No video

Zaidi ya wakulima 300 nchini wanufaika na mkopo wa matrekta

  Рет қаралды 3,056

Azam TV

Azam TV

Жыл бұрын

Wakulima 330 kutoka maeneo mbalimbali nchini, wamepata mkopo wa trekta katika kipindi cha mwaka mmoja wa 2022 kupitia mpango wa matumizi bora ya zana za kilimo na fedha unaoendeshwa na Taasisi ya Fedha ya EFTA iliyo chini ya Benki Kuu ya Tanzania.

Пікірлер: 15
@khamisabrahman-bv5lp
@khamisabrahman-bv5lp 10 ай бұрын
Vipi kwa wakaazi wa Zanzibar, wanaweza kufaidika na mkopo huo, Masharti yake yakoje Trekta hiyo ina thamani gani. Je kuna kima chochote unachotakiwa kutanguliza kwani nami ni muhitaji wa mkopo huo
@khamisabrahman-bv5lp
@khamisabrahman-bv5lp 10 ай бұрын
Naomba kuwasiliana
@khamisabrahman-bv5lp
@khamisabrahman-bv5lp 10 ай бұрын
Mbona hakuna namba ya mawasiliano,. tutawasiliana vipi
@khamisabrahman-bv5lp
@khamisabrahman-bv5lp 10 ай бұрын
Bei ya trekta ni shilingi ngapi
@waziriabasi9575
@waziriabasi9575 11 ай бұрын
Wekani na namba ya mawasiliano
@Kuchelemoyo
@Kuchelemoyo 6 ай бұрын
Naomba namba
@GeorgeKabuka
@GeorgeKabuka 5 ай бұрын
George Daisoni Kabuka
@GeorgeKabuka
@GeorgeKabuka 5 ай бұрын
Naomba namba ya mawasiliano nipo Dodoma mjini kata ya Michese
@JosephMarwa-m1j
@JosephMarwa-m1j 28 күн бұрын
Bei.tuambie
@OscarBosco-up5td
@OscarBosco-up5td 9 ай бұрын
Utalatibu
@khamisabrahman-bv5lp
@khamisabrahman-bv5lp 9 ай бұрын
Nami nahitaji
@jubilatemanase9050
@jubilatemanase9050 Жыл бұрын
Masharti ni yepi?
@mwitawakimara3649
@mwitawakimara3649 Жыл бұрын
Talaatibu zake kupata trekita
@sabaskauzeni7895
@sabaskauzeni7895 Жыл бұрын
Naomba mawasiliano
@noahmsemwa2161
@noahmsemwa2161 Жыл бұрын
Mawasiliano napataje
Mohammad bin Salman: Prince With Two Faces
54:00
Show Me the World
Рет қаралды 2,7 МЛН
NYUZI ZA MKONGE NI SULUHU KWA WAJASIRIAMALI ZANZIBAR
5:00
Wasafi Media
Рет қаралды 817
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН
Why Is He Unhappy…?
00:26
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 97 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #memes
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 19 МЛН
TAZAMA TREKTA ILIVYOZAMA KWENYE MTO DEREVA AKAPAMBANA NAKUITOA
9:11
Agricom Waja Na Hili "SHAMBA PESA"
13:27
Global TV Online
Рет қаралды 2,7 М.
NDC KINARA UKOPESHAJI WA MATREKTA KWA WAKULIMA
6:33
Mwananchi Digital
Рет қаралды 3,5 М.
When A Gang Leader Confronted Muhammad Ali
11:43
Boxing After Dark
Рет қаралды 6 МЛН
DUH!!! USIFANYE MCHEZO NA KILIMO, ANGALIA MAAJABU HAYA....
22:48
88 LINDI - MFUKO WA PEMBEJEO TANZANIA 07.08.2016
8:38
Channel ten
Рет қаралды 8 М.
JIFUNZE KILIMO NA MKULIMA MASANJA MKANDAMIZAJI!
4:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 28 М.
Son ❤️ #shorts by Leisi Show
00:41
Leisi Show
Рет қаралды 10 МЛН