2024, kwa yeyote anasoma hii comment, uwe mwaka wa baraka, chochote umeomba kwa siri Mungu akujibu kwa wazi, miaka yote ililiwa na nzike Mungu akurudishie mara saba sabini barikiwa sana Mteule wa Mungu we confess as we possess sending love from Kenya 🇰🇪 ❤️
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen Ameen
@RogerKabuyaya-gu1em Жыл бұрын
Amen
@mariamagenda149 Жыл бұрын
Amen❤😊
@rosengecu402 Жыл бұрын
Amen
@florahkimbage9571 Жыл бұрын
Amen🙏🙏
@timothygitonga654011 күн бұрын
viwango vingine tunakwenda sisi wenye Imani 2025!
@elijahgichumbi9971 Жыл бұрын
Kazi naipata, naoa na kuwa na familia na mafinikio katika jina La Yesu Kristo
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@AmosNabiiAmos Жыл бұрын
Wachawi wimbo unawachoma barikiwa Sana
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
😂😂😂
@ronaldamakove27956 күн бұрын
😂😂😂 ukweli
@artabu22 Жыл бұрын
Iko sawa🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@dorothymiseinjete9839 Жыл бұрын
Am From TikTok..eesh moto kama pasi. Nice songs ❤
@yonachiloloofficial11 ай бұрын
Thanks so much
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Kila kitu kinatoka kwenye ulimi wako... Jitabirie Kwenda viwango vya juu kupitia wimbo huu🙏🙏🙏 ubarikiwe... Naomba share Kwa wengine na ulike
@aviosilona Жыл бұрын
Amen ulimi una nguvu sana 🙏🏼 kazi nzuri barikiwa sana neema izidi kuwa nawe
@fancymalakwen5045 Жыл бұрын
Amen 🙏
@Max-kl8hv Жыл бұрын
Ameeeeen God bless you bro hakika nyimbo zako zinanibariki Tu sana🎉🎉🎉
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Mbarikiwe nyote
@millicentakinyi5504 Жыл бұрын
Amen amen amen😅mngu anakutumih sana ili niujube🎉🎉🎉nikweli
Congratulations Sana mtu wangu.... Ujumbe ni mzuri na video iko poa. Kila mtu anabarikiwa Sana, I promise next video ukifanya nitatoa garama zote mimi.. Ntakutafuta mtumishi barikiwa Sana.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen Asante Sana
@NancySimuli Жыл бұрын
Amen the year of restoration nabarikiwa na nyimbo zako Yona mwaka huu naenda kiwango kingine I believe in might name of Jesus Christ 🙏🏿🙏🏿🔥🔥🔥🔥
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@SheillaJaffery Жыл бұрын
Nupenda huu wimbo unaninuua viwango vingine❤
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@JoyfulGod Жыл бұрын
From Tik tok to KZbin God bless you.
