Aisee tushukulu mungu tuliopo mbaka 2024 kupitia wimbo huuh yesu Atatuokoa Kwa uwezo wake 🙏🙏
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
Naomba Mungu katika wimbo huu nipate kujifungua salama kabisa yesu nakuita siku y kuumwa uchungu niwe na uchungu wa baraka 🙏mama Maria naomba uniombee 🙏
@petermgogosi20 Жыл бұрын
Mungu amesikia hitaji la moyo wako
@PaulinaSemindu-ob3de Жыл бұрын
@@petermgogosi20 nashukuru Mungu nimejifungua Leo mtt wakiume