#YohanaAntony#AmaniKwa KilaMtanzania cont +255757315937 or +255718735608
Пікірлер: 496
@evegift Жыл бұрын
Wow Tanzania is blessed for having such a kid...God bless u sana....much ❤ frm 🇰🇪🇰🇪
@fanuelmucheke4 жыл бұрын
Amani kwanza likes za yohana kutoka kenyaaaaa twakupenda sana
@abduljumaa12385 жыл бұрын
yohana yohana unakipaj sana mdogo wngu kama umemkumbl yohana like hapa hapa💯💯👏👏
@ibrahimuimaniofficial2 жыл бұрын
Dogo Yuko vizuri sana #Ibrahimuimani#Tunapendwa
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Sanaaa❤❤❤
@Braybeib6 ай бұрын
Tuko wengi
@florencekhanaka25882 жыл бұрын
Aki nakupenda sana nyimbo zako zinanitia moyo sana nakunifurahisha kila wakati mungu akubariki sana kwakila wakati na saa
@Chepkorirfaith-s6g4 ай бұрын
Mungu akubariki Mtumishi Yohana,,,nyimbo zako zanifariji
@metrine11382 жыл бұрын
Yaani Yohana nyimbo zako zinavutia,,,,zinavutia moto,,be blessed 🙏🙏🙏🙏🙏
@stephenkilele50712 жыл бұрын
Tanzania is a very blessed country ,apa Kenya 🇰🇪 twawapenda tu ...yohana keep it up for your message
@rophineatieno52902 жыл бұрын
Yes bt this boy is a Kenya
@nkizurimwinyipande8322 Жыл бұрын
@@rophineatieno5290 really?Bt he lives in Tanzania
@faithmutethya-lg2ei Жыл бұрын
God bless you brother
@michaelsiweya65005 жыл бұрын
Safi sana mtoto... Unakipaji kikubwa sana ungali mdogo.. Mungu akukuze katika hicho kipaji ukawe juu zaidi
@ElvineNasike4 ай бұрын
Nakupenda sana antony natamani sana mtoto wangu akuwe na talanta kama yako..keep up....nakupenda❤❤❤❤
@lissasilas63593 жыл бұрын
This young angle is really talented and anaimba kutoka kwa moyo wake may God give you many more years to preach the gospel through songs you always bless me with your songs nakupenda sana, mungu akuongeze maika uokoe watu wake kupitia nyimbo, following From Kenya,
@johnsonmartin20724 жыл бұрын
Mungu amtunze aiseeeee kwaaaakeli. Shetani anamuwinda lakini Bwna Muatamie Kijana/Mtumishi Wako Mungu Akuponye Mtumishi Wake Yohana
@mbijesamson2675 жыл бұрын
songa mbele mtumishi wa MUNGU.Ulienae ndani ya moyo wako na unaemtumikia ni mkuu sana.Nabarikiwa na jinsi unavyohubiri kwa njia ya uimbaji.
@alicahliz75693 жыл бұрын
This kid is so amazing!!! May God grant him favour to continue doing wonders in Jesus name!!
@herielfilipo27082 жыл бұрын
Daaaaaah achen mung aitweee mung amempaa haki yak mtot yohan atangaz nen lakee💓🌷
@kelvinmulei3932 жыл бұрын
True 👍
@aminamohamed99555 жыл бұрын
Mashaallah nyimbo zuri Mungu baliki Tanzania yetu
@WhitnessEdson-uq8vg5 ай бұрын
Mungu azidi kukuinua kwa kipaji chako❤❤❤
@savinasila12612 жыл бұрын
We wish 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ufanye Moja huku kwetu hk nyimbo zinapendeza n zinabariki moyo wangu
@hrhrhrhrh6264 жыл бұрын
Am watching you from Nairobi Kenya,,amazing,,let's serve God together,,yohana Antony may God bless you little boy
@stellakutta65134 жыл бұрын
Huyo mtoto Mungu anamuaandaa kuwa kiongozi miaka ijayo ya ukubwani. Mungu abariki kipaji chake. Amlinde na amkuze ndani yaikono yake na kumwondolea mabaya yote. Amina.