@janefferkasimu934 Жыл бұрын
Same here
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@IzackMakirita11 ай бұрын
Ameni mungu wangu anibarik na mimi
@yonachiloloofficial11 ай бұрын
Ameen
@rosekililo8280 Жыл бұрын
These is my year,in Jesus name
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@emmymatumbo40688 ай бұрын
barikiwa na wimbo mzuri mwaka wakufunguliwa Amen
@magrethshakinenge5024 Жыл бұрын
Ujumbe umeshiba ❤🎉 barikiwa Sana kaka
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@allanhono Жыл бұрын
I claim these prophetic declarations in THE MIGHTY NAME OF HIS LORDSHIP JESUS CHRIST.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@chepkolewilfred3330 Жыл бұрын
Amen
@nyaksphelly357311 күн бұрын
2025 yote haya yatakuwa katika Jina la Yesu
@mathiaskases7836 Жыл бұрын
Mwaka huu ni mwaka wa kuinuliwa mwaka wa kufanikiwa wenye imani tunakwenda kwenye viwango 2024. Ubarikiwe mtumishi wa mungu
@yonachiloloofficial11 ай бұрын
Ameen
@mathiaskases78369 ай бұрын
Barikiwe Yonachilolo nyimbo zako zinanibariki sana
@mathiaskases78369 ай бұрын
Barikiwe Yonachilolo nyimbo zako zinanibariki sana
@paul-cb1yt Жыл бұрын
The best news year song so far tunapanda maze barikiwa sana chilolo ndugu yangu
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@janefferkasimu934 Жыл бұрын
Such a nyce song ...nashikilia hii this year..2024
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@adbellar338 Жыл бұрын
Mwaka huu namaliza masomo,naendelea na masomo ya faida na nitaomba ni napata kazi ya kudumu itakayo nisaidia mtoto wangu kuanza kusoma na kunijengeya nyumba yangu ya future. Mungu anisimamie mimi mwanzo wa mwaka huu. Amen. Mungu atatenda.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen Ameen
@RogerKabuyaya-gu1em Жыл бұрын
2024 ni mwaka wangu wakwenda viwango vya juu
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@PurityMbuli-e5o18 күн бұрын
Mwaka wa 2025 ni mwaka wa urejesho,wenye imani tunakweda viwago, Amen ❤🙏
@jackyw1910 Жыл бұрын
Amina .Kweli mwaka Huu Ni mwaka was kufanikiwa😊
@aidamwenda2781 Жыл бұрын
Amen maneno Yao tumeyasikia ila tumeyafunika kwenye sufuria na mwaka huu tunakwenda viwango kwa wenye Imani 🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@MalcomUsao Жыл бұрын
Amen mtumishi a year of blessings
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@NeemaFabiola Жыл бұрын
Ameni.ubarikiwe
@felixomariba778 Жыл бұрын
Wenye imani tunaenda viwango.we tap. Lovely song
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@rudiahosoro8010 Жыл бұрын
Mwaka huu ntajenga in Jesus mighty name Amen 🙏🏿
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@agnesooga Жыл бұрын
Bro napenda nyimbo zako nawatch nikiwa Qatar
@Christinme-c3z Жыл бұрын
Kabisaaaa ❤❤❤❤
@JohnsonMpinga-gy5wt Жыл бұрын
Huu wimbo yaani inabariki sana
@DorothyKerubo-lz4cd Жыл бұрын
God bless u from TikTok finally nimepta huuu mwak ni wangu🙏🙏🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@NostrahАй бұрын
This song reminds me mkalama Nkalakala hukooo singida dah pale kilabuni jamaaa wanakunywa pombe flan ya mtama mtukulu dah nimemiss lile life
@SarahEmanuel-wi4sc7 ай бұрын
Mungu akubariki sana kaka❤🙏💌😂🌟💪
@michaelkakiuki1850 Жыл бұрын
Just saw a clip on tiktok and its the best song for me, will be coming back here kila siku,this will get to million views before the year ends 💯, amazing song, Blessings
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@estherkabutu5828 Жыл бұрын
Ameeeen🎉🎉🎉
@Grace-po1tf Жыл бұрын
Mwaka huu nafanikiwa kwa viwango vya juu
@brianluttah9514 Жыл бұрын
Amen amen amen.God bless u
@chilubalusega Жыл бұрын
Baba nakubali Sana baririkiwa
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@henrychege2401 Жыл бұрын
Huu ni mwaka wangu wa kueda kiwango ingine ya juu I I believe that
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@sherylmilowa1907 Жыл бұрын
Sijui kutakuaje 2024 lakini tumaini yangu iko pale pale kwa aliyeniumba Mwenyezi Mungu hakuna linalo mshinda 2023 haikuwa rahisi kwa mkono wake amenibeba namshukuru.ubarikwe sana mtumishi kwa kweli tunakwenda viwango, kupitia huu wimbo nimegain ki roho na hata kimwili
