Mimi leo niwakwanza kutoka phoenix usa naomba like zenu
@HajarfeisalOkechАй бұрын
Nakwabiah Leo mnnifurahisha mno Yani Hadi jina langu limetajwa jina hajra 😂😂😂😂 na move Leo ni tamu sana acha ningoje part 12 😅😅😅wow much love from Kenya Nairobi tamu sana ❤❤❤❤🎉
@khadijayasir-oc8snАй бұрын
🎉🎉 next plis
@eliaselly915Ай бұрын
Sandra anamashaka furani asha gundua kwamba kuna mchezo ndani Movie inaanza kuwa tamu muuuuno Mi shabiki wenu from Burundi🇧🇮🇧🇮 Bujumbura_ Buyenzi.
@MlOscar-b9yАй бұрын
me leo niwakwanza kumkubal sandra, kugundua mchezo anao chezewa🎉🎉
@MaryamMaryam-vl8lmАй бұрын
Muve tamu lkn mawimbi yanari u
@MaggyFatumaАй бұрын
Nice project
@Babuu_Izob07Ай бұрын
Wa tatu mnstisha sana mnatujari kwa wakati Tunashukuru🙏🖐️
@celestinss4045Ай бұрын
Kennedy badilish nguo kutoka burundi
@GhGg-mc4qqАй бұрын
Mm wakwanza toka oman
@HalimaRashid-m8vАй бұрын
Mm jamn naomba tuunge group au hamtaki 😢😢😢
@bintimohammedchitunguuАй бұрын
Mbn ken habadlishi nguo
@AbibaChindigwaАй бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@halimadonath1862Ай бұрын
Muendelezo tafadhali
@energymusicdoze3500Ай бұрын
Sijuwi itakuaje kama Anita akijulikana ni Jini ❤❤❤
@EvodiaDominicАй бұрын
Hebu gundueni basi kuwa Anitha Ni jini siyo binadam, Kennedy nawe mwambie akupeleke kwao kwann kila siku aje yeye?!!! Mchezo mzuri ila Mnaboa kuzunguka palepale tu kila cku,,,hebu songeni mbele bhana😢😢