Historical song, nimeupenda Sana huu wimbo Una aksi maisha ya mpaka leo ,mtu wema huhangaika Sana ikiwa pamoja na kuuwa, mfano yesu kristu mwenyewe.
@joshuachuwa56954 ай бұрын
Mungu amlale mahali pema .Ni wimbo wenye inabii hata sasa wema wanauwawa.
@safinaalfred1062 Жыл бұрын
Naupenda sana huu wimbo
@NicholausSimiti6 ай бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi lakin tungo zako bado ni hazina kwetu
@bakarichina99482 жыл бұрын
Kiukwr mtupu,Duniani Sasa ivi nimaonevu kila kukicha,
@JUMASEMBWANA5 ай бұрын
Wimbo uliojaa simanzi Majonzi elimu na ukweli mtupu dunia ya dhuluma ukiwa mwema na mkwli Huna maisha
@hancemapunda27082 ай бұрын
Huyu ni miongoni mwa mashujaa wangu❤
@selemanshidda96883 жыл бұрын
This man was rich in melodies. He usually created new melodies as he was educated.He used his education to create new music melodies.
@JUMASEMBWANA5 ай бұрын
Wema hawana maisha kwa kweli nidhuruma mpaka mwisho wa dunia
@suleimansahal64332 ай бұрын
Mwanamziki Mkubwa... Lala Salama Patrick Balisidya
@kelvinkawea97225 жыл бұрын
Mungu ailaze roho yako mahala pema peponi
@humphreymwihambi43305 жыл бұрын
Nimekumbuka mbali sana. Huyu mtu alikuwa kipaji. Tumekumiss Patrick Balisidya
@charlesmullinda93035 жыл бұрын
Huwa sichoki kumsikiliza Balisidya. Alijua kuutendea haki muziki
@JUMASEMBWANA6 ай бұрын
Muziki uliojaa mafunzo na mambo ya Dunia Leo mpaka mwisho wema Hawana Maisha kweli
@JUMASEMBWANA5 ай бұрын
Hiring ndizo tango zenye mafunzo na maudhui ya kuelimisha
@zuhurahamza20 Жыл бұрын
Old is gold
@suleimansahal64332 ай бұрын
Inatukumbusha siku za mwisho za maisha ya Balisidya pale Kibaha...
@bennymarkotungaraza75205 жыл бұрын
this song ni moja ya masongi maridadi yaliyowahi kurekodiwa duniani: sikiliza wimbo wa Change clothes org ya Jay z ft Pharell utaona kwamba wamechukua mwongozo wa beat hii ya Balisidya.. Patric alikuwa na kipaji kikubwa mno..
@violetmick2221 Жыл бұрын
Hatutakusahau tutakukumbuka daima Patrick
@nikolaschotta18764 ай бұрын
Legend
@JUMASEMBWANA6 ай бұрын
Wema Hawana maisha
@habibnjowele77515 жыл бұрын
Yaani kuna comments 3 tu! Anailillia Africa watu hatujui sijui waafrica tumekwama wapi??
@faustinamlomo8053 Жыл бұрын
Umenikumbusha mbali Umenitoa machozi
@Mrawira1 Жыл бұрын
Yaani. Mungu aingilie kati. Waafrica 😢
@athmanimkangara9290 Жыл бұрын
Listening sensible song October, 2023
@yustinnjamasi287515 күн бұрын
Kuoana balisidya
@boniphacemsemelwa44552 жыл бұрын
Wabongo huwa hawachangii jambo la tija na msingi, weka masihara na vibonzo kama unataka comments