Kaka zitto you're doing great Job ww ni uthibitisho WA viongozi wachache Tanzania wasio na uroho WA madaraka. 👏 👏
@AzizMasengaАй бұрын
Wambie kc wangu mstaff!Unakubalika sana mkuu na wana TZ.
@neemanziku5403Ай бұрын
Safi mkweli ww Zito kabwe Mungu akulinde tuko pamoja✌️✌️
@JamesSitta-b9sАй бұрын
Zitto nakukubal sana
@KananaKadogholoАй бұрын
Uko vizuri!
@landomalekano6570Ай бұрын
Nakubali
@nurumohammed1310Ай бұрын
Zito nakukubali Sanaa tena muelewa na unafaa kuwa Raisi wa Tanzania 🇹🇿
@gowekogoweko5803Ай бұрын
WELL SAID
@ChristineElias-bn4dwАй бұрын
Good man uko vzr xnaaaa unaongea point mh
@AkidaDaudiАй бұрын
Njaa Sasa zimeanza.
@PauloAlfayo-qi1gnАй бұрын
Akida daudi mawazo Yako na madharau Yako na kutumwa kwako imepitwa na tunakuomba unasemanjaa ximeanza sawa wewe Shiba muendelee kuunga mkono watu wetu kutekwa kuuwawa na wengine kupotea na wasiwapate ata wa kuwatetea
@jescageorge-fv8ytАй бұрын
Hilo sio jeshi la polic hilo ni jeshi la ccm
@eliabbanyikwa8716Ай бұрын
Kweli
@StephenMpallangeАй бұрын
Hata wakijifunza Kung-Fu ,kwa muda mfupi hivi hawawezi kufuzu,kwani na huku mitaa wakakamavu wapo wengi tu wanaojua kucheza karate,Acha wachezee moto watakiona kichapo cha Mbwa koko
@alexmalyango1405Ай бұрын
Hata masasi kaka wapo sawa na hapo nikajua wapo kisheria kumbe janja janja tu
@estachengula3902Ай бұрын
Tuungane pamoja kupinga ukatili wa selikali polisi tanzania twafa wakutulinda hawapo mungu tutetee wanao
@IjumaaIjumaaАй бұрын
Ww umetangaza kugombea je umejiandaa kutetea wanyongwe ? Au ukishapata uongozi unasahau kama kunakuulizwa na mungu juu ya uongozi wako wapi wananchi wanalalamika Kodi kandamizi mfano kunavyombo vya moto vinakodi karibu kumi wapi wanalalamika vipuli fek wapi wanalalamika maji hakuna sijui wataala kwa mungu mtajibu nini iwapo hakuna usawa ktk hii keki ya tz tuombe mungu amani ndo maisha salama
Zitto uko vizri hivi vyama vina viongozi Wenye hekima San Mbarikiwe san
@TM-zs3rmАй бұрын
Zito ilikuwa zamani, leo wewe ni malayamalaya wa uhuru nusu kama ulivyowafanyia Zanzibar. Chama chako hakipo upinzani asilimia 100 una ubia Zanzibar na CCM na unatarajia kufanya hivi Tanganyika. Tanganyuka tunahitaji uhuru kamili si nusu.
@serafineslaa1082Ай бұрын
Ushindi kwa ccm ni lazima. Unauliza wampige nani? Subirini mpigwe siku ya uchaguzi. Hao wanaojifunza kungfu watakuwa wakala wa chama siku kupiga kura. Kura zetu tutazilinda kwa kungfu na karete.
@MasungaNekwaАй бұрын
Huu ni ushenzi wa kuua watu.
@nurumohammed1310Ай бұрын
Jeshi la polisi ni jeshi la Ccm
@selemankishema5780Ай бұрын
Wee ndio mapumbavu umeuza act kwa wanzanzibar ukipewa nchi utauza haraka saana 😂😂😂
@AkidaDaudiАй бұрын
Wewe mbona ulikimbia chadema kipi kilikutowa huko mnatudanganya tu.
@Zanzibar-e4hАй бұрын
Kwan hapo umemfahamu au ndo unajelas imekuuma alivyomtaja Ali kibao wewe vp
@erestizacharia4758Ай бұрын
Acha ujinga na wewe, haikuhusu.
@OmmyJames-xn7jiАй бұрын
SABABU SIO PALOKO 😢😢😢😢😢😢😢
@neemanziku5403Ай бұрын
Umeelewa alicho kiongea lakini? au hujaelewa
@StevenTambiАй бұрын
Tumia akili kufikiri usitumie makalio yako
@abujamalaalghammawiy7470Ай бұрын
Ahsaneni ACT , Hakika hiki ni chama kiongozi TZ
@saidimdoe5246Ай бұрын
Huyu ndio zito yule wa zamani sasa
@EmmanuelJailos-pe3duАй бұрын
Umesahau hizo ni tapia za kishetani!
@clauschaula2050Ай бұрын
Ubinafsi ni kansa Kwa maisha ya Watanzania na hakuna aliyesalama kama tutaendelea na huruka hii.
@JosephatLusamboАй бұрын
Saf
@OptionsLimited-l4sАй бұрын
Kichwa Kinaongea❤
@mamboshepea8888Ай бұрын
Aah wapi!!!...mlamba asali tuuu😆😆
@Ba63828Ай бұрын
Zito anaongea kana kwamba anamjua mtekaji
@danielkansoАй бұрын
Ebu tuwasaidie polisi hawa watumie utaratibu wao kutenda haki kwani wanatumika kama vile hawana akili baadhi ya polisi wanatumikishwa tu upumbavu mtupu mtu anasoma miaaka mingi alafu anakuja kutumikishwa kwa mambo ya ovyo na yeye anakubali
@SmartOfficial-u5jАй бұрын
Na wengine wajifunze
@lindajohansen9220Ай бұрын
Ccm hawana hoja na hawapendeki na ndio maana wanaua watu na jeshi lao la polisi
@petroalfred5108Ай бұрын
Huyo OCD mwenyewe ni kada wa CCM atazuiaje? Wajinga sana hawa watu
Kabwe acha porojo hubiri watu watoe taarifa polisi wahalifu wakamatwe sio wewe kuchochea vurugu likitokea la kutokea wewe utakua wa kwanza kukimbia nchi usidanganye wananchi ukome sisi sio wajinga wako.😅
@AliSalim-yu4moАй бұрын
Wewe inaonesha akili zako zimeshikiliwa na mshipa wako wa haja kubwa na unatakiwa ufanyiwe upasuaji wa haraka Sana!