HII NI KIBOKO YA WAHABI

  Рет қаралды 11,793

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 229
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 Ай бұрын
Dj vs Diamond Platnamz Soon Piano vs Guitar 😂
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 Ай бұрын
Tuko Zanzibar na Dj Said Musician, Tafadhali tufanye mchango Wa Ma guitar 🎸 zimepungua na Piano zipo lkn Ikiongezwa na Gorido kutakua Vzry asanteni 😂
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
Hahahaaaaa DJ. Saudi aaaa majanga waislamu waleo. Hatujui hata tulichoamrishwa na mtume WETU S.A.W
@suuahmed71
@suuahmed71 29 күн бұрын
Unamuita DJ na kejeli zote lakini ukweli ni kuwa huyo shekhe wenu hamuwezi Ustadh Said. Wee unae sema hujui nguzo za Dini ni ngapi. Hujui Najisi kuna aina ngapi? Hujui nguzo za swala ni ngapi. Kasome kwa Ustadh Said
@SadaKassm
@SadaKassm Ай бұрын
Huyu mtangazaji mashaallwah anajitahidi sana ila watu wengine hupenda kutia wenzao ila tu lkn mtu huyo huyo ukimpa nafasi kama hii wallwahi thumma wallwahi atachemka sana.. kubwa tuombeane Dua na tuwache UBAYA wa nafsi .
@MoodyOne-g5t
@MoodyOne-g5t Ай бұрын
Allah atuongoze n sisi tuitafute elim popote allauhmma ameen
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
Mwamba ina maana Maswahaba hawakuyajuwa haya kuwa Yana muhimu, nyny ndio mnajuwa zaidi kutenda mema. Daah waislamu Sisi WA Leo kweli Mtihani. Yaani Kanzu nzuriiii mnavaa na Maswahaba walivokuwa. Ndio Sayyidna Umar kashafariki, angewakuta Watu sampuli yetu hii angecharaza Bakora mbiooooo!
@Mh_69rz
@Mh_69rz Ай бұрын
Mtangazaji hujielewi, chunga sana
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
ALLAH TUSAMEHE WAJA WAKO KWA KUTOFAHAMU TULIYOLETEWA NA MJUMBE WAKO MUHAMAD S.A.W
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Ama kweli nibora uwe mjinga hujui haqqi kuliko mpumbavu anaejua haqqi na akaikanyaga Kwa kufata matamanio yake na kuwaridhisha wazee wake na watuwake ❌❌❌❌❌❌
@kitosio
@kitosio Ай бұрын
Kisha unasema wale ambao hawajafahamu. Basi na Maswahaba hawakufahamu hayo na wapo waliobashiriwa Pepo Duniani. Jee Nyny vipiiiii mnajijuwa mlipo mnafanya mliyokuwa hamukuamrishwa!
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 Ай бұрын
Allah aku hifadhi Ustadh Said
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan Ай бұрын
USTADH WA MUZIKI HUYO NA MPAMBANIA BI'DAA..HANA JIPYA
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
hujamsikia kasema yupo hapa zanzibar anaetaka munakasha aende mbona unatowa vijneno pemben
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Ай бұрын
Jaahil wewe na mtabaki hivo hivo na upofu wenu mufsidiin nyiny
@abuuzahra-fc2jg
@abuuzahra-fc2jg Ай бұрын
Uwahabi na usalafi wenu ni sumu ukiinywa kupona sirahis Yaani umma umepata balaa kubwa Kwa mufsidiin hawa wahhaabiyya
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Ай бұрын
Sawasawa hilo ni poti la kiyahudi halijielewi
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Ай бұрын
Wagomvi wao ni waislam,km vile wao sio waislamu vile
@omanoman2044
@omanoman2044 Ай бұрын
Dua inaobwa wengine wanabonyeza sim kumbe hata masheikhe wametawaliw nasim nikafikir ni sis tuy
@ابومعاذاحمدناصر
@ابومعاذاحمدناصر Ай бұрын
Yaa allah wanusuru waisalamu na balaa la kuzusha katika dini yako hakika shaitwan kawapambia sana jambo hili
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Ай бұрын
Kwan mnakuaga mnatumwa ku_coment au ni khiari zenu. ??
