Zitto: Nimeachiwa Huru, Naisubiri Serikali Mahakamani

  Рет қаралды 57,240

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@جميلهخميس-ط5ث
@جميلهخميس-ط5ث 7 жыл бұрын
Naichukua sana siasa ktk maisha yangu ila napenda kiongozi yoyote yule anayefanya vzr ktk kazi za ujenzi wa taifa bila kujali chama chake wanasiasa kazi kwenu
@dennisollomy401
@dennisollomy401 6 жыл бұрын
Mungu mbariki Zitto
@jisephmaganiko3859
@jisephmaganiko3859 7 жыл бұрын
Pambana kwa sasa tunakutengemea kwa upizan huku tukisubili jembe letu liimalike
@thomasmhindi1469
@thomasmhindi1469 7 жыл бұрын
watz bna, ,,, saiv n hongera kwa zto yakimpata magum zaid , apambane na hali yake...... ,,,,,politician mkiskiliza maneno ya waandshi wa habar mtaumbuka
@sunzuhasani3709
@sunzuhasani3709 7 жыл бұрын
Dah nihatali jamani m yangu macho zitto usiludi nyuma endelea mbele
@zeelamipango
@zeelamipango 7 жыл бұрын
Tanzania eeeee nchi yanguuu
@neemaissa4546
@neemaissa4546 7 жыл бұрын
duuuh kujipendekeza kwer
@katulitsajacob1107
@katulitsajacob1107 7 жыл бұрын
Viva Zitto Zuberi Kabwe wewe ni Mshindi tu kaka
@consolatamaarufu6762
@consolatamaarufu6762 7 жыл бұрын
pole zito
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 7 жыл бұрын
Saf zitto hata sisi wananchi tunalaani vikali mambo yanayofanywa na serikali ya sasa.mungu akutie nguvu
@wilhemmwashambwa1065
@wilhemmwashambwa1065 7 жыл бұрын
Pambana Hall yako zto unabwabwanga nn mdomon mwako kazi kuongea uongo tu.
@wilbroadsiyonga5889
@wilbroadsiyonga5889 7 жыл бұрын
Taifa la watu wasio hoji limekufa!
@nicholausnchimbi1599
@nicholausnchimbi1599 7 жыл бұрын
KUIWA NA UFUNGUZI WA MIRADI YA KIMAENDELEO CAMELA ZA KUHESABU,LAKINI KWENYE USHILAWADU HAPATOSHI NANI KATULOGA WTZ.
@babsule8904
@babsule8904 7 жыл бұрын
Aisee
@veronicazacharia2080
@veronicazacharia2080 7 жыл бұрын
Pole zitto
@babsule8904
@babsule8904 7 жыл бұрын
Atar sn
@nestorymalekela1823
@nestorymalekela1823 7 жыл бұрын
sio Kama hivyo
@lukasmaige5575
@lukasmaige5575 7 жыл бұрын
lakini mimi toka nimeanza kusikia kutazama haya mambo mbona wa chama tawala hawakamatwi nahuwa wanamakosa tu
@christophersimon823
@christophersimon823 7 жыл бұрын
zitto usirudi nyuma pambana nimechoka udkiteta
@victorienadebayor818
@victorienadebayor818 6 жыл бұрын
Acha nikae kimya
@shaurikiyanga6033
@shaurikiyanga6033 7 жыл бұрын
usikwamishwe mheshimiwa ni mbinu tu za kukuogopesha
@stephanokanyika6988
@stephanokanyika6988 7 жыл бұрын
Hivi zitto nae bado ni mpinzanzani tumesahau kama ni msariti tulimfukuza chadema na mm ninavyo jua zito anafanya kazi za ccm
@ramadhaniathumanimlenge6641
@ramadhaniathumanimlenge6641 7 жыл бұрын
Hahahaha hawajiamini tu kila siku kukamata upinzani
@festomeshack8581
@festomeshack8581 7 жыл бұрын
Zitto usiogope na usirudi nyuma hizi ni mbio za vijiti tu
@santyhassan4186
@santyhassan4186 7 жыл бұрын
Nimekuona kilungi Emili kilungi
@stephanokanyika6988
@stephanokanyika6988 7 жыл бұрын
