ZABIBU TABIA ZA HUYU MWANAUME ZIMENICHOSHA| BANGI NA POMBE NDO ANAJUA

  Рет қаралды 15,589

Maximum Tv Online

Maximum Tv Online

Күн бұрын

Пікірлер: 192
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Jamaa kabahatika kupata pisi Kali kama hii Tena bure alafu anashindwa kumhudumia,Atajutia Sana baadaye.
@faiongala3012
@faiongala3012 2 жыл бұрын
Sana yani pisi Kali atali
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Pisi Ila bange😄😄😄
@sabraalkhusebi4220
@sabraalkhusebi4220 2 жыл бұрын
Wewe rudi kwenu bado mdogo tafuta 'maisha acha wanaume na kuzaza fanya kazi acha bangi pia
@judithmelvinealuchio8968
@judithmelvinealuchio8968 2 жыл бұрын
yani zabibu murembo zaidi jamani tena nashukuru mungu ameanza kujielewa vizuri sana mungu azidi kumufumbua macho jamani mama mukwe zabibu akampata na wifi ila mume but awe anasali mke bora ndiye hujenga ndoa yake sali mama mungu ataskia kilio chako zabibu 🙏🙏🙏
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Kabisa ukimtegemea mungu hakuachi
@zamzamhaji1229
@zamzamhaji1229 2 жыл бұрын
Raha akienda kuwahoji zahir mwenyewe Naona Raha kuangalia kusikiliza 👌🔥🔥
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Natamani sana kusikia kuhusu wangonjwa.na yule wa kuoza mguu mrejesho bado.awa kinazabibu ni wazima wa afya. Apo anatulia ili mtoto asogee tu na atarud kijiweni kuendelea na maisha yake.. mungedili na wazee na wagonjwa.apo at ukitoa chochote inakuwa sawa..
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Sio mbunifu anarudia maswali ya nyuma ya kaka zahiri
@ashaali7154
@ashaali7154 2 жыл бұрын
Zabibu yote hayo uliyajua kuvuta bangi, kutokufanya kazi na bado ukampenda hadi kuzaa nae . Kwa vyovyote hawezi kubadilika mara moja hivyo uamuzi ni wako kusuka au kunyoa. Tafuta shughuli ufanye ili uendeleze maisha yako na mwanao.
@jescazablon7162
@jescazablon7162 2 жыл бұрын
Me mwenyewe nataman tu umuache kwa kwel zabibu mxur jmn zahir msaidie tu zabib apate kitu cha kufanya amlee mwanae hpo tabu tu hakuna maisha huyo mume kuacha pombe na bangi si kirahis hivyo msaidie tu hyu bint atoke tu kwa huyo kaka hakuna mume hapõ jmn nnisamee mtakaò kwazika na sms yangu me nimetoa ya moyon kwangù
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
True my dear
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 жыл бұрын
@@jescazablon7162 zahir uyo mutamchosha mpaka mpenzi na hucta za watu aingililie khaa
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 жыл бұрын
Kma kuna mtu zahir amejitolea kwake ni uyu bint ni mdogo sana alizaa mtoto wa kwanza uyu wa 2 na anataka kutoka maanake ashapata pakwenda akazae wa3 watu kukisha ni zahir msaidie aii
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 2 жыл бұрын
Zabibu hapo mume Huna unapoteza muda wako tu mume apendi kazi anategemea mama amlishie familia yake uyo mume boya
@saumusalimuhassan2499
@saumusalimuhassan2499 2 жыл бұрын
Ila kwa ushauri wangu mdogo wangu achana na uyo Mwanaume TAFUTA maisha yako, wewe ni mzuri sana.
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Naamini Zabibu ameacha bangi siku hizi maana anaongea point Sana Leo.
