MAU MPEMBA NA MARHABA -PAKA NYAU

  Рет қаралды 67,325

Mau Mpemba

Mau Mpemba

Күн бұрын

#MauMpemba #MakameNuhusi #ZmotionStudios
MAU MPEMBA NA MARHABA -PAKA NYAU
Kila wiki Zmotion Studios imaweza video mpya za kila aina zinazohusiana na wachekeshaji maarufu Zanzibar na Tanzania kwa ujumla wanapendwa na kukubalika kila kona kutokana na kutengeneza video nzuri na zilizojawa na maadili na mafunzo.
Ili kutoa maoni yako na kujua video gani ipo katika maandalizi kwa sasa, usikose kufutailia ukurasa wetu wa facebook link hapo chini
KUTANA WA WASANII WANAOKUJA KWA KASI KATIKA VICHEKESHO
-Mau Mpemba
-Makame Nuhusi
KUTANGAZA NASI TUPIGIE: 255774001600
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios
/ zmotionstudios

Пікірлер
@ochumpemba8557
@ochumpemba8557 5 жыл бұрын
Nakupenda nyumbani Pemba
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 жыл бұрын
Koo anyonya ndamaa eeeee kiswahili safi sana,sikisikii sana siku hizii lkn bado kipo..Ulimwengu wa Kambaree,moto kipweza weee acha tu..Ukweli mtupu mau na wengineo wengi..Ahsanteni Sana Wazanzibari na Wapemba wenzangu.Mashaaa Allah.
@mohammedkhkombo4439
@mohammedkhkombo4439 4 жыл бұрын
Mgomba uoooo
@evraboytz5680
@evraboytz5680 3 жыл бұрын
UK vizur mau
@mudyjumbe4544
@mudyjumbe4544 5 жыл бұрын
Nawakubali sana, mashemej zangu.
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 жыл бұрын
Daaaaa hatariii sanaaaaaa jamanii mtatuuwa kwa kuchekaa.
@omarjuma8301
@omarjuma8301 5 жыл бұрын
Hahahahaha mie nyau , mpeni mtaji ataniuwa uyu hahahh
@hamidyakoub6865
@hamidyakoub6865 5 жыл бұрын
Huyu mau hiki kichek ndio hunimaliz Kaz nzur Zmotion
@gamaalali2800
@gamaalali2800 5 жыл бұрын
Sawa iko poa
@ibrahimjuma10
@ibrahimjuma10 4 жыл бұрын
Kwani mau huu mcheko huuzii
@zubeidamohd8916
@zubeidamohd8916 5 жыл бұрын
Wapemba piga kelele,weeeeee
@СалумвичСалумовна
@СалумвичСалумовна 5 жыл бұрын
Nzuri sana.
@omarame4613
@omarame4613 5 жыл бұрын
kwenye raha pambana na hali yako engekua msibaa aaaa
@masoudyrashidy9041
@masoudyrashidy9041 5 жыл бұрын
Mmie nyauuu
@balekisela7783
@balekisela7783 5 жыл бұрын
mau ni fundi
@famboyhamad4255
@famboyhamad4255 5 жыл бұрын
Eeeh jmn mm wa mwnz leo like kma zte
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Famboy Hamad yangu iyo
@wizadkitoro5504
@wizadkitoro5504 5 жыл бұрын
Xx mautamu
@naimaally7072
@naimaally7072 5 жыл бұрын
Jamani mie naipenda lafudhi ya pemba
@kichochisalimu2497
@kichochisalimu2497 5 жыл бұрын
Uko sw dada
@atfatnassor4393
@atfatnassor4393 5 жыл бұрын
Yh ni nzurii
@abusaeed9037
@abusaeed9037 4 жыл бұрын
Naima Ally hata ss wapemba twakupenda karibu pemba
@husseinali9760
@husseinali9760 4 жыл бұрын
Shukrani krbu sna pmba
@naimaally7072
@naimaally7072 4 жыл бұрын
Ahsanteni nyote ndugu zangu
@barakarama9541
@barakarama9541 5 жыл бұрын
Ni nzuri sana mau
@swabirali1276
@swabirali1276 5 жыл бұрын
Napenda sinema za pemba
@ramaally9873
@ramaally9873 5 жыл бұрын
