• FUMAU MSHAIRI WA YANGA... #KHIDMATV #FumauMshairi #ShairiKwaMabwanaHarusi #NdoazaWatu70
Пікірлер: 303
@sabasmichael75536 ай бұрын
Na ukristo wangu ila kijana unafanya vzur sana mungu akujaze uwezo zaid big up sana kk
@JasminJay-t1f4 ай бұрын
Mashaaallah mung akupe kila la kher
@JasminJay-t1f4 ай бұрын
Mashaaallah
@Aminamuhamed Жыл бұрын
Maashaallah maashaallah maashaallah barakallah fiikiy brother hakika umejaaliwa ALLAH AKUHIFADHI na utumiye vzr kipaji ulichojaaliwa🤲❤️
@halimamnavi3208 Жыл бұрын
Hadi mwili unasisimka Kwa shairi nzuri Mungu akutangulie kwa kila hatua 🙏👈
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Hata Mimi wa llahi
@aishabutoyi81644 ай бұрын
@@lifeinmiddleeast8179😢😢😢😢😢😢😢😢😢🎉🎉😢😮😅😅😅😅😅😅
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Hongereni Maharusi, Allah Awajaze Kheri! AMIIN 🤲
@mashakasaiddy7737 Жыл бұрын
lj
@goragora9204 Жыл бұрын
Allah awajaze kheri wote walosaidiya kwa njiya moja au nyengine wote walofanikisha ndowa hizi amiiin
@FirdausyAbubakary-bl2wo Жыл бұрын
utafika Mbaali InshaaAllah❤❤❤❤ Allah akubaarick
@Ambagaye Жыл бұрын
Mtoto ana talent sana huyu; asaidiwe sana kusudi aeindeleza kibiashara.
@fatfat9093 Жыл бұрын
Mashaallah kijana umenikosha kutoka kenya shukran cn😊
@ZawadiSaid-o1o24 күн бұрын
Umetisha fumau mungu akupe maisha mema
@SuleimanMkandason Жыл бұрын
Mashaa Allah, natafuta neno lakusifia anakosa mana maneno ya dhahabu yote yametumika❤❤❤
@guyogalora2736 Жыл бұрын
Masha Allah shukran jazeelan my brother in Islam
@faizabaishe5172 Жыл бұрын
MaashAllah mabrq, Alhamdulilah Allah barik, InshAllah heri shukran sana Ameen Ameen Ameen Yarabi sote InshAllah
@aishabasai8489 Жыл бұрын
Maa shaa Allah maa shaa Allah wallah nalia kwa furaha ❤❤🥰🥰🥰
@aminasalim8708 Жыл бұрын
Nimelia pia wallah❤😢
@sein.208 Жыл бұрын
Masha Allah ❤️ ❤️ ❤️ TabarakAllah Allah awajaze kheiry wote 🤲
@AshaMigetto Жыл бұрын
Allah akujaalie mdogo wangu ufike mbali mashaAllah mashaAllah
@mwinyimsa... Жыл бұрын
Maasha Allah....🥰🥰 naupenda ushairi sana
@rehemamahendeka-rm2ek Жыл бұрын
MashaAllah mjku wng,hakika umejaaliwa kipaji,Rabbi akuongoze kwenye mema zaidi,Aamin !
@MujibuSalum5 ай бұрын
Mashaallah 🥰 mashaallah 🥰 Allah akupe maisha maref
@SuleymanJuma-o5e Жыл бұрын
Allah akudhizishie baraka mashaallah❤❤❤
@Nily-kz3db Жыл бұрын
MashaAllah, MashaAllah,Allah Awajalie Ndoa Zao Ziwe Zenye Baraqa
@siaramadhan4707 Жыл бұрын
Mash Allah umetisha🙌
@MariamRamadhan-co1ev5 ай бұрын
Barakallah fiikiy Allah akutangulie utimize ndoto zako my brother ❤❤💕🎉
@jumamambo7471 Жыл бұрын
Masha-alah barakah alah kheir insha-alah alah awalipw kheir al-hkima foundation na awape nguvu Zaid na Zaid insha-alah pia hongeren waowaji alah awajaze kheir insha-alah
@MasnamussaPp Жыл бұрын
❤ MASHAALLAH TABARAQA LWAH ALLAH AKBAR,ALLAH AKUZAIDISHIENI KHERY MIONGONI MWA KHERY ALHEMAH FOUNDITION KWA JAMBOKUBWA LAHII SUNATUL RAASUL S.W.A❤
@osmaneibrahim5408 Жыл бұрын
Masha Allah BarakaAllahu kher Allah awajaze kheri❤
@maureenmsuya14034 ай бұрын
Mashaala.... Mungu akuzidishie
@mwanaaminahusseinsuleiman6980 Жыл бұрын
Masha Allah tabaraka rahman kweli unakipaji Allah akuhifadhi
@Fear_Allah394 Жыл бұрын
Maa shaa Allah, Allah awape hekma, mapenzi na nguvu wawahudumikie wake zao na asiwape uchovu wkafanya vitega uchumi vyao, amiin
@NeemaMzur3 ай бұрын
Jamani nimelia kwa fulaha😂😂😂😂😂😂dah....allah akuongoze ktk njia ya kheri akuze kipaji chako na kukitia nuru ya mafanikio. Amiiiiin🎉🎉🎉🎉🎉