Ziara ya Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia SIMIYU

  Рет қаралды 34

Hot News

Hot News

2 жыл бұрын

Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Omary Kipanga amewataka viongozi wa Mkoa wa Simiyu, Pamoja na Wilaya ya Bariadi kusimamia kwa karibu mradi wa ujenzi wa Chuo cha ufundi Stadi (VETA) kwa kufuata kanuni na miongozo iliyowekwa na Wizara katika ujenzi wa Mradi huo.
Naibu Waziri huyo ametoa maagizo hayo leo, wakati wa ziara yake ya siku moja mkoani humo iliyolenga kukagua ujenzi wa chuo hicho ambacho kinajengwa katika kijiji cha Bunhamala halmashauri ya Mji wa Bariadi.
Kipanga amesema kuwa usimamizi wa karibu wa viongozi hao ni muhimu sana katika kuhakikisha mradi unakamilika kwa wakati katika ujenzi wake, lakini Wizara imetoa kanuni na taratibu zinazotumika kusimamia mradi huo ambazo lazima zifuatwe.

Пікірлер
Why UK 🇬🇧 is going Bankrupt? : Detailed Economic Case Study
20:37
Why Indian Science Congress is in a war against the govt
11:50
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22
Secret Experiment Toothpaste Pt.4 😱 #shorts
00:35
Mr DegrEE
Рет қаралды 38 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr
Рет қаралды 430 М.
Live from Ankara airport
1:39:51
Washington Post
Рет қаралды 4,5 М.
1972 Andes Plane Crash Survivor
31:17
Nitish Rajput
Рет қаралды 2,1 МЛН
Fareed Zakaria Explains Why Today Is Just Like the 1920s | In the City
38:47
Inside Out 2: Who is the strongest? Joy vs Envy vs Anger #shorts #animation
00:22