NDACHA AKIRI MUHAMMAD S.A.W KATANJWA NDANI YA BIBILIA ILA KANDAI KUWA NI BIBILIA YA WAISILAM(MSIBA)

  Рет қаралды 35,502

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp

Күн бұрын

Пікірлер
@ahmedikhamis2722
@ahmedikhamis2722 5 жыл бұрын
Napenda sana hii kazi iendelee masheikh wetu Allah ajaalie kila lakheri insha Allah. By Ahmed Tz 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 5 жыл бұрын
Wallah hujakosea kumuita abuu jahal
@hashimhashim7245
@hashimhashim7245 5 жыл бұрын
Mashaallah maustadh wetu mungu awahifafhi ili tupate kuilimika zaidi
@fatumamwalimu5765
@fatumamwalimu5765 5 жыл бұрын
Alhamdulillah,mashekh wetu Allah awatangulie kwa kila hatua na awape humri mrefu pamoja na afya njema, awape watoto wema watakaokuja kuwatunza mtapofikia uzeeni, awape riziki za halali
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Inshaallah
@hamidahamida1473
@hamidahamida1473 5 жыл бұрын
Subhanalha
@saraahmed6413
@saraahmed6413 4 жыл бұрын
@@hamidahamida1473(^#*#
@mwauraerick
@mwauraerick 3 жыл бұрын
Nimependezwa na hoja za Mwalimu wa kikristo. Anao ufaham wa kile anachosema kwa uhakika
@saidabae7101
@saidabae7101 5 жыл бұрын
Masha Allah Allah kareem
@ukhtyhalima8896
@ukhtyhalima8896 5 жыл бұрын
Mimi ni mkristu lakini nimejifunza mengi sana kitoka kwa hizi video zako.yaani kwa siku natazama kila siku niko karibu kumaliza zote yaani kua mkiristo nikupotea tu.am happy i now know the truth and ready to become a muslim
@ابوابرهيم-ر5خ
@ابوابرهيم-ر5خ 5 жыл бұрын
christine wachinga silimu urudi kwenye dini Qur'aan 3;19 BILA SHAKA DINI YA HAKI MBELE YA MWENYENZI MUNGU NI UISLAMU📢📢😎
@rashidwalwanda1991
@rashidwalwanda1991 5 жыл бұрын
Amua usilimu mtoto yetu
@yusufmwangichannel6692
@yusufmwangichannel6692 5 жыл бұрын
Karibu kwenye dini ya Allah alioichagua kua ni dini ya haki kwake
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Din y haki ni uislam
@anthonyminjire8490
@anthonyminjire8490 5 жыл бұрын
Shindwe
@rachelevarist70
@rachelevarist70 5 жыл бұрын
NDACHA nimtupu kabisaa unazidi kuupa nguvu uislam
@bahatihadijabahati7456
@bahatihadijabahati7456 5 жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri sheikh Yusuf akupe mwisho mwema in shaa Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@linetkikin4023
@linetkikin4023 5 жыл бұрын
Masha Allah ustadh yusuf
@nailahsaeed837
@nailahsaeed837 4 жыл бұрын
Mashallah yusuf wamuelewa sana huyu Ndasha yeye uchafua maneno ili wakristo wacheke wewe huna nia ya kichafuana naye mpe ilimu mdomo wake chafu sana
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 3 жыл бұрын
Nikweli kabisa Nailah Allah awaongoze masheikhe wetu awajali kila kheir na baraka wazidi kupigania dini ya haki mbele ya mwenyezi Mungu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@pascalmalenga7890
@pascalmalenga7890 4 жыл бұрын
Ndacha yuko vizuri mno katika midahalo na waislamu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Hana lolote
@hamadamabali2895
@hamadamabali2895 5 жыл бұрын
Sheikh Yusuf Mungu akuzidishie hekma in sha Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@salimaljahwari1
@salimaljahwari1 5 жыл бұрын
Such a genuine performance by genuine muslims. Allah bless you Mr. Yussuf and Said.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin us all
@ibrahimchelangat4919
@ibrahimchelangat4919 5 жыл бұрын
Good
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 5 жыл бұрын
Allah akuongoze Christine karibu ktk din ya haki na Allah atakuongoza zaid
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin
@PendoKalama-rn8pf
@PendoKalama-rn8pf 6 күн бұрын
Mengi ya tasemwa ukitoka kajichuje ni nani mwokozi wa maisha yako
@richardsineno6720
@richardsineno6720 5 жыл бұрын
Mashaallah Allah awape kheri zake mzidi kuwafunza hawa wakristo wasiokua na dini waweze kuiona haki na waweze kuifuata inshaallah.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@ashamasudi9441
@ashamasudi9441 5 жыл бұрын
MashaAllah ndacha yuajua.ukweli lakini hataki kusilimu kwa sababu ya vishilingi
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
Tunawaombea saana sheikh wetu nyote Allah awape subra na hekma.....Allah awaandalie pepo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 5 жыл бұрын
Wallah biblia si kitabu cha mungu.....
