Yesu wa Tongaren ageuza maji kuwa chai

  Рет қаралды 160,819

TV47 Kenya

TV47 Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 299
@gakurenjaria5996
@gakurenjaria5996 Жыл бұрын
3 months ago he had forgotten his name but after kuitwa na police wa bungo he remembered he is Eliud Wekesa simiu😂😂
@roxie6975
@roxie6975 Жыл бұрын
Haki waluya na chai,,,,😂😂😂😂it reminds me about Jehovah wanyonyi who went to be with himself...
@roxie6975
@roxie6975 Жыл бұрын
Manabii wa uongo watakuja kwa Kila njia.
@jerryjerryjerry7446
@jerryjerryjerry7446 Жыл бұрын
Acha kutuchomea 😂😂😂😂
@jinnybikini
@jinnybikini Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@filbao8113
@filbao8113 Жыл бұрын
To be with who😂
@simonngatia3942
@simonngatia3942 Жыл бұрын
Heheee to be with himself
@naommutuku5449
@naommutuku5449 Жыл бұрын
Let him know that God is never mocked
@TeacherNyoks5258
@TeacherNyoks5258 Жыл бұрын
Ama kwa waluhya ndiko mbinguni na hatujui🤣🤣
@davidmuiruri2797
@davidmuiruri2797 Жыл бұрын
Nathani😂😂😂😂
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 Жыл бұрын
Wee wacha zako sisi tunajua Yesu yuko mbinguni nasiku yake yakurudi atarudi kama mwizi na siku hiyo ndio kutakuwa na huku kwa wenye dhambi
@Alex.124
@Alex.124 Жыл бұрын
@@metrinenyakoe1764 Kila jicho litamwona si waluya tu
@erenestawanjiru1935
@erenestawanjiru1935 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@simwenyititus5210
@simwenyititus5210 Жыл бұрын
Huyu ni mjinga sana
@maggiepmelody
@maggiepmelody Жыл бұрын
Who is in comments laughing while crying like me
@kotienootieno9981
@kotienootieno9981 Жыл бұрын
The devil is really determined to take Bungoma people to hell because of ignorance
@88command0
@88command0 Жыл бұрын
Can you turn water into tea?
@phillicebarasa76
@phillicebarasa76 Жыл бұрын
Very simple, ni kuongeza Tu maziwa ma mjani kwa maji hiyo sio miracle
@rosewairimu9237
@rosewairimu9237 Жыл бұрын
Kinachonishangaza nikuwa, mtu akijitokeza na vituko zake na ataje Mungu, wafuasi pap, wanajileta, Mungu Baba hurumia vyumbe wako wakujue na wajue ukweli wako
@manmayo2517
@manmayo2517 Жыл бұрын
Siku za mwisho patatokea manabii wa uwongo wajiita yesu na mungu!
@mwangimumbi2543
@mwangimumbi2543 Жыл бұрын
Haujakosea mwana hizi nisiku za mwisho
@marymayo6625
@marymayo6625 Жыл бұрын
Kenya,hoyeeeeeeeeee,Mara yesu,mzungu,mara,mweye ndevu,sijui na mke wake ni bikira maria.Mungu tuokoe.
@tanuiobed1606
@tanuiobed1606 Жыл бұрын
😂😂😂🤣🤣🤣 this is comical, ati alisahau jina lake🤣🤣🤣
@pricilaangesa9585
@pricilaangesa9585 Жыл бұрын
Mathew 24:5 For many will come in my name saying its Christ
@monicahnguta135
@monicahnguta135 Жыл бұрын
Tunangonjea Yesu Mwana wa Mungu.aliyekufa msalabani ambaye atashuka toka binguni hatakanyanga ardhi ya dunia tutamlaki mawinguni.
