Mungu Baba awasimamie wote wanaotetea haki na kupinga udhalimu, awape amani katikati ya mateso. Lakini pia Mungu awape malipo stahiki wale wote wanaosimama upande wa udhalimu na kufurahia mateso ya watetezi wa haki. Tena malipo yao wayapate hapahapa duniani, wakifa wakapewe mahesabu tu. Aaamin. Inshallah
@hidayabakar70264 жыл бұрын
Waumbuwenii wachokozenii CCM Abadan haiwi pekeyake mukatufirigisa kama miyaka yanyuma haiwezekani wapinzani wawepo Tu piga Uwa
@dottogjacksno53424 жыл бұрын
Pole sana Zitto Kabwe Ruyagwa. Pamojasana.
@alexkabeho56094 жыл бұрын
Mbona nahisi kwamba hile corona ulitangaaza huiogopi tena vipi, no barakowa, no social distance, asante kwa kumuunga mkono JPM, sio vibaya mweshimiwa kua na maoni tofauti na serekali ni njia ya kujenga a strong and stable country, ila jitaidi kua unaongea ukweli, maana you never know unaweza kua kiongozi kesho, ila kwa uongo......... Mungu abariki kazi ya mikono yako 🙏
@thebestplatformz82824 жыл бұрын
Aiseee my head master isack mchinjinjita na note book yake nakuona mzeee wangu
@mwalimumbukuzi72734 жыл бұрын
baada ya uchaguzi wa 2020 mna ahadi ya wakuu wa mikoa wangapi? na makatibu wakuu wa wizara wangapi? na watakaobaki kuwa wanachama huku wakitumikia asante ni wangapi? wadau wa akt (ACT) wazalendo hebu nitulizeni nafs mapema!!
@ambrosdavid44844 жыл бұрын
Nimesoma Msg za baadhi yenu humu ndani, kuna watu wanapenda watz wenzao wapate matatizo , eti wavunjwe sio poa kabisa sisi wote ni watz leo unaemzalau kesho ndio atakuwa kiongozi wako, tupendane jamani tusije fika kama nchi hizo nyingine zilivyo sasa, amani itawale, kila chama kifanye siasa kama katiba inavyosema huu ni mfumo wa vyama vingi , wacheni wanasiasa wafanye siasa hiki ni kipindi cha siasa ,
@janeobure18594 жыл бұрын
CCM ni sumu kwa taifa hili. Waoga kuliko vyama vyote ulimwenguni. Awamu hii kwann mnaogopa wapinzani kuliko Awamu zilizopita?
@sniperbogo62104 жыл бұрын
Mi cjui wanaogopa nn wakat wanajotapa wamefanya vt ving
@doctorkisale94304 жыл бұрын
Nyie police ndio mnakitukanisha chama chetu Cha ccm waacheni hao tutakutananao ktk kupiga kura katika Sera hakuna mpinzani mwenyesera kumzidi Joni magufuli nyie vipi 😁
@wilfredmlaki8224 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa wanapoteza muda tu wanafiki hao
@jenyyusuph49734 жыл бұрын
Acha wakamate nyinyi Hamjui Hawa wapinzani wao lengo lao ni KUWADANGANYA wananchi mmesahau walipo Sema mnchanga wa Zahabu ni makapi alafu watu wakaa mini Mara wazungu wakajakuyJadili yake makapi Alafu ndege ilipo kamatwa wakawa danganya wananchi tz inadaiwa na wa zungu ndio maana imwkamatwa bila kuwaambia wananchi wazungu tunawadai fidia amkeni upinzani wao ni kudanganya watu wakamateni washadanganya vywakutosha
@jojikeneth90244 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 Ww ukiambiwa nchanganya na zako
@mohamedturanardan88714 жыл бұрын
@@jenyyusuph4973 CCM tuwacheni udikteta, ni haki yao wanayoifanya
@ematuku70134 жыл бұрын
Kwel
@blesslory18624 жыл бұрын
Pole sana tupo pamoja
@bishopmosesmagadula75724 жыл бұрын
Goood mesege..ILA uchaguzi huru haupo KUTAKUWA na uteuzi sio uchaguzi
@allyawadh84924 жыл бұрын
Watanzania ni watu wanao jielewa yaani kwa muonekano wake tu huu jamaa haelekei kabisa kuwa raisi ,wa watanzania wenye kujielewa nadhani mtakuwa mnakubaliana na mm huyu ni mzee wa madiri.
