Kama mungu ametenda wema kwako ebu nipee likes ❤❤❤❤❤
@AnastaziaHerman-nw2btАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@collinsbett7096 Жыл бұрын
all comments seems to come frome 🇰🇪. Waiting for the album🙏
@DebyAugustino-yj5gu Жыл бұрын
Mung awabarki jaman nawapenda ❤❤❤❤
@benoyugi Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️Atafanya kitu subiri tu kidogo
@barakagospelchoirbgcfpctmp5958 Жыл бұрын
Kaz njema Sana!!!
@nduwayesujbaptiste2057 Жыл бұрын
Subili na wewe atafanya kitu Ongeleni sane waimbajii wenu
@musembikimeu331919 күн бұрын
Ni subiri
@HellenaLupumbwe3 күн бұрын
Why
@feli6manangu182 Жыл бұрын
Jamani hivi mnajua tuna wapenda sana kama unawapenda like hapa mwimbo wa kuaza nao mwaka ila mfupi sana video nzuri 💓💓💓💓🇰🇪
@irenemashallo2311 Жыл бұрын
🔥 🔥 🔥
@emmanuelzabron9630 Жыл бұрын
Barikiweni sana🙏
@Kennedymumo-e3c Жыл бұрын
🔥🔥🔥🙏
@fikirijumbe9950 Жыл бұрын
O
@babrawanjala3296 Жыл бұрын
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@Waithirawanjeri89912 ай бұрын
2024 ukifika hapa , nipee subscribe ❤
@SamwelAziz-pb4zz12 күн бұрын
Who's here in October 2024 be blessed ❤🙏
@j.o.mbabjared.5565 Жыл бұрын
Amina, kwa Imani twamsubiria yeye🙏🙏
@MissChumba Жыл бұрын
All waiting Kenyans like hapa🇰🇪
@KipkoechAron Жыл бұрын
Niko ndani
@queenwere1 Жыл бұрын
Tuna ngoja kabisa
@lilianmwikali1458 Жыл бұрын
Tuko ndani
@BestinaLaison5 ай бұрын
@@KipkoechArona😊
@MilaKavwaiАй бұрын
Hapo sawa 🎉❤🇰🇪
@madoratv Жыл бұрын
WAZUNGU WAPAGAWA NA WIMBO WA ZABRON SINGERS MKONO WA BWANA TAZAMA ... kzbin.info/www/bejne/Y4KciIRrbr2AabM
@febroniamukandi8150 Жыл бұрын
Wangapi tunasema huu wimbo unabariki. Hebu piga ka like hapatukubaliane✔️
@AnastasiapaschalAnastasiapasch Жыл бұрын
Unabaliki
@happynessdismas29062 ай бұрын
Mm nko tayar kuokoka kuwa msabato nasema kwa Iman Nko tayar kuacha maovu yote
@aselaabeli853Ай бұрын
Karibuuuuu sanaaa
@mercynyakongo5164 Жыл бұрын
Amen, sitachoka nitasubiri Mimi nibarikiwe na mtoto
@ngelejamaziku2319 Жыл бұрын
Kuna kwaya halfu Kuna hawa zabron mungu aendeleee kuwawek kwa ajili yet amhawah niangusha ❣️
@janethfred4047Ай бұрын
2024 imenileta hapa❤❤❤
@richiesegera9075 Жыл бұрын
Kenyans really love you ❤️ Mungu awabariki Kenyans let show love
@joykendi5666 Жыл бұрын
I'm here from Kenya
@shadrackelikana7402 Жыл бұрын
Baada ya NDOA inanibariki sanaaaa
@صالحهمحيا-ق1ش Жыл бұрын
Amen
@novotechenterprises8747 Жыл бұрын
Kwa kweli hamjui tuu mnavyotubariki. Tunawaombea huduma yenu iendelee kudumu na kumtukuza Mungu.
@gladysjeby9686 Жыл бұрын
naam. wacha nisubiri Mungu wangu
@clintonniima5320 Жыл бұрын
Kazi nzuri Mungu awapiganie zaidi
@nelsonwilliam7578 Жыл бұрын
Kweli ni mwendo wakusubili tu
@eliudzacharia6393 Жыл бұрын
sina mengi ya kusema lakini mnachonitendea kuhusu wimbo❤️❤️❤️
@joycelazaro1923 Жыл бұрын
Jaman watumish mungu azid kuwatia nguv kwa Kaz nzur nabarikiwa saaanaaa
@bonarerimakori Жыл бұрын
Nimehama kitengo cha kulialia sasa nipo level ya kufurahia.. Amina! Tupo na Mungu.🙌 Zabron, wimbo mzuri sana kama kawaida 🙏❤️
@ngalacarlo3244 Жыл бұрын
Am waiting coz i know this is my year of blessing am blessed by this song may almight God bless u abundantly
@mikefedereco3334 Жыл бұрын
Zabron, wimbo mzuri sana.
