ZAIDI YA BILIONI MOJA ZAWEKEZWA KWENYE MRADI WA KUKU NA MBUNGE WA KWIMBA

  Рет қаралды 24,157

GSengo

GSengo

5 жыл бұрын

Mbunge wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza, Shanif Mansoor (CCM) amewekeza zaidi ya shilingi bilioni moja katika shamba kubwa la kisasa la ufugaji wa kuku wa mayai wapatao elfu 35 katika eneo la Nyanguge wilayani Magu mkoani hapa.
Pamoja na kufunguka kuwa kwa sasa anauhaba wa mahindi kwa chakula zaidi ya tani elfu sitini, Mansoor ambaye ni Mkurugenzi wa shamba hilo liitwalo SMJ Poultry Eggm Farm amesema kuwepo kwa shamba hilo kumekuwa fursa kwa wakazi wa wilaya ya Magu kupata ajira licha ya kukabiliwa na changamoto ya uingizwaji wa mayai ya magendo toka nje ya nchi.

Пікірлер: 19
@vitusnicodem9620
@vitusnicodem9620 2 ай бұрын
Safi sana
@hildajohn4526
@hildajohn4526 4 жыл бұрын
Wewe unatuua wafugaji wadogo unauza mayai bei rahisi ukweli nakuambia acha kushusha bei ya mayai na sisi wafugaji wadogo tupate hela
@mwanatz5980
@mwanatz5980 Жыл бұрын
Kazi nzuri
@josephkahindi5705
@josephkahindi5705 5 жыл бұрын
ongera san🤝🤝
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 4 ай бұрын
Kwa mbunge sishangai wanapata hela nyingi sana hawa watu
@gemkachar
@gemkachar 5 жыл бұрын
SAFI sana
@davidmziray2048
@davidmziray2048 5 ай бұрын
Unalipa kodi
@athanasirand811
@athanasirand811 5 жыл бұрын
Naomba kupata namba za hao nahitaj kuwa na ahiza mayai mengi sana
@dorcasmonga6608
@dorcasmonga6608 2 жыл бұрын
Siku nyingine usiruhusu watu kwenye mabanda hata kama wamefanya bio security,usivae nguo nyekundu kwenye kuku wa mayai.
@nantaembanusurupia5674
@nantaembanusurupia5674 2 жыл бұрын
Kwa nini rangi nyekundu?
@nekashash2190
@nekashash2190 2 жыл бұрын
Soko la ndani utakuta yai litauzwa sh50
@smartmkambala5395
@smartmkambala5395 4 жыл бұрын
Naomba nisaidiwe namba za hao watu
@nekashash2190
@nekashash2190 2 жыл бұрын
Tani 60 za mahindi kwa mwezi?
@leonardrevelian4733
@leonardrevelian4733 2 жыл бұрын
Saf
@hildajohn4526
@hildajohn4526 4 жыл бұрын
Kwann usizalishe kuku unazalisha mayai sio poa hata huyo mbunge anaunga mkono lakini sio poa watanzania tufanye kazi
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj Ай бұрын
Acha wivu soko lipo kubwa sana, ww unazalisha tray 3 halafu Bado unalialia kuwa anashusha Bei? Mpuuzi kwli
@francislucas1169
@francislucas1169 5 жыл бұрын
Naomba namba ya simu kwani nahitaji mayai yabiashara Niko bariadi
@athanasirand811
@athanasirand811 5 жыл бұрын
Vp namba ulipata kaa namei nahitaji
@abdullasalim279
@abdullasalim279 5 жыл бұрын
Huo Ni ukatili wa wanyama vipi uwanyime uhuru wao wa kutembea.na ukawafanya wao kua wafungwa wa kukutumia wewe ... usitumie kigezo cha malipo ya chakula kwa manufaa yako .. HAKI YA WANYAMA.....
How Much Money Will 1000 Chickens Earn You a Month?
11:03
Farm Up
Рет қаралды 70 М.
ZIJUE CAGE BORA  ZA KUKU WA KISASA, ENEO DOGO KUKU WENGI
11:17
DONGO MEDIA TZ
Рет қаралды 10 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
6th INTERNATIONAL CONFERENCE ON GLOBALIZATION & INTERNATIONAL RELATIONS | August 2, 2021/ TURKEY.
18:23
AYGÜN ALİYEVA - DƏRS VAXTI - İNGİLİS DİLİ
Рет қаралды 6
EPUKA HASARA ZA KUFUGA KUKU WA MAYAI
3:29
MKULIMA SMART TV
Рет қаралды 1,5 М.
SHAMBALULU: UFUGAJI KUKU WA MAYAI KISASA.
28:07
ITV Tanzania
Рет қаралды 16 М.
Mbunge wa Kwimba awekeza zaidi ya bilioni moja kwenye kuku
5:49
BMG ONLINE TV
Рет қаралды 121 М.
BANDA LA KUKU 1000 - 1300, SEHEMU YA TATU
11:17
Charity Farm
Рет қаралды 36 М.
How Paris Pulled Off One Of The Cheapest Olympics
12:25
CNBC
Рет қаралды 986 М.
Happy 4th of July 😂
00:12
Alyssa's Ways
Рет қаралды 70 МЛН