we uliye sema zitto apambane kwa sababu lisu yuko hospital ujielewi lisu awezi kufanana na mamuluki kama huyo tena msituchanganye mme sahau bungeni hata wapinzani wa kweli walivyo kuwa wanatoka inje kupinga mambo ya kifisadi zito alikuwa hatoki leo amebadilika nini acheni kuzuga nyie zito ni wenu tu wana ccm mimi simukubali hata kidogo wala hajabadilika kitu
@martinshedafa1300
@martinshedafa1300 7 жыл бұрын
Kanyika Kanyika EET!!! Unajua kwamba mbowe anamkubali zito, kama huamini subiri siku 5 kabla ya uchaguzi mkuu 2020 zito ataungana tena rasmi na kafulila. Zito ni mtoto tu amenyea mkono mbowe hawezi kuukata atauosha mambo yataendelea
@mindy8337
@mindy8337 7 жыл бұрын
Hujui siasa ikoje,na intelligence yako katika siasa inaitwa ushabika,nitatizo
@yesgood3491
@yesgood3491 7 жыл бұрын
zto ongeza nguvu kwa kurudi nyumbani chadema
@shufaamohameed2603
@shufaamohameed2603 7 жыл бұрын
Pambana kaka
@julianamasunga4147
@julianamasunga4147 7 жыл бұрын
zitto zitto...... ebu imarisha chama chako ebu jaribu kuwa tofauti...... umekuwa kama shoga achana naujinga huo wakutafuta kiki...... tazama chama chako kwa mapana zaidi.............
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 7 жыл бұрын
Huyu ZITO si ndio CHADEMA MBOWE NA LISU WALITUAMBIA MSALITI ANATUMIWA NA USALAMA WA TAIFA
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 7 жыл бұрын
Abdulatif Said Ni kweli Na Ndio kiss Cha Kufukuzwa Chadema
@manyotaskipper5765
@manyotaskipper5765 7 жыл бұрын
Shabby Makapane sasa kama msaliti iweje leo aonekane shujaa kuichachafya serikali
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 7 жыл бұрын
Abdulatif Said Hahaha Ndio Ujue Wapinzani Hamna kitu
@shabbymakapane3212
@shabbymakapane3212 7 жыл бұрын
Abdulatif Said kwanza Huyo jamaa Mi Simuelewi Chadena walimfukuza Kwa Kumuona Msaliti Lakini Leo Hii Anajipendekeza Kwa Hao Hao wanaomwita au Kumuona Msaliti
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 7 жыл бұрын
sasa unashaangaaa ya Zitto halafu huachi kushangaaa ya LOWASA waliyemsma FISADI kwa miaka tisa mfululizo mpaka akanuka Tanzania nzima kwa UFISADI na tena wakasema wana ushahidi wa kutosha kuonesha ufisadi wake, na magazeti yao yakamuandika namna alivyo FISADI ghafla u mara akawa lulu na dhahabu, na akapewa bendera ya ukombozi wa taifa na mabadiliko, na watu woote wakashangilia bila kuhoji. MIMI NINACHOONA KWA WATU WOOTE CHADEMA NA CCM Wote hawa hawataki watuwanaohoji, ukiwa mwanachama wa CHADEMA basi kila atakaloseam MBOWE na wenzie usihoji, UKIHOJI UNAKUWA MSALITI, na hivuo hivyo ukiwa CCM kila atakachosema RAISI unatakiwa usihoji, ukihoji unakuwa MSALITI. Sasa ka mtu kama Zitto lazima aonekanwe ni msaliti kwa vyama vyoote hivi, na atakuwa lulu pale tu atakaapounga mkono hoja zao, ila akihoji tu basi haraka sanaaa huitwa MSALITI NA WOTE WAWILI CHADEMA NA CCM
@simbadume3126
@simbadume3126 7 жыл бұрын
Mbona mh. zitto anaokenana kama amefulia hivi? shati limeenda uvinza, sura imetelemka toka kwenye fremu yake! Ahaaaaaaaaaaaaa, na bado! Mtanyoooka tu!
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 14 МЛН
BAKWATA: Mwiba mzito kwa Waislam Tanzania
43:19
Kalamutz
Рет қаралды 11 М.