Young Lunya - Freestyle Session 6

  Рет қаралды 311,315

Young Lunya

Young Lunya

Ай бұрын

#YoungLunya #Mbuzi #FreestyleSessions6 #newmusicalert
Freestyle Sessions 6!!!
Young Lunya is the Future of Tanzanian Hip Hop and a trail blazer for the Tanzanian Hip Hop community as a whole. The Freestyle Sessions are homage to Tanzanian rap culture and an invitation to experience Swahili "lyricism" at its finest.
Freestyle Sessions 5:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 4:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 3:
• Young Lunya - Freestyl...
Freestyle Sessions 2:
• Young Lunya Freestyle ...
Freestyle Session 1:
• Young Lunya Freestyle ...
For Bookings: younglunya@wearerockstarafrica.com or Lunya14@gmail.com
For More Young Lunya Please Follow socials:
/ younglunya
/ younglunya
Copyright Rockstar Africa, LLC 2024 ©
For Young Lunya on Streaming Platforms:
Apple Music: / young-lunya
Spotify: open.spotify.com/artist/0xfpc...
Dezeer: www.deezer.com/en/artist/1361...

Пікірлер: 1 800
@JamesDakki
@JamesDakki 29 күн бұрын
Tuliokuja kumckilza huyu baada ya kumsikia toxic tujuane hapa
@DennicChode
@DennicChode 27 күн бұрын
Hahaha semaa umenikamata rasta nimekuja kuakikisha kama kwer kwer hela ya bangi anamuomba peti man umetisha mwamba
@kagumaster8143
@kagumaster8143 25 күн бұрын
​@@DennicChodehahahahahabkabsa mm Nmefka huku baada Ya kuckia toxic akimuulza huyu mbuzi Pic yake anaicfia saa ngap
@israelj.luhondo6920
@israelj.luhondo6920 25 күн бұрын
😂😂
@SalomecosmasKigolo-xf8ez
@SalomecosmasKigolo-xf8ez 25 күн бұрын
Mamaako acha uchawi toka atuladhimishi utupende team lunya kakoment ukohh kuma wew
@JamesDakki
@JamesDakki 25 күн бұрын
😃😃😃 kuna mtu kapaniki sio kitt
@Bwai13Tz
@Bwai13Tz 25 күн бұрын
Tulikuja kusikiliza hii baada ya ile ya toxic gonga like apo😂
@richtz9320
@richtz9320 10 күн бұрын
mim hapa
@Ahmed-fr6le
@Ahmed-fr6le Ай бұрын
kwa 2naopenda muzik wa west side kwa hapa tanzania 2naupata kwa young lunya au mbuzi never disappoint us
@user-st3ws1ns5g
@user-st3ws1ns5g Ай бұрын
Oii, timu killer, tunaingia kama ilivyo jina KILLER tujuane kwa kugongaa like
@meddy-killerofficial2417
@meddy-killerofficial2417 Ай бұрын
Hiii imeenda my like isikose hata iweje mwamba kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🏼🙏🏼❤️‍🔥
@STRIKEKIBUTI
@STRIKEKIBUTI Ай бұрын
Nina filling flow za mikymill Kwa mbali
@lodybrown3045
@lodybrown3045 Ай бұрын
Lunya one 1️⃣ Tunao sema mbuzi bongo hakuna wakumfikia🎉 Tem mbuzi gang 🐐 tujuane🎉🌵🩸
@youngnas7469
@youngnas7469 Ай бұрын
Lunga kumamaakoo
@PatrickSanga-wt8tq
@PatrickSanga-wt8tq Ай бұрын
Kumbuka Kuna msodoki
@muduboy726
@muduboy726 Ай бұрын
​@@PatrickSanga-wt8tqyoung killer ndo Eminem wa bongo
@VideoDirector-lj6bx
@VideoDirector-lj6bx Ай бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=GrQO24G2-XkRY0HW❤
@VideoDirector-lj6bx
@VideoDirector-lj6bx Ай бұрын
@tellaaxistz
@joemoen194
@joemoen194 Ай бұрын
Mbuzi ni level nyingine 🇹🇿 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥
@abouskillskefea3413
@abouskillskefea3413 27 күн бұрын
Mi namkubali sn young killer... Ila hapa LUNYA kuna Jambo kafanya..👍 hp amekaza sana yn kila ukijitahd ufungue unaogopa unahc utavunja
@Manjalino
@Manjalino Ай бұрын
Tunaosubiri young killer ajibu like hapa
@sulemanMduga
@sulemanMduga Ай бұрын
team killer
@ismailgerald8339
@ismailgerald8339 Ай бұрын
Killer inabidi atulie Tu asihangaike na mpuuzi
@bromanfexxaofficial935
@bromanfexxaofficial935 Ай бұрын
​@@ismailgerald8339😂😂😂😂
@Aonereally
@Aonereally Ай бұрын
Mm hapa huyo simuelewi kabisa
@ladslausemmer9577
@ladslausemmer9577 28 күн бұрын
Young killer mkubwa hawezi jibizana na huyu mtoto
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII
@user-pb2jx5zm3k.MBUZIII Ай бұрын
MBUZI 🐐 napendwa jince ulivyo iachia maick🎤 Unamaanisha Na yeye atoe tena free stelyle sission 6 out run
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Ай бұрын
Du huku young lunya kaimprove sana michano yake amekomaa
@tonygeniusofficial
@tonygeniusofficial 29 күн бұрын
Ila kusuka kidem kazingua😅😅😂😂😂
@NelsonMandela254-wu8vy
@NelsonMandela254-wu8vy 28 күн бұрын
🔥🔥🔥tz best rapper kwa sasa
@vampiro7663
@vampiro7663 Ай бұрын
+258🇲🇿 Mbuziiii 🔥🦅 Esperando essa vibração do outro lado
@warriomashaz5184
@warriomashaz5184 Ай бұрын
Mboga zinataka nizile hata zikijua natoka nanani✌️✌️
@amrzaqmlawa4015
@amrzaqmlawa4015 29 күн бұрын
Niliposika dis track ya #toxicfuvu ikanibidi nije nisikilize hii session 6 nikagundua fuvu kafanya balaa sana
@LucasMoula
@LucasMoula 28 күн бұрын
sikupingi mwanangu,,,
@michaelmpagwa2553
@michaelmpagwa2553 27 күн бұрын
Kumbe wew kama mm asee😂😂
@wabo_199
@wabo_199 Ай бұрын
Team young kila njooni apa😮
@user-to5uc1zv9e
@user-to5uc1zv9e Ай бұрын
Karudia tena
@user-ky6ty3ie9b
@user-ky6ty3ie9b 29 күн бұрын
Dah huyu anapenda kujizifia yeye tu huyu mweupe hana kitu Young killer ni CD ingne kabisaa
@lazenbett5813
@lazenbett5813 Ай бұрын
Mkenya wa kwanza hapaa🇰🇪 kufuatilia the season kama kawa
@jaruloner
@jaruloner Ай бұрын
Mbuzi kwa ubora wake❤🎉....Showing love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@chikaweabdalah280
@chikaweabdalah280 15 күн бұрын
Huyu mwamba ni Tanzania special one
@Prince-rafael
@Prince-rafael 28 күн бұрын
Waruka juu huwa atuogopi mabaunsa, ata uwe mjeshi kichura utaruka ukuuuh uku inapigwa kidole inanuswa hzo n nyama tu zipo ata kwenye sambusa😋😋✌️✌️@motra the future.
@yusuphmyinga
@yusuphmyinga Ай бұрын
Nashukur sijachelewa kuskiliza maunyama alo ya fanya mbuzii leo daaah hatariii 💪💪💪💪
@user-hc7kh8pu6f
@user-hc7kh8pu6f Ай бұрын
Normal😏 ngoja nimsubir Mwanangu Msodoki soon tunakuja kuzima kelele
@user-ky6ty3ie9b
@user-ky6ty3ie9b 29 күн бұрын
Tunakuja kufunga midomo ya watoto wa juzi😂😂
@nassorsuleiman9155
@nassorsuleiman9155 22 күн бұрын
Usisahau kumkumbusha msodoki aongeze dakika asije akaja na dakika zake mbili😂😂
@kenewxillver255tz4
@kenewxillver255tz4 25 күн бұрын
Young lunya hamfikii KENEW XILLVER 255TZ!