@saidmwakulika706
@saidmwakulika706 Ай бұрын
Nashindwa wallah ​@@checkcheck5191
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 Ай бұрын
​@@checkcheck5191ume comment kwani umetumwa wwe
@NasibuJuma-e6u
@NasibuJuma-e6u Ай бұрын
Mtafia katika bidhaa
@MansourYusuphu
@MansourYusuphu Ай бұрын
Nimeambiwa yupo tayari kwa mijadala usiropokWe
@IbraFareed
@IbraFareed Ай бұрын
Nasibu inaitwa bidaah sio bidhaa 😂
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Ай бұрын
Anajielewa wacheni chuki zenu
@ali_ford
@ali_ford Ай бұрын
😂dj side
@IbraFareed
@IbraFareed Ай бұрын
Asalaam aleykum warahmatullahi wabarakatu… USILAM UMEKATAZA KUITANA HAYA MAJINA YASIOFAA Surah Hujurat Aya 11 imetusihi mambo haya, unawaita waumini wenzako SubhanaAllah, aya hii ilikuja kwa walioamini wote tusiitane kwa majina mabaya (ya kejeli), kwani ubaya wa sifa na jina ni utokaji nje wa maadili ya Dini, na yeyote yule asiyetubu (kutubia kwa tabia yake hiyo), basi hao ndio walio wadhalimu. ALLAH ametueleza kuwa “kuitana majina mabaya na utokaji nje wa maadili ya Dini, baada ya kuwa mmeingia kwenye Uislamu na mmeufahamu. basi watu wenyekufanya hivyo ndio watu waliozidhulumu nafsi zao kwa kuyatenda mambo haya yaliyokatazwa. ‎يا أيها الذين آمنوا لا يسخر قوم من قوم عسى أن يكونوا خيرا منهم ولا نساء من نساء عسى أن يكن خيرا منهن ولا تلمزوا أنفسكم ولا تنابزوا بالألقاب بئس الاسم الفسوق بعد الإيمان ومن لم يتب فأولئك هم الظالمون Tumekatazwa hata kutukana na kuikejeri miungu isio kuwa ALLAH ‎وَلَا تَسُبُّوا الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ فَيَسُبُّوا اللَّهَ عَدْوًا بِغَيْرِ عِلْمٍ كَذَلِكَ زَيَّنَّا لِكُلِّ أُمَّةٍ عَمَلَهُمْ ثُمَّ إِلَى رَبِّهِم مَّرْجِعُهُمْ ‎فَيُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ HAPO UMEEENDA KINYUME NA MAFUNDISHO YA DINI YA UISLAM
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Na Allah akuongoze uijue haqqi
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 Ай бұрын
Mtangazi hajielewi😅😅
@SaidAbdallah-sm1ft
@SaidAbdallah-sm1ft Ай бұрын
اذا أسند الأمر إلى غير أهلها فانتظر الساعة
@Hud_hud_Salafiy
@Hud_hud_Salafiy Ай бұрын
Uyu mtangazaji ni chizi sana eti Aya hizo hajui Aya ni nini na HADITHI ni nini
@SamhatPandu
@SamhatPandu Ай бұрын
Znz hakuna mtu atae Acha kazi zake akaeka munakash na ww dj na nyinyi nyote mutaenda kuulizwa na Allah na ww sheikh mudhihir mche Allah unaubeba uwo uzushi na Allah atakuhukumu kupitia ayo na ww kizito hujaona watu wa kutuletea mpk ulete wasanii mungu ndo atakuhukumu
@Grataaaaa
@Grataaaaa Ай бұрын
Shekh maulidi
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Waumini tumeumbwa kupenda haqqi kutoka Kwa Allah na mtumewake ilo lenu limetoka wapi? Kwa Allah au mtume? Au maswahaba? Au maimamu wakubwa? Duh aisee watu ni wabishi sijapata Kuona he 😠🤔🤔🤔
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
MNAFANANA MAUMBILE SIO!! YAANI WEWE UNA DHAKAR AU YEYE ANA FARJI!! WEE MPUUZI KWELI KWELI.
