Asante Mungu kwa 2024, surely hakuna Mungu kama wewe, we exalt your name God
@emmanueljohn74 жыл бұрын
Mi naomba Nyimbo zote zirudiwe wangapi tunaungana kwa hili .
@numbulajango90404 жыл бұрын
hakika 🙏
@iwenikigodiiwenikigodi48173 жыл бұрын
Kabisa
@gregoriankathurima77123 жыл бұрын
True
@annamayemba25923 жыл бұрын
Wimbo unabariki sana
@DEVOTIONTV3 жыл бұрын
Imeisha hiyoooo
@millenium-tz71514 жыл бұрын
Tunataka na ile SIMBA WA YUDA IRUDIWE
@salomemgamali44593 жыл бұрын
Kali sana
@SchoolsAKFTZ3 жыл бұрын
Niseme nini mum bernadi mukasa
@bettykate37603 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏
@salmaalimusa68093 жыл бұрын
Doooo tangu utotoni bado tamu
@innocentjulie84003 жыл бұрын
Even after 100years,our great great grandchildren should know that Hakuna Mungu mwigine kama aliye keti kwa kiti cha Enzi Akamtuma Mwanawe wakipekee, afee kwa ajili ya dhambi zangu na zako❤️❤️❤️
@sydneybambala4968 Жыл бұрын
❤
@rainamuriithi64403 жыл бұрын
i promise you, this song will be played at my wedding!
@loighamasuru65043 жыл бұрын
Amen
@harryjohn50963 жыл бұрын
I claim this
@violakiwelu68943 жыл бұрын
Mine too 😁
@emmapsalms28783 жыл бұрын
Me too in Jesus Christ name Amen 🙏
@rhodamakena90993 жыл бұрын
I join you in this declaration
@tmagoti3 жыл бұрын
Huu wimbo mara zote ukipigwa uwanja wa taifa katikati ya watu elfu 60 huwa kuna feeling ya tofauti sana - ya Taifa la Mungu, linalompa sifa Mungu, na kwa sauti moja, tunasema hakuna Mungu kama wewe! You guys are LEGENDS, mlitupa huu wimbo kuwa zawadi ya vizazi na vizazi, mataifa kwa mataifa, watu kwa watu. Mbarikiwe sana.
@christinekidavasi6403 Жыл бұрын
Hakika hakuna Mungu kama wewe🙏🙏🙏
@ShakiraAllie-ir3me Жыл бұрын
There is no God like you indeed
@maitawana Жыл бұрын
It’s 2023 and this song is still a classic. Love from Zimbabwe ❤
@PascalMpare15 сағат бұрын
Wimbo mzur Mungu uhimidiwe Asanth kwa kuniamsha Salama🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@Harerimanairene29 ай бұрын
Unaweza yeyeye
@TUMAINIMBEMBELA74 жыл бұрын
Wimbo wa taifa wa injili umerudi kivingine Safi sana hakika mmefanya vema sana wazazi wetu wa uimbaji kuna kitu najifunzaga kwenu nyie hamjui tu kuwa Niko mwanafunzi wenu yaani mnaimba nyimbo zinaishi
@ayubumani46134 жыл бұрын
Yeah kwa kweli nyimbo zao zinaishi hawa
@upendomollel56614 жыл бұрын
Wimbo wa Taifa huu . Proudly Tanzanian . Taifa linalotunzwa na Mungu.
@UinjilistiKijito4 жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu kwa kulitukuza jina lake. Karibu sana tuendelee kumtukuza Mungu
@paulynemwende42102 жыл бұрын
🇰🇪 this song is so POWERFUL...songs inspired by the HOLY SPIRIT never fades away... KIJITONYAMA TO THE WORLD🌍
@sedecksamwel9862 ай бұрын
Hakika hakuna Mungu kama wewe Katonda,kama nawe unaitazama hii nyimbo 2024 like hapa👉
@Daudimoll86092 жыл бұрын
Hizi ndo nyimbo zilizobeba nguvu za Mungu
@jarantinekyania22014 жыл бұрын
From generation to generation the song still rocks coz there is truly no one like God. Sifa zote kwa Yesu
@adelinelyaruu30363 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏
@janethfelix94113 жыл бұрын
Amen🙏
@edwardlufungulo95323 жыл бұрын
Nyimbo zote za dini nimuongozo kwa Kila mwanadam
@wambuimuturi26623 жыл бұрын
Dancing along in bed 🛏
@micthovertelecoms35642 жыл бұрын
For sure I love this song
@nicksonthomas54293 жыл бұрын
Hakuna Mungu Kama wewe Ruwa,, wachaga wekeni like hapa"""""Nabarikiwa mno na hawa waimbaji
@internetmarketing27853 жыл бұрын
utaacha ukabila lini???