@WilsonEmmanuel-bs6op Жыл бұрын
Najua sitalia tena nimebarikiwa Sana nauwimbo mbarikiwe Sana mungu wanga hawape maisha malefu
@denisedward2983 Жыл бұрын
Amen Amen
@tinanana7725 Жыл бұрын
Nasubiri...najua atafanya kitu.
@danieldoyi6835 Жыл бұрын
MUNGU awalinde
@glorymathayo4898 Жыл бұрын
Tanzania tunawapenda kma mpo mnawapenda Mimi like hapo ndugu
@DonzyKamathi-yv5ud Жыл бұрын
Great.inspirational
@peninakirita7614 Жыл бұрын
Halleluya,hata Mimi nasubiri sababu najua atanifanyia kitu.
@winnerjudith2007 Жыл бұрын
nimebarikiwa sana huu wimbo.jamani
@donathalyamuya8372 Жыл бұрын
Hongereni jamani Mbinguni watunze this year tuone Mambo makuu aliyokusidia katika kueneza injili yenu nice song 👌👌👌👌👌
@donathalyamuya8372 Жыл бұрын
Mungu wa Mbinguni watunze
@lightnesstemba1719 Жыл бұрын
Nzur sana umenibariki
@manenoshinasa3833 Жыл бұрын
Kimsingi tushahama hizo level, nowdays ni full tumaini ndani ya Yesu
@blessedbecky7474 Жыл бұрын
Amina. Kwa kweli wote tusubiri Mungu atafanya kitu.
@kayembajohn9359 Жыл бұрын
Nadhani hii kwaya inatakiwa kuwa na darasa la mziki pale UDSM ama ST augustin kwa faida ya Taifa
@emmanuelzabron9630 Жыл бұрын
Asante Tungependa kupata hilo darasa pia😊
@mcibralipuli640 Жыл бұрын
Hata mimi ninawapenda sana Zabron
@florencemwikali1768 Жыл бұрын
Nisuburi tu kidogo...atafanya jambo.....This song😭😭😭😭😭😭😭🙏
@sauud2some471 Жыл бұрын
Ameen🙏🙏🙏💃💃💃💃
@manyaramanyara8872 Жыл бұрын
Mungu hapewe heshima 🙏🙌
@sebastiankyalo116 Жыл бұрын
amen
@evalynkemumamagoma2856 Жыл бұрын
Amen 🙏😇🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@epemignatius8380 Жыл бұрын
Nawakubali sana toka Kenya
@maryblessing5798 Жыл бұрын
Wakenya hatuwachwi nyuma,, hakuna jambo gumu kwa mungu🔥🔥🔥🔥🔥💯🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@MilaKavwaiАй бұрын
Ameen 😇 🙏🙏
@tabinyumu3847 Жыл бұрын
Nasubiri afanye kitu. Nina imani
@edinaedwin3758 Жыл бұрын
Mnapendazaga nyie nyimbo zenu zinabariki mavazi yenu mashalla mbarikiwe sana
@denismusilipapa2981 Жыл бұрын
Nawapenda saana Kenya na East Africa kwa jumla
@elvisjonas8520 Жыл бұрын
Bravo wapendwa
@mutembeijuniorofficial2627 Жыл бұрын
Nawapenda sana jamani
@marielauresafi9841 Жыл бұрын
We are waiting
@deboramaregesi2091 Жыл бұрын
Wap Dotto wapendwa
@gidionjeremiah151 Жыл бұрын
Barikiweni sana wapendwa
@marymwambola8880 Жыл бұрын
Hakika anafanya Mimi ni shahidi
@KuzaNewsKenyaTV Жыл бұрын
Indeed amazing
@kalemberehema1205 Жыл бұрын
Nawapenda sanaa hawa watu jmn
@priscambogoso Жыл бұрын
❤❤❤❤Mungu awabariki sana
@pwoka5208 Жыл бұрын
All who have listened to it jus wait a little bit and God is gonna answer you... His time always the best... Be Blessed 🙏🏼 ❤️
@felistahwanjiru2214 Жыл бұрын
Amen
@choosenelizabeth9403 Жыл бұрын
Me me me
@Kwa123 Жыл бұрын
Amen
@godfreynyangigi2135 Жыл бұрын
Waoooooooooo sana wanangu wa mungu nawapenda ila hamujui tu💚💚💚💚💚💚💙💙💙💙🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏🏽🙏🏽one lovies
@godfreynyangigi2135 Жыл бұрын
Sana sana👋👋👋👋👋👋👋👋
@denismusilipapa2981 Жыл бұрын
Mungu hawabariki
@merinaelia3152 Жыл бұрын
Amina sana yanii nasubiriii kwakweli afanye kitu 🙏🙏
@bonifacenicholaus5167 Жыл бұрын
Asanteni sana Kwa zawadi hii ya mwaka 2023.
