisoma Yohana 8:58 Kwa hiyo muumbaji mkuu ni Yesu na jina Yesu ni jina la Mungu kwa sababu hata Yesu mwenyewe alisema Baba nimewajulisha jina lako ulilonipa, jina gani? jina la Yesu kwa hiyo Yesu ni Mungu yuleyule aliyevaa mwili ili amwokoe mwanadamu kwa maana ilitakiwa damu takatifu imwagike kwa hiyo Yesu Mwanzo alikuwa ni Roho, kwa hiyo alitakiwa kuvaa mwili wa damu, ukitaka kujua Yesu ni Mungu , hebu soma 1wakorinto 10:1-5 kwa maana hata wana wa israel walivukishwa na Yesu na kulindwa na Yesu na kupatiwa chakula na Yesu na kushindiwa vita na Yesu , hata ibrahim alikutana na Yesu akiwa kama Melkizedeki kuhani mkuu Mwanzo 14:18 kwa. Hiyo Yesu ni Mungu yuleyule: Amen
@gracekariuki5845
@gracekariuki5845 2 жыл бұрын
Mungu akubariki Mtumishi wa Mungu
@jesusislord......1344
@jesusislord......1344 2 жыл бұрын
Amen asanti kwa nano la Bwana barikiwe mtumishi wa Bwana
@marymbodzembodze2707
@marymbodzembodze2707 2 жыл бұрын
Amen Amen
@Deboraclementgm
@Deboraclementgm 2 жыл бұрын
Barikiwa sana mutumish meshak Na Mungu akulinde sana mutumish kwa kutufundisha mafundisho ya mungu
@ernesttomas85
@ernesttomas85 2 жыл бұрын
Unafungua macho ya wengi sana,Mungu aendelee kutenda kazi ndani yako
@elizabethjonas5391
@elizabethjonas5391 2 жыл бұрын
amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@patrickmuli979
@patrickmuli979 Ай бұрын
Hivi ni mfalme yupi aliye juu mfalme wa wafalme au nani bwana mwingine zaidi ya bwana wa mabwana.bibilia inasema roho ndiye ashuhudiaye maana roho ndiye kweli ,alafu Yesu anasema mimi ndimi njia ukweli na uzima.kwa hivo huyu Yesu ndiye roho .yesu ni sehemu ya mungu. aliitwa Yesu baada ya kuzaliwa akauvaa mwili.mungu akimvaa mwanadamu anaitwa roho .so roho ni mungu,Yesu ni mungu na hizo ndizo sehemu kuu za mungu
@asnathlaizer4603
@asnathlaizer4603 2 жыл бұрын
Amen Amen naangalia kutoka Tanzania 🙏
@jasonmureke2460
@jasonmureke2460 2 жыл бұрын
Amen
@edithbyamungu5123
@edithbyamungu5123 2 жыл бұрын
Asante sana kwa neno Ubarikiwe more anointing
@victormwanza1495
@victormwanza1495 2 жыл бұрын
Be blessed man of most high God.
@UkweliTopic
@UkweliTopic 2 жыл бұрын
So powerful 🔥🔥🔥
@kennethogonda2947
@kennethogonda2947 Жыл бұрын
Binadamu yuko katika hali tatu: Mwili(body), nafsi(soul) na roho(spirit). Whereas both soul and spirit are immaterial, the body is material.
@mariarin6428
@mariarin6428 2 жыл бұрын
Amen iyo jambo limenisumbua sana
@maryjudith9672
@maryjudith9672 2 жыл бұрын
Amen, amen and amen.
