Usisahau ku"SUBSCRIBE" KZbin channel yetu kwa videos nyinginezo #zamaraditv #mambonimengi
Пікірлер: 138
@rahmasuleiman93344 ай бұрын
Daah nimefurahi kumuona bi Rehema nimekumbuka akiigiza na marehemu mzee king majuto nilikuwa naburudika saaana ❤❤❤
@abduliwhryj4ftnassor2334 ай бұрын
Nimefurahi sana leo kumuona bi rehema Allah ampe maisha marefu
@user-ps5qd9zg8f4 ай бұрын
Nmekuwa wakwanza leo jmn naomben like zenu
@paulabelleghe4514 ай бұрын
Tukishakupa uzipeleke wapi dear😁😁😁😁
@sikukuuchuo30934 ай бұрын
vzri kakangu kushukuru Allah kwa Rizki y chakula ❤
@selemanikabeya80204 ай бұрын
Kazi nzuri kaka hila kwenye mambo ya kuingia chumba chamtu sijapenda chumba kinasiri kubwa kama takuwa nimekukosea nisamehe chumba cha mwanamke kinasiri kubwa broo nibora kwa mwanamme😢😢😢
@chimamilion4 ай бұрын
Si km utaki unamwambia kwan anakufos
@user-hv9pt8bs4q4 ай бұрын
Salehe nafuatilia sana kipindi chako natamani siku moja nikuone live inshaAllah
@ernestwilliam86284 ай бұрын
Mmh bi harusi mtu jamani mzigo upo kwenye Juba lakini unaonekana😂😂❤❤
@ukhutfatumah11544 ай бұрын
Mashallah bi Reema m/mungu azid kukupa afya njema
@SuleimanKhdija4 ай бұрын
Amiin
@user-fx7ig1uy6t4 ай бұрын
Naona mwari mwenyew anaonekana fundi balaa kuliko ata kungwi sijui ndo somo...any way tunakupenda darey❤
@SafiyaJ-yw2vt4 ай бұрын
Mh huyo mwari mbona limama 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@SafiyaJ-yw2vt4 ай бұрын
Hata mm nashangaa mwari hilo limama😅😅😅😅
@mwejstar56784 ай бұрын
Uyo mwali mbona anafanana na demu wangu wa zaman mwanahamis mmmh aya bhana
@hanifahkhamiss84854 ай бұрын
Nampenda sana huyu mama mashallah 😊😊
@queenshibaskitchen91304 ай бұрын
Ma sha allah this definitely I'm going to try,
@AishaAbdullah-qj1lt4 ай бұрын
Mumekoseaaa sanaaaa sanaaa sanaaaa kumuonyesha Bi harusi wa watu
@kibabysaid66924 ай бұрын
Mi sijaona km wamekosea ila huyo bi harusi ndio naona kakosea ...coz yeye kaingia amefunika nikabu sasa kilicho mfanya aiweke juu hiyo nikaab ni nini ?...naameona hpo kuwa wanaume 😢
@RehemaSaid2554 ай бұрын
Biharusi katoa nikab mwenyewe Amna hata alo mtuma
@aminakassim74864 ай бұрын
@@kibabysaid6692kwa kweli asingetoa nikab, au angeenda kukaa kule mbali
Kumbe nyota waziri ni somo somo kweli jaman mashallah
@hamidawamba4 ай бұрын
Sanaaa
@patriciaboniface9975Ай бұрын
Tena some aswaaa ukipitia pale mambo swafiiuu
@paulabelleghe4514 ай бұрын
Wow
@selemanikungu80394 ай бұрын
Kungwi mwenyew kaa hika😂😂
@Joliegal8344 ай бұрын
Na mimi nataka kufundwa ila sina mpenz bado
@user-pt4ft7ow1s4 ай бұрын
Bi. Rey❤️❤️
@paulabelleghe4514 ай бұрын
Naona kungwi umemkatisha mapema eti kaolewa uyuuu😁😁😁
@user-eo4hd8xu6d4 ай бұрын
Mmhhh huyu mama nae kdg age ime go so.akil kdg salehe unataka kumueleleza
@ukhutfatumah11544 ай бұрын
Mwali aelewi somooo anaona macamera camera😅😅😅😅😅😅😅 acha nilud nije Kwa bi Rehema unifunde nimepata somo la mswaki hapo Ila sele ulitaka kufukua mambo😅
@rahmaabdallah45144 ай бұрын
Huku kwetu hukuti mtu kupiga msuwaki nje tng enzi za mabibi na babu....