@kassidpandu98064 жыл бұрын
Hapana mambo hapo mlikuwa kwenye max za juu na cuf leo uko na zero tayari na act
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Ulitaka usafirishwe kwa V8 au Uber? Kule no Lindi sio Dar unabebelezwa.
@kaminyogemwachelwa98844 жыл бұрын
Polisi wanahangaika nn na wanasiasa wasio hata na vifaa vya kuhatarisha usalama!!! KUNA WAKATI WANAMCHAFUA RAIS BILA kujua
@wardajoseph69094 жыл бұрын
Kila nchi inasheria inayopaswa kutekelezwa na kila mwanchi na viongozi pia kwa hivyo polisi hawajakosea kulinda usalama wa nchi yao kwa sbb huyo ndungu zitto haminiki ktk jamiii mara awa kinyonga
@dhahajongo90494 жыл бұрын
Hata we unaangaika vlevle achana na ayo magu ndyo kipenz cha watz
@jojikeneth90244 жыл бұрын
@@wardajoseph6909 Ila tambua mkutano wa ndani ya chama unafanya bira kbali kwaiyo kumkamata ni kosa tu walilo mfanyaia tuache izo Mambo
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Maneno chochezi ni silaha mbaya inayotanguliwa kabla makombora na mavomu kuja. Tuwe makini Tanzania, wenzetu walishayakuta.
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Mabomu
@emmanuelchacha12164 жыл бұрын
hivi jaman ni wanachama au wananchi!?
@fahadfahmy4 жыл бұрын
Nasikia kama sauti za watu wanaswali,nyinyi mnaweka mikusanyiko yakidunia badala ya kwenda kupata jamaa.
@MaryMary-iw3jh4 жыл бұрын
Hahaha unifom zao kama wacheza ngoma l
@tinyaanosiatha11184 жыл бұрын
Acha kunichekesha
@elidadnyalema20644 жыл бұрын
zitto yuko poa ila anataka watu wamuabudu sasa...si kwa sifa hizi za kujiona yeye ni pointer mzuri sana
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Poleni Sana ila nadhani wanajijengea chuki wenyewe kwa wananchi
@galaxyboyofficial97854 жыл бұрын
Mungu atatusaidia
@hjlpoi87394 жыл бұрын
Kwanini mliacha mlango wazi. Siku nyingine fungeni. wakivunja wanakuta mmelala fofofoooo.
@hilalhilal84004 жыл бұрын
@@hjlpoi8739 🤣🤣🤣
@yasinishekallahakusaidi87664 жыл бұрын
Ukitaka kuona nyeti za kuku subiri upepo uvume act mwaka huu ulingo ni wetu
@divamrembo87884 жыл бұрын
ahaha nimependa hiyo
@jasirimrisho4284 жыл бұрын
Fact
@tinyaanosiatha11184 жыл бұрын
Kwanza police walifanya kosa. Wangewategua viuno. Mimi nashindwa Hata kuelewa hivi kuna mtanzania mzarendo mwenye uchungu na nchi yake anawenza kufuata maneno anayosema zitto kabwe. Zitto kwanza siyo mtanzania alikuja tanzania kama mkimbizi badaye akaoba uraia. Asili yake ni mkongomani. Kwahiyo asiwapoteshe . Kwanza arudi kwao kongo
@abdulmalikiramadhani80674 жыл бұрын
Asante kiongoz
@nyawawawanyawawa9354 жыл бұрын
Polisi mnawapa umarufu hawa Huyu si ndiye alisema tufungiwe lockdown na kudai kuwa tutakufa na corona kwa maelfu si huyu Zitto? HARAFU HIVI HAJAVAA BARAKOA
@brayanselyvester90724 жыл бұрын
Namuonea huruma mzee wangu bwege
@mohdalwaili52894 жыл бұрын
Act wazalendo msirudi myuma ccm ni wapumbavu tu
@weremawangwe69224 жыл бұрын
Wewe ndio mpumbavu sio ccm
@tinyaanosiatha11184 жыл бұрын
Shenzi mpumbavu ni wewe juha mkbwa
@eaglecrown11014 жыл бұрын
Mpumbavu mwenyewe akili huna wewe
@mohdalwaili52894 жыл бұрын
Acha ushoga we kichaa tu
@eaglecrown11014 жыл бұрын
@@mohdalwaili5289 unaweza ukawa sahihi mie nakuuliza kwa wema maneno Kama ushoga yanatoka wapi sasa
@hudimsello36454 жыл бұрын
Kwaushauri wangu naona bora wapinzani wasigombee nawenyewe wasubiri maendeleo ya kweli kwa JPM naona wanapoteza muda waotuu hatutaki longolongo tena wale wanao jielewa.