@mohamedamiri4597
@mohamedamiri4597 Ай бұрын
Haya yakudharauliana na kukosowana ndio tuluoachiwa wenzetu wanajua nini maana ya kuheshimiana
@islamseyffden7723
@islamseyffden7723 Ай бұрын
Aibu sanaa mtoto wa bachu anaaibishwa kwao zenji noma 😂😂sanaaa hii kitu
@omarmohammad1528
@omarmohammad1528 Ай бұрын
Jifananishe na mwanaume katika maongezi yako braza
@ZahorSuleyman
@ZahorSuleyman Ай бұрын
Huyu hamna kitu
@HajiMororo
@HajiMororo Ай бұрын
Hii nibidaa
@abbaspaziaog2188
@abbaspaziaog2188 Ай бұрын
Kipindi hicho nipo zanzibar 😂kabla yakujua misikiti ya masalafi uhl sunna waljamaa wenyew as nilikua naswal kwenye sikiti hill lakisufi😂
@RamadhanHabibuAmour
@RamadhanHabibuAmour Ай бұрын
Awo masufi wengi ni ....... 😅😅😅
@lordenoughforme4417
@lordenoughforme4417 Ай бұрын
Akuna cha kiboko habari zake zote tuko nazo.acha tumstiri tu
@FahadMasoud-io4mb
@FahadMasoud-io4mb Ай бұрын
Mtu hutaja mama yake sio maovu yake,hakuna mkamilifu,pia mwenye kujishusha ndio mchamungu kuliko mwenye kujikweza
@inamxmdsheekh1978
@inamxmdsheekh1978 Ай бұрын
Hebu mtueleze kama mnampenda mtume SAW kuliko khulafaurrashidiin? Maana hawajawahi kuusherekea mawlid!
@KhadijakhamisMasoud
@KhadijakhamisMasoud Ай бұрын
Vichwa vya habari vitagawanya kizazi cha sasa...
@sabrimtumweni5633
@sabrimtumweni5633 Ай бұрын
Huyu mtangazaji ni Chale anashabikia akipotoka Bure hata ukauze samaki malindi Uandishi wa habari haukufai kabisa Na huyo unaemuhoji ajijua hayumo ndio maana amekimbia Mombasa
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Ай бұрын
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO Ай бұрын
Nadhakar unayo nn au ni ndev tu,,,na je mtume kasem ukikosa ndevu unakua mwanamke ,,
@AbdulMohamedWario
@AbdulMohamedWario Ай бұрын
Maulid ni nuru ya Allah cio 😅😅😅😅😅😅😅 makhurafi hamjielewi
@أبوفيصل-د3ش
@أبوفيصل-د3ش Ай бұрын
Huwa mnashindwa Kutueleza nn Uwahabi kiistwilahi na kilugha??Je,Uwahabi ni nn Hili swali hamjaweza Jibu Masufi mpka sasa. Kwa sabab Hakuna Kundi/Madhehebu linaloitwa wahabi. Na hakuna Maana ya Mawlid inayomaanisha hiyo yenu Bali ni Ihtifaalat bil mawlid Nabiyy. na Hakuna Mwanachuoni yyte Asemaye Jambo hili ni sunna.
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Kumbe ulitumia akili ulonayo usitumie akiliyako katkadini
@TwalibHajj
@TwalibHajj Ай бұрын
Ugonjwa wenu mtafteni daktari wa maana
@AbdallahJchubi
@AbdallahJchubi Ай бұрын
nyie masufi acheni kuendekeza matamanio haq Iko wazi
@حسنبشير-ز2ج
@حسنبشير-ز2ج Ай бұрын
Eti mifumo iliyowekwa na wazee duh
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Ай бұрын
Hii tv niliiyona niyamaana sana kumbe niyahovyo kumbe hii tv ni tv ya misufi na unfollow hii mijamaa ikombali na sunna
@AbuuShuraimAl-Shirazy
@AbuuShuraimAl-Shirazy Ай бұрын
Mtangazaji jitahid tulia na fikiria unachotak kuongea usikurupike utangazaji unaitajia fikra kubwa sio kilaakati eee aaaa, hem tulia na punguz papara katik kuongea. Na ukifanya hivyo utakua mtangazaji mzur sn
@salmaanfaqiih
@salmaanfaqiih Ай бұрын
Kwahiyo umemuongoza nini yaani kwa ufupi?! Maana kwa sura hii ni kwamba na wewe ni Mwenye papara pia, kwahiyo mnyooshee lengo lako
@suleali4915
@suleali4915 Ай бұрын
Binaadam kwa kuongea tu
@bashirusalumbigapsana673
@bashirusalumbigapsana673 Ай бұрын
Mchaji Mungu sana uyu kijana
@RashidShela-w8n
@RashidShela-w8n Ай бұрын
Wee itakuw ni Wahabi piy
@ahmadiibrahim7906
@ahmadiibrahim7906 Ай бұрын
Hii kiboko ya wajinga wavivu mazundiki na watu wa batwil
@funnysmile8666
@funnysmile8666 Ай бұрын
jamaa hana tofaitii na qadiriaa wapiga vinanda na magomaaa tunazo clip zake nyingii tuu ana pigaa mananda na magoma
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Ай бұрын
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@MohamefMullah
@MohamefMullah Ай бұрын