@nicksonthomas54293 жыл бұрын
Ukabila umetokea wapi tena inamaana kuwataja tu wachaga imekuwa nongwa kwako? Hiyo ni furaha tu ukabila hauna nafasi hapo tena hiyo ni injili wala sio siasa kama hauna Yesu baki na hiyo dhana yako ya kuona furaha ya wachaga kuitana hapo ni ukabila pole sana ndg
@manasenoel6582 Жыл бұрын
Hfgv
@bridgetmajor3646Ай бұрын
Asante Mungu kwa 2024 hakuna Mungu kama wewe🙏
@josephvenus32593 жыл бұрын
Hua natamani kila wakati nisikie hizi sauti za wana wa Mungu Baba aliye hai zinavyonipa nguvu ya kuzidi kuliamini jina la Yesu Kristo. Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu Kijitonyama Uinjiristi choir!
@cestjolie55749 ай бұрын
Irudiwe na ile ya Lulu pia tafadhali 🥲🥲🥲🥲🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@patrickngeli42453 жыл бұрын
From Zambia, I listen to this song everyday Ni mushindi Yaweh (God is a Victor)
@ZiporaMsulwa10 ай бұрын
Wimbo huu ni mpya kila siku...MUNGU AWABARIKI MNOOOO❤
@mauricekyoni1579 ай бұрын
Beta maboko pona yesu moninga malamu ❤ 🇨🇩🩸
@martharmoranga25413 жыл бұрын
Hkna Mungu kama wewe Yesu Wangu unaweza,Yote🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@favourwisdomug10373 жыл бұрын
I play this song every night when am going to bed and I first Praise the Most High God Hakuna Mungu Kama Wewe Yaweh. I love the song much love from uganda 🇺🇬
@kkjulius1683 жыл бұрын
🇺🇬🇺🇬👏👏
@jamecjohn73182 жыл бұрын
Sebhenee hiloooo
@journeywithjesus2 жыл бұрын
I woke up with this song today in my spirit. 💃💃💃💃
@barakavictor12964 жыл бұрын
The legendary choir and the legendary song HAKUNA MUNGU Kama Wewe. God bless you 🙏🙏🙏.
@luthermwamkoa70412 жыл бұрын
Hakuna MUNGU
@ceciliakashila69132 жыл бұрын
It's 2022 still listen to it thank you Jesus for this powerful blessed song ❤️🔥🙏
@beatricemachok26848 ай бұрын
Hakuna mungu kama wewe Yesu yahweh ❤️ 😍 💖 ❣️ 💕 thank you jesus.. i love you. ❤️ 😍 💖 my Lord my God, my saviour, deliver, my strength, power, love, rock, fortress, my everything ❤️ 💖 ♥️
@parksonmsukwa28498 ай бұрын
Amen
@WinfridahKaunda12 күн бұрын
Beautiful song Lusaka ❤
@MAWAZOVERONIKA10 күн бұрын
Yes
@MAWAZOVERONIKA10 күн бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩👏🙏
@josephvenus32594 жыл бұрын
💥💥💥👏👏👏 hii ndio yenye nguvu ya Kimungu na ikikukuta lazima ubarikiwe tu! Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu, Kijitonyama Uinjiristi kwaya!
@robertgordon27454 жыл бұрын
hakuna Mungu kama wewe! what a song, amazing!
