Young Dee we ndoo rapa wa kwanza me kujua mistari ako dingoo maybe is just because all we are called David it's hard to know am your number one fan see you international
@danielprim11175 жыл бұрын
ngoma kali ila kazngua k2 kimoja video hkn uhalisia hatuon gari drctr kafeli km umebain hchi gonga like
@kipozidon1695 жыл бұрын
Kaliiiiiiiiiiiiiiiiiii
@alexderefa82078 ай бұрын
Gari anamaanisha mwanamke wake sasa nyie karagabao
@yunaisamidd75878 ай бұрын
@@alexderefa8207khe makubwa nilikua sijui 😂😂😂😂😂😂😂
@credomwenda85183 ай бұрын
Katumia fasihi
@GoodluckErneus-g9c3 ай бұрын
acha ushamba apo ajamaanisha gari inayoijua ww kam auna D mbili uwez kuelew
@derickstabu6843 Жыл бұрын
I always listen to this song whenever I log into my KZbin account.🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hamisichikota27235 жыл бұрын
Daaah kumbe hii chorus kaifanya abbah duuh anajua kisengee
@atukuzwesanga49826 ай бұрын
hi ngoma kili sana kila siku lazima niangalie leo nami naombeni lake zenu
@gearemmanuel32825 жыл бұрын
Young dee huu wimbo ni dunia #dreamcity
@redleafmedia66805 жыл бұрын
Mwanangu umetisha gari langu wangapi wameeleww huu wimb kama umeeleww gonga like hapa twende sawa
@bsroutbarout68565 жыл бұрын
Hapo gari si uyoo apo demu ila young deee uko vizr mm nakukubal sana paka rapaaaaaaa hoeeeee gari yangu
@lubavaclassic70485 жыл бұрын
Na tuliokuwa tunasubilia kuona Mandinga kutoka U.S.A TOUR ...tujuwaneee hapaaaa....!!!!
@rmprostudio5 жыл бұрын
Wamezingua idea ya nyimbo na video tofauti
@flinchclassic17265 жыл бұрын
Maana fiche hio utunzi umeenda shule gari ni demu
@lubavaclassic70485 жыл бұрын
@@rmprostudio awajazingua mzeee....gari inayozungumziwa hapo ni Manzi ni mjombaaa
@rmprostudio5 жыл бұрын
Nakubali mwanangu.
@iq_dazen1225 жыл бұрын
Lubava Classic yani ww acha tu boy 🤣🤣🤣
@zanzibartourguide42915 жыл бұрын
wimbo mzuri sana, haustahiki kuwa hapa ulipo, unahitaji kufika mbali zaidi🙌🙌
@carlosn_tz5 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/aWq8nHWCa6yBntE
@husseinhussein78015 жыл бұрын
bonge moja ya ngoma..i see the original young dar es salaam,,
Namkubali sana young dee paka rapa Mzee wa swagger
@DICKSON-vz6lj5 жыл бұрын
Asikwambie MTU gari yangu naipenda paka bas baba we mkali sana bigapu kwako ewaaaaaaaaa
@Biloicon5 жыл бұрын
Abbah ni multi-talented kaka lit sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 halafu wanangu humo ndani hiyo GARI ni demu mkali siyo ndinga
@lifestarkoech7595 жыл бұрын
Yaani wazee wamehama kwa T-touch!!!touch come for me sitaenda mahali, piga like touch aguzwe
@vivansaleh61234 жыл бұрын
Pongezi kwa kazi mzuri young brother👆👆👆👆👆
@charlzzesonconsciousness66855 жыл бұрын
Nomaaa mwanangu dee
@leahngweta68535 жыл бұрын
Aaaaaaah!! gar yangu naipenda hii nyimbo kuskiza kila mara🚙🚙
@sekundemaster4605 жыл бұрын
oyaaaa Mzee babaaa bonge la ndingaaa umetishaaa Mzee baba young d
@lenjeevara34075 жыл бұрын
Pwaaaaaaaaaaa I REALLY DON'T UNDERSTAND THE LANGUAGE BUT HUYU MSENGE ANAWEZA AIXEEEE
@zamdabakari63725 жыл бұрын
Mbona umetongoa vizuri
@edwinmwamahonje8724 жыл бұрын
Hamady Lemunje Hahahahahahaha
@losiellioo1738 Жыл бұрын
Nakubali saaana 🇨🇩💥💥
@bestijk13685 жыл бұрын
Dyuu noma sana man
@boeihongoa14363 жыл бұрын
Unafaa mwana kuimba reggae riddims....💥💥💥💥💣💣💣💣burning dem babylon. Braap braaap! Kabooom!!
