Kwa huu wimbo ingepaswa zahir apewe to au heshima kubwa ya kipekee kwa sababu ameimba uzalendo wa hali ya juu sana. Mimi hua nikiusikia wimbo huu nasisimka na machozi hua yananitoka na sikuepo katika uwanja wa vita.
@martinelias89364 жыл бұрын
Ni kweli kweli mashujaa walokufa walikufa kishujaa Mungu azilaze roho zao maali pema peponi
@sangomamourice94255 жыл бұрын
huu ni wimbo bora kuwahi kutokea asante sana mzee zahir hakika tumerud kishujaa
@omaribongo42915 жыл бұрын
Kwa kweli uzalendo halisi ulikuwa kipindi hicho bwana. huu wimbo ukipigwa lazima machozi yakutoke kama mzalendo wa kweli. Zahir alikuwa anawatia nguvu wanajeshi na kuwafariji watanzania waliopoteza ndugu zao Kwa ajili ya kujitolea kulinda heshima ya Tanzania. Mwl.Nyerere pia alikuwa na influence kubwa katika uongozi.
@julithamuhale72714 жыл бұрын
Asante Sana kimulimuli mmenifanya nimkumbuke hayati mwl Nyerere! Kweli uongozi thabiti na uzalendo tulikuwa nao!
@nestorygodfrey1396 Жыл бұрын
Sana!
@stevejoh3284 Жыл бұрын
@@nestorygodfrey1396 umeona ee!
@saidkhamis53188 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1981,baada ya baba yate kurudi kwenye kambi ya jeshi ya Nachingwea akitokea Uganda alikua na tep yene wimbo huo niliharibu kwa bahati mbaya nilichezea mikanda hatarii .amaungu ailaze roho yake mzee wetu aliyetangulia mbele za haki
@GibiGene3 жыл бұрын
😂😂😂😂
@ba320610 жыл бұрын
Lengo na nia yetu wazazi lilikuwa moja...kuilinda ardhi yetu...thanks TPDF thanks Zahil and company....Thanks Eddie kwa kututunzia kumbukumbu adimu...
@adamnkwama76346 жыл бұрын
Tulikuwa tupo Aluwa big up damu za mashujaa hazikupotea bure
Young Zahil Ali sound what a good historic song?Kagera wazazi na cc wenenu tukageuza vichwa kuitazama Uganda, nakuwaacha wenzetu waliopoteza maisha ndani ya nchi ya waganda...wamekufa kishujaa.. Asante Eddie kwa memory.
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena Sufa
@athmanimkangara9290 Жыл бұрын
Hatari sana hii nyimbo hisia kali 2023
@kennethbahebenginilla16576 жыл бұрын
Kwenye mpaka wa Uganda na South Sudan,kwenye mpaka wa DRC na Uganda,kijiji cha Koboko alipozaliwa dikteta nduli Idd Amin dada,mashujaa wamerudi wamerudi kishujaa,lengo na nia yetu jamani ilikuwa 1 kuilinda ardhi ye2,tumeweza kujua nani kwe2 ni rafiki na nani kwe2 ni hasidi,yaliyopita si ndwele tugange yanayokuja.
@halimamageda32185 жыл бұрын
Kenneth Bahebe Nginilla umenukuu kabisa 😁 hakik yakale nidhahabu
@kennethbahebenginilla16574 жыл бұрын
@@halimamageda3218 hahaha ni balaa imenikumbusha mbali hii nyimbo.
@danstanpanga84903 жыл бұрын
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania. Hakika ni Uzalendo uliotukuka
@mwinjilistibaharini90252 жыл бұрын
Safi sana Zahir na JKT Kimulimuli, tungepata na wimbo wa poleni ndugu zetu wa Kagera ulioimbwa na TPDF Mwenge Jazz wana Paselepa
@selemanijustine60276 жыл бұрын
Nyimbo murua ya kizalendo, hakika wanamuziki wa enzi hizo walifanya kazi kubwa. Big up Zahir na Kimulimuli hakika tungo zako zitaishi milele.