@PendoKalama-rn8pf
@PendoKalama-rn8pf 6 күн бұрын
Kitabu cha Mungu nikipi
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 5 жыл бұрын
Mashallah mashallah ustadh yusuph Allah akuzidishie elimu...
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@حنةمنغا
@حنةمنغا 5 жыл бұрын
Maasha Allah tabaraka Allah,May Allah always increase our ustadh(all) in strength,health guidance to continue with the dawah and reward you with firdaus a'ala Allahumma amin. Watching your videos help me alot especially with my iman Alhamdulillahi Rabbi a'lamin
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin us all
@liyanahilwa9666
@liyanahilwa9666 3 жыл бұрын
Hapo kwa dress cord ya Leo...hahaha...ilinipe shangwe kweli...hehehe... Hiyo T-Shirt basi Yusuf....inanipe jazba. Hongera my precious deaz.Nina wa enzi mno.... #Proud Muslimah daima dawam & najivunia my learned bros; Muhammad,Mwirigi,...etc...na professor nguji,ngwiji Yusuf:Fimbo Yao!!!
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 3 жыл бұрын
Maashallah mungu akuzidishie I mashekhe yaarabi ameen
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@liyanahilwa9666
@liyanahilwa9666 3 жыл бұрын
Maa Shaa Allah! A well commendable job. Allah awae nanyi kila nukta ktk hizo kukuru kakara yakuelimisha waja kuhusu Dini Yake Allah,ambayo ndio Dini ya Haqq iliopendekezewa viumbe vyote Duniani manake ndo Dini inayotambulika mbinguni pia
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 5 жыл бұрын
Operesheni Funga makanisa nimeipenda Hiyo🇹🇿
@higahassib6614
@higahassib6614 5 жыл бұрын
Jazaka Allahu kheri sheik Yusuf ALLAH akupe umri na wenzako pia
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 5 жыл бұрын
Mashaallah
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 5 жыл бұрын
Abujahal wa zama hizi, hahaha.kazi nzuri ustadh.
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Maashaallah
@jumaaali617
@jumaaali617 5 жыл бұрын
Mungu akujalie uzima na afiya uzidi kuilimisha watu YUSUF
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@zedimohamed8033
@zedimohamed8033 2 жыл бұрын
Mash,aallah sheykh yusuf Allah akuhifadhwi
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 2 жыл бұрын
Amin sote
@habibasalim3092
@habibasalim3092 3 жыл бұрын
Ndacha Allha akuongoze
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin
@ashajuma8686
@ashajuma8686 5 жыл бұрын
Allah awazidishie nguvu mashekh wetu... hii kazi sio rahisi kwa kweli
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@ramadhanimkopi2897
@ramadhanimkopi2897 3 жыл бұрын
Kwa kweli kazi hii iendelee mpaka kisimame kiama inshaallah
@arafatkhalid4391
@arafatkhalid4391 4 жыл бұрын
Asante maustadhi Kwa kuzidi kuipigania dini ya haki Allah atawalipa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@alicesamson6316
@alicesamson6316 4 жыл бұрын
Mashaallah good job
@aishawangui6635
@aishawangui6635 4 жыл бұрын
Allah awazindishie elmu dacha mtihani sana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@bockaselemani563
@bockaselemani563 5 жыл бұрын
Ustadh yusuph. Allah akujalie pepo pamoja na waislam wote insha allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Amiin
@ramadhanali9494
@ramadhanali9494 3 жыл бұрын
Sheikh wetu Asante kwa kazi yako nzuri Allah akuzidishie hekima na afya uzidi kuupigania uislamu.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@janieali5521
@janieali5521 4 жыл бұрын
MashaAllah, msipoteze wakati mwingi na mtu kama huyu ambae anajifanya mjanja lakini ni mjinga.