@natalietenai85845 жыл бұрын
Kazi nzuri sana kijana nakusikiliza kutoka Kenya ,mungu akulinde naakupe maisha yenye amani tele. Ningeomba tu wanao msimamia Tafadhali mnapote Fanya hivyo kumchangia muweke mkopo ama kikapu atakoyo iwekewa hiyo pesa kwa maana wengi pia wangependa kuitoa lakini wanaofia kufika hapo anapo imba .
@MumsDaughter-g9f Жыл бұрын
Nitakwalika harusi yangu pastor you are so powerful ❤
@michaelvincentmhagama3373 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana. Mungu amjalie Yonana afike kule apendako kwa mapenzi yake Mungu.
@harmidizoharmidizo22954 жыл бұрын
Kiukweri huyu Dogo Mungu azidi kumuinua nyimbo zake zinanibariki sana
@rashidsirengo65923 жыл бұрын
Mimi mkenya lakini napendezwa na nyimbo za huyu mtoto mwimbaji,hakika utafika mbali ,nakuombea heri njema na afya nzuri ili uweze kutumiza ahadi yake bwana mnyezi mungu.
@AnnaJacob-c8o4 ай бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU YOHANA.
@lilyrose40665 жыл бұрын
Hivi mnao dislike hii video tuwaweke kundi gani?Be blessed Yohana may God be with you
@brigithashirima77605 жыл бұрын
Lily Rose naona wengi hawaelewi inamaana gani tuwasamehe bure
@lilyrose40665 жыл бұрын
@@brigithashirima7760 Kabisa mpendwa
@johnpaulkirenga58245 жыл бұрын
Lily Rose siunajua huku wengine ni stupid "
@lilyrose40665 жыл бұрын
@@johnpaulkirenga5824 Kabisa yani wanakera basi tu
@lilyrose40665 жыл бұрын
@Emmanuel Kawema We acha tu
@emmanuelmogela58715 жыл бұрын
Yohana umeacha nimelia uko vizuri Mungu akikuze kipaji chako
@husnakalungo80465 жыл бұрын
🙏
@joyceshed71802 жыл бұрын
Mungu akubariki , mie nkisikia nyimbo za amani naliatu
@dorcasndunge86123 жыл бұрын
How I love your songs little son,,, may God bless you abundantly ... much love
@janethkomba4485 Жыл бұрын
Daaa Yona Mungu akujariye maisha malefu yenye upendo naamani tele❤❤❤❤
@manyangagrace43425 жыл бұрын
Hongera sana mwana wetu wa Tanzani kutumia kipaji chako kutuhasa tutunze amani. Mwenyezi Mungu akukuze vema na akuze kipaji chako hicho . Safi sana.
@qwintomercy Жыл бұрын
Mngu akubariki sana napenda nyimbo zako ni nzuri inanitia moyo
@hopebuyayi68962 жыл бұрын
Tunakupenda sana Kenya brother yohana good work keep it up
@thegirl14055 жыл бұрын
Daaaa!! Mtoto nimekipenda buree walahi m mungu akubariki Amani iwe juu yetu watanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿 woooote Amiin🙏🙏
@johnbanzi8845 жыл бұрын
Sanaaaa mungu ibariki tanzania
@jacksonmarunda86284 жыл бұрын
Gonga like hapa Kama unamkubali huyu dogo
@glorymshana51474 жыл бұрын
@@jacksonmarunda8628 )
@chelseanafula60452 жыл бұрын
God bless u yohanah
@stephenkilele50712 жыл бұрын
Being a kenyan does does not hinder be from watching this boy has he performs...hongera
@stephenkilele50712 жыл бұрын
Welcome kenya after uchanguzi as your song says
@esthergichuhi79255 жыл бұрын
Congrats hakika mungu twahitaji amani kutoka kwako.
@meshackmwangiministries.17482 жыл бұрын
Hongera sana kijana japo Askari wamekaa ni Kama wanaomboleza. Ni Kama vile hawaelewi kinachoendelea.