@wilsonytz6730
@wilsonytz6730 Жыл бұрын
Huku Tanzania nako mambo si shwari kunamtu amepatikana ati yeye anajiita mungu anawaamru watumishi wake wamuite baba wata yeye ni wakike. Sindyo habari zake huyo zumaridi anayejiita mungu sijui watu wanapata wapi ujasili wa kujiita majina yenye utukufu ama ndiyo manabii wa uongo
@sophiamvungi1425
@sophiamvungi1425 Жыл бұрын
Cheza na majinà yote lkn jina la Yesu achana nalo
@saidramadhani9060
@saidramadhani9060 Жыл бұрын
kama kweli ni yesu mwambieni aje tanzania kuhubili aje na msalaba halufu tuone kama ni yesu kweli aache kupotosha watu yafaaa asilimu awe mwisramu dini ya kweli isiyo na shaka👃
@v.a7835
@v.a7835 Жыл бұрын
Akaambia Baba yake kijana yako ni Yesu akamjibu wewe ni mwendawazimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
@stevek8318
@stevek8318 Жыл бұрын
Wazimu Wa hali ya juu. Hawa waluhya sijui nani aliwaroga.
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@Tugengirl1931
@Tugengirl1931 Жыл бұрын
Na mke wa yesu ni nabii benjamini kweli kenya bila waluhya sio kenya 😂😂😂😂
@amolokenneth3093
@amolokenneth3093 2 жыл бұрын
Ok. Sisi hatuma Maoni, sana sana mimi sina maoni kabisa
@johnjulius6986
@johnjulius6986 Жыл бұрын
KENYA...🤣🤣 Halinishangazi hilo Yesu kutokea Kenya
@calistuswafula8317
@calistuswafula8317 2 жыл бұрын
Atukuzwe yesu mile na mile Amina🤣
@josphatmuchiri9427
@josphatmuchiri9427 Жыл бұрын
Marko 13 6 Wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ndiye, nao watadanganya wengi. 22 kwa maana wataondoka Makristo wa uongo, na manabii wa uongo, watatoa ishara na maajabu, wapate kuwadanganya, kama yamkini, hata hao wateule. 23 Bali ninyi jihadharini; nimekwisha kuwaonya yote mbele.
@fredmuigai586
@fredmuigai586 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣i love my country ile mambo iko huku waluya na chai
@evemwende8015
@evemwende8015 Жыл бұрын
😂😂😂
@edwinalkady9353
@edwinalkady9353 Жыл бұрын
Hello be kin, manabii wauongo Usije ukidanganywa wewe mtu yeyote,, wakiume wala wakike usimuite YESU .........YESU AKIRUDI KILA JICHO LITAMWONA na muulizeni swali dogo tu je aijua SABATO ya kweli na anaitukuza kwel
@amosochi7310
@amosochi7310 Жыл бұрын
Matthew 24:5-6 For many shall come in my name, saying, I am Christ; and shall deceive many. And ye shall hear of wars and rumours of wars: see that ye be not troubled: for all these things must come to pass, but the end is not yet.(NKV)
@mourinelutome7043
@mourinelutome7043 Жыл бұрын
Amen
@drprophetgidi
@drprophetgidi Жыл бұрын
Yesu fanya KAZI mungu ni baba wetu wote mungu akubariki
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Yeye ni shetani.
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Pepo mchafu
@micahnjoroge3685
@micahnjoroge3685 Жыл бұрын
Kabla ya hii mwaka Utagongwa. Na Gali na utakufa. Acha kucheza na Mungu
@samuelkaranja.5788
@samuelkaranja.5788 Жыл бұрын
Si abandilishe makaratasi iwe pesa. The country is broke. Badala ya chai.