@creativedream7395
@creativedream7395 2 жыл бұрын
Amen
@williamgervas8431
@williamgervas8431 Жыл бұрын
Erasto Arusha Tz kweli Yesu ni Mungu
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Mungu nimwema kwangu
@gambonmgaya1286
@gambonmgaya1286 2 жыл бұрын
Amen.Mungu atukuzwe aliyeumba mbingu na nchi jina lake ni YESU
@Paul-iv1vt
@Paul-iv1vt 2 жыл бұрын
Naelewa naelewa asante YESU
@sammykariuki-s2d
@sammykariuki-s2d 4 ай бұрын
Ukimuona mu Adventist hiyo ufunuo 4, ana tafsili tofauti Sana, MUNGU azidi kukutumia Mali ya bwana,.... Nikumbuke na maombi, jumbe zako, nizipende tena kunijenga uungu,.... Niko Kenya
@hillarymecha2839
@hillarymecha2839 3 ай бұрын
Hallelujah! Hallelujah! Hallelujah! Glory to our God,the Lord Jesus Christ
@ummul8908
@ummul8908 2 жыл бұрын
Ameen
@paschalcosmas6093
@paschalcosmas6093 8 ай бұрын
Ungeendelea mbele kdgo, huyo aliyekaa hapo kwnye Kiti cha enzi ni Mungu mwenyewe, lkn ukiendelea mbele utaona mwanakondoo(Yesu Kristo) anasimama katikat ya Kiti cha enzi, naye anaenda kutwaa kitabu kutoka mkono wa kulia wa huyo aliyeketi juu ya Kiti cha enzi. Hivyo umeelezea tofauti
@patrickmuli979
@patrickmuli979 Ай бұрын
Mungu anautatu kama vile mwanadamu, mwanadamu ana roho nafsi na mwili.Mungu naye ni yeye ,anajigawa sehemu tatu ambazo uwezi zitenganisha.yesu ni mungu na roho ni mungu na mungu ni mungu.roho yako ni wewe ,pia nafsi yako ni roho hivo hivo mungu alivyo.
@DOTSConnect
@DOTSConnect 2 жыл бұрын
Asante mtumisho kwa somo hili. Kweli watu wengi huwa wanapata mashaka na kufundisha Ubuntu wa Yesu. Napa ndipo palipo na siri kubwa ya Imani yetu. Ubarikiwe sana
@NduguEzekiel
@NduguEzekiel Жыл бұрын
SIFA KWA BWANA, kweli unavyozidi kumtafuta YESU ndivup utazidi kumjua...
@GodisOne-Yeshua_AnneJeptoo
@GodisOne-Yeshua_AnneJeptoo 2 жыл бұрын
Amen, thank you for keeping us close to His Word in Jesus Christ name
@officialafricancomedycomed7496
@officialafricancomedycomed7496 Жыл бұрын
Amen sana
@VIJANAWAYESU12
@VIJANAWAYESU12 Жыл бұрын
Amen 🙏🏾
@silyvianekesa4689
@silyvianekesa4689 2 жыл бұрын
Asante xana Kwa mafunzo mazuri mtumishi MUNGU akubariki
@SimonMisimo
@SimonMisimo 5 ай бұрын
Amina amina Amina👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
@uwezokilozo9914
@uwezokilozo9914 2 жыл бұрын
Amen 🙌🏿🙌🏿 ukweli wa neno takatifu kumbukeni kwamba ni kweli kabisa amen
@MLIMA-WA-BWANA
@MLIMA-WA-BWANA Жыл бұрын
Amen very truth. YESU KRISTO ni MUNGU mmoja wa pekee na ambaye anaketi katika kiti cha enzi.
@MarcelinaKashindi
@MarcelinaKashindi 2 ай бұрын
Amen
@Lighthopetv1
@Lighthopetv1 2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka Mtume Meshak
@rizikwisongata6874
@rizikwisongata6874 6 ай бұрын
Amen
@cristianojorge682
@cristianojorge682 2 жыл бұрын
Alleluia alleluia alleluia alleluia
@doricemrema2177
@doricemrema2177 2 жыл бұрын
Alelujah, Amina, BARIKIWA saanaaa mtume meshaki, maana ili somo nimelielewa saaana, na hakuna mtu atanidanganya kuwa Mungu amegawanyika, MUNGU NDIYE MMOJA NA JINA LAKE NDIYE (YESU KRISTO) Bwana ilinde Imani yangu isipunguke juu ya hili kamwe we.