@blook_maina
@blook_maina Ай бұрын
Rada safi nafisia watoto wa Nairobi ❤
@Izoodaddy
@Izoodaddy Ай бұрын
Freestyle No 2 na no 5 ndo Ngoma kali
@86blizzo
@86blizzo Ай бұрын
Bado hapo Ki ukalii xanaa freestyle zote 1. Announcement freestyle 2.Freestyle session 4 3. Freestyle session 2 afu 4.Freestyle session 1 Ukitaka kuamini anza kuzsklza tena upya kw huo mtiririkoo📻🔥🔥🔥
@user-tx8ub9fc3k
@user-tx8ub9fc3k 12 күн бұрын
Kwako
@yusuphkacc6232
@yusuphkacc6232 Ай бұрын
hey siri anamaaaanisha dizasta vina 🙌🔥ndio siri ety
@jbsilulatv4513
@jbsilulatv4513 Ай бұрын
Kila mtu anaradha zake ktk mziki so tusimlist dizasta...
@kennedymafole
@kennedymafole Ай бұрын
siri ni program such ipo kwenye iphone unauliza kituchochote online na inakujibu, acheni ushamba😂
@ottiefx255
@ottiefx255 Ай бұрын
Dizasta mtu mwingine lunya hawez kwea
@cbegram6161
@cbegram6161 Ай бұрын
Hawezi kumsogelea kwa talent, lakini kila mtu na ladha yake
@Aloysmalon
@Aloysmalon Ай бұрын
Lunya fire ukipend mwite mbuzi mweny nyam nyingi .unyam wotz yaani jaman mu like ndo lengo
@MeshackAlbertsons
@MeshackAlbertsons 27 күн бұрын
2namkubali!
@kibinda
@kibinda Ай бұрын
1.YOUNG KILLER MSODOKI 👑 2. YOUNG KILLER MSODOKI 👑 3. YOUNG KILLER MSODOKI 👑 4. NDO NYINYI SASA MFATE 5. ..
@TellaaxisTz
@TellaaxisTz 27 күн бұрын
kzbin.info/www/bejne/bGe0ommIn910oKssi=X3IuiSmBDt5vmTLY❤
@anuaryayoub1143
@anuaryayoub1143 Ай бұрын
Hakuna kama wew mbuziii kweny hii new school hiphop ❤❤❤❤❤❤...
@Mravk254
@Mravk254 Ай бұрын
Mr.vitu vingiiii 🇰🇪 tuned
@johnrichard5482
@johnrichard5482 Ай бұрын
Hahahaaaa #younglunya Eti "Najua ushaisikia ile nyingine Mbovu ila hii ndio fixed Session 6" 👏👏👏
@kelvinbeckson7554
@kelvinbeckson7554 Ай бұрын
we're waiting 🥶🥶🥶🥶
@achukamwalimu1596
@achukamwalimu1596 Ай бұрын
Mi ni mmoja ya Wakenya🇰🇪 wanaomkubali sana LUNYA. MBUZI!! 🐐
@ladslausemmer9577
@ladslausemmer9577 28 күн бұрын
Mnapenda vibovu
@achukamwalimu1596
@achukamwalimu1596 20 күн бұрын
@@ladslausemmer9577 kama yeye kibovu pia nawe kibovu. Same category
@thomasmtagawa941
@thomasmtagawa941 23 күн бұрын
Umetishaaa!!