@RebeccaScoviaАй бұрын
Oh Hallelujah Hallelujah Hallelujah Hallelujah wa upendo Bwana❤❤❤❤❤❤🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@adhiambootieno3 жыл бұрын
Dear Choir ya Uinjilisti ya Kijito Nyama. 17 years ago, your DVD and this song in particular, took me through one of the hardest ever times of my life. Singing and dancing to these songs restored my hope and faith. Gave me the strength to wish and work for a better future. Seeing you do this video over is a huge God moment for me. Kwa sababu Mungu ananiambie nipige brakes za maisha nitazame umbali alikonitoa na nimpe Shukrani. Kweli Ebenezer. You all might never know what this choir means for some us. Thank you. Thank you. Thank you. God bless you so much Lutheran Church of Kijitonyama. Ebenezer.
@UinjilistiKijito3 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mpendwa, na kwa pamoja tunamshukuru sana Mungu ambaye ameendelea kutenda kati ya watu wake kupitia wimbo huu kwa njia mbali mbali. Sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu aliye juu Mbinguni.
@sinzasoundbandtanzania62003 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/baqraaqCfrRompI
@blessedlifecentreonline47453 жыл бұрын
@@UinjilistiKijito ninaomba namba ya simu ya huyu ndugu.
@Fridah_Louie3 жыл бұрын
Takes me back to the good old days 🥺💃🏽🙌🏾🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
@Sharon-f8l6 ай бұрын
Hakuna mungu mwingne kama yesu
@VenaxsixbertKidota5 ай бұрын
Hakuna mungu kama wew baba Nyimbo nzur sana waimbaj mungu awatie nguvu sana injil isonge mbele❤
@emanueldanstan89047 ай бұрын
2024. Gather here write Amen😊
@hosealutangilo50584 ай бұрын
We are here
@HeñianCrochetiñgHouse3 ай бұрын
here
@SALIFAMO.CHIFRO Жыл бұрын
haleluya.haleluya.firomi ethiopia ❤❤❤❤
@judyroth89283 жыл бұрын
Sifa kwa yesu🧐💃💃🕺🕺🕺🙏🏽🙏🏽🙏🏽👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 .na mpenda yesu Amen Amen
@patrickbizimana-o3bАй бұрын
Ndiyo yeyenjo anaweza baba
@davidmoyo35934 жыл бұрын
Wimbo huu kwanza ulipigwa kwa viwango vya juu sana kuliko sasa maoni yangu ni kwamba mnapofanya re mix ya wimbo muangalie viwango vya kabla.
@UinjilistiKijito4 жыл бұрын
Tunaheshimu sana mawazo na ushauri wenu wapendwa wetu, maana nye ndio walaji wa kazi zetu. Tunaendelea kufanya kila linalo wezekana kwa mapenzi ya Mungu kulitangaza neno lake. Mawazo yako tunayafanyia kazi. Ubarikiwe
@furahageofrey69594 жыл бұрын
Mmefanya remix ya viwango sana sana,sisi tunataka huo ujumbe wa kumtukuza YESU wetu masuala mengine ya kuweka manjonjo mengi yanaharibu..Hii imekaa mahali pake na kazi yenu ni njema sana..Keep it up.Nawapenda sana,mpe hi morgan.
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉sifa na heshima apewe Mungu siku zote vya pendeza ukiwa ndani y Kristo Yesu, tunaburundika sana, Mungu tutakuinua wala hatutachoka kukuinua Mungu kwa upendo,uzima unao tupa bure ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@scottyemmanuel36103 жыл бұрын
From kenya...this song created passion in me passion to be a worship leader and it touches me in a way I cant explain, I feel to continue worshiping God. Keep doing Gods work. One day I will visit Tanzania to just Worship with you. God bless
@UinjilistiKijito3 жыл бұрын
Scotty Emmanuel thanks for the complements. You are warmly welcome.
@tsandiewanjuki99513 жыл бұрын
Amen... May God honour desires of your heart.