@dhuluufiklihassan537
@dhuluufiklihassan537 Жыл бұрын
Manabii kumi na wawili uzao wa yakobo🤣🤣🤣🤣🤣then I remember the wife on one video saying "nimebarikiwa kuliko wanawake wote duniani"
@jameschengwali1051
@jameschengwali1051 Жыл бұрын
Hawa waluya wataleta shida kenya hii!! Kulikuwa na yehova wanyonyi!! Sasa huyu naye ametokea wapi
@juliakamarey8476
@juliakamarey8476 Жыл бұрын
Waluhya never disappoint..Jehova wanyonyi.yesu wa tangoren.yohana the 5th..and they have courage
@mercyatira9206
@mercyatira9206 Жыл бұрын
Heeeeee
@osmanabdifattah4947
@osmanabdifattah4947 Жыл бұрын
Kumbe pia ulipata ya yohana the 5th
@egospeltz9486
@egospeltz9486 Жыл бұрын
The problem of many people did not understand the word of God, Jesus allready warned us that they will come many who claimed to be Jesus and now we see this truth come into reality. Doing miracles doesn't qualify you to be men or women of God, but doing the will of the father which include not worshiping the idols
@purity..
@purity.. Жыл бұрын
Kenya ukishikwa na depression ni kupenda kwako 😂😂
@carolmikeofficial
@carolmikeofficial Жыл бұрын
😂😂😂sure
@kenslewsauto6546
@kenslewsauto6546 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂 kenyans u go kill me oooh
@muthonijgatia4350
@muthonijgatia4350 Жыл бұрын
Hao watu hawamjui Mungu wanapotoswa na malaya ya mtu anajiita yesu niwapi Yesu kristo alikua amelala na mwana mke na huyu ako na bibi na watoto nana ashindwe watu nao wanandanganywa mbure huyu ni jeso josto ama mbali jeso lakini si Yesu kristo yule moja tanajua ni mwana wake Mungu alie hai
@teresiateresia6464
@teresiateresia6464 Жыл бұрын
Kenya never disappoint 😂 maji ikakuwa chai 😂😂😂🏃
@rachelhalima9565
@rachelhalima9565 Жыл бұрын
Imagine chai tu inafanya watu wanamuamini 😅😅
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa kwani kila siku maji hatuyageuzi chai hahahaaa
@judievin2020
@judievin2020 Жыл бұрын
😂😂that part killed me
@markmuteti9578
@markmuteti9578 Жыл бұрын
Ya soya 😂
@peterkanja4765
@peterkanja4765 Жыл бұрын
Sera za wajhakoyah zimechukua mkondo wake zinatekelezwa bangi haisemi uwongo na bado si alipata wafuasi wengi hata katika uchaguzi? Jiandaeni kwa mengi basi.
@reginarkasyoka6914
@reginarkasyoka6914 Жыл бұрын
Ata hauna haya kulidhiaki jina la YESU
@sawasawasamuel
@sawasawasamuel Жыл бұрын
Yesu Kaka alafu ana mke uyo ni mwenda wazimu
@maryupendo8706
@maryupendo8706 Жыл бұрын
Kenya,kenya kenya,,,nimekuita mara ngapi?simama nishuke.
@endtimeswatch524
@endtimeswatch524 Жыл бұрын
Akatsha ndio aliaaza, jehova wanyonyi akarudi na sasa ni wekesa yesu wa Tongaren. Oi God have mercy on luhyia land.
@uwemattiss880
@uwemattiss880 Жыл бұрын
I witnessed that miracle he just added tea leaves and it turned into tea it was a miracle .🤣🤣🤣🤣
@susanayabei3846
@susanayabei3846 Жыл бұрын
@Mattiss ilikua ya maziwa ama turungi??
@uwemattiss880
@uwemattiss880 Жыл бұрын
@@susanayabei3846 🤣🤣ilikua turungi!
@brigettethamani2095
@brigettethamani2095 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
💀💀😂😂
@hellenkoech1103
@hellenkoech1103 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@ojalex
@ojalex Жыл бұрын
Huyu ana upuzi ata sai nishageuza maji kuwa strong tea na mimi si Yesu akwende kabisa
@allsoulsforjesuschrist5731
@allsoulsforjesuschrist5731 Жыл бұрын
Mathew 24:24. The world is in great darkness, this is so much foolishness and blasphemy indeed.