@BarakaJum-hr9jm
@BarakaJum-hr9jm 15 күн бұрын
Namkubali luny moto kam pasi🔥🔥✌
@stephenmasha8623
@stephenmasha8623 Ай бұрын
Najua uliskia ile mbovu lakini hii ndio yenuewe 😂🤣.. Tunao subiri msodoki tugonge like hapa
@emmanuelpeter3287
@emmanuelpeter3287 Ай бұрын
Tunamsubirri aisee
@aminata3702
@aminata3702 Ай бұрын
Msodoki haingii moto huu 🔥 .Hata yey anajua iyo 😴
@sulemanMduga
@sulemanMduga Ай бұрын
Nakubali kk
@MastoMasto-iy4nl
@MastoMasto-iy4nl Ай бұрын
Ngoma kali kumamake..ila kuchonga nyusi..nakukataa mwanangu....
@user-to5uc1zv9e
@user-to5uc1zv9e Ай бұрын
Karudia tena
@__its__gray3747
@__its__gray3747 Ай бұрын
Anakwambia "sio kwamba sidate ila simwoni wa kumweexpose " Young killer kajibiwia hii si alisema "kwanza dgo demu wako hatumjui"🎶🎶🎶 good music from Mbuzi
@farajimahamudu2808
@farajimahamudu2808 Ай бұрын
Mbuuzi
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Ай бұрын
Mbona verses nyingi tu kachanwa Killer, mfano "pisi yangu ww haikuhusu" izo kelele zangu ndizo zilizokupoteza ww " c kule alimwambia kua akitoa ngoma kelele ka za jenereta😂 pia kuna seem anasema "this is session 6, najua ushaickia ile nyengine ambayo n mbovu ila this is fixed" he si really got🎉🎉🎉
@gilionintellectual9312
@gilionintellectual9312 Ай бұрын
Sura imekuwa ngumu sana mwanangu. !!
@JordanSolomon-dy9pv
@JordanSolomon-dy9pv Ай бұрын
Mh hapa kama munatoka nje ya bara bara mbuzi ana roo ninaona kabisa anaanza kumuogopa muuaji hili dude kwakweli sijalielewa alafu kitu nimejifunza kwenye haya maisha unaweza ukawa wakwanza kila kitu ila ukachelewa kujua😊😊😊 huu mchezo hauhitaji hasira
@abumuhammad9615
@abumuhammad9615 Ай бұрын
Choko wa young killer
@JordanSolomon-dy9pv
@JordanSolomon-dy9pv Ай бұрын
@@abumuhammad9615 waoooh nawewe ni wayoung kunya au vp mimi ninasikiliza muziki aina zote sinaga ufagio mzee nivile tu hujanijua hata kwakuniona siwezi kusema kwamba haunijui vizuri 0
@BrianAbanja-tq9rq
@BrianAbanja-tq9rq Ай бұрын
Wanao mkubali huyu bwana all the way from country 245🇰🇪 relax hapa guyzz
@Mkfamily89503
@Mkfamily89503 27 күн бұрын
Am 254 bt Tanzania hip hop for me.
@user-bi3nr9jt7z
@user-bi3nr9jt7z Ай бұрын
Mbeya boy like apa
@depsmilindi8424
@depsmilindi8424 Ай бұрын
As usually the best rapper kwa generation hii... Wewe na Rapcha nawapaga maskiyo yangu kwa mda mrefu.... One love from🇨🇩✌️👌
@jfabbyhussein6861
@jfabbyhussein6861 17 күн бұрын
Kutoka 254 Toxic mkali 🎉
@DirectorDavid-gx1sb
@DirectorDavid-gx1sb Ай бұрын
Tunao mkubali lunya gonga like hapa
@user-xg6gp4ht4g
@user-xg6gp4ht4g Ай бұрын
Mitaaa tunayooo. Toka ukipigiwaaa makofiii tuuuu unalogwaaa 😂😂😂
@JaguarEscobar
@JaguarEscobar 17 күн бұрын
Umeuwaaaaaaaa KAKA 😂😂😂🙌🙌
@winniearaka8487