@momumotv34443 жыл бұрын
0LA,,,,∆@∆0ⁿ/ⁿ
@momumotv34443 жыл бұрын
Lulu
@GlauryHauleАй бұрын
Nafurahi kusikia yesu hataniacha jamani na mimi sito muacha amina
@augustinomashallo8943 Жыл бұрын
Hi proffesor, We Begin chapter 3, The the book of samwel In last two chapters we saw Priest Eli has two wives Hannah and penninah, But Hannah no children and penninah has two children hopni and phinesa And Hannah conceived and bore a son Called samweli Means I have asking him of the lord, In summary.......... By heavenlucky
@SalvadorDamasio-z4h2 ай бұрын
Akika Hakuna mungu kama yeye. I'm from Mozambique.
@nicodemusngeta2541 Жыл бұрын
Wapi wenye tunapenda rhumba , ringala,,,, central Republic of Congo, Zaire and the whole Africa May Allah bless our Land.
@LizzyKay-cr3gj6 ай бұрын
Yesu ni mu falme waba falme.
@amosasango13702 жыл бұрын
Mungu n mwema kila wakati na kila kiumbe ambacho kina uhai kikamwinue baba
@Ines_Kambou3 жыл бұрын
From Cameroon... I've been looking for this song for years now. I heard it for the first time in a wedding video on KZbin and loved it. Yet I didn't understand anything. Didn't even know what to type on Google to find the lyrics. I'm so happy I finally found it. Be blessed!
@paschazianestorymatunda59722 жыл бұрын
Amen.. there is no God like you.. LORD, YAHWE
@kiyana72612 жыл бұрын
Ah bon vous connaissez cette chanson au Cameroun 😳 aussi
@patriciakunda197512 күн бұрын
Listening to this song as I cross over to 2025, thank you Lord for the Gift of life ,I will always worship you Lord 🔥🔥🙏🙏🙏
@floranceh53334 жыл бұрын
Mbarikiwe watumishi wa Mungu kw uimbaji mzuri, Mungu azidi kuwapandisha viwango vya juu😍🇰🇪
@loneranger61192 ай бұрын
Indeed hakuna Mungu kama wewee, sifa na utukufu kwa bwana
@tumainkabengula61544 жыл бұрын
The right song at the right time Welcome 2021..Uinjilisti be Blessed
@fondationbaraka48773 жыл бұрын
MZURI SANA ! KWELI, HAKUNA MUNGU KAMA BWANA WETU YESU KRISTO, MWEZA YOTE ! PAMOJA NA YEYE KWA KIPANDA ZETU, USHINDI NA BARAKA NI YETU KWA MILELE ! AMINA ! MERVEILLEUX ! VRAIMENT, IL N'Y A POINT DE DIEU COMME NOTRE SEIGNEUR JÉSUS-CHRIST, LE TOUT-PUISSANT ! AVEC LUI DE NOTRE CÔTÉ, LA VICTOIRE ET LA BÉNÉDICTION SONT À NOUS POUR TOUJOURS ! AMEN ! WONDERFUL ! VERILY, THERE IS NO GOD LIKE OUR LORD JESUS CHRIST, THE ALMIGHTY ! WITH HIM ON OUR SIDE, VICTORY AND BLESSING OUR OURS FOREVER ! AMEN ! KITOKO MINGI ! YA SOLO, NZAMBE LOKOLA NKOLO WA BISO WA NGUYA NYONSO YESU KRISTO AJALI TE ! NA YE NA NGAMBO NA BISO, ELONGA NA MAPAMBOLI EZALI YA BISO MPO NA LIBELA ! AMENA ! BIMPA BE ! BULELELA, KAKUENA NZAMBI BU MFUMU WETU WA BUKOLA BONSO YESU KRISTU ! NI YEYA KU LUSEKA LUETU, BUTSHIMUNYI NI MABENESHA BIDI BIETU TSHIENDELELA ! AMENA ! VITAL✍🏻 .
@josphatkibet92782 жыл бұрын
This is the song you would listen several times without getting bored..a blessing indeed
@NipherAlice3 ай бұрын
Yani ni kama vile umerekodiwa jana 🔥🔥🔥
@jasperasave61734 жыл бұрын
The original one still Rocks for me.