@josephmaduka468
@josephmaduka468 Жыл бұрын
Watu wangu wanaangamizwa kwakukosa maarifa
@alextercisio
@alextercisio Жыл бұрын
Bugoma uwa na mambo ya upuzi sana
@susanmakau7049
@susanmakau7049 Жыл бұрын
🙆🙆Yesu wa Nazareth ni namjua.🤭🤭🤭🤭🤭
@ruthwittmann3392
@ruthwittmann3392 Жыл бұрын
Pelekeni Ujinga mbali, Mmefanya jina la Mwenyezi Mungu kua mchezo , vinywani mwenu , Atafute kazi ya watchmen akafanye
@ymefay
@ymefay Жыл бұрын
Naona uku ndio mbinguni 🤣🤣🤣🤣walizahau kuandika kwa Bibilia
@sabihaibrahim143
@sabihaibrahim143 Жыл бұрын
Hahahaaa mutakoma kuabudu mungu binaadamu mwenzenu atafananishwa tu kila mtu atasema ni yeye na huu ndo mfano kwamba yesu ni mtu si mungu
@emilyakinyi2645
@emilyakinyi2645 Жыл бұрын
Ati mwalimu yesu
@feyo357
@feyo357 Жыл бұрын
Ama huyu ndyo yesu wa Ruto na mudavadi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 Жыл бұрын
Mimi najua Yesu wa nazarete mwenye yuko Mbinguni kwa Baba
@alexmwaniki5094
@alexmwaniki5094 Жыл бұрын
Kwa baba😘😘😘
@kamenemulu8561
@kamenemulu8561 Жыл бұрын
Ak mtagazanji huko sawa.kumekoza mtu kusaitia hii jamaa kujua bangi c sukuma
@maureenwetola3862
@maureenwetola3862 Жыл бұрын
God have mercy
@ruthkalekwa1191
@ruthkalekwa1191 Жыл бұрын
Yenyewe wewe ni mwenda wazimu ombeni mungu awafungue majo ya kiroho
@careful4847
@careful4847 Жыл бұрын
I just thought I've seen all...kumbe bado!
@RISINGFARM
@RISINGFARM Жыл бұрын
Naona wajackoya kwa umbaaaaaaali
@ellaashley3718
@ellaashley3718 Жыл бұрын
Same case hadi Raila akisema ni yesu Leo, watamwamini na kumwabudu.
@demarie7861
@demarie7861 Жыл бұрын
Ila majirani huwaga wanafiki..nyie mtu hakumbuki Jina lake nyie mnamutita Eliud Wekesa 🤭
@Christianadvicebychristine
@Christianadvicebychristine Жыл бұрын
Wacheni 😂😂😂😂😂hakuna yesu hapa endeleeleni kundanganywa
@kennzain4487
@kennzain4487 Жыл бұрын
God have mercy on us. Even him, whose coming is after the working of Satan with all power and signs and lying wonders, And with all deceivableness of unrighteousness in them that perish; because they received not the love of the truth, that they might be saved. And for this cause God shall send them strong delusion, that they should believe a lie:
@jacksonmuthami
@jacksonmuthami Жыл бұрын
Huyo sio yesu mwana wa mungu.yesu mwana wa mungu akija kila jicho litamwona na malaika watakatifu. Haha ni wale yesu alisema makristo wa uongo watatokea huyu nimoja wao.
@Shyiber_Maina
@Shyiber_Maina Жыл бұрын
Kenya iko na soko la wazimu duniani
@markkithinji2666
@markkithinji2666 Жыл бұрын
Si angefanya kahawa😂😂
@v.a7835
@v.a7835 Жыл бұрын
Hiyo maji aliongeza maziwa kiasi na majani na kushuge akafunga hiyo game.
@evangelistphilomenakitaly2985
@evangelistphilomenakitaly2985 Жыл бұрын
Baba mkwe anaambiwa mtoto Wake kaolewa na Yesu 🤣🤣🤣🤣
@ibrahimboru3098
@ibrahimboru3098 Жыл бұрын
🤣🤣😂😂 Hii ni bangi tu.