@khushid81563 жыл бұрын
Mungu andeleee kukuongezea kipiji chako unuliwe zaidi ya hapo 🇰🇪🇰🇪🇰🇪✔️✔️✔️✔️✔️💕💕💕
@shideashidea55705 жыл бұрын
Yohana Nakupenda Mungu akufikishe viwango vingine Amani Amani Tanzania yangu najivunia .
@mchagarajabu87275 жыл бұрын
Yuko powa
@gerladngokho60235 жыл бұрын
Shidea Shidea ,
@januaryty16584 жыл бұрын
Mung akukuze na kipaji icho
@JoyceEdwin-wf1rg Жыл бұрын
Yohana MUNGU akubariki Sana nabarikiwa Sana na nymbo zako Kuna upako
@agneschepngeno71772 жыл бұрын
Your song and dancing make me happy my brother....may God blssd u abundantly, grant you your heart desires and expand your territories .
@Daudimoll86092 жыл бұрын
Nchi yangu Tanzania nakupenda sana daima hatutaacha kuiyombea taifa letu
@ruisitoe66413 жыл бұрын
I geek happy when i see This great God's Boy. Really i geek peace in my soul. I from Mozambique
@hassanmkilindi50335 жыл бұрын
Good job kwa kijana wetu, hakika yuko vizuri, amani ni kila kitu kwetu Watanzania na Africa kwa ujumla
@bensonokello51714 жыл бұрын
hassan mkilindi nice
@irenebarukwatamu89825 жыл бұрын
Mungu akiwa upande wako ni nan atakuwa juu yako? Barikiwa sana mtoto
@isaacyeboah37242 жыл бұрын
Tanzania is blessed with more talented musicians
@kabwechongo51745 жыл бұрын
Watching from Lusaka Zambia... More Grace son of Africa.
@MAFUNDISHO15 жыл бұрын
Good
@malilasiwonike19185 жыл бұрын
Mungu bariki Tanzania bariki pia mtoto yohana🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@alphonceetiehn84865 жыл бұрын
saf sana
@aggreyyilima19173 жыл бұрын
Nakupenda sana mdogaangu kazi nzuri Mungu azidi kubariki huduma yako
@MichaelLubava3 ай бұрын
Nakupenda sana yohana mung akubalik na kaz yako nzur
@latefalatefa55944 жыл бұрын
Mungu mlinde huyu mtoto anandoto isoyo yakawaida
@lennahmueni14663 жыл бұрын
Wooow you are a blessing to many,,,,, am from kenya
@yvetteyvette2025 жыл бұрын
Nalia kwa ucungu pia na maneno haya najiuliza kwanini burundi kila siku kugombana kisha watu kufa kila siku wamoja kupotea jameni tupendani na pia tulumbuke kuwa sisi wote niumoja tuna baba tu umoja mwenyezimungu watanzania nawapenda sana mungu aendelee kuwamwagia upendo mwingi
@shideashidea55705 жыл бұрын
Mungu awakumbuke Taifa la Burundi
@abdulramadhan9815 жыл бұрын
Karibu Sana Tanzania
@GabrielMwakasege-sx9wv3 ай бұрын
Nasikiliza uu wimbo mwili unasisimka yan mungu mtie nguvu huyu mtoto
@aminamwasimba92743 жыл бұрын
Mtoto Yuko vizur Mungu amlinde na kumtunza zaid
@yusteralinani18995 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutunza mwanagu akupe miaka kamayote uendelee kumtukuza.
@lucasnyahi32815 жыл бұрын
Hongera Yohana A,Ubarikiwe.
@sabinaviolet8055 жыл бұрын
Mwenyenzi Mungu akutangulie mtt mzuri
@haithamfaiz77772 жыл бұрын
Yohani nyimbo zako nzur San mungu akubariki🥰🥰
@godfreydignalis1635 жыл бұрын
May God bless you John, strengthen and pave the way for your talented gift.
@martinemaganga25465 жыл бұрын
Daaaaa, hii nyimbo ipo juu saana, waheshimiwa, hasa waziri wa Habari, mpe sapoti Dogo
@bettymnyanyi48065 жыл бұрын
mung aendelee kumpigania
@christinesimiyu2702 жыл бұрын
Wow wow just wow ur so special and talented God bless you antony