Wapemba kwa kujifanya machale
@atfatnassor4393
@atfatnassor4393 5 жыл бұрын
Sio uchale watu wanatafuta pesa
@mohammedjuma1103
@mohammedjuma1103 5 жыл бұрын
Tutadaiwa sote mwaka huu
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 4 жыл бұрын
Apewe mtaji Atakuua
@mahiraliyhatari6335
@mahiraliyhatari6335 5 жыл бұрын
hamuna kazi ya kufanya
@TeamKRX
@TeamKRX 5 жыл бұрын
Wee unayo vutuu wee
@masharubundevu3765
@masharubundevu3765 4 жыл бұрын
Wape wewe ucw mjinga
@saidsoud6064
@saidsoud6064 5 жыл бұрын
good
@abuumo9637
@abuumo9637 5 жыл бұрын
Hhhhh mie nyau hhhhhhhh😆😆😆😆
@yussufwawesha8136
@yussufwawesha8136 5 жыл бұрын
Abuu Mo hahahahahahahahaha
@jumamohammed5378
@jumamohammed5378 2 жыл бұрын
Achezea matonge ya wali uyo hhha
@swalehayoub4816
@swalehayoub4816 5 жыл бұрын
Moh'd Saleh mpe pesa ya kuolea ndugu yako, kwa hiyo ataoa kweli bila ya kupata msaada?
@salmaabdallah3648
@salmaabdallah3648 5 жыл бұрын
kushaona choyo hahahaha
@maryamabdullah9169
@maryamabdullah9169 4 жыл бұрын
Raha haitakiwi kusaidiwa hahaaa
@abdallaramadhan3850
@abdallaramadhan3850 4 жыл бұрын
Daaa ni mbegu hyoo lkn c ya tango kama ikichemwa ni tamuu..heeeeeee hayaa bwanaa.
@hamudmuhammed536
@hamudmuhammed536 5 жыл бұрын
jmn wee mie sisemikituuu
@salemkambuteh1409
@salemkambuteh1409 5 жыл бұрын
Jamani camera man? umeweka camera yako mbele yao ukatafuta sehemu ukaenda. sijui umepotea wapi na Shoti yako moja tu. dah sanaa imezidi kupoteza muelekeo.
@samiramohamed5925
@samiramohamed5925 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@kichochisalimu2497
@kichochisalimu2497 5 жыл бұрын
Fatma umepotea
@fatmaaly9686
@fatmaaly9686 5 жыл бұрын
@@kichochisalimu2497 niwapo maisha tu
@mohamedomar4037
@mohamedomar4037 5 жыл бұрын
Kweli wewe unaingia kwenye raha alafu unataka nikusaidie ha ha
@LaBboogo
@LaBboogo 5 жыл бұрын
Hahahahahah
@saumrashid8086
@saumrashid8086 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
😁😁😁😁
@amourally5231
@amourally5231 5 жыл бұрын
Faiza Said pemba raha sana
@omarihamadumetishasanalava4725
@omarihamadumetishasanalava4725 4 жыл бұрын
Jitahid rashid boko utafanikiws
@wizadkitoro5504
@wizadkitoro5504 5 жыл бұрын
Xx mautamu
@mohammedjuma1103
@mohammedjuma1103 5 жыл бұрын
Tutadaiwa sote mwaka huu
@omarame4613
@omarame4613 5 жыл бұрын
good
mahaba ya mpemba
26:04
MPAYU FILM
Рет қаралды 13 М.
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
Правильный подход к детям
00:18
Beatrise
Рет қаралды 11 МЛН
Kachara haibiwi
24:19
Kachara Media
Рет қаралды 195 М.
RAIS WA BURUNDI AMESEMA KAGAME TUMUONDOE HARAKA ANAIHARIBU CONGO ATAKUJA BURUNDI
12:39
MALI YA BAHILI  HULIWA MARA MBILI- MAU MPEMBA
9:56
Mau Mpemba
Рет қаралды 125 М.
#11-SURIA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
13:52
Mau Mpemba
Рет қаралды 55 М.
Vituko vya wizi No.2
10:43
ZFC FILAMU
Рет қаралды 35 М.
#2 - BABA NA MWANA - MAU MPEMBA - FUMBUA MACHO
14:12
Mau Mpemba
Рет қаралды 70 М.