@pstgeraldkinoti577 Жыл бұрын
Pamoja sana
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@WastaraadamjetaAdamjeta Жыл бұрын
Nyimbo nzuri cn, mungu azdi kukuinua
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Amen
@AyubuFumbi Жыл бұрын
PAMOJA CHILOLO
@chadracknimbabazi5246 Жыл бұрын
Mtumishi nanjengwa na ujumbe wako kupitia nyimbo zako mwenyezi Mungu azidi kuibariki kazi yako
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen... Ubarikiwe nisaidie ku share hii link na wengine wabarikiwe Asante
@francyndunge6440 Жыл бұрын
Wimbo mzuri ..viwango vingine tunakwenda sisi wenye Imani.Amen
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@emmahawuor6026 Жыл бұрын
Amina. Nangojea bwana kutumiza yale yote umekiri kwenye wimbo huu
@cyprienmanirakiza4735 Жыл бұрын
Wimbo wema sana.tunasikia ndani yao matamko ya imani kabisa.chochote tulichokosa mwaka uliopita lazima tutakipata mwaka huu.yaani ni mwaka wa ushindi na manufaa.Mungu apewe sifa.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏
@whitemanwilliam9879 Жыл бұрын
Bro we love your songs from Nairobi.. congratulations 👏
@empressdamahshow Жыл бұрын
Kabisa❤
@calvincherop Жыл бұрын
Amen 🙏
@dkaanki Жыл бұрын
Wow, I really Love this song, ni wimbo wa baraka na matumaini 2024..🙏🙏🙏.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@faidasikabwe1530 Жыл бұрын
Amen nimebarikiwa Sana Mungu mkuu akuzidishiye Amen
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@marymuindi785 Жыл бұрын
2024 the year of restoration so God help me
@nancyondieki4361 Жыл бұрын
Barikiwa sana my brother nice song 🙏🙏🙏🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
AMEEN
@MerryJose-l6t Жыл бұрын
Mwaka uhu mungu atanipa nyumba yangu
@loviewalter Жыл бұрын
Jamani am so blessed with this song Yani nausikiliza Bila kuchoka yani Be blessed YONAH🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@quinterchekema3389 Жыл бұрын
This is my year I believe
@LavyJim Жыл бұрын
Hii nyimbo imeniguza kweli kweli,mungu hazidi kukubariki chilolo
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@agnesmwikali5075 Жыл бұрын
Amina mtumish wa mungu huu dio mwaka wetu wa kubarikiwa kwa yeyote akona imani atapokea baraka,mwaka wa ndoto zangu
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@patricianyamoita7745 Жыл бұрын
Be blessed alot Mungu ni saidie ❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@chantalmwanza5436 Жыл бұрын
Mungu ni mwema sanaa 🎉🎉
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@cynthiajune685 Жыл бұрын
THIS SONG IS TALKING OF ME
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@cherutoshantel7407 Жыл бұрын
The way I love this song only God knows ❤barikiwa sana chilolo ❤❤🙏🙏🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@TabithaNduta-f3z Жыл бұрын
Amina tunaenda viwango
@salehekabelege9730 Жыл бұрын
Chilolo unastahili Maua yako🎉🎉🎉🎉🎉 nabarikiwa Sana nyimbo zako mungu akubariki sana
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Amen
@dorinewesisi99116 күн бұрын
Amen, 2025,i flourish until people will ask what happened but the answer will be God's at work
@veroamuri7711 Жыл бұрын
Mwaka huu ni mwaka wa mabadiriko kwenye maisha yango . Niko Rdc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 na penda nimbo zako ubarikiwe sana kaka
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@njeribeth8343 Жыл бұрын
Amen naenda viwango
@MailesYanga-dg7we Жыл бұрын
2024 uwe mwaka wa mibaraka kwa watu wote ,Kila mtu apewe haha ya moyo wake
@stephanomvile5328 Жыл бұрын
Tunashukuru imani
@languidebatoto990927 күн бұрын
Amen nikweli
@languidebatoto990927 күн бұрын
Nimeyipenda
@LilianKhatenje-g1g21 күн бұрын
mwaka wa 2025 ni mwaka wangu❤❤
@ronaldamakove27956 күн бұрын
Pia mimi
@christinajoab-z2s8 ай бұрын
Barikiwa sana kaka ujumbe mzuri mungu aukuinue viwango zaidi
@mrnickmusician7139 Жыл бұрын
Hongera sana keep up brother yona ❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Asante Sana...
