Nyinyi watu wa kusini sjui nani kawaroga hasa hilo jimbo la mtama limetowa waziri miaka si chini ya 10 hakuna maendeleo yoyote tena lindi ndo kwao mama salma lakini bado kupo nyuma sana nenda newala waziri mkuchika yuko waziri si chini ya miaka 15 lakini hakufai kusini mawaziri wengi wametoka lakini wamekutupa hasa.
@erastomazela89625 жыл бұрын
Newala ipo Mtwara sio Lindi
@albaharyhaji82315 жыл бұрын
Ndugu sjasema kama newala ipo lindi kwenye maelezo yangu nimeitaja pia newala sababu iko kusini pia nilitolea mfano