@dominickalume28915 жыл бұрын
Abbah umeni surprise sana Broo....keep it up imeweza Sana'a sema unafki wa bongoflavah tuu but chupa Kali Sana'a paka Ameweza....#Gariyangu#pakadee#abbahmnyamamkali
@Makavelithedon2086 Жыл бұрын
*Ukiwa huna gari huwezi kujua uzuri wa huu wimbo,nilikuwa nasubiri niwe na gari na sasa hivi ni kidogo tu na play huu wimbo kwenye gari na chomoka shoutout kwa Young Dee na Producer na wote walio husika ku kamilisha huu wimbo*
@shayadyabora51625 жыл бұрын
🤓 piga picha wew 👊
@manfredmarcelino91165 жыл бұрын
Wengi tulitegemea kuona gari moja kali sana ila nafikir hapa lugha ya picha ndo young dar ametumia nafikiri amemaanisha mtoto mmoja mkali sana na ndo maana tunaona wadada badala ya Magari
@almacyokha41995 жыл бұрын
MANFRED MARCELINO Kwan umeona 'THE END' Ujue nyimba haijaisha Subili part 2 utaona gari
@jackemanuel46975 жыл бұрын
hata mimi sikuelewa young dee we mkali mungu akupe maisha marefu ya kuishi hapa duniani
@deogratiusernest62935 жыл бұрын
nilkua naisubiria hii kwa hamu sana leo hatimaye.....kaz nzuri japo niltaman mwenye hii ngoma carlos na yy angekuwepo japo ni Rmx bas sio.keso
@matikupeter5 жыл бұрын
Same to me
@lenaherick30204 жыл бұрын
Young dee umetisha kinoma siichoki hii nyimbo yaan
@realscholarships-bolde.23444 ай бұрын
"We don't search for old songs" "We search for gold memories"🎶🎶 20... Everlasting masterpiece🎉😊
@mulastar5 жыл бұрын
SASA hiyo gari ni Manzi au ni Real car? kama ni real car mbona hatujaiona humu ndichi.Halafu hii ngoma ni kali sana sema ww ulishaidharau toka mwanzo right now ndyo unaichukulia serious.Super dope shit
@juliusfungo27545 жыл бұрын
Noumaaaaa Sana japo kidogo video mmeyumba lakin nakukubali Sana eyooo D
@wanyamawanyama58094 жыл бұрын
kali hiyo young dee
@enobaboy11615 жыл бұрын
muuuuh wa2 mnakesha humu ndani. sawa mbona sioni hiyo gari
@franknurudin84565 жыл бұрын
daah young dee noma sana
@kiluwasalum50025 жыл бұрын
Wewe ndio young de sasa umeludi kaka safi dogo
@alexmkami5724 жыл бұрын
Dogo uko vizuri sana man
@mariabasily1154 жыл бұрын
Hii nyimb naipend jmn🥰🥰
@lidyakiyabo35443 жыл бұрын
Nikinunua gar jaman lazima nijirekod na huu wimbo🥰🥰🥰🥰🥰 ngoma kali sana hii
@Samandito5 жыл бұрын
🤪 ... mzeeeeh babaaah umeNiKoShA xNaaaa sipAti piCha kama KuNgeKuwa na Saut ya ChiDiiii bEnziiiiiiiiiiiii 🔥🔥🔥kwa HiLo biTiiiii DaaaaH @ GoNga LiKeee kAma zoTeee
@lucyhamisi13855 жыл бұрын
peter johnstone
@issamaulidi44874 жыл бұрын
Iyi song nimekuwa naskiiya najiuliz when tapata yang ila iv namilik yang BMW car 🚘 thanks 🙏 god mungu njo chief
@kanglade10495 жыл бұрын
Umezingua Dee ngoma kama hii magari makali nini ndio yalitakiwa yatambe saana sasa ww duuuh
@devotedkayanda8925 жыл бұрын
Uyu jamaa kasimama vizuri kwenye chorus
@vivansaleh61234 жыл бұрын
Pongezi kwa kazi mzuri you brother👆👆👆👆👆👆
@moseya04795 жыл бұрын
daaaaaaamn G ....bonge la hit ...much love for this hit song .........much love from 254 Ke
@charlesndoti78475 жыл бұрын
Bonge la nyimbo apa nimelizika ulivo itolea official video ni hot
@daudiyusuphu95075 жыл бұрын
Uswazi sipiti sitaki roho juu Wasije kwangua rangi Hawajui bei juuuuu NOMAAAAA DAH
Huu wimbo ni mkali kinomanoma kila siku naskiza hataa mara mbili asee big up sana
@amirisalum62715 жыл бұрын
Abbah.. That was next level men...
