Пікірлер
@rukiaabdalla
@rukiaabdalla 11 күн бұрын
Yaa rabby tujaalie na sisi tufike katika hili kaburi la mtume Muhammad s.a.w
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 15 күн бұрын
Pole sana baby yangu
@BarakaRamadhan-jz6mk
@BarakaRamadhan-jz6mk 18 күн бұрын
Mashallah
@makamohd406
@makamohd406 22 күн бұрын
Allah akutakabalie hijja yako. Ammin
@SeifAlly-g9i
@SeifAlly-g9i 25 күн бұрын
Insha Allah mungu atakabali maombiyako
@user-xy9nm3lx5x
@user-xy9nm3lx5x 29 күн бұрын
Sasa kama hotel ilikua karibu na mskiti kwann ulipotea?
@salimawishenga7588
@salimawishenga7588 Ай бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah Alhamdulillah, Allah akubaliye dua zako Aamiin yaaarrab 🤲
@user-gu8wv4bn4o
@user-gu8wv4bn4o Ай бұрын
Hijja sio mahala pakuchezewa mnamuona mzee yusuphu kaanza kulaanika taratibu,kazeni Swalla
@hailinhelen4675
@hailinhelen4675 Ай бұрын
Lakini wanatoka hawana namba za simu jina la hotel namba za hotel wasimamizi wanafanya sio ivo watu wanatakiwa wapewe full information na watebee nazo kadi zao wakipotea wanapigiawa simu marjent au wanajina na namba ya hotel wanafikishwa hotel ingekuwa kazi rahisi sana
@user-kh2uu9uy8o
@user-kh2uu9uy8o Ай бұрын
Alhamdulilah umeweza kutekeleza ibada yako hukubabaika..
@user-kh2uu9uy8o
@user-kh2uu9uy8o Ай бұрын
Mashaallah.. Allah mkubwa inshaallah hajj yako iwe kubul.. Hakika uislam ndio dining ya haki isiyo na ubaguzi na ni msingi wa mfumo mzuri wa maisha ya binadamu..
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Baba angu wa kigoma nimecheka sana 😂😂😂halafu kuhusu watz hajui kingereza sio wote babu bhn 😂😂😂😂ht cha kuombea maji baadhi yetu twakijua 😂😂😂
@WanguMimi
@WanguMimi Ай бұрын
Mungu mkubwa
@zaliafakilavire5689
@zaliafakilavire5689 Ай бұрын
Mashaallah ila babu yetu mjanja sanaa nimependa alivyo jielezea Allah awatakabalie HIJJAH nasi tuombeeni dua siku moja tuende makka ❤❤🎉
@user-pd2fk6kt5i
@user-pd2fk6kt5i Ай бұрын
Yalio nikuta mimi yasiwakute wajukuu hi nimeipenda 😂😂😂 Allaah azidi kutuongoza kwakweli
@johariabby4120
@johariabby4120 Ай бұрын
JOHARI ABUBAKAI
@tawheedislamchannel1945
@tawheedislamchannel1945 Ай бұрын
Assalam Alaykum Johari, tunaomba kupata mawasiliano yako ya Whatsap ili upate maelekezo zaid
@johariabby4120
@johariabby4120 Ай бұрын
@@tawheedislamchannel1945 Waalaikum salam nawapigia nimeona namba zenu kwenye mtandao nawapigia leo saa nne
@AishaMberwa
@AishaMberwa Ай бұрын
Aisha J Mbelwa
@tawheedislamchannel1945
@tawheedislamchannel1945 Ай бұрын
Assalam Alaykum Bi. Aisha, tunaomba kupata mawasiliano yako ya Whatsap ili upate maelekezo zaid na kutimiza nia yako ya Hijja
@MazikuKahawa
@MazikuKahawa Ай бұрын
mungu aiweke mahalapema sheikhe wetu inalilai wainalilajuun
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx Ай бұрын
😢😢😢😢😢😢
@tawheedislamchannel1945
@tawheedislamchannel1945 Ай бұрын
Assalam Alaykum ndugu yetu, tunaomba kupata mawasiliano yako ya Whatsap ili upate maelekezo zaid
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx Ай бұрын
Mariamu aiko
@tawheedislamchannel1945
@tawheedislamchannel1945 Ай бұрын
Mariam nani unaitwa
@farukwaiswa3059
@farukwaiswa3059 Ай бұрын
WAISWA FAROUK
@tawheedislamchannel1945
@tawheedislamchannel1945 Ай бұрын
Assalam Alaykum, unaweza kutupatia mawasiliano yako ya whatsap ili tukupatie maelekezo Inshaallah
@ratifahassan6501
@ratifahassan6501 Ай бұрын
Mashaallah ❤❤
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 Ай бұрын
Umati Muhammad umejaa siyo rahisi
@saudmohammed3390
@saudmohammed3390 Ай бұрын
Pole saaaana Babu kikubwa umefanya ibada yako tumuombe Allah apokee salaa na duwa zako wewe na Mahujaji wengine woooooote Ameeeeeen
@ruqaiamohammed345
@ruqaiamohammed345 Ай бұрын
Amiin 🤲🤲
@GibsonNtamamilo
@GibsonNtamamilo Ай бұрын
Huyu Mzee nampenda sana anastori sana tuko naye hapa Kigoma.