@elijahkieti8423
@elijahkieti8423 Жыл бұрын
Sawasawa eliud wekesa
@humphreyokungu
@humphreyokungu Жыл бұрын
waluhya wanaota tu chai.....mbona hakubadilisha ikuwe soda
@fredrickwanyama7722
@fredrickwanyama7722 Жыл бұрын
Western region must really REPENT huu upuuzi hauna kipimo
@amoswanderakiriwabene4641
@amoswanderakiriwabene4641 Жыл бұрын
Kawaje yesu kaenda mining uni kuzeeka wakati bbl inasema hakuna uzee mbinguni?
@jumamuhammedlauzi9311
@jumamuhammedlauzi9311 Жыл бұрын
Na hilo jina l Eliud Wekesa
@marynafula9037
@marynafula9037 Жыл бұрын
Hahahahaa nikisomaaniko siajona yesu akiwa na bibi🤣😂
@mercyatira9206
@mercyatira9206 Жыл бұрын
The reason why this man is still doing this is because the world has not seen Gods children manifesting let's take our place
@charlesadhola
@charlesadhola Жыл бұрын
very true
@miltononyango
@miltononyango Жыл бұрын
huyu jamaa achapwe viboko mpaka akumbuke jina lake ,,,,60 strong whips
@apostlealexyusuf2416
@apostlealexyusuf2416 Жыл бұрын
Kama kwa waluhya ndio mbinguni wacha ikae hatuendi😆😆😆
@elizabethjeremiah8323
@elizabethjeremiah8323 Жыл бұрын
Mmmh amna kitu
@enginierthalion-kid4998
@enginierthalion-kid4998 Жыл бұрын
Haha! Si achapwe viboko tu uyo hadi aseme jina lake
@davidhaya2381
@davidhaya2381 Жыл бұрын
I'm coming from a neighbouring country, how can I become a Kenyan
@pendo6
@pendo6 Жыл бұрын
Just come through malaba boda on foot Tongaren is near there you meet him
@clareowens6476
@clareowens6476 Жыл бұрын
Free
@Ju_stagirl
@Ju_stagirl Жыл бұрын
What about you afmire to be a citizen in the Kingdom of Christ. This is bullshit don't be fooled.
@feyo357
@feyo357 Жыл бұрын
Come Marry me🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abdillahiadhan4999
@abdillahiadhan4999 Жыл бұрын
Come and visit our jesus and u will become citizen pap
@griffklause973
@griffklause973 Жыл бұрын
Kenya sihami🤣🤣🤣🤣 Nikweli wewe ni mwendawazimu 🤣🤣🤣🤣
@emmae9837
@emmae9837 Жыл бұрын
Naukihama mm nipo tu😂😂😂👋
@braenleeRotich
@braenleeRotich Жыл бұрын
This guy also has 12disciples 😂😂😂😂
@saidramadhani9060
@saidramadhani9060 Жыл бұрын
maisha yakiwa magumu shetani hutumia nafasi hiyo kupotosha watu huyo mzee ni mganga wa kienyeji mkimchekea ataleta mazala makubwa kama ya kibwetele wa uganda aliuwa watu kwa mafuta ya petrol kuweni makini sana na watu kama hawa
@maxywandaka5054
@maxywandaka5054 Жыл бұрын
Atasurubiwa lini?🤣🤣🤣🤣
@wellsnyumbila9043
@wellsnyumbila9043 Жыл бұрын
Waluhya..chai na kiswahili sanifu.. Same wosap🤣🤣🤣
@faithkemunto5532
@faithkemunto5532 Жыл бұрын
Wacha kutubeba Wana 😂😂😂 Ety yesu
@janenelima5191
@janenelima5191 Жыл бұрын
Viatu c vya kufaa mungu alisema fua vistu bt c vya mguu
@mcweyefelixdan2104
@mcweyefelixdan2104 Жыл бұрын
Heww! Sisi hatuna nguvu...
