No video

YUSRA MAKAME SHAIRI KWA MGENI RASMI

  Рет қаралды 13,552

Hasnuu Makame Secondary School

Hasnuu Makame Secondary School

6 ай бұрын

Mwanafunzi Yusra Makame Kombo akisoma Shairi lilioandaliwa maalumu kwa mgeni Rasmi katika mahafali ya kuwaaga wanafunzi waliomaliza kidato cha nne wa mwaka 2023.
Mahafali hiyo ilifanyika hapa hapa skuli siku ya jumamosi ya tarehe 20 januari 2024.
Mgeni rasmi alikuwa Mama Wanu Hafidh Ameir Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Kusini na Mwenyekiti wa Mwanamke Initiatives Foundation (MIF). Pia ni mtoto wa Mheshimiwa Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan.

Пікірлер: 18
@user-ok9sk7zz8t
@user-ok9sk7zz8t 6 ай бұрын
Masha Allah .. What a magical voice ✨️
@zanlec7357
@zanlec7357 6 ай бұрын
I beg Allah to give power and his protection to the headmaster of this school Mr Bakar Muhammed Ali. I am proud of this man. Ms Wanu you are such a nice and typical example of leaders May Allah bless you. Aamin. Finally praise you Yusra Makame you are so talented one. May Allah simplify you pass and getting good results when you reach form four inshaallah
@HasnuuMakameSecSchool
@HasnuuMakameSecSchool 6 ай бұрын
Aamiin. And to all of us InshaAllah.
@rukiaally-bc6hd
@rukiaally-bc6hd 6 ай бұрын
The only way to do great work is to love what you do. Keep it up dear Yusra makame😊🙏
@HasnuuMakameSecSchool
@HasnuuMakameSecSchool 4 ай бұрын
Thank you, I will
@user-dm7jx6qn2g
@user-dm7jx6qn2g 6 ай бұрын
mashallah mungu awape wepesi
@HasnuuMakameSecSchool
@HasnuuMakameSecSchool 6 ай бұрын
Aaamiin.
@user-yu8iy8qu1n
@user-yu8iy8qu1n 6 ай бұрын
MashaAllah.
@mwanamvuaGora-pt5ef
@mwanamvuaGora-pt5ef 3 ай бұрын
@user-dm7jx6qn2g
@user-dm7jx6qn2g 6 ай бұрын
da yuu tupo pamoja usiache katu mungu atakusaidia
@user-kw7ni3hf8z
@user-kw7ni3hf8z 3 ай бұрын
Ipo kusn unguja makunduch
@user-yn7wk4re9z
@user-yn7wk4re9z 4 ай бұрын
Jamani hii skuli ipo wap mkoan pemba au
@HasnuuMakameSecSchool
@HasnuuMakameSecSchool 4 ай бұрын
Hapana. Ipo Kusini Zanzibar.
@seifhabib5987
@seifhabib5987 3 ай бұрын
Ipo kusini Unguja round ya kuelekea Kizimkazi na Makunduchi
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 18 күн бұрын
Ipo kusin unguja
@MwanaBaloz-ij6es
@MwanaBaloz-ij6es 18 күн бұрын
Ipo kusin unguja
@user-mj6vf4jc5o
@user-mj6vf4jc5o 5 ай бұрын
RABBI AWALIPE HERI KATU NYUMA WASIRUDI.
@HasnuuMakameSecSchool
@HasnuuMakameSecSchool 4 ай бұрын
Aamiin.
USIKOSE HII MWANZO MWISHO SHAIRI LA YUSRA ALILOMNYANYUA MTOTO WA MAMA SAMIA
14:02
Hasnuu Makame Secondary School
Рет қаралды 46 М.
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН
НЫСАНА КОНЦЕРТ 2024
2:26:34
Нысана театры
Рет қаралды 1,8 МЛН
ОБЯЗАТЕЛЬНО СОВЕРШАЙТЕ ДОБРО!❤❤❤
00:45
YUSRA MAKAME ALIALIKWA KIBOJE KWENYE GRADUATION YAO, NA HII NI SEHEMU YA KAZI YAKE NDOGO
4:46
Hasnuu Makame Secondary School
Рет қаралды 3,8 М.
UTENZI ULIOKONGA NYOYO ZA WATU MATUMBAKU NI HUU
13:41
MIHRA ONLINE TV
Рет қаралды 9 М.
ZIRO KASOROBO AINGIA KIVYENGINE UWANJANI #AMFURAHISHA RAIS HUKO MTOPEPO
12:25
USICHOKIJUA KUHUSU YUSRA MAKAME NI KWAMBA........
12:11
Hasnuu Makame Secondary School
Рет қаралды 1,8 М.
SHAIRI LA YUSRA ALILOMNYANYUA MTOTO WA MAMA SAMIA
14:44
Swahili Tv
Рет қаралды 1,3 М.
لقد سرقت حلوى القطن بشكل خفي لأصنع مصاصة🤫😎
00:33
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 30 МЛН