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
kweli
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
😄😄😄😄😅
@saeaaa8571
@saeaaa8571 2 жыл бұрын
Cbir pesa ipatikane😄😄n mtot atembee utajua km kaacha bangi au la
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
@@saeaaa8571 hawajaacha hawa wapuuzi ngoja atembee Huyo mtoto uone anarudi mambo yake
@khadijahali4837
@khadijahali4837 2 жыл бұрын
Tumuombee tuu kwa Allah aache mazima
@agnellapius8142
@agnellapius8142 2 жыл бұрын
Ila basi tu zabibu mzuri sana huyo mwanaume wala kwa kweli kwanza binti mdogo huyo mumeo anaonekana tu amna kitu aiseee
@aishachambo8663
@aishachambo8663 2 жыл бұрын
Wote wamoja hao wamekutana kijiweni
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@aishachambo8663 ni kweli
@zubedalema6634
@zubedalema6634 2 жыл бұрын
Ndio chaguo lake alimkimbia mama yake
@kiri5807
@kiri5807 2 жыл бұрын
@@zubedalema6634 Asofunzwa na mamaye , hufunzwa na ulimwengu . Maana halisi tutaipata hapo .
@mecksaloon81
@mecksaloon81 2 жыл бұрын
Haka kabinti kazuri ila kamekosea tu kwenye kupata Mme ambae siyo sahihi, Mungu akusaidie akupe hitaji LA moyo wako.
@leahmgogo9569
@leahmgogo9569 2 жыл бұрын
Wahuni wanapataga wasichana wazuri jamani daaah!! Uongo zambi zabibu mzuri saaaana huyo jamaa Wala sio type yake baaasi tuuu!
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Ndiomaana mama yake zabibu hamtak huyo bwana kaabisa sababu bang
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
@@missmoona4497 kabisa
@barakakusa7606
@barakakusa7606 2 жыл бұрын
Kweli pisi Kali Kama Zabibu alafu anaishi na msela kama huyu dah🤔
@fatmaally7252
@fatmaally7252 2 жыл бұрын
Ni kweli masela yaaaani huwa wana bahati utakuta mtu ana sula ngumu kama jiwe ila mkewe mashaallah
@kdeghtnzanea7187
@kdeghtnzanea7187 2 жыл бұрын
@@fatmaally7252 🤣🤣duuuh aya bn
@chani_tayra_official1860
@chani_tayra_official1860 2 жыл бұрын
Can you guys mtutolee uyo mzikii kweny background please
@kautharramadhan9395
@kautharramadhan9395 2 жыл бұрын
Na waachwe tena hawa loooh waongo kwanza mara kaja mara hajui kwasab yy alikua ndani uongo mpaka kwa hao wazazi
@munirachangawa2928
@munirachangawa2928 2 жыл бұрын
Kazi njema babangu saidi mmanyema.zabibu changamka mtoto akikua ufanye biashara.
@missmoona4497
@missmoona4497 2 жыл бұрын
Lkn zabibu haya maisha uliyataka mwenyewe huyo bwana unamjua toka hujapata mimba wamjua vizuuur sana, mama yako alikupambania utulie lkn hukumuelewa kaabisa. Sasa wayaona nakumbuka msemo usemwao mtt akililia wembe mpe. Huyo bwana mlifanana tabia kaabisaa nadhan utajifunza sasa.lkn unavyosema waondoka mtt utalea mwenyewe tafsir yake huo mzigo unakwenda mtupia mama yako kama yule wa kwanza.
@munakhamis982
@munakhamis982 2 жыл бұрын
Mume huna mdogo wang kinachoniuma ni muda ndio unapotea sema haya mapenz bhan unawez kuingia sehem mbaya lkn huelew
@zuwenaalesrizuwenaalesri7461
@zuwenaalesrizuwenaalesri7461 2 жыл бұрын
Zabibu arudi nyumbani anakaa hapo anafanya nini
@mariammwendakazungu5783
@mariammwendakazungu5783 2 жыл бұрын
Zabibu wa ssa kweli amebadilika hata akili zimemjia mungu akuongoze vyema ddangu ila tumia familyplan kwana ukae ht miaka5 ndo uzae tena
@Zainab_salat
@Zainab_salat 2 жыл бұрын
Jamani kawachoka Kaka zahir Kila siku na wao tu,zabibu usingeondoka kwa mama wako na ugomvi ungebaki kwenu tu
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
Zabibu ana akili kweli. Hongera
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Ana akili gani huyu kisosi tu
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
@@uwimanauwimana7692 hiyo ni kwa mtazamo wangu.