@giftedfingers30273 жыл бұрын
TRUE
@nancyasenwa97983 жыл бұрын
Sure
@pritisimon63933 жыл бұрын
Yes org itabaki kuwa my number one
@wilikinsmauti55733 жыл бұрын
@@pritisimon6393 sasa si he is the same guy who sang the original shida iko wapi?
@afmabeat95673 жыл бұрын
For-real.
@gracemudzerere14862 жыл бұрын
Hakuna mungu kama wewe 🇿🇼🇿🇼🇿🇼
@tonymanji70662 жыл бұрын
I am a Roman catholic and still i love this song 🎵 ❤ 💕 💜 kweli hakuna Mungu kama wewe
@JesusisLord279 Жыл бұрын
I pray you find and understand the true Gospel of our Lord JESUS CHRIST and serve Him accordingly. May God reveal Himself to you in a new way. Be blessed.
@fredrickmutinda18972 жыл бұрын
Nakumbuka hio miaka ya 2002, wakovu ulikuwa na taste, we enjoyed this songs
@winniekanaabi91093 жыл бұрын
Even if I don't know the words but I know it's about Jesus Christ 🙌🙌🙌
@josephinekilungya18893 жыл бұрын
Its says.....there is no other God like you Yahweh.....
@bwirathandiko982812 күн бұрын
YESU NI BWANA ❤❤
@mithletlwoyelo60444 жыл бұрын
This are the songs we need to hear!The video is wow! Dressing code is wow!I'm blessed and much love from Kenya
@nelsonkiriinya35423 жыл бұрын
"Which is you country"
@Chr1962 ай бұрын
Amina barikiweni wapendwa watoto wa Mungu -Kenya
@mtawalatv4 жыл бұрын
Nawapongeza Sana Kwa kutuletea huu Wimbo upya maana tulipata shida kuupata.ahsante Sana
@UinjilistiKijito4 жыл бұрын
Mungu yu mwema. Barikiwa sana
@fredrickmutwiri2875 Жыл бұрын
Being hours old,I welkm the year 2024 with the song in my heart,"unaweza ,ni mshindi " milele amina
@jackieham60173 жыл бұрын
Just imagine how it will be in heaven wooooow praise the name of our God
@UinjilistiKijito3 жыл бұрын
Amen
@feithkalunde42535 ай бұрын
Wow . Mungu mbele Kila wakati 🙏🙏🙏.
@noeljoseph76384 жыл бұрын
You always never let me down kkkt k'nyama choir mpaka naringa Kuwait mkristo
@shemgodwill267110 ай бұрын
Naomba warudie ile ya Simba wa Yudah
@gospotv4 жыл бұрын
Mbarikiwe sana
@sylvianeboshi86883 жыл бұрын
Love u from uganda
@kuteesaaidah30503 жыл бұрын
@@sylvianeboshi8688 yes the song is very powerful
@MbarubukeyeEsdore7 ай бұрын
Mungu asifiwe
@yamistesha21205 ай бұрын
We here in 2024❤
@patrickchomola42803 жыл бұрын
Hakuna Kwaya ilo fanya vizuli Kama hii Safi Sana Baraka ziwe kwenu
@natashalunyonga30543 жыл бұрын
The legends Kijito choir...I remember everyone in the hood played this track almost everyday, those decks nd tapes sufferd kkk wow gospel neva fades away,Jesus is the same yesterday today nd forevermore
@diaray79birukila4 жыл бұрын
Amina nimebarikiwa nipo ili kishinda
@samuelshikanda39933 жыл бұрын
My late Uncle made sure this album was in all his sibling's houses, so that when he visits, there's no excuse of not playing the album. He made us all fall in love with this album. Very legit Kingdom Music. Barikiweni sana people of God
@safariv.a11623 жыл бұрын
😅😅😅hilarious. May he rest well
@elesiachristopher4803 Жыл бұрын
Kila nikisikia huu wimbo namkumbuka baba yangu @christopher kimanga. May you countinue to rest in peace Dad🙏💔, your daughter misses you
@MalimaJeremia-j2j3 ай бұрын
yani tabasam yenu yani paka rahaa kweri mungu awabariki sana Tena sana
@mercyoola36503 жыл бұрын
I normally love the old ones even if the new one comes still old is the best i like their songs. From Kenya ❤️❤️
@stevonyaashishkey64163 жыл бұрын
HAKUNA MUNGU KAMA WEWE motoooooo
@kollo90ful3 жыл бұрын
Greetings from Kenya. One day I'll come to Kijitonyama Lutheran Church and listen to this annointed choir. Your songs, especially Simba wa Yuda and Masia Wanyi have taken me through some of life's darkest moments.