@cosmasdaud90884 жыл бұрын
Huyu anafanya siasa za kitoto Sana hivi serikali ishushe bei ili iweje kwani serikali ndio inanunua? Jitambue
@godfreybruno48124 жыл бұрын
Kuna watu wanavuna hela hapo
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Script inarushwa ili voucher iandikwe watu wajae wadau mtumike kuimba na kutoa matusi ili liwe tukio. Damu ya watanzania haitamwagika kwa hila zako.
@gracesakila43954 жыл бұрын
Watu wa kusini washafanywa misukule
@comrademlewaisavile3364 жыл бұрын
Zitto ipo cku utakuwa kiongoz mkubwa. Haya ni mapito tyu nakukubal sana najua izo nipropaganda zakukudhoofisha komaa jembe
@mohamedpesambili94604 жыл бұрын
Labda kiongoz wa ukoo wenu
@sniperbogo62104 жыл бұрын
@@mohamedpesambili9460 kwan sahz kiongoz wafamilia achakuongea utopolo au unalewa na ndeg za maguful hata kupanda kwenyew hujawah kwasabab huna naul baada atengeneze barabara vjijin uko ananunua nandege najua anataka yakupigia kampen
@vitusylutambi12394 жыл бұрын
Huyu labda awe kiongozi wa ukoo wako siyo nchi hii
@mawananasoro44054 жыл бұрын
Magufuli mtu wa watu wote huko kuishi kawachukia lini acheni uchochezi
@muttaabel24284 жыл бұрын
Kuna vitu unaongea vya maana ila usichonganishe kwa kauli zako wananchi. Hicho chama ukianza kuleta udini ukabira na ukanda utakiharibu
@hajiloveiranforeverfromtan71684 жыл бұрын
Udini upi? Ukanda upi? Zito ametetea dhahabu ya buzwagi na yeye sio mtu wa kanda ya ziwa. Anatetea korosho, ufuta, na mkonge wakati yeye sio mtu wa kusini au Tanga. Acha chuki. Akili za propaganda changanya na zakwako ndugu, usifuate Mkumbo.
@mathewtwimanye924 жыл бұрын
Mimi nilizani ni mshabiki wa mbeya City football clab kumbe ni act zito Umehama kigoma? Wewe janja sana kama mbowe hapo maarimu umelizwa bora utulie na vipesa vyako huyo jamaa atavitafuna utashangaa ramba ramba acha uongo huna aibu kudanganya??? Unafirisika kichwani mliomba kibari???
@akidasalim38594 жыл бұрын
Poleni sana
@hasanainkhalid53674 жыл бұрын
Mungu atawasaidia Safari ya ukombozi Ina matatizo
@makongorowassira65934 жыл бұрын
Hivi Waziri mkuu anatokea eneo gani la nchi? Bila shaka na Mkapa alikuwa wa Kaskazini sio? Acheni uchonganishi wa kikanda, wote ni Watanzania tu. Kusini kusini, mbona Dodoma na Singida plus Kigoma bado wako nyuma kimaendeleo, je nao ni Kusini? Mkoa wa Mara wenyewe uko hoi tu je nao ni wa Kusini. Mie nadhani issue ni kuwaelimisha wananchi wa maeneo hayo wasijibweteke tu wakisubiria serikali kuleta maendeleo wafanye kazi kwa bidii kama wenzetu wa Mikoa mingine kama Kilimanjaro, Mbeya na Mwanza
@abdallahmakame52604 жыл бұрын
Waulize watu wa huko
@peterpangani40224 жыл бұрын
Mnafanana na wanakwaya wa mwaka 1973
@jakayamati35104 жыл бұрын
Hahahaa
@laurentnkanga99444 жыл бұрын
Mapambio
@kebbymody56064 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
@bahatijoseph87634 жыл бұрын
😂😂😂😂
@bahatijoseph87634 жыл бұрын
@Young Future Kwel kabsaa
@jacobmigera26264 жыл бұрын
Poleni ndugu zetu; Mapambano yana endelea; figisu zao tunazijua; hatuwezi kuludi nyuma; siku moja kitaeleweka;
@selemankishema57804 жыл бұрын
Mtanyoooka safari hii.