@samirasalumu83785 жыл бұрын
Amri Salum Samira Salum My family
@djbenkingston5 жыл бұрын
Young Dee i ngoma si ungesubiri uitoe next year nkishanunua gari jaman😎🤔
@wizshine19045 жыл бұрын
Hiii ni kwa wote ambao tunamiliki mandinga ambayo si ya baba zetu wala ya familia ni kwa jasho letu aijalishi gari.. ata kma nissan march..stallet... ama vitz gonga like hapa tujuane
@victorsir-nga77085 жыл бұрын
Salum Said hata ile aliyosema makonda Mkuu😂😂
@kweka14l355 жыл бұрын
Gari yangu means Demu Mkali sio gari za barabarani 😂😂😂😂
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Wengi hawaelewi ,japo Kuna baiskel,na pkpk, (Dem)
@shabanimohamed78410 ай бұрын
8❤❤❤❤❤
@shabanimohamed78410 ай бұрын
Qqqq@@victorsir-nga7708
@ericnassary13984 жыл бұрын
noma san young Dee ft abhar kazen buty
@iddkinyamagoha95943 жыл бұрын
Hi ngomaa imesimama sana.. haustahilii hizo like aisee
@adamhussein84695 жыл бұрын
Uwaga naangaliaga video humu afu naendelea na yangu Leo ndio Mara ya kwanza Kuwe comment ..hii ngoma kali
@allykiuluti13674 жыл бұрын
Noma sanaaaaa mzeee baba
@paulofficial37035 жыл бұрын
Dah hii nimeikubali kinomanoma kwanza kali video kali Salut
@organizertheworldwide88665 жыл бұрын
Ubunifu wa Hali juu africa nzima sijaona nakubali
@monnymadame37195 жыл бұрын
Hatariiiiiiii
@profile42725 жыл бұрын
Mamammamaaaaaaaaaa🙆♂️🙆♂️ Hii ngoma ya kichawi sio bure..
@ibrahimhemedomar93715 жыл бұрын
Bei rim tu nannua Vitz .... young D nimkali sana ,, itisha colIabo na diamond utakua msanii wa international
@morama7jr5595 жыл бұрын
#Abbah you kill it bro. Big up #Youngdee you make it better
@nationboy25415 жыл бұрын
Kaz.kaz Mr young dee
@luccabosslugendo97225 жыл бұрын
Kazi nzuri saaana niliisubir video kwa hamu na nimependa director alivoisogeza vyema.... #Ngadu
@chusaboy50685 жыл бұрын
amezingua gari hamna picha kamili yaiyo nyimbo hamna video kama chibonge
@wenslauseranga24194 ай бұрын
Wimbo bora kwanguu! 2024! Naipenda gari yangu, japo sina 😅😅
@harunamwaluko78804 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@mwigakatumpula21755 жыл бұрын
Kumbe gari ni demu duh! Haya mambo ya fasihi ni noma
@EdrissaaАй бұрын
Watu tuna viby nayo 🥰🥰 2024
@MOtownTV.5 жыл бұрын
MI YOUNG DEE NI MSANII NINAE MKUBALI TOKA ON THE SCRACHHHHHHHHH NAKUOMBEA SANA BROOH PIGA KAZI SASA.
@salummanase61995 жыл бұрын
we mjamaa abbah unajua aisee... young dar es salama umeuwa verse kinoma
@danielcharles74765 жыл бұрын
Young deee konk sana🔥🔥🔥
@bakariissa31604 жыл бұрын
Inyo nyimbo naielewa kinyama yaan
@frankfytube46695 жыл бұрын
Magari cjayaona ndaniya song Cijari ngoma kalllllllllllliiiiiiiiiiiii
@davidwalalason76305 жыл бұрын
Umeua paka........twende nalo hadi 1m within a week.
@farajisalum7605 жыл бұрын
Bravo the dj Ata Mimi gari yangu Kali taa tu unanunua Moro yote
@Officialsantan85 жыл бұрын
Video Kali sema hamjaonyesha uhalisia Wa kinachoimbwa
@yunusiselemani64635 жыл бұрын
umesomaa hiii au somaaaaaa
@johnmigila5 жыл бұрын
young we ni mkali hii ngoma inanifanya nirejeshe upendo na mapenzi ya nyimbo zako.
@annacletaambrose3639 Жыл бұрын
Duhhh noma sana naikubali❤
@pyuritjuvenal76574 жыл бұрын
Ukionaa demu Kali na hujawahi kumwona ujue huyo ndo demu wako🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@browntisha37725 жыл бұрын
hatariiiiii 🔥 🔥💯 ngoma kali like hapa
@shambainitiativesandagrito68845 жыл бұрын
aiseeee....ni hatari sana sana
@karoligeradi835 жыл бұрын
Naona wanawake 2 Gari siioni Director Chizi kweli
@evaevance59325 жыл бұрын
video mbayaaaaaaaa hao magari yenu macho yao mekundu kama wanywa gongo
@Leoefootballpes5 жыл бұрын
Young unajua toka kitambo nakukubali saan broe
@manolemania45535 жыл бұрын
Mnyamwezi pekee tz noma xana dee
@hassankimbunga22995 жыл бұрын
Big up sana young d mambo ni moto sana yani
@Leoefootballpes5 жыл бұрын
Daah asee abah process ameua sa na chorus hyo
@juvenalymnyama7355 жыл бұрын
Young dee Ni mkali sana uyu dogo Umetisha sana man Abba nae Sio kinyonge
@makuwangojnl6095 жыл бұрын
YoungDaresalama Umetisha sana mzee baba
@narxtz5 жыл бұрын
Young dar apaumetisha ....km verse ungeongeza
@goodlucktemu31495 жыл бұрын
Auna ndinga afu unavimba, gari yangu aa gari yangu, wajukuu wa mzee young_d gonga like tujuane