Nini uwahabi, uwahabi ni genge au kundi lilioanzishwa na Muhammad Abdul wahab kutoka katika mji wa Najid huko saudia yapata miaka 300 tu iliyopita, na hawa mawahabi ndio waulioungushs utawala halali wa saudia ya zaman kabla ya saudia ya sasa, Mawahabi ndio waliopindua uongozi halali wa kizazi cha mtume katika miji ya kale ya saudia Arabia, hii saudia ikiwa mawahabi hamuelewi ni jina la babu wa Fahdi bin Abdul azizi Al saudi, hawa mawahabi ambao wanaleta shida katika dunia ndio walipindua kizazi cha mtume kwa msaada wa Uingereza na Marekani, Hawa mawahabi ndio waeneza chuki katika uislam, Hawa mawahabi kila kheri hujaribu kuibadisha ili iwe shari, Uwahabi chimbuko lake ni mji wa Najid mji ambao mtume Muhammad S, a, w alikataa kuuombea dua, kumbe alikwisha jua kuwa muanzilishi wa uwahabi atatoka hapo na ndio sbb ya kuja kuutia dosari na kukosoa kila zuri la kiislam, Uwahabi ni kama chama, unaingizwa na kutolewa,
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Umesikia? Wanaendeleza mifumo ya wazee
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
Napenda sana mwanaume mwenye ndevu asokuwa na ndevu naona kama tunafanana
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Nenden gest ndo utajua nikama wewe au laa😅😅😅
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 Ай бұрын
@@jamalikatikiro6145 sindano imekuingia cha kunyoa ndevu unakuwa kama tunafanana mkeo
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa Ай бұрын
Tukisema tufunge ndevu na kuoa mnasema sunna nyingine hatuzioni tukizifata sunna nyingine mnasema mnataka ndevu sisi sio Nabii hatuwezi shika yote hayo sisi nyongo tunazo Nabii hakuwa na Nyongo hii ni tafauti yetu na yeye
@manhajsalafafrica
@manhajsalafafrica Ай бұрын
Anaenyoa ndevu anajifananisha na mwanamke
@YaziduIddy-u7p
@YaziduIddy-u7p Ай бұрын
​@@manhajsalafafricatao dalili ju ya hilo
@MohamedSaidi-lj9ei
@MohamedSaidi-lj9ei Ай бұрын
Majaahil nguli
@abdul_azeez_almaamir
@abdul_azeez_almaamir Ай бұрын
Mtangazaji kama shabiki ,,, aibu
@hassanmzandy1421
@hassanmzandy1421 Ай бұрын
Sio محجورا ni مأجورا
@aminaabdullahi-tp5kn
@aminaabdullahi-tp5kn Ай бұрын
Ndio Lao kubwa kibri Na dharau...ALLAH ATAWATOSHA
@ATICKLUNKO
@ATICKLUNKO Ай бұрын
Maulid ni uvundo pamoj na ile qur,an,,isomwayo,,na mtume anaetajwa,,ni uvundo,,,sir ya mtume ni uvundo,,,au umeropka,,tu,,
@swalehseifmuhammed8289
@swalehseifmuhammed8289 Ай бұрын
Inamana qur an ni uvundo ww chukia maulidu ila usiseme qur an na kutajwa mtume ni uvundo wa chakibur
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 Ай бұрын
Huyu ni mwanamuke tu sio mwanaume 😅
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Mpe dadako akusimulie😅😅😅
@Harunery
@Harunery Ай бұрын
Vimbeni kwa hiyo pumzi ya ALLAH,jueni marejeo ni kwake nyinyi wapuuzi msokua na akili
@Rolemodel_wa_taifa
@Rolemodel_wa_taifa Ай бұрын
Na wewe pia mwenye akili uvimbe na ukijua pumzi ni ya Allah muda wowote ataichukua usifikili ukiwa na akili utaishi milele
@abdoumadiousseni4835
@abdoumadiousseni4835 Ай бұрын
Kwahiyo maswahaba hawako soma ndomana hakofanya maulidi nyinyi ndo mulio soma mpaka munafanya maulidi
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Wewe umesoma wapi?
@funnysmile8666
@funnysmile8666 Ай бұрын
MAULIDI NI UVUNDOO
@checkcheck5191
@checkcheck5191 Ай бұрын
Kwan mnakuaga mnatumwa au ni khiari zenu??
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 Ай бұрын
​@@checkcheck5191 kwa kafiri MAULID (MAZAZI YA MTUME SAW) NI UVUNDO. LKN KWA WAISLAMU MAZAZI YA MTUME WETU NI FURAHA TU. CHUKI ZENU MAKAFIRI HAZIWEZI KUTUTUDISHA NYUMA WAISLAMU
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Ай бұрын
Dj said Zanzibar unashoo Kwa bakasir
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Ай бұрын
Wewe waongea lugha gani
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 Ай бұрын
????? Wenzio wanasoma wewe shabikia.