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
@@pilimusa3217 kabisa mtu hukosea kwa mtoto wa kwanza sio wa 2 zahir kampa mtaji wa kupika sambusa alicho mshukuru kwenda kubeba mimba ya teja mwenzie ,
@mdzainb3722
@mdzainb3722 2 жыл бұрын
Safari hii Zabibu anaakili au ndo ukubwa unaanza kuja🤣🤣🤣
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
😂😂Chezea majukumu we lazima. Akili iamke
@shamzone388
@shamzone388 2 жыл бұрын
Zahir kenda kusali taraweh mwacheni afanye ibada Kazi baadae...
@halimahalima1488
@halimahalima1488 2 жыл бұрын
inshaaAllah twamuombae awa ivo ivo
@fatmasaid4114
@fatmasaid4114 2 жыл бұрын
Uyo zabibu aondoke tuu hana ndoa kazi kuzini na Ramadhani yotee hii naende kwa mamaake kama huduma japo kibakulini apelekewe aepukane na3zinaaa
@salhidasuleiman6202
@salhidasuleiman6202 2 жыл бұрын
@@fatmasaid4114 kabisaa
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
Yaan kwa kweli kwa kina zabibu ni Zahir tu ndio kinanoga kipindi. Hawa wengine wanatia uvivu
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 жыл бұрын
Jmn acheni mmbo yenu husda kwan huyu anacho ongea n vby mbn mnakuwa n gumb km ndg wa mume Kwan huyu hawez kuleta kipnd
@zuweinaalhabsya8773
@zuweinaalhabsya8773 2 жыл бұрын
@@minakhamiskhamisi6193 Hakuna mwenye husda kwa kipi hasa tuwe tunahusda fikiria kwanza unataka kusema nini usitapike tu. Kwanini tunasema Zahir ndio Sawa kufanya interview kwenye hio family ni kwa sababu toka mwanzo ye ndio yuko nao story Yao yote anajua na anaweza kuwahoji, zaidi ya wengine.
@kholaalmahrizi8525
@kholaalmahrizi8525 2 жыл бұрын
Kwani hapo.mwanzo hukumjuwa kama anavuta bangi
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Ndoapo leo ndio kaliona
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
👌🏾
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 2 жыл бұрын
Zahir huyu Zabibu asikuchanganye atulie na huyu bwana asijifanye chizi kwani mwanzo anatoka nae hakujua kuwa hana kazi hadi akabeba mimba huyu ana utoto mwingi anashidwa hata na Munira anamnyanyasa Alfani sababu anajua akitoka hapo atapata msaada kwenu so avumilie walee mtoto wao ni sawa amuhimize kutafuta kazi lkn asimtishe mwenzie kila siku naondoka naondoka
@mauwarashid4823
@mauwarashid4823 2 жыл бұрын
mashaailaah_now_zabibu_unaongea_pwenti 2pu_mdogowangu_mungu_akushike_mkono_napia_enderea_kujierewa
@zaitunisinamenye1799
@zaitunisinamenye1799 2 жыл бұрын
Kijana anawaza bangi, kazi haiwezi.anataka kazi imutafute ao ni yeye yende akatafute kazi
@mariamjuma9486
@mariamjuma9486 2 жыл бұрын
Hapo hauna mwanaume mdogo wangu 🤔🤔, lea mwanao basi
@uwimanauwimana7692
@uwimanauwimana7692 2 жыл бұрын
Kwani na wa 1 salikua kama halfani teja, leo ndie anamuona hafai
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
😁😁😁😁
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 жыл бұрын
😂😂😁🤣🤣🤣🤣 Astaghfiru llah
@Randm-
@Randm- 2 жыл бұрын
Ukienda labour mara 2 tuu. Lazima akili ikae sawa.. Zabibu amka zaidi ya hapo..nenda katafute kibarua ulee mwanao. Hakuna mwanaume hapo
@sabraalkhusaibi5803
@sabraalkhusaibi5803 2 жыл бұрын
Hawa wanawake WA uswazi wanini mmetuwekea W anapiga kelele tu
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Mbona sasa ivi unaongea point😀😀👌
@HawaHawa-f7u
@HawaHawa-f7u 8 ай бұрын
Nikirudii natarajia kuhamia kwanguu usaminii mudaa ndugu yng watoto wawili alhamdiillah .
