Amen brother. Kama kweli kama watu wangeamka na kaka angu pamoja na baba angu wangeamka😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@yonachiloloofficial5 ай бұрын
Mungu awalaze pema peponi
@NeemaGodfrey-cl8vp4 ай бұрын
My brother mungu amekupa kibali hakika maana sio Kwa nyimbo hizi ni Kali sana wengine tunaposikiliza tu wengine tunaona yesu anarudi Leo Kwa sababu ya ujumbe unaotupatia mungu azidi kukuinua kiwango na viwango na uzidi kung'ara katika kumtumikia yeye
@EnokAndrea3 ай бұрын
Pamoja sana uko vizuli
@evelinemgego5 ай бұрын
Ameen! 🙏🙏
@annertz99695 ай бұрын
Ameen kaka hujawah kifeli me huwa nabarikiwa sana na nyimbo zako Mwenyezi Mungu azidi kukubariki🙏🙏
@yonachiloloofficial5 ай бұрын
Asante sana
@yonachiloloofficial5 ай бұрын
Wimbo huu Ukufariji lakini ukupe kutafakari safari yako ya mwisho itakuaje... Yaani siku ya kufa kwako... Sisi ni wapitaji tu
@MerianiJackson5 ай бұрын
Amina Amina mtumishi ubarikiwe, kabisa sisi ni wapitaji
@RACHAEL-dp1cr5 ай бұрын
Amen 🙏 mtumishi mungu azidi kukubariki❤🎉❤
@annertz99695 ай бұрын
Ameen 🤲 Mwenyezi Mungu akuinue zaidi
@alphapiano-tj7hd4 ай бұрын
Amina kaka ila Kuna kitu naona hakiko sawa natoa maoni Naomba nyimbo zako usibadilishe studio 🎙️ kwani JCM RECORD ⏺️ ANAKUTENGENEZEYA VYEMA NYIMBO🤲🤲🤲
@Ien-im8vc4 ай бұрын
Hata udelete comment am here to stay, hadi siku utalipa deni bila hiyo ni peace for the wicked people....dawa ya deni nikulipa blocking haitakusaidia ulisema nieke hadharani nilingoja date six iishe ndio nikutambue wewe ni gaidi kweli nimeona wewe ni zaidi ya gaidi ila pia mimi ni zaidi yako twende nalo niko tayari kupoteza kupoteza pesa ingine ile nikufunze adabu sina haraka kababa kosa kulipa ndio ujue sisi sote ni wahuni tuu ni mtu huchagua kuwa na utu au unyama hutaaibisha mwili wa kristo tukose kusema never
@gershomchallo4 ай бұрын
Good👍
@rehemashariff31195 ай бұрын
Kweli Mungu atukumbushe fadhili zake tutende yanayo faa machoni pake Mungu barikiwa sana mtumshii