@loysamwel6308
@loysamwel6308 3 жыл бұрын
Nani mjinga nabi ajui kusoma
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
MashAllah sheikh Leo umelepua. Hahahaha atuambie gani tuamini hzo vitabu zinabishana bibilia...
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Alhamudulillah
@josephchui479
@josephchui479 4 жыл бұрын
Jamani ndacha anatisha
@ibraimodinodino828
@ibraimodinodino828 5 жыл бұрын
Yussufo we ni kiboko wa Ndacha takk birr...
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Allahu akbar
@harbisulub
@harbisulub 5 жыл бұрын
May Allah subhana watala bless you , your effort in dawa and give you all khair in dunya and akhira. Your muslim brother
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin us all
@minahadi2190
@minahadi2190 3 жыл бұрын
MashaAllah barakAllahu fiyk
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Amin sote
@benfordnyabuti1318
@benfordnyabuti1318 4 жыл бұрын
Ndacha Mungu azidi kukupa elimu waislamu wakiri Yesu ni Bwana
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Shindwe
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
Sisi twamuamini Yesu ni mtume Mungu na sio wakuabudiwa Allah icho kitu sisi kwetu hatuamini kua kwetu yesu ni mungu Allah atustir na atuhifadh na ukafir na shari za shaitwan
@guardianofthebibleftdavidw4001
@guardianofthebibleftdavidw4001 3 жыл бұрын
Nyinyi Wakristo ishini Kwa kufuru
@siamabakwe4274
@siamabakwe4274 4 жыл бұрын
Dasha Allah akuongoze bila hivyo pako pagumu sana nawenzio pia asantani ma sheikh wetu lakini huyu bwana anafundisha au anabomowa yani yuko kama mwenye vita nauislam inna llillah wa inna illaihi rajiuna llahawulla wallakuwata illabillah Allah alinde sana uma wenza asante
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin
@omarmchinja7660
@omarmchinja7660 5 жыл бұрын
Allah awabariki mashekh wetu.
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote
@mackytalcky1109
@mackytalcky1109 3 жыл бұрын
Ndacha yupo vinzuri sana kunavitu anauliza hawajibu kabisa
@uwesusaid9764
@uwesusaid9764 5 жыл бұрын
Mashaallah🇹🇿
@moanamohammed1406
@moanamohammed1406 5 жыл бұрын
Huyo ndacha anawapoteza watu makusud na hao wakristo tatizo hawasomi
@loysamwel6308
@loysamwel6308 3 жыл бұрын
Wasimamu wabishi
@rebecaojita2032
@rebecaojita2032 4 жыл бұрын
Ndacha mungu akuongezee masiku zako wambie ukweli
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Hahaha ndacha muongo sana
@remigimtenga7608
@remigimtenga7608 4 жыл бұрын
Wewe ndio Muongo.Mungu akusaidie ujue kweli.