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Wewe ndo densa wa iyo shoo😅😅😅
@SWAAHIB
@SWAAHIB Ай бұрын
ما ليس فيه
@hassanmohamedabdalla4108
@hassanmohamedabdalla4108 9 күн бұрын
Ewe mquburi tueleze wahabi ina maana gani si uilewe kuwanza , si neno la chuki bal ni jina kati ya majina Allah S. Wataala HISTORIA NA MAANA YA MAJINA WAHABI, ANSWAAR ,SHIA NA MANHAJ SALAFY. Jina hili la al-Wahhaab ni jina moja miongoni mwa majina ya Allaah Aliyetukuka yaliyo mazuri na matukufu. Maana yake halisi ni Mpaji, kwani ni Yeye pekee Aliyetukuka ndiye Mwenye uwezo wa kumpatia kila mmoja katika walimwengu bila kuishiwa. Hata hivyo, karne mbili zilizopita katika nchi ya Saudia kulitokea Shaykh aliyekuwa akipinga sana uzushi na kuwataka watu warudi katika Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam). Shaykh huyo alikuwa akiitwa Muhammad bin ‘Abdil-Wahhaab. Kwa ajili ya jina la baba yake, Wakaamua wale waliokuwa wamejikita katika uzushi na shirki na upotofu (Masufi na Mashia na Makhawaarij) kwa chuki zao kumpachika Imaam huyo na Shaykh huyo jina la Wahabi na wale waliokubaliana naye wakapachikwa jina la Mawahabi! Hata hivyo hakuna kabisa kikundi chochote kinachojulikana kwa jina hilo. Na wenye kuitwa hivyo hawalitambui jina hilo na hawakubali wenyewe kujiita au kuitwa hivyo. Bila shaka, watu wenye msimamo huo wa Sunnah, wanajulikana zaidi kwa jina la Ahlus Sunnah wal Jama’ah au Salafi wenye kufuata Salafus Swaalih (watu wema waliotangulia waliojikita katika kufuata Sunnah ya Mtume [Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam]). Kundi ambalo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitwambia tushikane nalo ni lile lenye kufuata Sunnah zake kikamilifu na pia Sunnah za Makhalifa waongofu. Kwa hivyo, kundi lolote ambalo litakuwa linawapinga Makhalifa na kuwatusi kama vile Shia watakuwa wako mbali na Uislamu. Maana ya Answaar as-Sunnah ni Waislamu ambao wanaitetea na kuilinda Sunnah ya Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) kwa jinsi inavyotakiwa na kuidhibiti isipotee au kusahaulika na Waislamu. Ama Ushia ni mfumo wa watu waliopotea njia kwa kuwaona kuwa Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum) si lolote si chochote bali walikufuru na kuritadi baada ya kuaga dunia kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam), pamoja na itikadi zao nyingi chafu. Vilevile makundi kama Khawaarij nao hawako mbali na Mashia kwa itikadi zao potofu. Na Masufi pamoja na kujidai wao ni Ahlus Sunnah, lakini wametoka katika njia ya Mtume, Maswahaba na wema waliopita kwa kuingiza ushirikina na uzushi na kuzusha mengi ambayo hayapo kwenye Dini yetu. Ama MANHAJ YA SALAFI ni mfumo wa Dini sahihi uliochukuliwa kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na ndio njia aliyokuwa nayo yeye na Maswahaba zake na watu wema waliotangulia katika Dini. Imaam Ibn Hajar Al-‘Asqalaaniy amesema katika kulifasiri tamko la as-Salaf: “Makusudio yake ni Maswahaba na wale walokuja baada yao wakafuata mwendo wa