@zainabubalama8869
@zainabubalama8869 2 жыл бұрын
Zabibu Huyo mwanaume hakufai kabisa mwanaume yy ni vijiwe bangi tu.
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 жыл бұрын
Huwa kana nikoshaga njins anangaliaga watangazaji 😀😀😀 kazuri yaani bahati mbaya ndio ivyo tena kamejiaribu mapema mno😪
@minakhamiskhamisi6193
@minakhamiskhamisi6193 2 жыл бұрын
Macho Mazur walhi hadi yan zabibu n mzur ten mzur hp hkn matuzo lkn kazur jmn
@lucynelsonmungure1719
@lucynelsonmungure1719 2 жыл бұрын
Zabibu bila bange ni mzuri sana alafu karembo...ila uyo jamaa aeleweki tu jmn
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Mm vigezo vyangu anaejua dini mwenye hofu na allah (sw)
@يونيسايونيسا
@يونيسايونيسا 2 жыл бұрын
Kaka zahir kaeda wapi
@twahaanyoni9120
@twahaanyoni9120 2 жыл бұрын
Hiii yote kutosikia ya wazazi mama yako alikwambia utulie nyumbani uje kupata mtuu sahii kwenye maisha yako hona sasa leo hii unakuja kuchoka mapema kuhusu mwanaume wako ulie zaanae watoto wa siku hz huaga atusikilizi tunayo hambiwa na wakubwa zetu
@themalumalufamily1860
@themalumalufamily1860 2 жыл бұрын
Maximum sikuiz mna jichnganya na saut zamani mlikua mnarekod vizur lakin sikuiz saut inawazingua mrudisheni alie kua ana warekodia zamani
@sabihahamadi2287
@sabihahamadi2287 2 жыл бұрын
Aaaaa sijui niseme nini naona mtihani
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Zabibu usikimbilie pesa,pesa sio chochote cha muhimu mpendane na muheshimiane kilakitu kitakua sawa na chengine ni vle hamjaoana lkn mkioana baraka zitatiririka nyingi tu dadangu
@chani_tayra_official1860
@chani_tayra_official1860 2 жыл бұрын
Kwani Zahir iko wapi????ila na uyu mtangazaji nampenda
@zaiiomary8970
@zaiiomary8970 2 жыл бұрын
Mume huyu mtalajiwa majukumu ya mkee yanamshinda je akija kuoa ataweza kukiz mahitaji ya familiya zote 2 kweri jamaani huyu kaka bado damu inachemka achangamke achee bangii amlee mwanae mama anahitaji msaan na matumiz ya watot tena mtot akaleta mtot na mkee mama ndo mlezii duuh
@jenabmakobeh3694
@jenabmakobeh3694 2 жыл бұрын
Umekimbilia life mapema sanaaa chenye umekimbilia ushakipata sasa
@sharifahabsi5004
@sharifahabsi5004 2 жыл бұрын
Ujikinge namimba usije laumu tena umri bado mdogo fanyakaxi lea wanao
@mariamgodfrey53
@mariamgodfrey53 2 жыл бұрын
Zabibu michosho kweli kuna siku ulisema unampenda sana baba watoto wako na hamuachani leo imekuwaje tena. Binti mrembo lakini hujielewi
@magiriterandei2764
@magiriterandei2764 2 жыл бұрын
Mm naomba asaidiwe apate ka biashara akae mbali na mama mkwe wake,,,aone ikiwa huyo mume wake atapambana,,,maana sihizi vipe wapo pamoja na mama mkwe,,,ndio maana huyo mume hajichanganyi,,anajuwa mamake yupo atamlelea mwanae
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 жыл бұрын
Yaani asubirie na mwanaume hajitumi🤔
@credo7837
@credo7837 2 жыл бұрын
Wacha kupenda pesa nawew
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 жыл бұрын
@@credo7837 In your thick scalp,you think everything is about money🤔 Hivi watakula mapenzi?mtoto atavaa mapenzi?kama si wasamaria mwema nadhani uliona hali ya zabibu na mwanae alipo jifungua.Alafu nani apendi pesa duniani by the way🤔 Pesa ni sabuni ya roho hata waenga walinena alaar!