@veronicanditeze4254 жыл бұрын
Wewe ni mpumbavu
@yussufnyangoma56934 жыл бұрын
@ Selemani kishema kweli ww ni mjinga sana
@hashimuhehwa37804 жыл бұрын
Aliyenyooshwa uzuri kabisaa ni mama yako kwa kifir..
@selemankishema57804 жыл бұрын
@@hashimuhehwa3780 utanisamehe siwezi kukutukana lakini nadhani utakuwa mwanawaharamu au nimekosea? Kuwa mkweli nijibu.
@geraldlaurent74654 жыл бұрын
Ila pia pole Sana kwa harakati hizo za kupampana fanya siasa za heshima Kama kipindi Cha nyuma utatoka tu
@elidadnyalema20644 жыл бұрын
Nyie mjifurahishe tu ila CCM ndo CHAMA lao...nadhani hilo mnalijua....mi naona ni kama vile shetani alipojaribu kumpindua MUNGU akashindwa
@omarabeid74904 жыл бұрын
Astaghafiru Allah...tumuogopeni M/Mungu jamani.
@gabrielthomas44554 жыл бұрын
Piga kazi mungu atazidi kuwatangulia kwakila jambo
@aggreyandrew5464 жыл бұрын
Nenda marekani na uingereza ukaseme tena
@weremawangwe69224 жыл бұрын
Hata huyu mtu ni wa ajabu sana sasa amefata nini si angekaa hukuhuku
@ernestsinje86934 жыл бұрын
Polisi wametumwa. Tanzania yote inaona mnaharibu profile ya anko Magu
@simonfundi36094 жыл бұрын
Hebu niwaulizee nyie watanzania wenzangu ambao bado mnashabikia ccm mnafaidika Nini???
@ngwanafabian75324 жыл бұрын
Simoni siasa za pisha na mimi nile ni ujinga tatizo siyo chama tatizo ni watu
Yaani nyinyi akina mama na nyinyi wazee wa Kilwa mna akili timamu kweli? Mkora , mkongo ndiye anayewababaisha akili mtu anayeenda kwa wazungu kutafuta wafadhili waje kuvuruga usalama nchini kwenu? Amukeni, huyo ni taperi wa kisiasa, atawaingiza kwenye vita kama Sudan ya kusini na Libya. Msidanganyike. Ni mharifu na mhatarishaji amani kweli. Kimbieni mbio
@abdallahmakame52604 жыл бұрын
Kwa hiyo wazee was kilwa hawana akili au
@mjimtakatifu43004 жыл бұрын
Mbona haujavaa barakoa
@yassiniferuzi28674 жыл бұрын
Unauchungu gani Kuwadi wa Mabeberu na Ushoga
@mussangoma32544 жыл бұрын
Ivi kwakwer sijui mna waogopea Nini wapinza Yani waaacheni tu mnapo wakamata kamata unawapa Kiki jamani ivi kunamtanzania wakupigiakula chama tofauti na ccm jamani
@sniperbogo62104 жыл бұрын
Tatzo mnapihia kura chama sio kiongozi bora
@mussangoma32544 жыл бұрын
@@sniperbogo6210 sawa semeatu wapinzani nao wana yumba iv magufuli kwer Nini hajafanya labda wabunge wake baadhi Apo nikuchambua ila wapinzani wakikosekana bungen haritanoga
@sniperbogo62104 жыл бұрын
@@mussangoma3254 licha ya bunge kunoga litakua halina uchambuz waaina yoyote zaid ya kupiga makof kama ilivokua bunge la nduga et mpinzan anatoa hoja spika anasimama kujib ivi ndo kazi ake au sielew kaz ya spika n nini yan hakuna mbunge wa ccm atasimama kuchangia hoja bila kuwasema wapnzan alikua bashe tu kabla hajateuliwa na rais baada ya hapo ikawa kimya
@lugembesweya32884 жыл бұрын
Mzee nazani as mlishatuonaga Watt kutudanganya danganya koma
@samsonyemmanuel51604 жыл бұрын
Hawa no police CCM
@kassimali73224 жыл бұрын
Zito uko juu sana
@williamjulius86484 жыл бұрын
Ccm madictater
@zaheerqassimalarmiye61724 жыл бұрын
Yuko juu ya mkundu wako au???
