Рет қаралды 151
PANGANI MJI WENYE TAMADUNI MCHANGANYIKO ZA WAHINDI, WAARABU, WAJERUMANI, WAINGEREZA NA WASWAHILI. MANDHARI YA MJI HUU YALIVUTIA SANA WAGENI KULOWEA HAPA. BAHARI NA MTO PANGANI VILISABABISHA PANGANI KUWA NI PARADISO YA AFRIKA.
USISAHAU Kulike na Kusubscribe, Zamadamu Tanzania.
*Facebook - / zamadamu-901510216626035