Maswahaba.” [Fat-hul Baariy, Mj. 6, Uk. 66] Amepokea Imaam Muslim kutoka kwa Muhammad bin ‘Abdillaah kuwa amesema: “Nilimsikia ‘Ali bin Shaqiyq akisema, ‘Nilimsikia ’Abdullaah bin al- Mubaarak akisema mbele za watu, ‘Wacheni musichukue hadeeth ya ‘Amru bin Thaabit, kwani yeye alikuwa akitukana ma-Salaf’, na muradi wake hapa ni Maswahaba.” Akasema Imaam al-Awzaa’iy: “Isubirishe nafsi yako katika kufuata Sunnah na usimame pale waliposimama watu na useme yale waliyoyasema watu na ujizuie na yale waliyojizuia nayo watu na ufuate njia ya watu wako wema walotangulia kwani itakutosheleza”. Na muradi wa watu wema hapa, ni Maswahaba (Radhiya Allaahu ‘anhum). Kwahiyo yatosheleza kulingana na aqwaal zilizopita yakuwa tamko la Salafi kusudio lakeni zama za Maswahaba na walokuja baada yao wakafuata mwendo wao. Ama tamko hili katika kutumika kwake katika upande wa zama au muda ni tamko ambalo hukusudiwa kwa zile qarne tatu bora ambazo Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alosema: “Bora ya watu ni wa qarne au zama zangu, kasha ni wale watakaokuja baada yao, kisha watakao kuja baada yao”. Na wala haimaanishi yakuwa madh-hab ya Salafi yameshapita kwa sababu ya kupita karne zile tatu, Laa! bali kila mwenye kufuata mwendo wao kwa wema pia yumo katika njia ya ki-Salafi kama tunavyoona katika Taariykh ya kwamba mwisho wa zama hizo hizo za Maswahaba kulitokea vipote viovu pamoja na kuwa walikuwa katika karne bora. Kwa hivyo linadhihiri tamko hili hapa kuwa kila anayefuata mwenendo waliokuwa nao Maswahaba kwa wema mpaka siku ya Qiyaamah, na wale waloshikamana na ‘Aqiydah Swahiyh na mwenendo alokuwa nao Mtume na Maswahaba zake pasi na kukhitalifiana. Kwa hivyo Manhaj ya Salafi ni sifa Nzuri ya Muislamu kujipamba nayo wala si jambo geni lililozuliwa kama wanavyodai baadhi ya watu. Amesema Imaam Ibn Taymiyyah: “Wala si aibu kwa yule mwenye kudhihirisha madh-hab ya Salafi na kujinasibisha nayo na kujifakhiri nayo, kwani hayakuwa madh-hab ya Salafi isipokuwa ni madh-hab ya haki”. [Majmu’ al-Fataawa Mj.4 Uk.149] Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) alitabiri kuwa yeyote atakayeishi kwa muda mrefu miongoni mwetu ataona tofauti kubwa sana. Wakati huo ukifika anatakiwa Muislamu ayashike kwa magego yake maelekezo na Sunnah za Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) pamoja na Sunnah za Makhalifa waongofu. Mwanachuoni Shaykh Swaalih Al-Fawzaan amesema: “Iwapo Manhaj ya mtu ni sahihi, basi huyo atakuwa peponi. Kwa hivyo ikiwa alikuwa juu ya Manhaj ya Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na manhaj ya Salafus Swaalih basi huyo atakuwa ni mmoja wa wakaazi wa Peponi kwa ruhusa ya Allaah (Subhaanhu wa Ta’ala). Na kinyume chake, iwapo atakuwa juu ya Manhaj ya wapotofu basi atahofishwa na moto." [Al-Ajwibah al-Mufiydah uk.77]. Kwa faida zaidi JIUNGE na group letu la Facebook la UISLAMU CHAGUO LANGU na LIKE page yetu ya Facebook ya Islamic Swahili na TUTEMBELEE Facebook Uislamu Kitabu Na Sunnah. Wabillaahi at-Tawfiyq.