@winniearaka8487 Ай бұрын
Tulioskia shoutout ya Nairobi weka likes hapa. Young Lunya never disappoints 🔥
@user-in1sj9ux7o
@user-in1sj9ux7o Ай бұрын
Welcome bongo, I love you❤
@winniearaka8487
@winniearaka8487 27 күн бұрын
​@@user-in1sj9ux7oasante...I'll actually be visiting in August ❤
@is-mailh.makame5420
@is-mailh.makame5420 Ай бұрын
You are muuufck best RAP after Vina its you my G.O.A.T....... #MBUZI
@cbegram6161
@cbegram6161 Ай бұрын
Dizasta vina
@dullymusatz6561
@dullymusatz6561 28 күн бұрын
vina Is something else bro!🤞✌️
@abdulmohd6880
@abdulmohd6880 Ай бұрын
Nadhani ushaickia ile nyengine ambayo n mbovu this is fixed😂 🐐🎉
@user-zg7ik5cu9f
@user-zg7ik5cu9f 19 күн бұрын
@user-cp2hb5ii3k
@user-cp2hb5ii3k Ай бұрын
Zinaweza zikawa nyingi Hila this is really session six mbuzi🔥🔥
@ntullyjanga33
@ntullyjanga33 Ай бұрын
❤ ila imekuwa ndefi au hasiraa nyingii mzee😂😂
@jossonchauler1707
@jossonchauler1707 Ай бұрын
I remember in my O level studies I used to escape from school.. Whenever I hear Mbuzi 🐐 Has released new song 🎉 My classmates used to call me Mbuzi too❤ Because I am the mad fan of young Lunyaaa❤🎉
@abdulkarimchongs
@abdulkarimchongs Ай бұрын
All the way from 🇰🇪..love brother 🔥🔥
@originalboy8518
@originalboy8518 Ай бұрын
Sawa. Babaaaaaaaa❤
@SickTherapper-ql9ty
@SickTherapper-ql9ty 26 күн бұрын
Wa Kwanza kuwa na haters 🔥 🔥 Young killer atatumia detergent gani kuosha huyu haha
@fundiseif1096
@fundiseif1096 Ай бұрын
Young Lunya umetisha sana 🔥🔥🔥💪
@lilchampion1960
@lilchampion1960 Ай бұрын
Watu wa tarime tumetachwa humu❤
@jacksonmalangalila372
@jacksonmalangalila372 Ай бұрын
Haina kipimo chuki chuki 🔥. Ila mbuzi dah
@0fficialhelbert783
@0fficialhelbert783 Ай бұрын
unajua baba ✊✊✊✊
@user-xn2ih2br7y
@user-xn2ih2br7y Ай бұрын
Oyooo hiii kali 🎉🎉😅😅
@RamaAbdul-wh3qk
@RamaAbdul-wh3qk Ай бұрын
Hii noma mzee umechana ramani 🙌
@jimminhoMakweta
@jimminhoMakweta 20 күн бұрын
GOAT
@user-qp4tu7my4c
@user-qp4tu7my4c Ай бұрын
tofautisha utamu na kusikia uloda......🥶🥶 mamaeeeeeeeeeee 🔥🔥
@damasnko3016
@damasnko3016 Ай бұрын
Kubababakee watambe fasta fasta kabla hujarudi😂🙌🏾💥💥💥
@anthonylister754
@anthonylister754 28 күн бұрын
Binafsi sijaelewa alichoimba uyu jamaa, mwanzo mwisho anajisifia tu😂.. Likes kwa Youngkiller na Toxic hapa 👍
@kelvinkitula3673
@kelvinkitula3673 28 күн бұрын
Yaaan kelele tuu 😂
@8pistons194
@8pistons194 27 күн бұрын
Na huwezi elewa
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 27 күн бұрын
​@@8pistons194kelele tu anachoimba
@daveyjackson1561
@daveyjackson1561 27 күн бұрын
Hiyo ndo hiphop sasa wewe fatilia singeli huku sio pako
@charlesmtamala4912
@charlesmtamala4912 27 күн бұрын
@@daveyjackson1561 wew ndio hujui hiphop hebu kamsikilize killer ndio utaelewa nn maan ya hiphop