@lylieouko9569
@lylieouko9569 2 жыл бұрын
@@credo7837 mwanamme kujituma na kujukumika kama baba ni jambo la msingi.Zabibu akae kwa situationship in the name of what again?
@ruwaidaal-ismaily9099
@ruwaidaal-ismaily9099 2 жыл бұрын
Kumbe huwaga unaongea vizur🤣
@ayshamahariq6665
@ayshamahariq6665 2 жыл бұрын
umeona eeeh🤣
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
jamani Zabibu sasahv kichwa chake kimetulia, mana anaongea pointy tupu , zabibu natamani uolewe na kaka angu, lk2 ukiwa huu update mie nisawa nabure
@khadjaiddlis283
@khadjaiddlis283 2 жыл бұрын
Tabia nisawa na ngozi yamwili hata ujicreem vp kama mweusi mweusi t,,hy Halfa akipata pesa ndio ulevi utazidi maana mwanaume lazima aumize kichwa familia yake itakula vp kutwa namarafiki wasio msaada
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
I jnkaujq pale mtt wakiume ukiwq inategemea mama kwa kila kitu maana anqtqfutq majanga. Anajuwa mama yupo I ndo tatizo
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 2 жыл бұрын
Tulikwambia zamani lakini hikutusikiliza ona sasa
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 2 жыл бұрын
Zabibu funguwa macho maana ukisema nakama kwa sababu mama mkwe mzuri na wifi mzuri inamwisho maana mama Mwenyewe anataka msaada itakuwaje
@HawaHawa-f7u
@HawaHawa-f7u 8 ай бұрын
Zabibu lea mtoto akichangamkaa jipambanie ujee omanii kutafuta maisha utalea wanao bilastrees
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
ZABIBU NIKIRUD TZ INSHAALLA NITAKUTAFUTA MUNGU AZD KUTUPA MAISHA MAREFU, NAKUPENDA MDGO WANGU UNAYO YAPTIA YANANIUMA SANA WALLAH🤔
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
jiandae mimoshi ya bange humo ndan 😁😁😁😁🤒🤒🤒🤒
@faridaabdallah2213
@faridaabdallah2213 2 жыл бұрын
@@sifatiiman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mtihani huo wa maisha zabibu njoo oman ufanywe kazi usitengemeye maisha ya mwaname hana ishuu huyo hana mbele wala nyumba kama nchi wa sabuni
@carolinelupembe5924
@carolinelupembe5924 2 жыл бұрын
Hii familia inajitambua Sana ila wameona wanasaidiwa wanajisahau wanafikiria Kila siku msaaada Kuna watu Wana mazingira magumu hao wate wanauwezo wa kufanya kazi au biashara Kama kusaidiwa wamesaidiwa
@aisharevelian6933
@aisharevelian6933 2 жыл бұрын
Tatizo sisi wasichana tukiambiwa hatusikii had yatukute kama hivi ndo akili inakaa sawa kama hivi
@abujunaidi3354
@abujunaidi3354 2 жыл бұрын
unaharibu programma maximumum tv. ,hao vijana wana nguvu zao.utamu bado wanao wanahisiana.wakiwa kitandani utamu wanaona utamu.hao hawataki kufannya kazi.wanataka pesa za kupewa mpaka wakiwa wazee.fanya program za maana watu wanotaka kupoteza maisha.wagojwa.