@emmanuelsunday8325
@emmanuelsunday8325 Ай бұрын
Wewe ni nabii wa uongo
@fridalyanguka1733
@fridalyanguka1733 2 жыл бұрын
Mtumishi aliyetabiliwa kwenye Isaya siyo Yesu Bali alitabiliwa Eliakimu hapa panahitaji kuchunguza
@roselineawinja3815
@roselineawinja3815 2 жыл бұрын
Mtumishi,naomba umuombee ndugumamangu mzazi anaumwa mguu na wakati unapoanza kuuma,huvimba mishipa mpaka unakua mweusi anashindwa kutembea hospitàli wanasema ni athrytis anaitwa Agnes kataka natoka Kenya asante
@ernesttomas85
@ernesttomas85 2 жыл бұрын
Yani sijui niseme nini ?,kwa ajili ya Mungu kufungua macho ya wengi katika kumjua yeye kupitia wewe
@mariamdessa9382
@mariamdessa9382 2 жыл бұрын
Amen Yesu Kristo ni Mungu
@dadaveronica7178
@dadaveronica7178 2 жыл бұрын
Amen 🙏🙏 barikiwa alafu ukinunuwa biblia unafanya aje ndipo uwaze kuisoma
@eliajumaamwazaro3153
@eliajumaamwazaro3153 2 жыл бұрын
Amen amen kwa mafundisho mtumishi wa mungu, mungu akuzidishie neema ya kutufundisha
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo 2 жыл бұрын
Unaongea kweli
@daisybuyantsi5953
@daisybuyantsi5953 2 жыл бұрын
Amen nimebarikiwa,nashukuru Mungu kupitia kwa mtume Meshak
@estherirungu8725
@estherirungu8725 2 жыл бұрын
May God bless you as you bless and heals people's hearts.
@hassanjuma9206
@hassanjuma9206 2 жыл бұрын
Asante mtumishi meshack kwa mafundisho
@simonkurgat6620
@simonkurgat6620 2 жыл бұрын
Amen man of God for this anointed teaching.
@cristianojorge682
@cristianojorge682 2 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen amen
@rhodawanjiku6878
@rhodawanjiku6878 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN neno hili lina nguvu sana na linaereweka
@cristinarashid1245
@cristinarashid1245 10 ай бұрын
Ameen ameen
@zipporahmibei9007
@zipporahmibei9007 2 жыл бұрын
Amina ubarikiwe sana mtume meshack
@ernesttomas85
@ernesttomas85 2 жыл бұрын
Yani nakuelewa sana,na umenisaidia sana
@ernesttomas85
@ernesttomas85 2 жыл бұрын
Mungu anaonekana sana na amefurika mno
@winnyrocha190
@winnyrocha190 2 жыл бұрын
Amen Amen... Asante kwa maelewesho .
@Akinyisafi
@Akinyisafi 2 жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AND AMENA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@humbreske3997
@humbreske3997 10 ай бұрын
Amen amen
@sifakarulange
@sifakarulange Жыл бұрын
Amen Amen sifa kwa bwana
@liesharehema5193
@liesharehema5193 2 жыл бұрын
Aminaaa na barikiwa nasomo hili
@jacoboboniface9996
@jacoboboniface9996 2 жыл бұрын
MUNGU ukulinde na maadui
@BernardMwaipopo
@BernardMwaipopo 2 жыл бұрын
Unaongea kweli
@felistasabuni4285
@felistasabuni4285 2 жыл бұрын
Amina
@faithe4063
@faithe4063 Жыл бұрын
Amen 🙏
@sifaemily3902
@sifaemily3902 2 жыл бұрын
Amen amen
@strongman699
@strongman699 2 жыл бұрын
Nashukuru kwa neno
@gracamaina2308
@gracamaina2308 2 жыл бұрын
Ee hii napenda sana..