@adijahmunyasia1449
@adijahmunyasia1449 4 жыл бұрын
Mashaallah tabarak Allah...biblia zote zichomwe moto maanake zinawapoteza wakristo zaidi...maustadh wetu kwa kweli kimeeleweka kabisa...Ndacha huyo hana alijualo katika biblia wala kwenye dini yake...anajisifu bure na kupiga kelele kama alivyokula kiapo cha upotovu kanisani. Allah awape subira ,umri mrefu na awajaalie elimu na hekima...ustadh Yusuf na ustadh Said mashaallah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 4 жыл бұрын
Amin sote
@liyanahilwa9666
@liyanahilwa9666 3 жыл бұрын
Tumuombe Allah amjaalie Ndacha na wenzake kuongoka pia ili waeze kutumia hizo pumzi zao ktk kueneza ukweli na kuelimisha makondo wengi tu kanisani ambao wamo ktk giza nzito na upotofu mkubwa Sana na kukosa mwelekeo In Shaa Allah
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 жыл бұрын
Huyo Ndacha anapoteza wendzake.. Ihali anajua Ukweli wote
@sulehassanshall6140
@sulehassanshall6140 4 жыл бұрын
Ndacha nimapepo wengi tu wanamsumbua kwamwili wake..Nibure tu ndacha anajisumbua kupambana nauislam
@aburaasmedia3682
@aburaasmedia3682 5 жыл бұрын
Mashallah ustadh Yusuf Allah akuzidishie elimu na afya. Yussufu ni mwalimu wa Ndacha peleke yeye Dugsi na Madrasa
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Amin sote brother
@ZitoGadwe
@ZitoGadwe 3 ай бұрын
Ndacha ni mkwel na anaelimisha Kwa uhakika ila hofu yangu ni kwaislaam hawako wazi kabisa
@bestRasta-
@bestRasta- 8 ай бұрын
Twache unafiki sikilizeni mwenye pwe int msi angalie dini zenu
@abdallashabani6140
@abdallashabani6140 4 жыл бұрын
Mashallaw
@DanKanu-ox4hx
@DanKanu-ox4hx 7 ай бұрын
Wanakulanga ya Jana😂😂
@ZitoGadwe
@ZitoGadwe 3 ай бұрын
Wewe mnafiki yaaani ndacha anatoa point
@ismailyusuph740
@ismailyusuph740 5 жыл бұрын
Kinachonifurahisha kwenye mdahalo huu ni ndacha kujikaanga na mafuta yake’ Yaani kwenye mafundisho yake anawaonyesha wakristo kwamba kuna MUNGU na kuna Yesu...! haya Ndio mambo ya kuweka kichwani wakristo’ kesho ukimsikia ndacha akisema Yesu ni MUNGU ujiulize....!
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 5 жыл бұрын
MashaAllallah!
@abdallahmoussa614
@abdallahmoussa614 3 жыл бұрын
hahahaha ma pasta feki wanafunzwa jamani
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
Ndacha anafa kwenda Churchill show manake anajua kuchekesha Tu.... waislamu tuna elmu tunajua kila hadith akitoa nynyi wakristo ndio hamujui
@ZitoGadwe
@ZitoGadwe 3 ай бұрын
Waislaam ukwel wenu umejulikana maana mmekuwa waongo kupita kiasi kisicho Cha kawaida kwanzia Leo nakuwa mkristo
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 ай бұрын
Matayo 24:24
@musalumbi8490
@musalumbi8490 3 жыл бұрын
Ndacha that Quranic verse (Q16:125) has not mentioned the word Bible. It says: Invite towards the path of your Lord with strategic wisdom and refined exhortation and argue with them in a most decent manner. Surely your Lord knows him well who strayed away from His path and He also knows well the rightly guided. The reason why Quran has not mentioned it is because the Bible is not a revealed scripture. Bible is derived from the Greek word 'ta biblia' which means library of books. Ndacha seems not to understand the meaning of 'book' in the sphere of religion and faith. In this context the Quran, also the Book, is a SPEECH FROM ALLAH (GOD) SENT (REVEALED) TO THE LAST PROPHET, MUHAMMAD THROUGH THE HOLY SPIRIT, ANGEL JIBRIL (GABRIEL). It remains to be Quran whether this speech is written by Muslims or not. I have been following up Ndacha's arguments in many debates and I find that he lacks both spiritual and scholarly understanding of topics in discussion. Ndacha is only a comic who tries to captivate the hearts of those who lack insight. Ndacha, for you to convince people that the Bible is Devine, subject it to a simple test by checking its consistence. The Bible cannot stand this test because there are well over 100 verses in the Bible contradicting each other. A few examples here: 1 (a) And in the fifth month, on the seventh day of the month…Nebuzaradan…came…unto Jerusalem… -2 Kings 25:8 (b) …in the fifth month, in the tenth day of the