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
Waitaji ni wengi kuna wagonjwa wazee pia watoto wa mitaani ndio wanafaa kuwafuatilia..awa awataki kujishuulisha wamategemea maxmam.
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Mtu mzima ana miguu2 Mikono2 hawez kufanya kaz anategemea misaada wanaostahiki kupewa misaada wagonywa wazee na watoto wa mitaan hao walemavu wanafanya kaz itakuwa nyinyi?
@thumnathumna5946
@thumnathumna5946 2 жыл бұрын
@@salmsalmo931 nashangaa sana wsnapochangiwa walio na afya wakat kuna waitaji wanateseka.tunayumba sana.
@magiriterandei2764
@magiriterandei2764 2 жыл бұрын
Zabibu,,,usiseme ww bado ikiwa haupo mbali na nyumbani biashara unaweza kufanya,,maana ashamaliza 40,,,so nivyema afanye biashara
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
Huyo mwanaume wa zabibu hajielewi kabisa mbona kazi nyingi mjini hata kubeba zege kazi pia yeye anasubilia kazi gani mhm mtihani
@tiaraoscarjuma4522
@tiaraoscarjuma4522 2 жыл бұрын
Mmh ya ukweli hayo? Zabibu si ulimkubali akiwa hana hela hivyo hivyo leo tena unamuona hana hela? Hivi kwa nini ulikimbia kwenu? Sasa matokeo ndio hayo🤷‍♂️
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
😁😁😁🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 2 жыл бұрын
Ndo utulie we binty acha kuhaha na wnaume
@zainakwemai3482
@zainakwemai3482 2 жыл бұрын
Tunamsifia huyu Zabibu lkn nayy nisikio lakufa halidikii dawa Tambua kabla ya kuipata mimba kk Zahili alikuwa Benet sana nahuyu Zabibu kusud abadilike lkn wapi Hawa hawanashida cz wanajua Kuna maxmamu Tv wapo na mikono miguu na sio wagonjwa waacheni wapambane nahali zao naona bd hawajitambui kk Zahili kamhangaikia Zabibu lkn wapiii
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
👍
@HawaHawa-f7u
@HawaHawa-f7u 8 ай бұрын
Mm binafsii niliteleza nikaolewa na bwegee kamailooo halijitambuuii yeye ninanii ila niliachana naloo nikajipambania safari niko omanii mwaka 3 huu watoto nasomesha nalisha kilamwezii maisha yanaendaa vizurii tu
@fetychina3273
@fetychina3273 2 жыл бұрын
Apo unapoteza muda dada tafuta biashara ufanye ndio ujifunze sasa usirudie makosa na piaumsikilize mama
@fatimasalim597
@fatimasalim597 2 жыл бұрын
Zabibu hio pesa ya mahar mbona ndogo sana mdogo wangu uko tayar uolewe kwa laki 2 kweli unamapenz ya zat na baba wa mtt wako
@azizamohamed7692
@azizamohamed7692 2 жыл бұрын
Hiyo laki mbili kutoa mbinde akitaja million wataitoa wapi wakati mtaji wenyewe mm ake kachamgiwa
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Laki2 mahari nimechoka sana
@keyla3641
@keyla3641 2 жыл бұрын
Zabibu mwanaume anafuta madudu huyo sio mbangi tupu mumuambie ukweli asije na yeye akaingia kwenye hilo janga lazima zabibu ajue
@consolatamaunde8967
@consolatamaunde8967 2 жыл бұрын
Zabibu ebu acha ujinga mwe! mbebe mwanao kafanye biashara sio kazi kalalama tu. Kila ukiulizwa kuhusu biashara unjibu mimi bado kwanza bado kwanza kitu gani? Mtoto siku 40 anabebeka kabisa uyo acha kujiregeza jamani
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 жыл бұрын
Mimi nipo oman nafanya kazi sihitaji mwaname aliekuwa hawezi kujituma alikuwepo moja anitengemeya mimi nimemuwacha sina masiliyano nae mjinga tu anisubir nisaidiye bass pesa bass hana shida na mimi
@faridamaamary9857
@faridamaamary9857 2 жыл бұрын
Maadam mama mkwe na wifi wanakupenda na kukuthaminibasi kaa nao walee kiumbe chao na Khalfan tupilia mbali wala usimuhudumu na chochote. Usimuekee maji ya kuoga wala chochote na lala chumbani kwa mkwe wako au wifi ikiwa hana mume. Sahau kama Khalfan huko hai na akikunyanyulia mkono nenda shitaki serikalini bila hata huruma, huyo ni hayawani.