@user-ys5iu3qu3u4 ай бұрын
Bi rehema❤❤❤❤❤❤❤
@SafiyaJ-yw2vt4 ай бұрын
Sasa yuko kwenye interview kwanini kapokea simu
@user-tq4kr6tp9j6 күн бұрын
Uko kuza Lili Shana jamani
@werehere20063 ай бұрын
Sijawahi kuona kungwi kadumu kwa ndoa
@MoudyMussa-fw8sz4 ай бұрын
Tango Tango Tango Lakazigani. ......
@sabihaibrahim1434 ай бұрын
harusi hakujua kama kuna kamera kajifunua nikabu keshaanikwa
@MiddyTuesday-on8jp4 ай бұрын
Bora ule kabisa mana unavyopenda kula kwa watu
@hamidawamba4 ай бұрын
Wew mchoy😂😂😂😂
@MiddyTuesday-on8jp4 ай бұрын
@@hamidawamba 😃😃😃
@Chakol123-k7s4 ай бұрын
Leo umekula mapema 😂😂 hujala kwa watu 😂😂
@FatimaAli-of4gh4 ай бұрын
Wewe mgomvi😂😂😂
@SuleimanKhdija4 ай бұрын
😂😂😂😂umeona ee huko ni kufunda sio kupika
@SomoeIssa-ft6ml4 ай бұрын
Mmemsema sn😂😂😂
@fathiyahmuzney73674 ай бұрын
Hilo tango ni 😂😂😂😂😂
@SuleimanKhdija4 ай бұрын
Mashallah ❤❤❤
@husna345624 ай бұрын
Bikharus upitwi😅
@SuleimanKhdija4 ай бұрын
@@husna34562 🧕😄🥺umefata nini huku🚵😃
@user-ne4oq7ks4n4 ай бұрын
Naomba number zake ninamwali wang naitaji somo
@user-oz8on4fg8t4 ай бұрын
Tuma namba zako
@africa74794 ай бұрын
na hilo tango je?
@user-ne4oq7ks4n4 ай бұрын
Naomba number zake nina mwali wangu
@dayana5513story4 ай бұрын
😍😍😍
@user-sr3eo8mv7c4 ай бұрын
B rehema abdalah
@bennamush46164 ай бұрын
Mimi nipo bize na mwali tu
@agustinoapolinar16234 ай бұрын
Bro wakati una introduce Kipindi uwe unatuambia na location kama ni mbezi,kimara,Goba, n.k
@tunkuh6614 ай бұрын
Si nzuri kwa usalama wa mteja wake
@agnessmgaza38264 ай бұрын
Salehe kujifanya mwenyew eti unapunguza sauti
@user-uj1ps4tq9x4 ай бұрын
Hatamm nilizani mkewamajuto
@user-qe3rx2ok7z4 ай бұрын
Salehe
@gallusmbaga55224 ай бұрын
Karibuni wageni. Anaonekana mgeni mmoja
@AngelAndress-ph8bh4 ай бұрын
We mpuuz mbn hujauliza ilo tango ni la nini😂😂😂😂
@SafiyaJ-yw2vt4 ай бұрын
Hata mm nimeona tango😅😅😅😅😅
@SafiyaJ-yw2vt4 ай бұрын
Hilo tango la nini hapo😅😅😅
@user-zv4ne2ko7z4 ай бұрын
Hilo tango linamaana yake pia sio ya kusema hadharani
@antybabybintrashid23334 ай бұрын
@@user-zv4ne2ko7zitabid ufafanue vzur mm pia sjui
@teedullah57084 ай бұрын
Bi rehema c umpuze huyo mtangazaji
@KhadijaJuma-pb6fw4 ай бұрын
Mbna kwa Asha boko hakuingia kma hutak haingii chmbn
@user-yz1lg1mv8p4 ай бұрын
Nimeipend sebur yake
@ummukulthummohd54034 ай бұрын
Mwari kuingia tu kafunua niqab wakati kashaona macamera
@antybabybintrashid23334 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Zaitoon724 ай бұрын
Ila salehe ana maswali ya ajabu 😅😅
@aminakazogolo22294 ай бұрын
Yanachekesha😂😂😂😂😂
@Zaitoon724 ай бұрын
Kijana ana hangaika huyu 😅
@shuwenasamit33114 ай бұрын
San Tena anafrhisha
@user-zl4od3wh9e4 ай бұрын
Alinitapeli huyu mama sina hamu
@jesterfredrick94974 ай бұрын
Polee😂😂ilikuaje??