@christianchristopher62416 жыл бұрын
kiukwl mwenyezi MUNGU azipumzishe roho za marehemu mahali pema peponi ndungu zangu wote walio poteza maisha
@allan37239 жыл бұрын
TUTAZIKUMBUKA ENZI ZA MWL.TUNGO NGURI AFANDE ZAHIRY ALLY
@vedastuskwajaba12402 жыл бұрын
Hongera Jeshi letu tukufu. Midundo hii inanikumbusha mbali nikiwa kidato Cha tatu. 1980
@julianpeter7165Ай бұрын
Naungana na wewe sana
@mudymnandi30505 жыл бұрын
Zahir Aly hajawahi kuwa na nyimbo mbaya zote ni hatari tumpe sifa zake angali hai
@khamiskhamis8644 жыл бұрын
Taifa letu ni Taifa tukufu ni muhimu kuliko utashi wake mtu mmoja mmoja, Utu wetu, heshima yetu, amani yetu na umoja wetu ni tunu za Taifa hili. Nach law maana ya ardhi, mito na bahari zetu ni urithi wetu muhimu. Rasilimali ni zawadi kuinua uchumi wetu na kujenga Taifa imara kwa maslahi yetu na vizazi zijavyo. Kujitegemea, kujiamini, kuwa wazalendo, kujituma katika kazi, sambamba na kuwa na mtazamo ulio na mawazo huru ni malengo na dira yetu kjelekea kwenye matumaini. Taifa hili tukufu like adhimu sana tumepewa na Mola hivyo tulitunze Mola azidi kutubariki. Tuepuke ubinafsi ni adui mkubwa kwa ustawi wa Taifa hili, tujitume kulijenga bila kuchoka ipo siku watu wa dunia watatutukuza na kutukimbilia, nasi tutaonesha utu wetu kwani nyoyo zetu hazina hasira wala kisasi Bali Ukarimu. Utukufu ni wake Mola alietukirimu Taifa hili la sina yake. Nasi tulithamini Mola asijetukasirikia.
@kennethbahebenginilla16572 жыл бұрын
Hii nyimbo sasa inanipa hisia ya vita vinavyoendelea Ukraine(Russia vs Ukraine)R.I.P wanajeshi na raia waliopoteza maisha yao ktk mapambano hayo.
@mohamedzambo15119 ай бұрын
Inanikumbusha JKT MAFINGA OPERATION TIJA 1980
@augustinemhanga55306 жыл бұрын
Thanks Eddie, nimekumbuka Vita ya Kagera... "Tungo ina falsafa ya hali ya juu sana" Heshima kubwa kwa TPDF
@geofreymwatonoka83279 жыл бұрын
huuu wimbo nimeupenda cna wazee kweli walikuwa vzr cna
@damasijohanesi70493 жыл бұрын
Hakika kwa ubora wa wimbo huu nashauli wenye mamlaka wampe tuzo ya heshima.
@ba320610 жыл бұрын
Katika institutions nazoziheshimu Tz ni jeshi letu...
@amiriatole94143 жыл бұрын
Kabwe
@saadmazen452810 жыл бұрын
Poa ndugu Eddie...hapa sauti safi ya Zahir ally-Zorro akiwa na Zacharia tendawema, johnson Mabula, dixon Sharua na Suwas Zozo solo likipigwa na Musa elisha, second solo akiwa jumanne hussein na zuberi kassim, bass akiwepo Daniel kayowa na Harun Mkomwa, drums akiwepo Said mohamed, tumba akiwemo John Ludovic..walikuwa wamekamilika hao
@eddienassor48010 жыл бұрын
Duuh! ahsante ndugu.Ngoja nipost zaidi Saad utushehereshee kaka
@AnthonyKisondella10 жыл бұрын
Eddie, Thanks for posting Saad shukurani ka kutuambia nani alishiriki kutuletea uzuri wa wimbo huu. Huyu Bwana Dixson Shalua nilikuwa naye pale Mafinga JKT. Nilipokuwa pale jesheni kwa mujibu wa sheria,na bahati nzuri akawa jirani yangu hapa hapa Mafinga eneo la Changarawe - huyu Bwana amefariki hivi karibuni kule Dar-es-salaam, na mwili wake ukawa umesafirishwa na kuletwa Mafinga kwa ajili ya Mazishi
@samweldaniel55548 жыл бұрын
Anthony Kisondella
@emmanuelbenedicto5892 жыл бұрын
Wananchi walijitolea kuikomboa ardhi ila vita haina maigizo wengi walipoteza maisha huu wimbo umebaki kama kumbukumbu! Rest in Peace Mashujaa wetu.
@mabeyobujimu33702 жыл бұрын
Ni wimbo unavuta hisia kali hasa kwetu tuliokuwa kidogo tunafahamu yaliyokuwa yanaendelea kipindi cha vita. Navuta kumbukumbu marehemu baba alivyotoa ng'ombe kwa kusupoort vita hivyo.