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
Huyu ni tapeli wa akili ndogo za masufi na khuraafiyuun
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Bin Abdul wahabi ndo kawatapeli
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
@@jamalikatikiro6145 ebu eleza kidogo tu ibun Abdulwaab ni nani? Na nina uhakika tena asilimia mia moja hujui na hujui....humjui ni nani ila ni fikra tu za kizembe mmelishwa...na kwa sababu wallahi nina uhakika ungalikuwa wamjua ni nani hungethubutu kutapika hayo matapishi yako
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
​@@KhamisiMulusinawewe elezes kidogo tu historia ya taswauf na nasi tutakuleza historia ya shekh muhammad abdul wahhab
@funnysmile8666
@funnysmile8666 Ай бұрын
sasa hivii hamtupatii tushashtukaa wano yapiga maulidii wanahojaa zenye misingii ya haq juzi naangaliaa clip watuwamaulidi wameambiwa maulidi nibidaa mtume wala maswahaba hawaku fanyaa wakaja na hojaa wakasema bc na mashindano ya quran nibidaa maana mtume hakufanyaaa 😅😅😅duuh
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
ndio tusaidie wewe kuwa mtume kafanya mashindani ya kur ani
@yuhm504
@yuhm504 Ай бұрын
Dj kapigwa kitu kizto na abuu khawla kapotea Mtume amatumia ما ليس فيه Kwenye sunan abyy daud
@SWAAHIB
@SWAAHIB Ай бұрын
Hapo alikaa kimya kama hakusikia vile
@yuhm504
@yuhm504 Ай бұрын
@@SWAAHIB kajizima data
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
​@@yuhm504abuu khawla aliambiwa ajitokeze kwa Niqash kama yule kikojozi akakimbia lkni mpaka leo hajajibu amenyamaza wala hajasikika tena kama vile huyo kikojozi kutoka baada ya Niqash mpaka leo hajasikika tena na zile kelele zake za kama mwaka jana kutukana wanazuoni na Masharifu juu ya Mamimbar na kutupa kitabu bali sasa twaona mambo yamebadilika yamekuwa tafauti alienda kuwasifu Masharifu na kuweka mijadala na mawahabi wenzake kila siku imekuwa kama musalsal yakuendeleya wanalimana wao kwa wao
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
​@@yuhm504wewe huyo abuu khawla ushamsikiya tena alitwa mpaka leo amenyamaza
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
uyo abuu khaula nae kamkimbi shekh muharram mziwanda mbona hamsemi
@YusufuMustafa-c5m
@YusufuMustafa-c5m Ай бұрын
Nyie masufi acheni mchezo na dini jumba na kupiga magitaa mmetoa kwa nani?
@MohamefMullah
@MohamefMullah Ай бұрын
Mtangazaji hajielewi vip ana kosa gani,kulaumulaumu ni dalili za Uwahabi,
@omaribrahim1547
@omaribrahim1547 Ай бұрын
dj
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Densa wewe😂😂
@DiudaKozi-qu8sl
@DiudaKozi-qu8sl Ай бұрын
Vipi naona dj said kaja diamond pla.....,shoo ya mziki itakuwa wapi mahurafi
@abdallahissa5736
@abdallahissa5736 Ай бұрын
Ittakillah, huyo ni muislam kama ww haifai kumkejeli hata kama kuna tofauti flani kati yenu, tunalazmika kua kitu kimoja waislamu pamoja na tofauti zetu tulokua nazo coz hizi haziwezi kuondoka. Samahani kama ntakua nmekukosea kwa nasaha yangu.
@mzeerajab9154
@mzeerajab9154 Ай бұрын
Ndugu yangu tumekatazwa kujitakasa,hivyo si vyema kujitakasa ukaona watu hawakuongoka na kuwaita majina mabaya na yasiyo yao.
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Madensa pia mnakaribishwa kwa shoo😅😅😅😅
@9119-r4t
@9119-r4t Ай бұрын
Zuzu lakisufi amabye anawapoteza wajinga wenzake
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
KWA NINI HUMTAFUTI ILI UMUONYESHE HIYO ELIMU UNAYOJIFANYA UNAYO, ILI TUJUE KATI YA WEWE NA YEYE NI NANI AMBAYE HANA ELIMU!! AU UNABWEKA TU.
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf Ай бұрын
Shetan inapendeza zaid bidaa kuliko maasi sas cjui mnangoja nn msoacha hayo maulidi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
user-zr1dv2tb5k Shetwani zaidi wale waloigawanya Tauhid kwa sababu Shetwani alimuahidi atawapoteza ktk waja wake ndio akawapata nynyi mawahabi akawafundisha kuigawanya Tauhid ya Mwenye Ezi Mungu
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf Ай бұрын
Nyie hamuelewi mambo ndo man kila cku zikenda mnazidi kupotea kila bidaaa ni upotevu hata mkiiona ni nzuri mnawapi pakukimbilia makhurafi
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf Ай бұрын
Nyie tunawaelewa km alivosema imamu shafee huwez kumumuona sufi asubuhi ispokua akifika mchan utamkuta mwendaazimu hamna akili ndo man imam shafee aliwajua fikaa
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf Ай бұрын
@@abubakaromar6101 hlf nyinyi hamsomi akida ety mbona mnafanya tawasulli kwenye makaburi ya masharifu wenu
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
@@FahdIbnyussuf nyinyi ndio mwajuwa Akida ndio mukaigawanya Tauhid? Kutawasal kwa Mwenye Ezi Mungu kupitia kwa watu WEMA au kitu CHEMA haijakatazwa hata Nabii Yusuf A.S alitawasal kwa KANZU na babake akaponya upofu kwani ilikuwa hawezi kumuomba Mwenye Ezi Mungu moja kwa moja na Dua za Manabii zajibiwa hapo hapo,ilokatazwa mukifanya kile kitu ndie Mwenye Ezi Mungu, sasa hiyo Akida yako au yenu ya kumgawanya Mwenye Ezi Mungu ينقسم توحيدإلى ثلاثة أقسم muliitowa wapi?
