POLISI WAMEGEUKA KUWA WANASIASA WANATETEA CHAMA KIMOJA CCM "WAKILI MADELEKA

  Рет қаралды 6,337

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 87
@kelvinLwiva
@kelvinLwiva 55 минут бұрын
Fact sana mheshimiwa madeleke
@mr.mindscape255
@mr.mindscape255 Сағат бұрын
Watching this from texas, he is right
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 сағат бұрын
Ww ni king Madeleka, mungu akulinde sana sababu sijaona wakili anayenyoosha maelezo kama wewe wngine wanaongea lakini hawanyooshi maelezo kama wewe
@VictorNgosi
@VictorNgosi Сағат бұрын
MUNGU wetu fundi kwawapa hakili binadamu kuwatetea binadamu ❤❤❤❤❤ Tunakutakia maisha malefu
@atupegemwakahesya
@atupegemwakahesya 40 минут бұрын
Safi sana Madereka Kwa elimu hiyo.
@JacobJamesMasangula-oo6pt
@JacobJamesMasangula-oo6pt 42 минут бұрын
Barikiwa sana Mwana Madeleka🎉
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md Сағат бұрын
Mungu akubariki kaka umeongeya ukweli
@mikbete
@mikbete 7 минут бұрын
Madeleka ikomboeni nchi yetu, Mungu amewapa sauti, kumbukeni hilo na mko wengi Mungu kajisazia. Mungu/Yahshua/Yesu awasaidie.
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z Сағат бұрын
Yaani huyu jamaa Mungu kampa akili nyingi kweli kweli yuko vzr sana
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 сағат бұрын
Kwa ujinga wa wanahabari hata maoni yetu yenye elimu mnayaogopa kuyaweka hewani. Nchi hii inahitaji ukombozi wa hali ya juu kila kona.ujinga unsua. Unaua Tanganyika.
@yosephatMasanyiwa-oh1rl
@yosephatMasanyiwa-oh1rl Сағат бұрын
Madeleka!!!!..... Moja ya tunu ya taifa isiyotumiwa.
@SadiRashidiusiki
@SadiRashidiusiki Сағат бұрын
Mungu pokea maombi ya wanyonge
@Jakgevdjf
@Jakgevdjf 2 сағат бұрын
Matmizi mabata yaakili😂😂😂😢kusoma raha sana
@EmmanuelMpali
@EmmanuelMpali 50 минут бұрын
Kweli ndugu umeongea madini mtupu mm binafsi nimejifunza kitu Toka kwako mungu akubariki akulinde na uendelee kuwa mwaminifu
@TomasiklistophaMwinuka
@TomasiklistophaMwinuka Сағат бұрын
Wakili msomi nisahihi kabisa unachoongea
@ulomirabiel6980
@ulomirabiel6980 47 минут бұрын
Wenzetu askari bado wapo kwenye chama kimoja.
@gastordominic410
@gastordominic410 5 минут бұрын
Hii ni miongoni mwa tunu za Taifa nyingne ukiacha na Warioba Butiku na Bisimba
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 2 сағат бұрын
He talks sense
@barakamwasenga2143
@barakamwasenga2143 2 сағат бұрын
Upo vzr kk
@hermanclemence7728
@hermanclemence7728 2 сағат бұрын
Asante sana wakilo msomi
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 22 минут бұрын
Mujibu wa Sheria ni kuwakamata watu kinyume cha Sheria,,uzoefu wa police wa tz ni,kuwatesa wapinzani
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila Сағат бұрын
Nimwanasheria.mwenyehaki.mungu.akubaliki
@josephmwita6012
@josephmwita6012 2 сағат бұрын
leo ndo nimekuelewa kwa nini wakili msomi
@mussaMbwego-lz9hd
@mussaMbwego-lz9hd 45 минут бұрын
Duuuh kwel tz inawatu sahihi
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 2 сағат бұрын
Uko Sawa
@promisetenson7258
@promisetenson7258 2 сағат бұрын
Mungu akupe maisha marefu ww Madereka ni jembe la kiangazi mwanasheria hodari kabisa mfano wa kuigwa na wengi
@johnnziku5810
@johnnziku5810 2 сағат бұрын
💯💯
@josephatkajange8714
@josephatkajange8714 Сағат бұрын
Ni kweli Madeleka hakustahili kuwepo kwenye ajira ile!