@marymuchina1481
@marymuchina1481 2 жыл бұрын
Asiedikia la mkuu huvujika guu
@rehemahramadhani3428
@rehemahramadhani3428 2 жыл бұрын
nakumbuka ramadhani ya mwaka jana 2021 zabib alikuwa ananyonyesha ramadhan y mwak huu pia unaulez amka mdog wangu weka hata kijit uwasogez hao watoto maan huy mume 0
@asiabakari2768
@asiabakari2768 2 жыл бұрын
😀😀😀😅rehemah ,,umenichekeshaaa
@rehemamkumbo8353
@rehemamkumbo8353 2 жыл бұрын
Kikubwa hapo wewe zabibu jitambue kwanza na kuwa na msimamamo n amaisha yako kama mme anakupenda atakuthamini tu Ila thamani ya mama ni kubwa sana na siku akipotea mama utapata tabu sana kwa sababu humsikilizi mama Ako tulia kwenu kuzaa sio kitu sawa na hapo mme huna kwakweli
@ramlaramadhan8316
@ramlaramadhan8316 2 жыл бұрын
Wakwanza leo
@ummutaswaufi3980
@ummutaswaufi3980 2 жыл бұрын
Hii familia tupumzusheni jaman acha wa pambane na hali zao
@devothaignatus5911
@devothaignatus5911 2 жыл бұрын
Cc tnapenda umbea tuache cc tufatrie
@maryamdunga3896
@maryamdunga3896 2 жыл бұрын
@@devothaignatus5911 😂😂😂
@iconnam9014
@iconnam9014 2 жыл бұрын
Weeee tuachie sisi
@zainabuhamisi742
@zainabuhamisi742 2 жыл бұрын
@@devothaignatus5911 hahaaaa jomon kumb tuko wengi
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Katoto ka zabibu nacho kanapungua jamani zabibu anamawazo
@fatmamansour676
@fatmamansour676 2 жыл бұрын
Ssa kila siku bwana hamna kazi anasema ssa pesa za bangi na ulevi anapata wapi hio ya kununua bangi kwanini asimpe mwenziwe ya malezi
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Kaka zahiri mpeleke soba huyu kijana kwaajili ya usaizidi zaidi Ili awe sawa ata afya yake sio nzuri pia zabibu tumchangie geto tofauti na apo asaidiwe chumba alee mtoto wake akikuwa apewe mtaji kidogo afanye biashara kaka wakati mume wake yupo soba akitoka soba akili imemkaa sawa weka no ya MCHANGO kaka
@sifatiiman
@sifatiiman 2 жыл бұрын
hakuna kucjangiwa hao kuna wagonjwa wangapi unaenda kusaidia mateja
@salumleja7800
@salumleja7800 2 жыл бұрын
zabibu apo una mwanaume mlee MTT usiongeze tn nauyo fan ana majabu watu tunatafuta watt yy nashindwa kudumia mmh pole kwa mitian ndo dunia pamba mdogowangu atakua2 uyo ila ukizaa tn sasaivi nitakuona ujitambu naujielewi pia
@زيتونتنزانيا
@زيتونتنزانيا 2 жыл бұрын
Umri ulionayo sio wakuzuzuliwa nakibwana kama hicho tafuta pesa mama ujipange atakuja mume umpendae
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Ukiwa na pesa watakuja wenyewe utachagua umpendae
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Zabibu kapungua jamani
@khadijaali4657
@khadijaali4657 2 жыл бұрын
Kaka Zahir leo yuko off
@zainabually2968
@zainabually2968 2 жыл бұрын
Laki 4 mmh mbona ndogo jmn
@rehemamkumbo8353
@rehemamkumbo8353 2 жыл бұрын
Hawesi PATA hiyo pesa Rudi nyumbani ndio atapambana na sio kukaa kwao hapo hawezi kutafuta chochote Rudi kwenu ukakae na mama yako akikuitaji atajutahidi kupambana
@rehemamkumbo8353
@rehemamkumbo8353 2 жыл бұрын
Hapo watafuta kupata mimba nyingine tu zabibu na ndio utaiona dunia inakuelemea umri mdogo kazi huna kujishughulisha huwezi pia
@hassinaalharthi5984
@hassinaalharthi5984 2 жыл бұрын
Ndiyo hayo mama Zabibu aliyo ya kataa wakiona nakuzidi kuzaa itakua shinda nyingi tuu..