@edbertyustack1598
@edbertyustack1598 25 күн бұрын
Uyu nigaga anajua namkubl xn aiseee 🔥🔥🔥🔥
@sadiqrifay5448
@sadiqrifay5448 Ай бұрын
"Inawezekan ushasikia nyengne ila hii ni real session six" waiting for young killer to step on this😂
@rahabnganga6264
@rahabnganga6264 Ай бұрын
Weeeeeh noma sana brother 👊
@user-mw7cz9xo7r
@user-mw7cz9xo7r Ай бұрын
No rapper can stop u my brother 🎉🎉🎉❤
@lweshamagauni2459
@lweshamagauni2459 Ай бұрын
Mbuzi kiwalani bombom
@sorryasante5342
@sorryasante5342 Ай бұрын
Lunya juu 💪💪💪💪💪✌️
@SelemaniJMpwanga
@SelemaniJMpwanga Ай бұрын
Mbuziiii🙌🙌🙌msukumaa bishoooo
@jaydenelsimith
@jaydenelsimith Ай бұрын
naomb like zang leo nimewahi xaan lunya mbuzi nakbal xaan😢
@yusuphmyinga
@yusuphmyinga Ай бұрын
🐐 🐐 ni hatarii hiii 🔥🔥🔥🔥
@cyprianyinnocenty2002
@cyprianyinnocenty2002 17 күн бұрын
Daaah! Sina nen0 katika hii kitu 0yaaa baba UMEUWAAAA! Br0h! Y0ur Magic Br0h! Aaaaaah!! N0 Way 0ut 🎉🎉
@deogratiusernest6293
@deogratiusernest6293 Ай бұрын
ya kawaida sana... season no. 2 na 4 ni noma zile
@WityJr
@WityJr Ай бұрын
Lunya ni mmoja t❤️🔥🔥🔥
@D_smart
@D_smart Ай бұрын
weeee mbuz umekua tishio kwa ma brother au basi ✍️✍️✍️💯💯💯💣💣🔥🔥
@SwahiliAmbasador954
@SwahiliAmbasador954 Ай бұрын
Huyu mtoto ni mshenzi kwa hii kazi wambieni hao wataenda sana kwa wa ganga lakini huu muda ni wa mbuzi❤❤❤❤❤🎉🎉🎉 sitaki kukuaminisha uamini ninacho kiamini lakini angalia kazi zake
@Kinboi-bn9rg
@Kinboi-bn9rg Ай бұрын
Mbuzi wa kila siku🔥🔥🔥
@Kilonzoboysmatata
@Kilonzoboysmatata Ай бұрын
Oyaaaaaaaaah ikitu nyokoooooooooooh
@ngadupastuzo
@ngadupastuzo Ай бұрын
MNAOSEMA MWANA KAMA KAWAIDA YAKE ANAUWA💥🔥🔥 tieni like apa🙌
@sureboymsafi
@sureboymsafi 22 күн бұрын
U're De Best Broo🔥🔥🔥 hakika wewe ni Goat
@adreymangula4882
@adreymangula4882 Ай бұрын
Killer is typing✍️✍️
@petervasco6245
@petervasco6245 Ай бұрын
Balaa baya😱😱😱😱
@harmojunior3267
@harmojunior3267 Ай бұрын
Waiting
@delmasdecor26
@delmasdecor26 Ай бұрын
Kali saaaana
@user-xx2ov8ve2y
@user-xx2ov8ve2y 16 күн бұрын
Brother ww fundi big up 🎉🎉🎉
@pagallohumphrey722
@pagallohumphrey722 29 күн бұрын
I liked this mpaka nilipo sikia MEEH ya Toxic fuvu... nasubir majibu nione kama kweli tuna Goat
@user-gs1dy2io5k
@user-gs1dy2io5k 28 күн бұрын
Kelele za janareta😂😂😂😂
@ladslausemmer9577
@ladslausemmer9577 28 күн бұрын
Meeh yamoto man
@miserumipesa9511
@miserumipesa9511 28 күн бұрын
Meeh dude lingine lile uwez fananxh n huu uchafu😂😂
@bartmansweetbart4297
@bartmansweetbart4297 28 күн бұрын
Akijibu ile rudi hapa nakupa 25k hana iyo nguvu uyu ohhh my
@dullymusatz6561
@dullymusatz6561 28 күн бұрын
hahah na me ni kama ww yan
@Joelherman-mp2dv
@Joelherman-mp2dv Ай бұрын
main GOAT ..igweeee 🔥🔥🔥🔥🔥
