Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati wa hafla ya kila kiapo kwa Wakurugenzi wa Halmashauri,Majiji na Miji-Ikulu Jijini Dar es Salaam 12 July 2016
Пікірлер: 17
@petroiganja83826 жыл бұрын
fanya kazi na mungu akubariki Sana
@josephlufunga8028 жыл бұрын
Mungu akuongoze mpaka mwisho
@phillipmbuligwe60338 жыл бұрын
Ni hotuba inayoonyesha nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi, hasa wale wa hali ya chini. Asante sana Rais wetu!
@mithlekhalfan48956 жыл бұрын
Jomba magu umezungumza maneno mazito kushindamarais wote walopita upo juuu itakuwa kwa mara ya kwanza kukupigia kura
@innocentvicentdogonishida29348 жыл бұрын
::::::::::::::::::::%%%%%%100¥¥¥™™™anafanya kazi bila upndeleo wowotee Bba upo active and serious
@mchimajumanne14048 жыл бұрын
Hotuba imejitosheleza wakurugenzi pigen kazi kama mh rais alivyowaamini
@innocentvicentdogonishida29348 жыл бұрын
lazma mjue kuwa nikweli mungu ndo kamtuma ajhe afanye kaziiii kiukwelii
@edmundlasway85826 жыл бұрын
innocent vicent dogo ni shida lini Mungu amefanya hvyo
@laurentkisabo96338 жыл бұрын
Rais nakukumbali tena mno
@jordanmwinuka62045 жыл бұрын
hakika
@innocentvicentdogonishida29348 жыл бұрын
big result now serekali ya awamu ya tano nikazi tuu
@sierrakamau15105 жыл бұрын
Mbele hiyo ilikuwa ni wizi tu🤣😂woi!
@mathiasrazalo83635 жыл бұрын
Hapa kazi 2
@michaelcharles6022 Жыл бұрын
Mzee uko wap jitokeze hata kwa wiki 1 tu utoe hata neno moja tu heshima yako hakuna wa kkufikia
@noelymwakasege24282 жыл бұрын
Tutakukumbuka daima magu
@mithlekhalfan48956 жыл бұрын
Jomba magu sijawahi kupiga kura ya aina yyt kwani ulikuwa ukifanyika kwa viongo nimajanga ya taifa