@allan37232 жыл бұрын
UNAJUA mzee zollo
@JosephDesideri10 жыл бұрын
Thanks Guys.Kweli Walimaliza Kazi Idd Aman Dada, the Field Marshal OUT. Congrats to TPDF, Zahir Ally Zoro Ulifunika
@omaryjuma3714 Жыл бұрын
Mzazi wangu alinisumiria vita ya Uganda na Tz mm ndio nanyolewa nywele
@adamnkwama76346 жыл бұрын
Hongera mashujaa we2
@joelmassu988810 жыл бұрын
Eddy Naomba kupata ile bendi ilikuws inapiga kwenye hotel ya ..new afrika..walikuwa wanaita ..ngoma za maghorofani...jina nimeisahau..
@alexanderjoseph49686 жыл бұрын
joel massu mk group
@geraldmosha589910 жыл бұрын
Kazi nzuri sana bwana Eddie Nassor. Ila kuna wimbo mmoja hivi wa Mzee Zahir Zorro unaitwa Beatrice..Nimeutafuta sana sijauona. Fanya mambo ndugu na wenyewe tuupate itapendeza zaidi na mibaraka utapata
@eddienassor48010 жыл бұрын
Gerald,acha nipekue nione kama nnao.Na nikiwa nao hapana shaka nitaurusha hewani Mungu akipenda
@geraldmosha58999 жыл бұрын
Eddie Nassor Inshallar, naamini ukiupata tumeupata pia na sisi.. Mungu akujaalie nafasi na uhai ili uupate..Asante
@joelmassu988810 жыл бұрын
Miaka ya themanini..inafanya akili itulie tofaut na sasa..thanks
@eliasmaluba231210 жыл бұрын
eddie nashukuru kwa kuniwekea huu wimbo wa 'tumerudi kishujaa' ila cjaona nyimbo kama za polisi jazz, 'mwaka wa watoto', 'nyota na mwezi', 'tuli' na zingine ambazo marehemu moshi william pamoja na marehemu jalala ali walishiriki, 'kabwe wa zahir ali akiwa na kimulimuli ningeupata pia ningeshukuru, halaf kuna zile nyimbo ambazo tabia mwanjelwa alipiga na marquees naomba utuwekee kaka
@eddienassor48010 жыл бұрын
Fanya subira ndugu yangu.Kila uliyoiomba ikatokea kuwa nnayo,nitai post kila nnaponafasika na uhai ukiwa bado upo.Kuwa tu ukichungulia mara kwa mara tafadhali
@abantusaidi461911 ай бұрын
Wimbo wa pole ndugu zetu wa kagera ukiutaka utaupata kwa jacob usugu wa mza
@deusngowi8 жыл бұрын
Credit to men and women who wear the uniform of our country - TPDF.
@mosesmollel87316 жыл бұрын
aslay
@vendedeline10 жыл бұрын
Brother Edd thanks a lot. Be blessed!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena Vendedeline
@ericaaron68068 жыл бұрын
good job Eddy! one more request! kuna wimbo wa vijana jazz-nauliza maana ya Tanga
@felixmagulu13838 жыл бұрын
Asante kwa kutukumbusha tulikotoka,Tutafutie kuna kibao kimoja jina lake silikumbuki vizuri Lakini nakumbuka baadhi ya maneno "Yanasema kama si wewe kijana Tanzania itajengwa na akina nani?" ni wimbo mzuri sana.
@charlesokwengu47144 жыл бұрын
I like the Solo Guitar.
@abdallahmbegu1623 жыл бұрын
Beautiful song
@flowila8210 жыл бұрын
Eddie asante kila siku, ukifanya chochote kumbuka kuna asante ktk kwa Twila, sbb kubwa hii ngoma
@eddienassor48010 жыл бұрын
Flower Twila Hahahaa,ahsante ndugu
@whanson200110 жыл бұрын
Thanx a lot Eddie Nassor, nilikuwa nitafuta hii nyimbo kama nini. inanikumbusha mbali...... you have a big and golden collection big up and be blessed
@eddienassor48010 жыл бұрын
Ahsante sana na karibu sana William
@eddienassor48010 жыл бұрын
Karibu tena William
@pascalmayalla68695 жыл бұрын
thanks for this
@julianpeter7165Ай бұрын
Kama ningeweza kumpata mkuu wa majeshi Mabeho ningemuomba tumpe nchi akitokea mama kwangu Mimi ni MTU wa heshima sana KWA Tanzania
@yassiniferuzi28677 жыл бұрын
Eddie naomba wimbo wa ngozi ya kiti moto wa bantu group hamza kalala
@twakawawa93445 ай бұрын
Nikiwa Forodhani primary school
@KulwaMyalla6 ай бұрын
Jimbo la kizalendo inatukumbisha mbali na uzalendo
@kombesamamsana48789 жыл бұрын
Jamani siwezi kuelezea furaha niliyonayo kwa kusikiliza huu muziki. Asante sana kaka Eddie. Nitawezaje ku-download kwenye Ipod
@eddienassor4809 жыл бұрын
Haribu tena ndugu.Nipe e-mail yako naweza kukutumia kama unauhitaji kiasi hicho ndugu!