month …came Nebuzaradan…into Jerusalem… -Jeremiah 52:12 2 (a) Jehoiachin was eighteen years old when he began to reign, and he reigned in Jerusalem three months. -2 Kings 24:8 (b) Jehoiachin was eight years old when he began to reign, and he reigned three months and ten days in Jerusalem… -2 Chronicles 36:9 3 (a) Two and twenty years old was Ahaziah when he began to reign. -II Kings 8:26 (b) Forty and two years old was Ahaziah when he began to reign. -II Chronicles 22:2 4 (a) And very early in the morning the first day of the week, they came unto the sepulchre at the rising of the sun. -Mark 16:2 (b) The first day of the week cometh Mary Magdalene early, when it was yet dark, unto the sepulchre, and seeth the stone taken away from the sepulchre. -John 20:1 5 (a) And it was the third hour, and they crucified him. -Mark 15:25 (b) …about the sixth hour… they cried out…crucify him….Then delivered he him therefore unto them to be crucified. -John 19:14-16 6 (a) Therefore Michal the daughter of Saul had no child unto the day of her death. -II Samuel 6:23 (b) But the king took the two sons of Rizpah…and the five sons of Michal the daughter of Saul. -II Samuel 21:8 These are clearly grave mistakes for a holy book to be overlooked. But the Quran is free from such mistakes and remains consistent and logical in its thought throughout. Furthermore the Bible has come under constant revision due to its inability to get in toes with changing time. But the Quran has shown its ability to adjust itself automatically and accordingly with the changes in time to meet the needs of humanity which has become increasingly complex. Such is the Book we see has a sacred source. Finally, I challenge Pst. Ndacha in this manner: Almighty Allah asserts : Assuredly We alone have revealed this Glorious Admonition (the Qur’an), and surely We alone will guard it. (Q 15:9) Show to the world any two verses in the Quran in conflict with each other like I did to the Bible.
@omargbabaomar2004
@omargbabaomar2004 5 жыл бұрын
Masha Allah
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Thanks
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Ndasha huna hoja unabadisha maneno ili wafuwasi wako wakuone unajuwaa aaaah wapi ndasha.
@mohammadalfani8004
@mohammadalfani8004 3 жыл бұрын
Apo kwa Ndacha ni msiba
@alindurya2852
@alindurya2852 4 жыл бұрын
Kwa Hakika Ustadh Yusuf nimekubali mafunzo yako, hata mtoto mdogo anaweze kuelewa mafunzo yako, ila kwa bahati mbaya Ndacha ni mshindani wa wazi wazi na anaweza kupoteza wengi kipumbavu.
@jeremiemutshindakahire9732
@jeremiemutshindakahire9732 4 жыл бұрын
Papasteur munguakulindenimeokokazaidi
@ustadhfarouq7729
@ustadhfarouq7729 3 жыл бұрын
Biblos kigiriki,biblia kiswahili,bible kiingereza na kiyahudi zinaitwaje maana si Yesu alitoka uyahudini.
@interiorpaintingdesign9307
@interiorpaintingdesign9307 5 жыл бұрын
Waislamu yani mtaacha uongo lini.?
@suleimanomar1096
@suleimanomar1096 5 жыл бұрын
Hilo swali ungewauliza walimu wako ndacha na wanzie
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
Aki wakristo tunawonea huruma saaanaa ...acheni kufwata ukristo Kwa sababu ukristo hauna dalili yeyote kua ni dini ..yesu hajakuja na kitabu kinaitwa bibilia ndio maana hakuna Neno bibilia ndani ya maandiko .
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Mathayo 24:24,waongo wametanjwa hapo
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 5 жыл бұрын
waongo nyinyi wakristo msiojijua ndata yuafanya mchezo wa vichekesho tu hana lolote yuawapotosha uyo
@halfaniland3850
@halfaniland3850 4 жыл бұрын
Hakuna kafiri mwenye akiri ya kiroho
@abedbin2794
@abedbin2794 4 жыл бұрын
Listening Ndacha is a loss of time so save us time dont bring us in your videos
@higahassib6614
@higahassib6614 5 жыл бұрын
Mnafiki huyo kijana hajui kitu
@nzakashabani3945
@nzakashabani3945 5 жыл бұрын
Walah ningeomba huyu ndacha mualikeni lolwe tv na yule bwana eshiloy myahudi bwana yusufu ukiwa kama atajibu lolote huyu muongo na kurukaruka tu
@MoherZO
@MoherZO 4 жыл бұрын
Ndancha anapoongea sisi waislamu tunamuangalia tu, tunasema kwa roho wewe ni kitoweo wewe.
