ZUCHU AKIIMBA LIVE CHAPATI, NARINGA, SUKARI, UTANIUA MBEYA, MASHABIKI WAPIGA SHANGWE

  Рет қаралды 67,726

Wasafi Media

Wasafi Media

8 ай бұрын

ZUCHU AKIIMBA LIVE CHAPATI, NARINGA, SUKARI, UTANIUA MBEYA, MASHABIKI WAPIGA SHANGWE
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 93
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 8 ай бұрын
Mamii unanyota unapendwa sana allaah akulinde siku zote mamii zuch❤❤❤❤❤ raha sana
@asyakhatib7942
@asyakhatib7942 8 ай бұрын
Zuchu umechaguliwa lakin omba mungu sana maadui ndo kama wote mpaka unashangaa mpaka mtumzima sawasawa na mama ako ety anakuonea wivu be careful mamy kwa kila hatua
@kantai737
@kantai737 8 ай бұрын
Wallahi mpaka unashangaa ni uadui wa nini hivo,Mungu atamlinda.
@saidbakar-qo6ri
@saidbakar-qo6ri 8 ай бұрын
Nchi yetu ina utamaduni huo wa kuoneana wivu hata rais hutukanwa na wenye wivu wanayoitamani nafasi yake ingawa hawana nafasi hata ya kuwa mwenyekiti wa mtaa ndio hao wanaomshambulia mama kwa matusi na ubaguzi ni bora wale wanaokosoa bila kutukana
@JohnKalimanzila
@JohnKalimanzila 8 ай бұрын
Wee acha zako
@yusternyirenda7231
@yusternyirenda7231 8 ай бұрын
Huo ndio ukweli ulio uchi zuchu ana bidii sana ya kazi pia ana kipaji kikubwa sana sema walimwengu wanamuoneea wivu
@chraizmurhi6630
@chraizmurhi6630 6 ай бұрын
​@@kantai737😅😅😅😅
@kariaagness4213
@kariaagness4213 8 ай бұрын
❤❤Mwanangu nakupenda sana Hata daimod Anakupenda juzi usiku hatukulala tunakuombea mungu Alla akulinde mwanangu Kilimanjaro tunakupenda sanaaaaaa🌹🌹🌹🌹🌹🌹💯💯💯💯💯💟
@channyanjen9047
@channyanjen9047 8 ай бұрын
Allah akulinde na husda za wanadamu zuu❤❤❤❤❤
@marykasanga4012
@marykasanga4012 8 ай бұрын
Nakupenda zuchu unautendea haki mziki mziki ikucheza bwana minapenda sana❤
@josephkwai1819
@josephkwai1819 6 ай бұрын
Nabarikiwa sana na wimbo huu wa NARINGA, nalindwa na Mungu, ujumbe mzuri... Ubarikiwe sana kwa ujumbe huu
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 8 ай бұрын
Zuch Hajawah Kutuangush 💯❤❤❤
@eunnyfrancoh
@eunnyfrancoh 8 ай бұрын
I love your songs ❤❤❤ work hard zuchu ukijua kuna watu hawakutakii mema
@evaristkiiza1938
@evaristkiiza1938 8 ай бұрын
Wasafi festival mwaka huu shows nzima ad maandalizi ya majukwaa na mwonekano wake yaaani ni so amazing it's so highly brain from developed countries which entering TZ,, hongereni WCB and we so proud as tanzanian people..
@Happy-tx7p
@Happy-tx7p 8 ай бұрын
Napenda nyimbo moja tu naringa naipend sanaaaaaaaaa
@user-gm2gq3gi7k
@user-gm2gq3gi7k 8 ай бұрын
Na kukubali sana zuchu piga kaz achana nao
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 8 ай бұрын
Nakupenda hadi nalia zuchuu❤️❤❤️❤
@user-qk4gt3dw6m
@user-qk4gt3dw6m 8 ай бұрын
Zuchu wa Diamond
@susanwanyama1594
@susanwanyama1594 8 ай бұрын
.mungu akulinde
@annbabiealvin6902
@annbabiealvin6902 8 ай бұрын
Eeeeish❤❤❤ zuchu much from kenya watching from saudi
@ReginaAlice-bt5bs
@ReginaAlice-bt5bs 2 ай бұрын
I like it Zuchu
@ReginaAlice-bt5bs