@ErastoMilanzi-r5q5 ай бұрын
❤ nakubali hakika nyimbo zirudiwe .
@danfordmalya91194 жыл бұрын
Nyimbo nzuri video nzuri mmetoa Ile bass ileee kilee kibass kile jamani
@maryyats8 ай бұрын
Hakuna Mungu kama wewe❤❤❤
@emmydaniels48532 жыл бұрын
Please zote zirudiwe... Don't let them go silent, alot of gospel music went mute with powerful messages... And we can't find them any more.😢There is a song I loved when I was a kid,but can't find them.
@richardmtemi197710 ай бұрын
Kuna wimbo aliimbaga na remmy ongala nimetembea africa Nautafuta huo wimbo saaana
@kelvinkhudze62413 жыл бұрын
Malawians lets gather here. This song remind me my childhood🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
@myrakenya87903 жыл бұрын
Just asking, do Malawians speak Swahili?
@asabalor8 ай бұрын
It will be my song in my wedding , Ngoma yetu ngoma ni ya kumuinua Yahweh
@joaochiconhacussa5123 жыл бұрын
Louvado seja Deus, nós temos entoado esse hino na nossa igreja, é uma benção. Deus o abençoe sempre.
@kabughoester60003 жыл бұрын
Kweli hakuna mungu kama baba,tubarikiwe sote 💓💓💓💓🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@kuteesaaidah30503 жыл бұрын
The song is very powerful yarabi
@HumanBeing-pj4hm3 жыл бұрын
We request a reprise of SIMBA WA YUDA pls Kijito
@justicekibe13623 жыл бұрын
Me too waiting for it from Kenya
@misheckgithaiga87983 жыл бұрын
Me too, waiting it from Kenya 🇰🇪
@helleneouma30243 жыл бұрын
Kabisa, refreshed Voices
@helleneouma30243 жыл бұрын
Wow! Refreshed and refilled Voices. Barikiweni wapendwa
@esperanceuzabakiriho62063 жыл бұрын
I second that
@lordorcas93443 ай бұрын
Ouie ma bien aimée na ba Brides Yonso na Jésus Christ baza kaka mindeles na ba Films nyonso ba movies, Satan nde moto Moyindo makambo tout y’a Mabe’ eza ba Noir Biso nde ba makaku siata ! Moi je suis fière d’être un africain ata Bolobi Discrimination ekosilaka te Jusqu’à ce que Jésus Christ reviens , je suis fière de ce Que je suis ❤
@ruthmmambwe52444 жыл бұрын
Indeed there is none like Yahweh, I have seen how faithful He has been to me.. a happy 2021 family.. What a beautiful piece 😍
@mosetheonly105010 ай бұрын
True nobody like jesus na hatakuwepo🙏🙏🙏
@josphatpilat32144 жыл бұрын
Wow! we thank God for this choir. Tumebarikiwa sana...
@VelinaJuma6 ай бұрын
Indeed there's no one like you our precious God ,
@jonessinkala Жыл бұрын
Loving this song. Sending love ❤ from Zambia 🇿🇲
@tamukede2 жыл бұрын
Hakuna Mungu kama wewe Mwokozi wangu
@lucyjepchumba74194 жыл бұрын
My favorite choir from years back, the song is so uplifting, may God bless you
@cheletv78473 жыл бұрын
In God we trust mmeturudisha miaka ya nyuma aise
@Dr.zaidi44 жыл бұрын
I played this song last week in the crusade at Nairobi.Everybody rose up to it.Its golden,never grows old