@beirut9750
@beirut9750 2 жыл бұрын
Kenyans never dissapoint🤣🤣🤣🤣🤣
@stevek8318
@stevek8318 Жыл бұрын
They actually disappoint! This is total madness
@abdillahiadhan4999
@abdillahiadhan4999 Жыл бұрын
Welcome to our beautiful country
@alikutala1215
@alikutala1215 Жыл бұрын
Better this guy than Dr.Owuor
@queenbee1588
@queenbee1588 Жыл бұрын
Afadhali yeye kuliko pastor Ezekiel. Huyu yuko tu na wafuasi 12 na washenzi less than 100.
@fredrickwanyama7722
@fredrickwanyama7722 Жыл бұрын
Acha wazimu wewe usije ukalinganisha Nabii wa Bwana na huu upuuzi
@terrywatahi1203
@terrywatahi1203 Жыл бұрын
💀💀💀😂😂😂siageuze mawe iwe kuku na ugali puanaa💀💀😂😂😂
@anderschatopchatop1889
@anderschatopchatop1889 Жыл бұрын
Majibu ya Baba Kwa mke wa yesu Yana kaukweli.😅
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 Жыл бұрын
Amuslim until my last breath this coming drama God forgive his people
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Yana kuja ya kibwetere siku za usoni
@aqwilinertarimo-em1mt
@aqwilinertarimo-em1mt Жыл бұрын
Mmmmh bac tumsulubishe tena turned kama atafufuka
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
Mungu hapendi mizaha
@irenelyamuya5466
@irenelyamuya5466 Жыл бұрын
😂😂😂 hilarious 😆😆😆😆😆😆😆😆
@allsoulsforjesuschrist5731
@allsoulsforjesuschrist5731 Жыл бұрын
The devil is at work but he is already defeated, there is Only One Jesus Christ the Lord of Glory and all these false christs will just perish for God is not mocked. Many have been called by devils like this is a demon at work and may many understand the Gospel of Christ and Live.
@kingpharaoh6981
@kingpharaoh6981 Жыл бұрын
🤣🤣😂🤣 hii waluyha muko na visanga.
@Kasambaofficial
@Kasambaofficial Жыл бұрын
Ama bungoma n binguni na hatujui
@eriminahmshai
@eriminahmshai Жыл бұрын
Sasa kama alisau majina yake anafaa pia kusahau bibi juu yesu hakuwa na bibi wala hakuvaa manguo mengi mengi marangi mengi kaa waganga
Yesu ni Mluhya; Yesu wa Tongaren asema
3:44
NTV Kenya
Рет қаралды 9 М.
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
A Cult Leader  Who Thinks He's Jesus  : EXTRAORDINARY PEOPLE
10:34
Afrimax English
Рет қаралды 406 М.
KIFO CHA MAULANA: 'JEHOVA' WANYONYI AFARIKI, 6 June 2016
18:59
KTN News Kenya
Рет қаралды 142 М.
YESU WA TONGAREN ATETEWA NA MKEWE (PART 2 OF 4)
1:01:10
Straight Path Dawah
Рет қаралды 83 М.
Hii ndio inabamba sasa.Laughter as Fikita meets Jesus of Tongaren.
5:27
Ujinga Za Victor Naman
Рет қаралды 447 М.
NDATINIRIO MOKO NÎ MÛTHURI WAKWA
1:09:47
Wambui wa Mwangi
Рет қаралды 323 М.
Guurka Nabi Maxamed Scw Iyo Caisha Rc Qofki Dhibsado Ama Qashinsado Wa Gaal Sh Xassaan Abu Salmaan
19:51
imam shafici media قناة الإمام الشافعي
Рет қаралды 13 М.
TENGENEZA URAFIKI NA WATU WENYE AKILI WATAKUJA KUKUSAIDIA BAADAE "PASTOR MGOGO
50:27