@kombesamamsana48789 жыл бұрын
Eddie Nassor Asante sana Eddie kwa kujali na kujibu swali langu. Naogopa kuweka email yangu adharani.
@eddienassor4809 жыл бұрын
Nii in box ndugu
@Chinduli7 жыл бұрын
download kwanza kwenye computer yako alafu alafu download itune kwenye hiyo computer then sync na hiyo ipod
@felixmagulu61425 жыл бұрын
Hongera kaka Zahir Zoro, Hapa ulituliza kichwa kweli kuyapanga mashairi, Tuyape heshima zake Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama, Kipindi hicho kila RAIA wa Tanzania alikuwa na Moyo wa Kizalendo hasa ndiyo maana tulifanikiwa kumng'oa Fashist Nduli Idd Amin.
@sangomamourice32515 жыл бұрын
mzee mzima zoro ktk umahili
@yassiniferuzi28677 жыл бұрын
Eddie nassoro mbona umetuondolea nyimbo za juma bhallo tunakuomba uturudishie kama ilivyokuwa mwanzo
@eddienassor4807 жыл бұрын
Kaka mwanawe amenishitaki anadai wanakuwa maskini kwa ajili yangu nimeweka nyimbo zao bure hivyo watu hawaendi kununua kwao!
@eddienassor4807 жыл бұрын
Kaka mwanawe amenishitaki anadai wanakuwa maskini kwa ajili yangu nimeweka nyimbo zao bure hivyo watu hawaendi kununua kwao!
@agustinopaulo84169 ай бұрын
Jamani jamani jamani!!!
@georgempogomi7329 Жыл бұрын
Hizi ndio nyimbo zetu achana na hizo zenu za kamatia chini
@saidabantu34927 жыл бұрын
Nautafuta mwanaenzi WA jjb
@shabanimwankosole47127 жыл бұрын
huyu jamaa ni bingwa wa vipaji kila sehemu anafanya vizuri sana soma vitabu vyake alivyotunga JITU KUMBUKA (kabwe makanika part 1 mpk 3 ) utamkubali twende kwenye filam zote alizocheza ni nzuri Ila naomba unisaidie kitu umri wa zahir ni miaka mingapi mbona kwenye game yupo Siku nyingi na bado ana nguvu zake?na ni kabila gani?
@expeditoseverinnyakunga63824 жыл бұрын
Kigoma nadhani ni mmanyema km co muha
@mahadshekh3982 жыл бұрын
Baba yake ni Singasinga na mama ni mmanyema.
@abdulnaseermrisho43427 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@katunian10 жыл бұрын
Duh, we mtu unatisha; naomba tuwekee na 'kisa cha foto albam' na 'cleopatra' tafadhali!
@eddienassor48010 жыл бұрын
Upo hewani huo muda mrefu ndugu yangu.Utafute tu hapo utauona
@ba320610 жыл бұрын
TPDF imetisha...yani walimfuata mpaka kijijini kwake Arua...na ni North ...mbali na Kagera...mmetisha.... ha ha ha eti kazi wamemaliza ...lakini walienda kumpa 'adhabu kidogo' ndani ya mipaka yake... Hivi hizi nyimbo za ki patriotic zipo kweli these days
@jacksonmulele40336 жыл бұрын
Imentoa machozi hii meseji yako!
@jafarym775 жыл бұрын
TPDF dozi waliyompa amini, imefanya majirani wote wanaotuzunguka kuacha chokochoko...sisi sio wagomvi ila ukituchokoza tunakupa makavu.
@Shammy-rn3tn4 жыл бұрын
sasa hivi kuna bongo fleva bana. vurugu tupu.
@sijasamweli68892 жыл бұрын
,jesh
@PmbetpromocodeA849 күн бұрын
2024
@linusleon70187 жыл бұрын
Solol a musa elisha bitebo (muzikmoses)
@MartinGao-pq3ed3 ай бұрын
Ninawasikitia askari waliopoteza maisha wakati wakiludi vitani eneo la lukumbulu baada ya loli lao kupinduka
@mudymnandi30506 жыл бұрын
Mwenye namba za zahir aly anipe nataka aje cku ya kufungua pub yangu
@georgempogomi7329 Жыл бұрын
😢hii nyimbo ipigwe kila siku ya heshima kubwa siyo hizo za kamatia chini zinatakiwa zifungiwe