@solomonjackson3827
@solomonjackson3827 45 минут бұрын
Kwani yeye mwanashelia wa selikali ANASEMAJE KWA KUJENGA TAIFA LETU
@AmosMtimi
@AmosMtimi 2 минут бұрын
Wanatia Aibu
@abdallahalwardi588
@abdallahalwardi588 50 минут бұрын
●tanzania ni nchi ya kijeshi😢😂
@NgajaNgaja-s4v
@NgajaNgaja-s4v 2 сағат бұрын
Duu kumbe polis nimambumbumbu wa kuto jua katiba
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 2 минут бұрын
Maagizo kutoka juu
@bahatiuggi5771
@bahatiuggi5771 Сағат бұрын
Nikweli kabisa kama vyama vya siasa vinaleta uvunjifu amani vifutwe
@TreyCarlos-p2i
@TreyCarlos-p2i 2 сағат бұрын
True
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
Kabisa yaani shida ni kweli kabisa nchi inavyoonekana inaendeshwa kwa mfumo wa chama kimoja. Ila kwa kuwa wananchi hawajui haki za kikatiba wanadhani ni sawa tunavyoona tunafanywa na viongozi wetu
@pastorybahinyuye4876
@pastorybahinyuye4876 2 сағат бұрын
Uko vizir
@TitoNgomuo
@TitoNgomuo 10 минут бұрын
Samahani,, kwan police ndio watunga Sheria au nao wanawajibika kufata sheria,, kwaio nchi hii kila anaetoa tamko linakua sheriaa. sheriaa??
@batwelimahenge7850
@batwelimahenge7850 17 минут бұрын
💯🙏✔️
@SofiaS-i5r
@SofiaS-i5r Сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@JohanessNango
@JohanessNango Сағат бұрын
Kweli wewe ni jembe mungu akubariki
@SeifAlly-fw6ns
@SeifAlly-fw6ns 26 минут бұрын
Na kenya walisema maandamano ya amani unaona yaliyowakuta?ulitaka nchi ivurugike kwa faida ya nani?
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Сағат бұрын
Ukitaka kujua Polisi wako Busy CHADEMA itangaze Maandamano kesho
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Сағат бұрын
😂😂😂
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 23 минут бұрын
Yaani nilikuwa napita njiani ,nikakuta yamejazana kwenye pick up, nikacheka tu, nahisi yakajua nafurahia😂😂😂
@FrankNzombo-k3j
@FrankNzombo-k3j 42 минут бұрын
Hivi kwa Nini serikali Haina wanasheria kama huyu jamaa imeajili mataila tu ya kupitisha mikataba feki
@justicebridge
@justicebridge 55 минут бұрын
Walisha ambiwa ni machawa. Kama rais alisema anamachawa wake si aliowateua ndo machawa wake na hao wengine ni makupe wanaagizwa na machawa. Machawa awawezi kumshauri huyo mkuu wao kwa sababu wanajipendekeza na kuboreshewa masilahi. Non sense
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le Сағат бұрын
Huyu mwandishi ni taaluma yake au kanjanja tu Huyo!?
@AbdallahMcha
@AbdallahMcha 2 сағат бұрын
Tumepata funzo kaka tulikua hatufaham.
@ShesheKaoneka
@ShesheKaoneka 38 минут бұрын
Wewe umesoma tu lakini akili huna.
@JohnManyilizu-rl5bm
@JohnManyilizu-rl5bm Сағат бұрын
Wewe ni mtu na nusu ndiyo maana uliacha hiyo kazi kumbe upuuzi mkubwa hivyo
@Uhuru1234
@Uhuru1234 2 сағат бұрын
Mwandishi usiwe na haraka sana, upate vitu kutoka kwa mtu mwenye akili
@billimambo9517
@billimambo9517 2 сағат бұрын
Akili atoe wapi? Kama na yeye yupo upande wa chama fulani wakati taaruma yake inatakiwa atete yoyote atakae hitaji huduma yake
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Сағат бұрын
​@@billimambo9517😂😂😂 tulia
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir 40 минут бұрын
​@@billimambo9517shut up pumbav
@selemankishema5780
@selemankishema5780 2 сағат бұрын
Kuna jambo mnajisahau hii nchi ya CCM msituvunjie amani tafuteni pademikrasia mkagombee uchaguzi
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 Сағат бұрын
katiba ipi inasema
@user-zairo3ki1m
@user-zairo3ki1m 2 сағат бұрын
Wakili wangu msomi
@GabrielyMathias-e1b
@GabrielyMathias-e1b 57 минут бұрын
Mh unaongea unwelli
@SamuelEzekiel-zh1hz
@SamuelEzekiel-zh1hz 3 сағат бұрын
❤❤
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 сағат бұрын
Mbon unanhoji watomvu wa nidhan hawa
@SaugoNdemo-tx4le
@SaugoNdemo-tx4le Сағат бұрын
Katiba baba....elewa unatetea nini wewe!?