@fatmaalnabhani3609
@fatmaalnabhani3609 2 жыл бұрын
Hapo umesema zabibu
@salmasalma8203
@salmasalma8203 2 жыл бұрын
Hyo mume wa zabibu achngmke kutfuta kaz bangi za nn lakin
@hawaramadhani6954
@hawaramadhani6954 2 жыл бұрын
Zabibu mwenyewe anavuta bhangi na mwanaume wamekutana hukohuko sasa kwanini aanze kulalamika mwehuuuuu angetulia si angepata mwanaume anayejielewa😒😏
@saidimoshi1276
@saidimoshi1276 2 жыл бұрын
Huyu Jamaa muonekano wake ni bangi gongo na uwenda hata kupata kazi ndio sabb ya kunyimwa kazi
@mariamushi9662
@mariamushi9662 2 жыл бұрын
Hasipohoj zahir havinog uwi
@dahuulyale5297
@dahuulyale5297 2 жыл бұрын
Zabibu mzr jmn nyie maxmam tv kaka zahri embu mpangieni chumb zabibu mbli n maeneo y kwao ili mwanaume asimsumbue then afanyekibiashr ch kumkim yy na mwanae
@maligeltabatholomeo8128
@maligeltabatholomeo8128 2 жыл бұрын
Nimemmisi zahili jamani
@mwajomaessa7513
@mwajomaessa7513 2 жыл бұрын
zabibu mdogo wang wew bado mdogo san achana namaswala ya ndoa kwasasa lea watoto wako tuu
@wema3619
@wema3619 2 жыл бұрын
Alafu Aendelee Kuzini😏😏Ushauli WaKiStupid 🚮
@faidhaally4672
@faidhaally4672 2 жыл бұрын
Ndoa ni Jambo la Kher lakin sio kwa huyu choka mbaya
@askaounga6456
@askaounga6456 2 жыл бұрын
Zabibu mrembo, I wish anaweza Badilika , apate mume wakumfaa simpendi huyu kijana haki sio kwa ubaya, I just don't like him
@radhiasalum7156
@radhiasalum7156 2 жыл бұрын
Chaneli unazo Dili nazo matokeo ndo hayo.cja msingi usidhalau mamayako .nyumbani ni nyumbani we bint
@salmsalmo931
@salmsalmo931 2 жыл бұрын
Wakiwa kitandan yote atasahau aliyoongea chezea utamu weeeeee
@ifrahrashid8695
@ifrahrashid8695 2 жыл бұрын
Binaadamu haweshi kulalamika jamani kwani mmelazimishwa kuangalia nyinyi mnafikiri asipo post vitu kama hivyo riski yake na yeye ataipata wapi au nyie mtampelekea kila mwezi
Nondo anazungumzia kutekwa kwake
15:36
DW Kiswahili
Рет қаралды 14 М.
Deadpool family by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 4,5 МЛН
Accompanying my daughter to practice dance is so annoying #funny #cute#comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 25 МЛН
💥ФЕЙГІН повернувся із СУДЖИ і шокував заявою
36:27
Телеканал Прямий
Рет қаралды 275 М.
WIFI WA ZABIBU AFUNGUKA MAZITO |APUNGUZE WANAUME |MIMI NAMPENDA SANA
21:08