ZIFAHAMU DUA ZINAZOSOMWA UNAPOSWALI SWALA YA MAITI.

  Рет қаралды 112

Tawheed Islam Channel

Tawheed Islam Channel

Күн бұрын

Ipo faida kubwa kushiriki katika Swala ya Maiti kama ambavyo imehimizwa wakati wa Mtume S.A.W.
Tukiwa hapa Makka takribani kila baada ya Swala ya Faradh Waumini wanapata fursa ya kushiriki Swala ya Maiti ambapo miili mingi ya Marehemu huletwa Msikitini.
Lakini waumini wanaposhiriki Swala hii wanafahamu kitu gani wanapaswa kufanya wakati Swala ikiendelea, Je, kumswalia marehemu mmoja utasoma Dua sawa na wanapokuwa Marehemu wengi, Je anaposwaliwa marehemu wa Kike au Wakiume yanatamkwa maneno sawa na Je anaposwaliwa Mtoto mdogo anaombewa Dua sawa na ile ya Mtu mzima?.
Tafadhali tazama kwa makini video hii upate kujifunza na uwafundishe wengine

Пікірлер
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН
إخفاء الطعام سرًا تحت الطاولة للتناول لاحقًا 😏🍽️
00:28
حرف إبداعية للمنزل في 5 دقائق
Рет қаралды 83 МЛН
How to Make The Most of your Salah | Khutbah by Dr. Omar Suleiman
20:51
Yaqeen Institute
Рет қаралды 378 М.
Building a Strong Muslim Mindset | Sh. Abdullah Oduro
59:12
OnePath Network
Рет қаралды 99 М.
'KUWA MAKINI NA CHAKULA KINAWEZA KUKUWEKA MOTONI' ..... SHEKH HAMISI KIZA
14:24
버블티로 부자 구별하는법4
00:11
진영민yeongmin
Рет қаралды 23 МЛН