@SleyoumSaid-i1z
@SleyoumSaid-i1z 2 сағат бұрын
Happo hapana mwanasheria Wala mwana habari nyote Chadema
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu Сағат бұрын
Hujielewi wewe kula kande ulale
@JoalMbario
@JoalMbario 3 сағат бұрын
Poa 👍👍
@JoalMbario
@JoalMbario 3 сағат бұрын
👍👍👍
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 сағат бұрын
Kwani siasa inafanyw na watu wa siasa au inajifany wenyew siasa?
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
What swali gani hilo😅
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 2 сағат бұрын
Huyu ni TLS presdaa ajae, Kama unabisha njoo na hoja mezani
@Rakim-y2z
@Rakim-y2z Сағат бұрын
Kwa sasa ndio alitakiwa awe president wa TLS
@silasmarandu1485
@silasmarandu1485 43 минут бұрын
Ni mtu na Nusu! Au kwa lugha ya ki Lingala ni Mtu Wa Maana kabisa 💪💪
@umlaith5202
@umlaith5202 Сағат бұрын
Wewe unachokitafuta utakipata maana unamdomo mchafu.. Sasa kama wewe wakili w unatoa maneno mabaya kama haya. Unawafundisha nini Watoto wetu???
@AlfredMatemu
@AlfredMatemu Сағат бұрын
Kasome biblia mstari Aliotoa mfiraji na mfirwa imetamkwa kwenye biblia
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Сағат бұрын
kuna kesi za watoto waliofirwa
@FrankChalula-hz6dn
@FrankChalula-hz6dn 20 минут бұрын
Hili linalomkesoa Jamaa litakuwa linaf**
@hemedjackson2261
@hemedjackson2261 2 сағат бұрын
Ikiw FBI na CIA wanatak kumuuw trump n kulinda maslahi ya serekali ilokuw madarakani y Biden, ss nani
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 сағат бұрын
Hivi watu kama wewe msiojua kufikiri na kufananidha utumbo na tumbo tutafika wapi. Mnatetea ujinga kabisa. Sheria na katiba ya nchi imeporwa na ccm na polisi. Ni hatari kubwa. Polisi wanalipwa na kila Mtanzania. Nyie watu ni pumba kanisa.
@jacksonsilaa415
@jacksonsilaa415 2 сағат бұрын
Kwa hiyo na ninyi mnalinda maslahi yenu siyo sawa kabisa kuweni specific hivyo.
@leokamil6284
@leokamil6284 2 сағат бұрын
Marekani kuna mamluki wengi binafsi tu mtu anafanya maamuzi kwa maono yake kwa kuwa kumiliki silaha ni free basi sio lazima mtu atumwe.Endapo Tanzania ingekuwa raia wangekuwa na ruksa kumiliki silaha kwa viongozi wanaokwaza ungeweza kuona hayo nayo sema. Naomba usilinganishe na Marekani kwani muhalifu yeyote hawezi kuitwa hajulikani kama kwetu .Hakuna wasiojulikana kule
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 2 сағат бұрын
Huyu kijana akili ndogo sana, sijui kwa nini wanahabari wengi elimu ndogo, si wasikivu, wanauliza maswali ya kijingajinga, anamkatisha mtu anapoongea. Wakati anafundisha umma. Hatuna watangazaji na uwezo wao ni mdogo sana.
@leokamil6284
@leokamil6284 Сағат бұрын
@@jacksonsilaa415 Between viongozi waliopo madarakani na Polisi wao na upinzani nani nani wanalinda maslahi?ebu kuwa hata na chemba za ufahamu wewe huoni mpaka Polisi wametandazwa nchi nzima kwa kulinda matumbo ya hao wenye amri.Ebu nenda Polisi wewe kapuku ukakamatiwe mshtakiwa wako tuanze karatasi ya maelezo kanunue PF3 katoe copy gari la kukatatia au kwenda eneo la tukio aidha hakuna au halina mafuta. Lakini kwa kuwalinda wenye nchi umeona magari nadhani ambayo hukuwahi kujua wanayo .Sasa usijidumaze kiakili jitambue
@rosejohn8494
@rosejohn8494 2 сағат бұрын
madeleka kasema marehemu kafa
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Сағат бұрын
Acha ujinga majeshi yote nilazima yatii na yafuate maagizo ya selekali inayotawala Sasa wewe na uboya wako ulitaka polisi iwatii nyie chadema acha upumbavu we kima wee
@pastorbarakangata606
@pastorbarakangata606 Сағат бұрын
wewe mhehe hujielewi
@rosejohn8494
@rosejohn8494 3 сағат бұрын
❤❤
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,4 МЛН
Brawl Stars Edit😈📕
00:15
Kan Andrey
Рет қаралды 51 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 224 МЛН
DIVORCED! Gachagua, Raila’s THREAT to Ruto’s Reign
19:47
Herman Manyora
Рет қаралды 53 М.
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,4 МЛН