Mazinge Utabiri wa Yesu

  Рет қаралды 92,226

YesuHakufa

YesuHakufa

Күн бұрын

Пікірлер: 24
@aminaomar2461
@aminaomar2461 9 жыл бұрын
Masha Allah. May Allah protect you my bro mazinge
@yarowareess5224
@yarowareess5224 6 жыл бұрын
Saba kumi na nne,me nlijua tu sasa sio hesabu,isaya saba kumi na nne,mpendwa alisema hesabu,kakoseaaaaaa!!!! Hhhhhh hhhhhh hhhhh,mashallah mazinge Allah akupe maisha marefu.
@mgeniali1768
@mgeniali1768 5 жыл бұрын
Aamin yarrab
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 6 жыл бұрын
Mazinge Ubarikiwe Sana Maana Unawafundisha Maandiko Wakristo Na Pia Unawafundisha Kiswahili. Wakristo Inabidi Wakushukuru Sana.
@pekomisegese7724
@pekomisegese7724 6 жыл бұрын
Waislamu Ndio Waalimu Wa Wakristo. Jamani Jamani Hawa Watu Mitihani Huwa Wanapasi Vipi Hawa jama!!!!!!!???
@salehemkomwa8063
@salehemkomwa8063 6 жыл бұрын
dini moja mungu mmoja
@evalineakuku590
@evalineakuku590 5 жыл бұрын
yesu alitabiriwa na isaya,gabrieli
@johariramadhani6377
@johariramadhani6377 11 жыл бұрын
asalaam aleykum allaah akujalie mazinge kwa kuwaumbua
@danielimakene6546
@danielimakene6546 6 жыл бұрын
soma luka 1:31uone kama yesu ajatabiliwa kwa jina
@burbiddy316
@burbiddy316 5 жыл бұрын
Naww elewa kwangi agano jipya kapewa nani
@evalineakuku590
@evalineakuku590 5 жыл бұрын
emanueli maana yake mungu na sisi
@mariamomar1572
@mariamomar1572 8 ай бұрын
wapi mariamu kamuita mwanae Emmanuel
@adammasunga6382
@adammasunga6382 5 жыл бұрын
Yeye mbona hajajibu swali lako basi ajibu na yy
@khalfanhamisi4218
@khalfanhamisi4218 5 жыл бұрын
Aslmalkm ndngu Waislm ? Ystkhfrllau' hawa wkrsto kkweli heri wngeukubali wakaslimishwa wakawa waslam
@benadolphabiandustan4109
@benadolphabiandustan4109 5 жыл бұрын
huyu ndo mazinge kumbe hajui chochote anaowaambia nao hawaelewi chochote
@mgeniali1768
@mgeniali1768 5 жыл бұрын
Wacha kutia fitina ww ujuwawe nenda mbona huwendi kutetea dini ya mola wako ukapata ujrah kwa Allah
@khatibukhatib9926
@khatibukhatib9926 5 жыл бұрын
We zureyda hao jamaa usipige na0 zogo bhana mwachie asikilize maandiko hap0 na yy asomeshwe..! Ay0 map0vu yake ruksaa
@mgeniali1768
@mgeniali1768 5 жыл бұрын
@@khatibukhatib9926 kheri ntulie broy
@kakaalembez3369
@kakaalembez3369 8 жыл бұрын
hhhhh
@jacksonenossi4179
@jacksonenossi4179 5 жыл бұрын
Mbona hamchukui wenye uelewa wa biblia?? Mnaokota mtu ambae hajui chochote mbona hamjaenda kuhojiana na shekh hamza???
@ngiamamakanda9046
@ngiamamakanda9046 5 жыл бұрын
Wewe aliyekwambia kuwa huwa wanachukuliwa ni nani? Tumia akili mtu mzima usifyatuke tu kama manati, mhadhara kuna kuitwa? huyo mjomba wako nyege zake ndio zilimpeleka pale kwenye mhadhara kama wengine wenu. Kwa bahati mbaya karibu nyie wote hamjui kusoma kitabu chenu wenyewe mnalibeba tu kama punda kabeba mzigo wa mahindi mgongoni. Mazinge analijua hilo tabu lenu kuliko hata babu yako mzaa babu shenzi type nyie!! Eti mbona hamchukui wenye uelewa!!!!!! Nani mwelewa wa biblia Tanzania wewe au? Kwani wakereketwa mliokariri mistari humo hampo? Mngekuwepo waelewa wa biblia ni siku nyingi ungewaona wajomba zako wanajikakamua kuongea. Jikusanyeni nchi nzima nyie mnaofikiri mna uelewa mwaka wowote muandae mhadhara muone mtakavyopoteana, walishajaribu baba zako mpaka leo bado wanalalamika tu kuwa wanakashifiwa. Kijana Ijue historia ya kitabu chako kwanza kabla hujasoma na kukariri upupu humo.
@frankkinkutta1071
@frankkinkutta1071 5 жыл бұрын
Kuna haja gani yakuanza kubishana juu ya kitu kizuri?kama wewe unaona dini yako ni nzuri hubiri uzuri wa dini yako.huna haja yskuhoji dini yamwenzako.usichokijua kitakusumbua sana.
@zainabuhmbabazi4928
@zainabuhmbabazi4928 5 жыл бұрын
Wot hali ni moja
@mahmudumuhammed8174
@mahmudumuhammed8174 5 жыл бұрын
Wengi hawataki kusoma vitab vyao
053 HABIB MAZINGE | JE SACRAMENTI NI MWILI WA YESU 1/2
56:31
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 162 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Mazinge vs Saimoni   Baba jina lake nani  1 2
9:58
YesuHakufa
Рет қаралды 108 М.
kanisa
9:57
911Yohana
Рет қаралды 193 М.
Mdahalo   Yesu ni mungu  12
6:44
YesuHakufa
Рет қаралды 82 М.
Jina la baba
9:58
911Yohana
Рет қаралды 25 М.
Ipi dini ya kweli.ShkMazinge,Shk.Kinyogoli and Ustdh, Mwaipopo pt3
1:27:23
ALNUUR ISLAMIC DAAWAH CHANNEL
Рет қаралды 59 М.
MAPASTA 7 WASHINDWA KUTETEA UKRISTO
1:00:07
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 643 М.
Mazinge   Kusujudu
14:41
YesuHakufa
Рет қаралды 48 М.
Professor Mazinge   Mchungaji matayo 2 2
10:02
YesuHakufa
Рет қаралды 217 М.
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН