Mzee wa ngenga 🙏🙏👏👏❤❤❤❤❤he's always so funny I like how he makes people laugh and happy with his words a.k.a michambo but always he's telling people the truth ❤❤❤❤❤
@Fatma-wi2co Жыл бұрын
MashaaAllah kitu ambamcho usikose ndani ni masihafu
@salhamrishoi4943 Жыл бұрын
Mashaa allah napenda ❤❤❤❤❤vile unasoma Quran kaka mungu akupe kila lakher kuondoshee la shari 🙏
@estherdavidjohn-py7hh9 ай бұрын
Ngenga ni msafi jmn anajipenda mashaallah na hafeki maisha
@allyfatma735911 ай бұрын
Mtangazaji leo yupo likizo.kakutana na wall master. 😂😂😂😂.
@racheljohn2216 Жыл бұрын
Mzee Wa ngenga kachangamka kwel Yan mchachuuu😂😂😂🥰🙌
@eyshermohammed2236 Жыл бұрын
Leo saleh kapatikana kakutana na mtu anaongea kama charahan Hajaulizwa kashajibu 😂😂😂 safi sana mzee wa ngenga
@TaarabChannel Жыл бұрын
mashaAllah upo simple sana umetoka mbali Mngu mkubwa. Ila shoga angu Nguo chafu nunua Tunga lile la plastic lenye mashimo shimo, usunguo kuchanganya nguo safi na chafu.
@oman1oman179 Жыл бұрын
Nimependa hio sehemu imetulia vizuri
@Zuulito Жыл бұрын
Mzee wa ngenga mtunzi mzuri sana MashaAllah
@ireneallen9547 Жыл бұрын
Leo salehe umepatikana🤣🤣🤣chezea mzee wa ngenga😂
@vaghoghontweki982710 ай бұрын
Kweli mtangazaji umedakwa hata hupati nafasi kwa mzee wa Ngenga.....utanyooshwa 😂
@AzaAzamhmod11 ай бұрын
I love it. Feni naitaka😂😂😂 Saleh kapatikana leo Mzee WA ngenga ni NOMA❤❤❤❤😂😂😂😂ANAJUA KUIMBA
@fatmahrashidi1533 Жыл бұрын
Utaniweza wapi umalaya nimeanza zamani mwenzakoooo👌👌👌👌❤️❤️❤️❤️😀😀😀😀😀jmn hebu endelea kupiga
@ZuhuraMohamed-q2f5 ай бұрын
Hapo mondi umenikoxha kujipendekeza sio kwa huyo anaemiliki kope😂😂😂
@fatmamrihani6828 Жыл бұрын
Mzee wa ngenga una bayaaa❤❤
@rukiamziwanda745811 ай бұрын
Mzee ngenga ni msafi mashallah
@ashuu7972 Жыл бұрын
MashaAllah tabarakallah, napenda sana unaendana na Mungu ❤ aisee nakukubali sana natamani nikutane nawewe Dini yako usiiyache endelea nayo..
@mervissakalu4163 Жыл бұрын
Since start watching your show Saleh today you made my day 😂😂😂
@zainabomar7236 Жыл бұрын
😂 hata au shetani wanqongozana
@mwaka308said76 ай бұрын
ahahahahaha wachamba kinomaaa mzee wa Ngenga akeee😂😂😂
@NajmaMwaluko6 күн бұрын
Salehe kaona akae chini amuachie mwenyewe huko chooni hahaha😂😂😂
@zainababdullsadik1247 Жыл бұрын
Mzee ngeee mamboo bulbuliiii tenaaa❤
@zenajustus5731 Жыл бұрын
Uduguu,Asante Hassan love your songs penda sanaa,keep it up uko juu kaka.
@EdnaMbowe4 ай бұрын
Sijalogwa sio shida zangu nshavuka 🤣🤣🤣🤣🤣Mzee wa Ngenga
@fatumaramadhani822111 ай бұрын
Leo umekutanizaa nduguu mpka unaitwa dada😂😂😂
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mzee wa ngenga umejuwa kumchamba Mzee wa ngenga😂😂
@josephinesisso65987 ай бұрын
😂😂😂❤❤❤❤nimeipendaa🎉
@AfricaQueen Жыл бұрын
🤣😂🤣Huyu jamaa kibokoooo lakini 🤔🤔Wifi yetu nae mbona hatuona make cup zakeeee🤔🫣Toka kabatini Shostiiii na kwa kweli ni muigizaji mzuri na muimbaji mzuri Sauti nzuri namependa Hafake maisha 💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌🙌.
@Mina.15 Жыл бұрын
Kijora chake anatudanganya 😂😂 ATI cha baby 😂😂😂
@AfricaQueen Жыл бұрын
@@Mina.15 😂🤣😂🤣
@fetreshazKhamisi Жыл бұрын
MashaAllah Asani Ally nakupenda mnoo❤❤❤❤
@ameenaameena784 Жыл бұрын
Uko vizuri mzee wa nenga
@AdmiringGrazingCows-im1kh4 ай бұрын
Hongera njoo kwetu burundi
@NeemaDotto-f2j11 ай бұрын
Jamani kanifurahisha Mzee wa ngenga yupo vizuri daaa jaman yupo vizuri ajarogwa😅😅
Uko vzr mzee wa ngenga weye ni msafi asa waonekana kaka ang
@mickeyshaka2 ай бұрын
😅😅 huyu alimuweza salehe ajaulizwa kitu kashaoneshwa 😂😂😂safi ila kajitahidi kimaisha pia ni msafi sana then anajikubali na kidogo kitu chake ana enjoy wala afake life❤❤
@iamhuzaina458810 ай бұрын
Jamani naomba mnisaidie Natafuta taarabu aliimba Mzee wa ngenga inamistari hii "Kama ni uhuni walianza bibi na babu zako vipi la ajabu uloliona kwa wana wa wenzako" hiyo aliyoimba hapo INAITWAJE NAOMBA MNITAJIE WIMBO WA HIYO TAARABU
@husnashaban747410 күн бұрын
Mzee wa ngenga unapaka CT plus😂😂😂😂😂😂 unajichubua
@julianamasunga3458 Жыл бұрын
Nakupenda haswaaa😅😅
@sabiimohamed65602 ай бұрын
Wazaramu 🙌
@FatimaAli-of4gh Жыл бұрын
Una nyumba kubwa usiweke nguo chafu chumbani weka kule kwenye chumba cha makorokoro kwenye tenga ushauri tu bimependa kwako kuzuri mashallah
@WemaOmary-of6to11 ай бұрын
😂😂😂😂😂 salehe leo kapatikana yeye ndio anahojiwa namzeee wa ngenga
@rehemamajaliwa11 ай бұрын
😂😂😂😂
@EdnaMbowe4 ай бұрын
😂😂😂😂cheza na Mzee wa Ngenga nn😂
@zayumar295511 ай бұрын
Sijui nawaza nn Mungu anisamehe 😢😅😅😅😅
@zuwenasalim2794 Жыл бұрын
Salehe kwisha hbr yako,maneno kushney huna lolote apeche alolo😂😂😂😂nakuchamba saleh Leo huna neno mzee wangenga ndokawa mtanfazaji 😂😂😂
@aishahasan7722 Жыл бұрын
Leo upele umepata mkunaji😂😂😂 Leo saleh umepatikna hahhhhh
@EdnaMbowe4 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅😅
@MarrylinellyMshana Жыл бұрын
Mzee wa ng'eng'a❤❤❤❤❤
@zulfamhando822511 ай бұрын
Mwafura mwenye uso mfupi hahahahaaaaa😅😅😂😂 penda wewweee
@tourismtourism9204 Жыл бұрын
Kaimba vizuri sana
@EricaBizuru-jp9by Жыл бұрын
Yani salehe leo huna kazi m kaka kajieleza kamaliza yan ukitaka kuleta swali anakudaka😂😂😂😂
@ukhutfatumah1154 Жыл бұрын
😂😂😂😂pole sele 😂😂 huyu ndio mzee wa ngenga aishiwi maneno
@MayarashidiMayarashidi5 ай бұрын
Kaka Hassan mcheshi na ongera umempokea kaka salehe vizuri sana
@JulianaJuliana-m4v3 ай бұрын
Hahahaaa Mzee wa ngenga umenifurahisha
@MayarashidiMayarashidi5 ай бұрын
Kaka salehe mungu akuweke
@JudithDeogratius10 ай бұрын
Anajua sana
@hamisanurdin6619 Жыл бұрын
Salehe katika inavyuu zoteeee ila hii ya ngenga umepatikana hahahhaha Hahahhaha huna maneno
@StellaStanphord2 ай бұрын
Nimempenda jmn😂😂
@nishamwenendi-vh4wk Жыл бұрын
Leo kazi ipo 😂😂😂😂❤❤❤
@ZolufaMas-ie4un11 ай бұрын
Wasema ukwl broo
@innat04 Жыл бұрын
Nice view, kama uko Spain vile kulivyo tengezwa nje
@mejumaabaraza3989 Жыл бұрын
Masha Allah tabaraq Allah mzee wangenga kusoma quran pia uko Sawa
@zenamwasekaga7460 Жыл бұрын
"Wigi linawasha" naupenda huu wimbo kufaa❤❤
@Abuuabdillah259 Жыл бұрын
Wanaume wanazidi kuisha dar😢😢 Allah tunusuru ss na vizazi vyetu
@nassercurtis9579 Жыл бұрын
Weeee hatuishi hata iweje wanapambana kutumaliza lakini haiwezekani kwa uwezo wa Mungu
@FatmaMwinyi-jt2rr Жыл бұрын
Kwani wakike uyo
@MapeKhamis Жыл бұрын
@@nassercurtis9579 good man leo nimepata jibu zuri co wote,na hamtoisha insha allah mmbakie mtabaki na wanawake wapate stara
@nikrahayubu-sz3pwАй бұрын
Na me nataka jb@@FatmaMwinyi-jt2rr
@sweettumatuma8116 Жыл бұрын
Mashallah Mashallah HASBUNALLAH ❤
@MonaAlmona-c1n Жыл бұрын
Dah mi siwez det na mwanaume wa ivi yupo ujiuji subhanallah Ongea yake anavyo tembea anavyo rusha mikono eee mungu nisitr na zana mbaya
@MwanaishaShattry Жыл бұрын
Hata yeye hapendi mwanamke kama weye umekakamaa kama gogo la mnazi pia hakupendi. Ngoma drown
@aminakazogolo2229 Жыл бұрын
😅😅😅😅😅@@MwanaishaShattry
@MonaAlmona-c1n Жыл бұрын
@@MwanaishaShattry umeniona kama nimekakamaa
@LizyOzil-e8v Жыл бұрын
@@MwanaishaShattry😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@salmabinyaga2357 Жыл бұрын
@@MonaAlmona-c1nAchana nae hao c wanapenda kutetea ujinga
@graceyamado8578 Жыл бұрын
Kitugani sarehe unataka kukuwa uhwiii😅😅😅
@AyshaSsh Жыл бұрын
Waukae napenda maisha yako uko vzr san ❤❤❤
@subrynerysegerow1323 Жыл бұрын
Kweli mzee wa ngenga kachangamka akaa😂😂😂😂
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Mzee wa ngenga halafu ni kaka mzur anafanaba na kaka mmoja mwarabu mpemba wanafanana
@rhodarichard4494 Жыл бұрын
Mwafula mwenye uso mfupi Kama saa ya ukutani 😅😅😂😂aii nmecheka
@TatoOman-s5t11 ай бұрын
Akome sio kazi rahis ataukimaliza kuangalia uhoi kucheka😂
@munirasalim148 Жыл бұрын
Kaimba vizur mashallah
@safiajamaa4054 Жыл бұрын
Yaani sio mchezo masha Allah
@pattymartha8508 Жыл бұрын
Tunasubiria kwao paula na kajala
@miriyamasanja6766 Жыл бұрын
Swalehe Leo umepatikana mtu anaongea kama cherehani ya umeme 😂😂😂😂😂
@nahlahassan-fd6le Жыл бұрын
Kwakweli😂😂😂😂😂
@Amani-l7d11 ай бұрын
Follow you calling and you shall reach. Find out who you are, very true❤❤
@luperazzy801 Жыл бұрын
Bado nipo Kwenye Zoezi La Tumbo Mbona Kama Nimesikia Pekeyangu Au 🤔 Nati Hazijakazaa!!! Twi Twi Mbili hzo kwemaa 😂😂 Keeper
@rizikiabdalla2501 Жыл бұрын
Mluzi aloonaaa doto magari watu wa dizaini hii Huwa hawezi mchura Wala kata tumbo ni mwendo wa mlozi tuuu
@teclanembuka6 ай бұрын
Yn jmn 😢😢
@ramadhanmohammed6474 Жыл бұрын
Muandishi wa habari amefanyiwa interview yeye😅😅
@WemaOmary-of6to11 ай бұрын
😅😅😅😅 kwakweli
@nananandy80304 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@aminaabdalla95323 ай бұрын
😂😂😂
@HappynessJose2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@HappynessJose2 ай бұрын
Maana anasolora mbaya hand kwenye kulala 😅😅😅😅
@salvatorymillinga991 Жыл бұрын
Kwenye zoezi la tumbo hapo mwamba kajamba😂😂😂😂 nina wasiwasi na malinda km yapo yote😂😂😂😂😂😂
@LuluLevy Жыл бұрын
Aaaah nkweli kajamba tena mara mbili😅😅
@arafaomari1832 Жыл бұрын
Jamani nimecheka kwa nguvu 😂😂😂😂
@fikiliibrahim972010 ай бұрын
Dah hiibdunia we acha tu
@yousramutwale2463 Жыл бұрын
Yupo naishi vizuri jamani
@hamisahamisa5896 Жыл бұрын
Ila huyu kaka huyu hawezi kuishi na mwanamke msafi sana
@NanaNana-xo2og Жыл бұрын
Kwanini😂😂😂
@jamilaathumani5481 Жыл бұрын
Mzee wa ngenga umejuwa kumuweza bwana swarehe ,,umechangamka Sana Mzee wa ngenga ,,nimekupenda bure
@halimahasani-r1v7 ай бұрын
Ha po kwenye kope❤
@TaarabChannel Жыл бұрын
Mupitie na kwangu wapenzi watazamaji❤❤
@rosehaule6765 Жыл бұрын
😂😂😂 mzee wa ngenga ❤
@abdul-aziziomar59895 ай бұрын
😅😅😅😅😅mzee wa ngenga wakumbuke una mafrij mawil sio shida zako hujarogwa
@sosbrayantbenjamin970111 ай бұрын
Mwanang Saleh baada ya kua star umeanza kuvaa heren😂
@mariamdullazy8166 Жыл бұрын
😂😂😂 mashallah kwako pasafi
@gracepatric4371 Жыл бұрын
Nani kamuona wa ngenga anavogonga 😂😂😂😂 ania raha huyuu😂😂😂😅😅😅
@jalinachilala8465 Жыл бұрын
Salehe leo umekutana na kichaa😂😂😂 kazi.unayo
@Vee-w3x Жыл бұрын
Scrub ya chumvi imetajwa mara mbili mbili kutilia mkazo Mzee wa Ngenga bwana😂😂😂