@ibrahimabdallah58974 жыл бұрын
Ukovizuri sna braza
@epafrangweshemi40144 жыл бұрын
Kwa hila yuko juu sana kijana mzito.
@justinmkwanda41434 жыл бұрын
Wanaoshabikia utawala wa awamu ya tano uliojaa vitisho na kukatili mkubwa wana laana
@dhahajongo90494 жыл бұрын
Wkt munarud nyuma magu anasonga mbele na watz
@theophilyedward24484 жыл бұрын
Wewe unahusiana nn na Bei ya ufuta Kama so kujipendekeza kwa mabeberu zito huna maana kbsaaa.
@deusmasau97374 жыл бұрын
Jamaa analialia kama mrembo!! Mwanaume unaogopa mamyunyu?
@otinachaula31624 жыл бұрын
Mtanyooka tu
@uswegestambule26294 жыл бұрын
Ugolwike ndili gwa kukaja
@muddychambale58544 жыл бұрын
Haujitambui
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
Ujinga ni mzigo
@kingcopper_tz4 жыл бұрын
Sasa hyo microphone check si huwa inatolewa jaman au?
@kibuzosengamshairi42144 жыл бұрын
Mpiga picha rudi chuoni unatetemeka sana acha piwa tuliza mkono
@wilbertcharles91294 жыл бұрын
POLICE ACHENI UONEVU MTALIPA MNACHO KIFANYA
@amanmohd94354 жыл бұрын
Ahsante KC
@nururajab12814 жыл бұрын
Chama cha kwenye flaaaaash
@makinisanaaog86204 жыл бұрын
@daudi said sasa hivi mnasema mabeberu lakini misaada yao mnataka
@mohamedpesambili94604 жыл бұрын
kwaiy we ultakaje
@danieljulius47084 жыл бұрын
Misaada yenye masharti ya kijinga!!?????? Ukweli ni ukweli tu hao ni mabeberu wanaowazia mema nchi zao yaani ni people of their own interests. So kuhitaji mikopo yao haimaanishi watutawale fo everything ila watuheshimu na wajue tunawajua na tunakumbuka namna wasivyo na permanent friend but permanent interests.
@machinjashabani53314 жыл бұрын
Pole kaka
@theophilyedward24484 жыл бұрын
Haina poleee hyooo sense marekani kudai hko uhuru
@jeremiadaudi57804 жыл бұрын
Mungu awe nanyi
@mohamedmnjeja32714 жыл бұрын
IPO cku mchezo utafika mwisho....wananchi wa naona yote yanayoendelea
@emmanuellukas85914 жыл бұрын
Msafara wa kenge na mijusi wamo masikini wanawake wanapelekwa tu
@hamisimuhunzi79164 жыл бұрын
TUNDU LISSU FOR PRESIDENT 2020. Msirudi nyuma wananchi Tundu Lissu alipigwa risasi lakini hakurudi nyuma nasi tusirudi kwani utakuwa ni usaliti dhidi ya umma na upinzani.
@hilalhilal84004 жыл бұрын
KABISAAAAAAAA. UMEMTAJA JEMBEE LA AFRIKA. TUKIRUDI NYUMA WATANZANIA HAJI TENA MUOMBEZIIIIII. 🤝🤝🤝🤝🤝🤝
@kiatu4 жыл бұрын
Yes hakurudi nyuma, akapitiliza mpaka ulaya. Na wengine mtaweza?
@hajiabdalla57724 жыл бұрын
Hao munawaotegemea wote CCM. Wamegawana makundi to kwa kuinogesha siasa. Tanzania kama kule zanzibar sefu wakat mwengine humtukana magu wakat mwengine huwenda wakazungumza pamoja
Nategemea utasafili muda si mlefu .ukaseme kwa wanao kutuma
@danielkwilemba47154 жыл бұрын
Wimbo ni wa ccm haahaha
@mbwanakiting71804 жыл бұрын
Wimbo was ccm ni mtaisoma namba
@elickmkakila81184 жыл бұрын
Unawivu ww
@binsalum46984 жыл бұрын
Hakuna mweny hat milik was nyimbo ya siasa kama ccm unamjua muimbaj nan iyo ni nyimbo ya hamasa walio kua wakiimba wapemba kweny mavuno ya karafuuu
@enocklema72134 жыл бұрын
Ndiiooo wanaumizaaaa tanguuuu watu maskiniiiii
@fredreckmwakalinga34754 жыл бұрын
Hivi wananchi mnashindwa wapi wajinga wanapokuja kuwafanyia viongozi wa upinzani?