@hijarashid5944 ай бұрын
😭😭😭😭
@user-zv4ne2ko7z4 ай бұрын
Samehe ndugu yangu
@user-zl4od3wh9e4 ай бұрын
Sio rahic km unavyothan nikitewe vitu vyangu ndo ntasamehe
@shamzone3884 ай бұрын
@@user-zl4od3wh9ehawana maana yoyote ni kuchukua vitu na pesazawatu……lete chupa za chai vikombe vya chai glass sahani visu kanga shuka na pesa juu mkeka…… Wamefanya nibiashara siku hizi…. Kesho mtasikia na wengine …..biashara isiyo na kibali cha serekali😂😂😂
@teedullah57084 ай бұрын
Kwani cujifinike ninja
@edukimaro34894 ай бұрын
TUWEKEE NAMBA ZAKE WENGINE TUPELEKE WAKE ZETU
@SomoeIssa-ft6ml4 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HusnaMuhidin4 ай бұрын
Kiboko😅
@jesterfredrick94974 ай бұрын
Jamani🤣🤣🤣🤣🤣🙌
@nuruyusuph55624 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@carynehassan80774 ай бұрын
Dah😂😂😂😂
@tatuathmani8834 ай бұрын
Kaka wewe utaona mpaka chupi
@fawziagabriel33554 ай бұрын
Ilo tango vipi hapo kachumbali ama?
@AsdDsa-fi5qk4 ай бұрын
Tango analikatikia
@faudhiasaidi36694 ай бұрын
Nyie watangazaji wa habari muwege mnatoa taarifa mnapoenda nyumbani kwa watu so mnaingia tu na camera 😢sasa ona anawageni wake labda hawapendi kuonekana mitandaoni
@jesterfredrick94974 ай бұрын
Angekuwa hapendi asingetoa nikabu😂😂😂😂
@faudhiasaidi36694 ай бұрын
@@jesterfredrick9497 🤣🤣😂kumbe
@bennamush46164 ай бұрын
Ni umbea wake kutoa nikabu😂😂
@faudhiasaidi36694 ай бұрын
@@bennamush4616 😂😂
@faudhiasaidi36694 ай бұрын
@@bennamush4616 Labda Aliisi camera ni kwaajili yake kungwi wake ndo amemletea camera watengeneze sidii ya kumbukumbu ndio maana alijifunua nikab
@paulabelleghe4514 ай бұрын
Turushie namba mi nataka kuolewa na Raia wakigeni nataka nimchanganye kimapenzi mpaka asijute kuoa Afrika hahaa
@batulialmass89144 ай бұрын
😂😂😂😂
@husnathabiti41144 ай бұрын
😂😂😂
@chimamilion4 ай бұрын
Mtangazaji tunatak maish yko
@patriciaboniface9975Ай бұрын
😅😅😅😅😅salehe yeye anajua kwenda kwa watu tu
@3Dshoez4 ай бұрын
TANGOOOOOO mmeliona wakubwa tumeshaelewa mambo ya kwichi kwichi 🥒🍆🛌💏