@threebrothers..
@threebrothers.. 3 жыл бұрын
Muhamadi hajatajwa Kwa bibilia,muhamadi amekuja nyuma kabisa,I wonder why someone could force muhamad in the bible,it can never
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 3 жыл бұрын
Maoni yako hayo
@khalifmaalim5826
@khalifmaalim5826 4 жыл бұрын
Ndacha shame on you wacha kudaganya watu atii bibilia inatambuwa quran
@yakomoifakala9964
@yakomoifakala9964 5 жыл бұрын
Huana lolote yusufu
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Hahaha,Soma uelewe uko kwa darasa langu, shindwe
@wadimtwana7286
@wadimtwana7286 5 жыл бұрын
Huna ww mkiristo usoujuwa mkiristo ni nn.
@abdullahabdul7968
@abdullahabdul7968 5 жыл бұрын
Haulazimishwi kusilimu ni maamuzi yako
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
Ndacha ndio kachanganyikiwa......Kwa yussuf na team yake kaa ukijua hyo ni university ya mtume Muhammad....bibilia Yani hazielewani zinapingana ..
@bushadventureskenyaafrica9986
@bushadventureskenyaafrica9986 5 жыл бұрын
Asante sana ndaca kwa kufunza waislamu
@bigmanfish6346
@bigmanfish6346 2 жыл бұрын
Yani ukweli Uko wazi katika bibilia Lakini wakiristo bado washindani. Hawana akili
@chiefmkalikibz1503
@chiefmkalikibz1503 4 жыл бұрын
Ndata wacha kubabaika,ukitoa andiko jiamini Kafir Kaka...... WACHA KUTEREMA
@gaboonviper9705
@gaboonviper9705 5 жыл бұрын
Shindwe wewe Wambugu,,
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp
@YUSUFDA-WAAKENYAWhassapp 5 жыл бұрын
Shindwe katika jina langu
@fahadtimimi9335
@fahadtimimi9335 5 жыл бұрын
Shidwee ww timber ......nabii issa (yesu))ni wetu achanane nae sio wenu .....aliingia msikiti nynyi mnaingia kanisani muko opposite na yesu ...
@AaAa-kr9nb
@AaAa-kr9nb 5 жыл бұрын
shindwe ww usiye jijua ndacha hana lolote yualeta vichekesho.tu kuwapoteza nyinyi msio jijua na amtii akili
@gaboonviper9705
@gaboonviper9705 5 жыл бұрын
@@AaAa-kr9nb,,mapepo ya kiislamu pelekea Wambugu😂🤣shindwe wewe
@Awatee
@Awatee 3 жыл бұрын
@@gaboonviper9705 ALLAH akuongoze maana msiba
MJADALA KUHUSU DINI YA HAKI MJI WA NJIRU TAREHE 12:1:2020
1:56:04
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 76 М.
MASWALI NA MAJIBU NYANDIWA TOWN COUNTY YA MIGORI
1:22:14
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 41 М.
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
very interesting debate between ndacha and yussuf wambugu
2:50:44
BURHAN DAAWAH
Рет қаралды 2 М.
Nani wameahidiwa uzima ma milele kati ya wakristo na waisilamu
1:30:13
MCHUNGAJI ASHINDWA KUTHIBITISHA KUWA YESU N MUNGU
1:07:46
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 28 М.
UONGO WA NDACHA DAY 4,KATIKA MJADALA NJIRU 15:1:2020
1:47:58
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 21 М.
MASWALI NA MAJIBU- NDACHA NAKURU
1:06:53
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 149 М.
NDACHA ASHIDWA KUDHIBITISHA IBADA YA WAKRISTO
1:32:13
YUSUF DA-WAA KENYA 0728830597,0736253243Whassapp
Рет қаралды 45 М.
003 HABIB MAZINGE...KATI YA PAULO NA YESU NI NANI MWANZILISHI WA UKRISTO
2:30:22
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 173 М.