@jasonmureke2460
@jasonmureke2460 2 жыл бұрын
Hallelujah 🙏🙏
@bidanmwangi3587
@bidanmwangi3587 2 жыл бұрын
somo njema mtumishi
@rusiafrancoise2396
@rusiafrancoise2396 2 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana
@rachelsoi4796
@rachelsoi4796 2 жыл бұрын
Ameni mtumishi wa Mungu
@joannanekesa7758
@joannanekesa7758 2 жыл бұрын
AMEN AMEN
@carolinederi5690
@carolinederi5690 2 жыл бұрын
Ameni 🤝
@katarinaJ
@katarinaJ 2 жыл бұрын
Mtumishi naomba uandae video ya kufafanua Ufunuo 5... ili tuelewe vizuri zaidi. Maana hii inasema alikuwepo mtu kwenye kiti cha enzi, kisha baadae ikasema Mwanakondoo pia ndiye aliyekaa hapo kufungua kitabu cha mihuri saba.
@jacklinedeus6068
@jacklinedeus6068 23 күн бұрын
Nami natamani kujua hilo
@blessedhighlyfavored1697
@blessedhighlyfavored1697 2 жыл бұрын
In the Bk of Genesis..."Let us create a man" ... keyword US
@UkweliMinistries
@UkweliMinistries 2 жыл бұрын
MY FRIEND YOU BELIEVE IN THEM, WE BELIEVE IN HIM. WE'RE NOT THE SAME. ISAIAH 45:5 I am the LORD, and there is none else, there is no God beside me: I girded thee, though thou hast not known me: (KEYWORD: ME,) ISAIAH 6:8 Then I heard the voice of the Lord saying, “Whom shall I send? And who will go for us?” And I said, “Here am I. Send me!” (Is he not speaking to his angels?) GENESIS 1:27 27 So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them. KEYWORD: (HIS) NOT THEIR. OH, ISRAEL THE LORD YOUR GOD IS ONE! DEUT 6:4
@blessedhighlyfavored1697
@blessedhighlyfavored1697 2 жыл бұрын
@@UkweliMinistries I believe in God the Father, Son and Holy Spirit 🙏 but the video/message opened my spiritual eyes 👀 somewhere 🙏. To God be the glory and more grace 🙏
@kizajacqueline8583
@kizajacqueline8583 2 жыл бұрын
Amena
@margaretnekesa2019
@margaretnekesa2019 2 жыл бұрын
Amen. Asant
@russymbogua1477
@russymbogua1477 2 жыл бұрын
Mtume mungu akubariki kwa mafundisho mema ameen
SHIKILIA ROHO MTAKATIFU WA MUNGU (2 Timotheo 1:14 ) | MTUME MESHAK
21:35
Ukweli Ministries
Рет қаралды 6 М.
The Authenticity of the Bible | Reuben A. Torrey | Christian Audiobook
3:28:51
Aneko Press - Christian Audiobooks
Рет қаралды 1,1 МЛН
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН
JINSI YA KUVUMILIA MATESO YA WOKOVU | MTUME MALIYABWANA
46:12
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,6 М.
IMANI YAKO IKO WAPI! | YESU KRISTO ANARUDI | UKWELI MINISTRIES  9.28.2024
1:40:53
JINA LA YESU KRISTO | MAHUBIRI | DRC CONGO, SUD KIVU
1:48:07
Ukweli Ministries
Рет қаралды 1,2 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 12 МЛН
Utawa/Utauwa ni Nini?
36:59
Ukweli Ministries
Рет қаралды 2,5 М.
Ozoda - Lada ( Official Music Video 2024 )
06:07
Ozoda
Рет қаралды 18 МЛН