@mohdkhatib223
@mohdkhatib223 Ай бұрын
Wewe mtangazaji ni punda wa shia na nyinyi masufi ni wapumbavu na upumbavu wenu unaonekana
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Wewe pia nimbwa wa wazungu unajulikana😅😅😅
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
nanyinyi mawahabi ni mbwa wa mayahud
@aminiahmad-i9q
@aminiahmad-i9q Ай бұрын
Kofia unavyo vaa unasujudu vipi kwenye swala shekhe
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Ай бұрын
MUULIZE MUHAMMAD BACHU
@darajanida
@darajanida Ай бұрын
wewe huna lakusema bora ungenyamaza ndugu yangu kwani hapo saiv yupo kwrnye swala
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 Ай бұрын
Hatuna haja ya kusoma maulidi Sie tunajuwa ni uharamu sababu mtume hajafanya Kama kafanya lete salili
@abdallahissa5736
@abdallahissa5736 Ай бұрын
Hata kuharamisha asichokiharamisha mtume pia ni haram
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Ай бұрын
Sisi pia hatujawaambia someni maulidi lakini mjue tu dini ya uislamu ima letwa na masufi kasome tarikhi ya East Africa lao siwao hata kukoga janaba na kutawadha mungejuwa nyie mawahabi
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
Salili ndio nini au mtu gani? hata hiyo simu unayotumia wewe Mtume SAW na Maswahaba pia hawatumia
@jamalikatikiro6145
@jamalikatikiro6145 Ай бұрын
Hata kupanda magari Haram vilevile
@jumamwarabu9307
@jumamwarabu9307 Ай бұрын
Hata MTUME MUHAMMAD hakufanya mashindano ya kuhifadhi Qur an::JE NI bidaa;::
@mahfoudhcalender2747
@mahfoudhcalender2747 Ай бұрын
leteni dalili ya maulid basi
@hythamhashiem4458
@hythamhashiem4458 Ай бұрын
Mwajichokesha
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
Dalili ipo kwa mwanachuoni mkubwa munaemtegea Sheikh Islam IBN Taymiyah ktk kitabu chake IQTIDHAAU SWIRATWAL MUSTAQEEM kasome عن شيخ الإسلام ابن تيمية هو القول بأن: الاحتفال بمولد النبي صلى الله عليه وسلم؛في كتابه اقتضاء الصراط المستقيم:وإنما يفعل مثل هذا النصارى الذين يتخذون أمثال أيام حوادث عيسى عليه السلام أعيادا، أو اليهود، وإنما العيد شريعة، فما شرعه الله اتبع؛ وإلا لم يحدث في الدين ما ليس منه. كذلك ما يحدثه بعض الناس إما مضاهاة للنصارى في ميلاد عيسى عليه السلام، وإما محبة للنبي صلى الله عليه وسلم وتعظيما له، والله قد يثيبهم على هذه المحبة والاجتهاد وقال رحمه الله: " فتعظيم المولد، واتخاذه موسمًا، قد يفعله بعض الناس، ويكون له فيه أجر عظيم؛ لحسن قصده، وتعظيمه لرسول الله صلى الله عليه وسلم،لا على البدع من اتخاذ مولد النبي صلى الله عليه وسلم عيدا. hapo mwisho mwisho asema ktk kuyatukuza Maulid لا على البدع sio ktk Bid'aa
@abubakaromar6101
@abubakaromar6101 Ай бұрын
Sasa wewe lete Dalili Maulid hayafai
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
@@mahfoudhcalender2747 hawawezi na hawana isipokuwa ni njaa tu za birian soda kachumbari pilau n.k zinawafanya akili zao kuwaambia maulid ni dini
@KhamisiMulusi
@KhamisiMulusi Ай бұрын
@@abubakaromar6101 mwenye kudai jambo ndo juu yake kuleta dalili/ushahidi... Mlalamishi akidai kaibiwa bas ni juu yake kuleta ushahidi c yule aliye iba
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН
Car Bubble vs Lamborghini
00:33
Stokes Twins
Рет қаралды 23 МЛН
Players vs Pitch 🤯
00:26
LE FOOT EN VIDÉO
Рет қаралды 14 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
🔴LIVE: HAYA NDIO MAJIBU YA JUSA KUHUSU DOLA YA ZANZIBAR
1:07:15
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 1,9 М.
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 182 МЛН