@issasaad3403
@issasaad3403 Ай бұрын
Mbuzi n mmoja tu,umeuwa mwamba
@presenter_Piesqa
@presenter_Piesqa 28 күн бұрын
Wataongea sana Sijui anajisufi sasa akusifie wewe...."Meeeh" nzima ngoma ya fuvu wamzungumzia Mbuzi daaah wamkubali😂😂😂
@DjsmokyUrban
@DjsmokyUrban 28 күн бұрын
we ukidinyana na dem unataja dem mwengine 🤔
@presenter_Piesqa
@presenter_Piesqa 28 күн бұрын
Unaeza kuwa comedian unachekesha
@Threefingers-ik3pk
@Threefingers-ik3pk Ай бұрын
Kusema kweli Unajua bro Wanao mkubali Lounya gonga like apa
@IamIbrah
@IamIbrah Ай бұрын
Wooooow 😂🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 the real goat umetisha lunya no one like this is a real session 6 ile nyingine ogopeni matapeli
@omarmushi116
@omarmushi116 Ай бұрын
Moving like loyal but guess what player🔥🔥
@user-qg3nu1kv2n
@user-qg3nu1kv2n Ай бұрын
Motroooo We Lunya 🎉🎉🎉
@joshuamwaura6171
@joshuamwaura6171 17 күн бұрын
Kwambox from Mic Cheque brought me here. Love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@vinny.morales
@vinny.morales 29 күн бұрын
Nzito sana hiu❤❤️💯🇰🇪
@KEVOSHIZO
@KEVOSHIZO Ай бұрын
Lunya ameweza anatisha sana! With Love from 254
@allysudi4429
@allysudi4429 Ай бұрын
Liachie baba kabla Internet yenyewe haijaenda na Hidaya 💥💥
Young Lunya - Freestyle Sessions 5 (Official Video)
5:26
Young Lunya
Рет қаралды 1,1 МЛН
Young Lunya - Freestyle Session 4 (Official Video)
4:59
Young Lunya
Рет қаралды 684 М.
Increíble final 😱
00:37
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 87 МЛН
Countries Treat the Heart of Palestine #countryballs
00:13
CountryZ
Рет қаралды 29 МЛН
Balloon Stepping Challenge: Barry Policeman Vs  Herobrine and His Friends
00:28
TOXIC - Meeh
2:33
Toxic Fuvu
Рет қаралды 123 М.
Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)
3:40
kontawa
Рет қаралды 409 М.
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
Oka Martin REACTION / Toxic Vs Young Lunya Diss Track
8:53
Oka Martin
Рет қаралды 24 М.
Roma Feat Chid Benz - Nasikia Harufu   ( Official Video)
3:44
VIVAROMA
Рет қаралды 1,5 МЛН
BIG SUNDAY LIVE - AMPIGA BUSU BAADA YA KUSHINDWA KWENYE RAP BATTLE
12:34
Weusi - Hii Hapa (Official Lyric Video)
4:19
WEUSI
Рет қаралды 85 М.
Ulug'bek Yulchiyev - Ko'zlari bejo (Premyera Klip)
4:39
ULUG’BEK YULCHIYEV
Рет қаралды 3 МЛН
Serik Ibragimov - Сен келдің (mood video) 2024
3:19
Serik Ibragimov
Рет қаралды 217 М.
Қанат Ерлан - Сағынамын | Lyric Video
2:13
Қанат Ерлан
Рет қаралды 1,4 МЛН
Saǵynamyn
2:13
Қанат Ерлан - Topic
Рет қаралды 1,8 МЛН
ҮЗДІКСІЗ КҮТКЕНІМ
2:58
Sanzhar - Topic
Рет қаралды 2,3 МЛН
Көктемге хат
3:08
Release - Topic
Рет қаралды 47 М.
BABYMONSTER - 'LIKE THAT' EXCLUSIVE PERFORMANCE VIDEO
2:58
BABYMONSTER
Рет қаралды 65 МЛН