Mwenyewe ni sihaba juma nyimbo hii akiimba utafurahi 1989
@sakinaabdallah77136 ай бұрын
Home sweet home zanzibar i love you with my heart❤️
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Wahoi,wataabani kukijua wanataka Wenda mbio sakafuni,ukingoni wamefika Yaasalaam BI mama wangu Rukia Ramadhan Old is gold taarab Zanzibar, Asili haipotei
@Legends_Interviews Жыл бұрын
Niwengi walotamaaaniii ohh killed it❤
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Taji lililo kichwani,Kabisa halitonivuka Pingu zilizo Moyoni ni muhali kufunguka Na cheo chako mwandani,Hakiwezi kugeuka KWA hapa ulimwenguni,Mwinginewe hatozuka
@RioIpo4 жыл бұрын
Asante Bi Rukia Maneno buli buli
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Vya kale ni dhahabu,,haya ndio mahadhi ya Zanzibar
@RioIpo4 жыл бұрын
@@abdulhamidkificho5768 Naam ndo urithi wetu
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
@@RioIpo Swadakta
@TwaibaKifigisaАй бұрын
Wimbo hauchuji
@mamyhuuhuu74133 жыл бұрын
Hiii ndio asili ya zanzib ...huipat popote
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Ni wengi walotamani,watu wa kuaminika Wauelewe undani kwanin waniteka Wenda mbio sakafuni ukingoni wamefika Hata wakifanya nin, Muhali nje kutoka
@abdulhamidkificho57684 жыл бұрын
Tamtam za mwambao na Zanzibar Culture,Asili Haipotei Raha hizi wazipata hapa Zanzibar tu Nakumbuka wakati huo muda wa kwenda Madrassa Yaasalaam BI Rukia
@afropanorama47305 ай бұрын
zanzibar yetu iyo,ila ishavamiwa na mayahudi
@fatmas73383 жыл бұрын
Nakumbuka hii ilikua mwaka 1989 kama sijakosea
@aliyussuf91262 жыл бұрын
Dah una kumbukumbu mwaka huo nnamiaka 5 mm nnaanza kujua kwenye tisiini na 7
@aliyussuf91262 жыл бұрын
Na hapo nimziki tu sijui maana
@fatmas73382 жыл бұрын
@@aliyussuf9126 ww unazaliwa mm nipo darasa la pili Enzi hizo
@maryamomar34344 жыл бұрын
yaaa salaaaam.
@aliyussuf91262 жыл бұрын
Hii nyimbo lazima nikumbe kule niliko ishi.na bb yangu shamba pande zq konde uko wakati huo tunakunywa chai ya viazi vitamu na redio pembeni salam za asubuhi njema au saa 8.mchana
@mudigames54793 ай бұрын
Bro, Abedi manya na Abedi robo, simai kahama kwao, ziwapo hazipo zipo kilindi, Ali makame kidungura, Ndege wa kibao