@petertengo80824 жыл бұрын
Huna jipya kawambie walokutuma
@makamemufadhil6274 жыл бұрын
Pole
@ahmadsteven97814 жыл бұрын
Mzalendo awezi kuifitinisha nchi selikari imchunguze Asili yake. democrasia ya kutuletea ushoga, mambo yote aliyofanya jpm mazuzuri anatokea mbinafsi. anasema mimi sioni lolote serikali imefanya duuu ? watanzani tuwe makini
@paradisefelix12184 жыл бұрын
Zito chama chako kinakuja kwa kasi ya 5G
@gerioathumani90844 жыл бұрын
Hahaha mnatafuta kiki africa hii huko América kwenyewe demokilasia ya kupapasa itakuwa hapa africa mtanyoka tu
@machagodfrey75184 жыл бұрын
Akili zakofupi km pichukoya
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
Tutajie America ipi demokrasia inaminywa au ndo umeanza kufatilia siasa mwaka huu
@gerioathumani90844 жыл бұрын
@@machagodfrey7518 unajua nilijua kwamba unaweza kuwa nakili kama zangu kumbe kilaza mkubwa bro hivi kwanza unafanya biashara gani hahahah samahani sana ..ww bado kiazi kibichi kaakando
@gerioathumani90844 жыл бұрын
@@mathiaszakaria7052 samahani bro umeishia langapi chekechea au vidudu unajua tatizo lako wewe kipofu huoni sasa mm huwa sibishani na watu wasio ona ludu dalasa bro ukaisome dunia bado sana wewe nzi usicheze na nyuki utapotea.
@mathiaszakaria70524 жыл бұрын
@@gerioathumani9084 mbona unaleta hadithi tena,jibu swali Kuna tukio gani limetokea America la kubinya domokrasia hayo Mambo ya kulinganisha nzi na nyuki yametoka wapi tena hapa
Tutambue hakuna atakaye ishi milele hivi wewe unaetumia vibaya nafasi yako kwa kutegemea mtu akibadilishwa utaishi vp.
@wilfredmlaki8224 жыл бұрын
Magufuli oyeeeeee,unapoteza muda tu kibaraka wewe
@francisrukeisa62994 жыл бұрын
Huyu Zito ni lini atakapoacha uongo na upotoshaji?
@muniruwahid66484 жыл бұрын
Sema wewe sasa ukweli ulionao.
@masala80994 жыл бұрын
Wewe francis mkundu tu
@samsonhaule54224 жыл бұрын
Hizo nyimbo mbona zinafanana na Nyimbo za mazishi ya Kikristo!!
@sauliluyagaza92254 жыл бұрын
Acha ujinga
@hilalhilal84004 жыл бұрын
JAMANI WAMEISHIWAAAAA🤣🤣🤣. WAMECHUKUA FINGER PRINT🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣. ZITTO KWANI HAWAKUJUI HAO AU HAWAJUI PARSPORT ZAO. HIZO NJAMA ZAO ZA KIBEBERU NA SERIKALI YA KIBEBERU WATATOKA TU KINA MUSIBA MABEBERU WANAWATESA WANANCHI HALAFU WANAGEUZA MANENO. TUSHAAMKAAAAAAAA. BABA ZITTO TETEEAAAAAA
@khamisjuma50464 жыл бұрын
We will will miss you Zito
@officialmwabambatv13504 жыл бұрын
Kweli kabsa mmeimarishwa
@hamismasoud83064 жыл бұрын
Tatizo wewe sio mwanaume ni mvulana ndio maana una mambo yakitoto.
@catherineelegbogun68694 жыл бұрын
Acha kutukana selikali na kufanya uchochezi wa nchi yetu ,ondoka nenda kwenu congo
@hasanainkhalid53674 жыл бұрын
Acha ujinga wewe katukana nini
@rashidmohd1154 жыл бұрын
ivi hii inchi Ni wapinzani tu ndio wachochezi''' Basi ondoeni vyama vingi ili kuepuka uchochezi