@RopianMolle-yy6jo Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️ubarikiwe
@annetk5133 Жыл бұрын
Amen 2024 it's my year,,,new levels,,and new prosperity,,,Amen
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@kachutatv Жыл бұрын
Kazi poa dungu yangu Mungu qkuinue n msanii wako Ramli mukhwana official
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Asante Sana
@HellenNyaboke-bz1bh Жыл бұрын
Amen,napenda nyimbo zako from Kenya
@LuttyKassim Жыл бұрын
Mungu akubarik sa na
@PURITYPAUL-ls9io Жыл бұрын
Nitapokea kazi katika jina la yesu
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
Mim Muslim Lakin napenda Sana nyimbo zako Sana ❤❤❤❤
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Asante Sana... Mungu ni mmoja
@zamdamwaipopo8064 Жыл бұрын
Amina mtumish wa mungu nitafaniki❤❤❤❤❤❤❤
@FadhilaNdovyaАй бұрын
🎉🎉🎉 zaidi ya viwango kabisa🎉
@shadrackosabil6354 Жыл бұрын
Kali hii keep it up bro chilolo,mm n shabiki wako mkubwa toka Kenya 🇰🇪 pia muimbaji wa injili
@LucyJailo Жыл бұрын
Amina 🙏🙏🙏🙏 Mwaka 2024 nimwaka wakufanikiwa kimaisha yangu kiujumla Mungu naomba nisimamie🙏 Amina 🙏🙏🙏🙏
@masiachungwa Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumish Mungu NIMEBARIKIWA sana Bwana aendeleee kukuinua mpaka atakaporudi
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@Ghakgga Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kaka yangu ❤
@Baraka-k9s Жыл бұрын
Nikweli kazi nzuri sanaa
@fancychebet8147 Жыл бұрын
Amen and amen this is my yr
@carolynndanu9477 Жыл бұрын
mwaka wa kubadili historia na kuondoa aibu
@LucyJailo Жыл бұрын
💕🙏💕 Amina 🙏🙏🙏🙏 sn 🙏
@gracemacha9357Ай бұрын
Ungekuwa umeenda studio nzuri huu wimbo ni mzuri mnoo
@nellychepkemoi2 Жыл бұрын
What a song 🎵 mwakaa huu 2024 ni mwaka ya double double blessing kwangu
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@paulinechepleting3517 Жыл бұрын
Wimbo wa baraka saana ndugu, huu mwaka unakuja hatutabaki jinsi tulivyo
@faithwangari7583 Жыл бұрын
Wenye imani tunakwenda viwango.... Nabarikiwa nikiwa Kenya❤
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@breezonlinetv Жыл бұрын
Wanaotokea kwenye tiktok ya Mc mziwanda tujuane kwa kuweka like hapa
@GeoffreyNgambi Жыл бұрын
Aim blessed
@JoyceIwagat Жыл бұрын
Amen I have faith huu mwaka wa kubarikiw
@violetnasimiyu8718 Жыл бұрын
Amina jitabirie mema maana kinywa kina nguvu.
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@lucymumo503 Жыл бұрын
AMEN 🙏,,huu mwaka nitabarikiwa na kuinuliwa ..nimebeba afya ntaitumia mwaka huu,,kazi ntapata mwaka huu katika jina la yesu🙏🙏
@yonachiloloofficial Жыл бұрын
Ameen
@mathewleonard8973 Жыл бұрын
Nami nasema mwaka huu Ni mwaka wa kufanikiwa katika biashara yangu ya forex ,Nina imani hiyo .Ubarikiwe mtumishi wa Mungu