@salumhassan8993
@salumhassan8993 Ай бұрын
Twakuomba ya ALLAH wakubalie hija yao mahujaji wetu
@salumhassan8993
@salumhassan8993 Ай бұрын
Ya ALLAH tujaalie tuwe wenye kuidiriki safari kwa ajili ya hija kabla hatujaondoka katika mgongo wa dunia.
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 Ай бұрын
Yah Allah tujalie na sisi waja wako tuende tukalione kaburi la mtukufu wa daraja mtume wetu Muhammad swalahallaiih alaih wasaalm... Allah humma Ameen 🤲
@aziza9093
@aziza9093 Ай бұрын
❤❤❤❤
@nuhuabdil7073
@nuhuabdil7073 Ай бұрын
Namumba mola wangu wahaki ajotole tajiri Alie ruzukiwa namola na Mimi nikahiji mwaka 2025 kwani riziki anatowa mola nitakacho jaliwa
@sumaiyasaid2356
@sumaiyasaid2356 29 күн бұрын
Allahumma Ameena . Mola akupokelee maombi yako.
@TimaMohammed-pn9eh
@TimaMohammed-pn9eh Ай бұрын
Mashalah haj makbul
@user-ii6gs2jg4g
@user-ii6gs2jg4g Ай бұрын
Ndio Mnakwenda kuswali huko tatizo hambadiliki kwa nyie viongozi. Mkirudi mnaendelea na yaleyale tu ya ufisadi na dhuluma kwa wananchi wenu.
@suleimankombo1743
@suleimankombo1743 Ай бұрын
Uislam ni dini ya ALLAH, dini ya HAKKI dini ya KIPEKEE sana.
@HAPPYSULE
@HAPPYSULE Ай бұрын
Huko nijoto Sana au vipi? Mbona hakuna shati Wala nguo ya juu?
@salmahalfani6307
@salmahalfani6307 Ай бұрын
Hio ni Sheria kwa wanaume. Lake ni unawaona wanawake wamejistiri vizuri tu.
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py Ай бұрын
Mash Allah tabarak Allahu ahsani khaalyqin, Jazzak Allah kheri, mola Awakubaliye mahujaji wote hijja maqbuli inshaallah
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Allahu Akibarr. Allah awakubalie maumbiyenu nasipia mtuombee Dua tujekuhiji. Amyn😢
@user-hj4sy9fy4g
@user-hj4sy9fy4g Ай бұрын
Huko wote ni watakatifu ee ! Yupo huko tu ee! Au ni utalii tu ! Kama mumefika kwa Mola, mwarudije tena makwenu ! Mie nikijafika huko, labda nirudishwe kwa kukotwa na jibrekidauni tani 100 ! Hongere ni sana !
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Mashaallah ❤❤
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 Ай бұрын
اللهم صل وسليم عليه
@gamarmahsan8254
@gamarmahsan8254 Ай бұрын
Amiiin yaarab
@OsmanMussa-ry6mh
@OsmanMussa-ry6mh Ай бұрын
Yaaallah nijaalie mm na waislm wengn kwend hij
@hamilhashir4452
@hamilhashir4452 Ай бұрын
Masha Allah hahahahaaaa
@alikibwana4657
@alikibwana4657 Ай бұрын
Basi pia Allah atupe uwezo wakuhiji inshaAllah
@NoraKedir
@NoraKedir Ай бұрын
Manshaallah tabarakallah ❤❤🎉
@hassanmakame
@hassanmakame Ай бұрын
Hajj MABRUR...
@martinkisha6307
@martinkisha6307 Ай бұрын
Kumbe Mohamad ni mfu alikufa yuko kaburini mtuandikie history yake tumujue
@Allybinamour
@Allybinamour Ай бұрын
ahsanten mahujaji kwa darsa mlotupa allah atakabal hijja yenu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Ай бұрын
Niamini Imani ni kitu kibaya sana
@SaumuHamadi-gk4by
@SaumuHamadi-gk4by Ай бұрын
Nakuomba allah nijaliye mm na familiya yangu utujaliye mwishoo wa uhaii wangu tuwe tushafika makka na Madina na piya kufanya ziayara ya kaburi la mtume muhaamadd s,w,a na rafiki zake
@barutiabuu9492
@barutiabuu9492 Ай бұрын
Subhana llah allah atujalie some ishallah tufike hija ishallah
@mamitomamita6284
@mamitomamita6284 Ай бұрын
MASHAALLAH TABARAKA ALLAH SHEIKH ANAELEZA KWA MAKINI