@aselaabeli853 Жыл бұрын
Nawapenda sanaaaa zabron singers mungu azid kuwabarikiiiii mzidiii kulitangaza jina lake kwa njia ya nyimbo
@frenkclement6673 Жыл бұрын
Amina Sana hakika tunapaswa kumshukuru Mungu na pasipo kuchoka🙏🙏 ahsanteni sana
@mercymutuku1808 Жыл бұрын
Patiently waiting🙂
@TabithaMbavi Жыл бұрын
I love that song
@elizabethatieno9211 Жыл бұрын
Tunahamia level za kufurahia🎉🎉💪💪🙏🙏
@Mumbejjaracheal Жыл бұрын
Amen mungu ni muzima😋😋😋🤟
@suzanlyimo3909 Жыл бұрын
Mbarikiwe
@elinya4379 Жыл бұрын
Mungu ypo 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🥰💯
@fabyscarl Жыл бұрын
kenyans lets gather here
@iribori9106 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana nawapenda
@mercymueni4538 Жыл бұрын
Sending love and much blessings.
@edmondkwizera8550 Жыл бұрын
Waiting for it
@brendangina8366 Жыл бұрын
Waiting
@burundiai Жыл бұрын
We are ready
@AnittaImish-c7oАй бұрын
Siezi choka kusuburi Nina imani yesu atafanya kitu🙏🙏🙏
@devdeehtv8050 Жыл бұрын
Amen🔥🔥🔥💯🇰🇪
@manangajunior Жыл бұрын
Nice songs . Ukweli atafanya
@thee_jimmie254 Жыл бұрын
Queens and kings of Africa Choirs ❤❤❤❤ .somebody like this my comment.Nikirudi niitazame tena Hii Video....Mapenzi ya dhati kutoka Kenya,Mjini Nairobi.❤
@onchombamilkah8378 Жыл бұрын
Amen ,,,tenda kwangu baba na mimi
@rosechunji7143 Жыл бұрын
Ameeeen....amenitendea mengi na bado atanitendea mengi, nasubiri Kwa Imani.Mungu aendelee kuwatumia Kwa kazi yake.Baraka
@BabungaSafari-v1cАй бұрын
Pole.sana.wadungu.zetu.kumupoteza.marco
@chiriijoy9368 Жыл бұрын
I never get enough of all your songs much love from. Kenya kama unapenda zabron dogs mnipe ata likes 500 tu
@benardmecha3579 Жыл бұрын
Eti zabron what?
@Sylviawavinya-u3xАй бұрын
Leo huu wimbo umekua kwa baraka kwangu🎉
@beckyzipjay2169 Жыл бұрын
Kipindi Cha mwaka Jana nilipitia mengi and I feel that this song is addressing me.Much blessings,much love❤️🇰🇪🇰🇪.Wapi likes za #Japhet👍
@magasalvatory5553 Жыл бұрын
Barikiweni wimbo mzuri sana
@ibrahimkunei4835 Жыл бұрын
Gud job Sanaa heko ...salimia Jamila dotta
@MagdalenaEmmanuel-t7gАй бұрын
wameimba vizur mno mung awabaliki waendelee kueneza injil ya bwana 🙏🙏
@dericko10 Жыл бұрын
Zabron mmebarikiwa sana ,,,,huki qatar kabla niingie kazi mimi usikiza ile ngoma ya umenigharimu mara kumi hivi mungu awabariki sana
@michaeladriano6116 Жыл бұрын
Nyimbo nzur hongereni sn
@emmanuelzabron9630 Жыл бұрын
Asante sana
@Nafula._kE Жыл бұрын
Representing 254 🇰🇪 ....Thank you for being a blessing
@davidngailo7966 Жыл бұрын
Mungu awabariki hakika namsubiri Yesu naamini atafanya kitu
@hrehemaandreson1970 Жыл бұрын
Nasubiri, nasubiri Yesu atafanya kitu Amen,Amen
@beritawambani5748 Жыл бұрын
Ameen ametenda mengi hata Niki hesabu sewizi maliza.🙏🙏
@merinaelia3152 Жыл бұрын
Jamani tunawapenda Sana na ninabarikiwa na nyie🙏
@kelvinmeena1370 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah wimbo mzuri saana Amen
@tuk_talk Жыл бұрын
Great song Zabron 💯 listening from Garissa-Kenya...