@ReginaAlice-bt5bs 2 ай бұрын
🎉
@anclekipuso7410
@anclekipuso7410 8 ай бұрын
I love you 💟💘💟💘
@user-lw3ue4ey6g
@user-lw3ue4ey6g 8 ай бұрын
I love zuchu & her songs... Utaniua ❤❤❤
@petermwinje1833
@petermwinje1833 8 ай бұрын
Mv!
@kasivatalks6115
@kasivatalks6115 8 ай бұрын
I love you song
@evalynemuriithi3871
@evalynemuriithi3871 7 ай бұрын
Me too❤❤❤❤❤
@giselequeen6647
@giselequeen6647 7 ай бұрын
Nakupenda zuchu
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 8 ай бұрын
MC on top juuuuu sanaaa💪💪💪You doing great Job MC even tho I didn't catch your name but 🙏🙏🙏
@danielwangui8967
@danielwangui8967 7 ай бұрын
Hapo sawa
@user-hr4hm2iz3f
@user-hr4hm2iz3f 8 ай бұрын
Zuchu kauwaaaa
@margarethkiatu5546
@margarethkiatu5546 8 ай бұрын
Killed it Zuuuuuu........hadi waombeee poooooooo ❤ 🇺🇸
@salamamamashenge5493
@salamamamashenge5493 8 ай бұрын
Well done Da Zuhura a k a Zuchu 🫠💃🫠💃🫠💃
@desmaambiche1679
@desmaambiche1679 8 ай бұрын
UnJua kituweka vizuri mammy
@PanchoValentino-wh7wt
@PanchoValentino-wh7wt 8 ай бұрын
Balaaa ziiitoooo 🔥💥 Zuchuu 🎼🎶🎵🔝🖐️💯🔥💥
@user-hm5wd8ux3h
@user-hm5wd8ux3h 7 ай бұрын
Nakupenda sana da zuu mungu akuzidishie
@MwanaishaHemed-xi6rj
@MwanaishaHemed-xi6rj 8 ай бұрын
Zuchu ❤❤❤🔥
@margarethkiatu5546
@margarethkiatu5546 8 ай бұрын
Nyomi la kufa mtu ........Zuuuuuuu❤
@justuswaweru1703
@justuswaweru1703 8 ай бұрын
the sound is topnotch, wasafi all the way
@CathelineElias-ri1cd
@CathelineElias-ri1cd 8 ай бұрын
Zuuuu unakta kiuno pend San ❤❤❤
@user-ez8cl8fq6k
@user-ez8cl8fq6k 7 ай бұрын
I love 2❤🎉❤
@fatumamahoiga3978
@fatumamahoiga3978 8 ай бұрын
Zuchu Ajituma jamani Shida Tunapomwonea Wivu Zuu piga kazi
@user-bt9qp4lx1p
@user-bt9qp4lx1p 8 ай бұрын
Mm hata wakisema hawampendi mm nampenda hadi kifo still love you from this side kisii ndani❤❤❤
@user-uu4kx1tf1d
@user-uu4kx1tf1d 7 ай бұрын
Ee love you zuchu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@dianarobert3989
@dianarobert3989 8 ай бұрын
Shemeji shemeji shemeji😂😂😂😂aaah watu hawataki kuita Zuchu
@susanwanyama1594
@susanwanyama1594 8 ай бұрын
Uko na madui wengi omba Kila wakati
@user-qk4gt3dw6m
@user-qk4gt3dw6m 8 ай бұрын
Huanguki inshallah
@habibamsemo6443
@habibamsemo6443 8 ай бұрын
Shoo Kali sana umeua sana zuchu
@user-dc1qh3nm5s
@user-dc1qh3nm5s 8 ай бұрын
Allah akupiganie zuu wetu uendelee kupanda zaidi ya hapo ww ni 🔥🔥🔥🔥
@saphiasaid1038
@saphiasaid1038 8 ай бұрын
Nimeijua ....zuchu unamaliza mi nipo 😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹🧡🤩🤮🤬😼😼😼😼🙉🙉💯💯💯💯💯💯💯💯💯🤍🤖 too life like lovely simply things and ketchup of things.too young like always I deserve things and so much my things old things their in the past I have continuous and so much like derve one life is not me is everyone tomorrow will love so much more .
@paulmafuru7283
@paulmafuru7283 8 ай бұрын
Zuchu Kama muhindi
@SAUDAHNAMULINDWA-dy8te
@SAUDAHNAMULINDWA-dy8te 8 ай бұрын
Naughty girl
@ambrosekimingichi7322
@ambrosekimingichi7322 5 ай бұрын
Aya bhana
@radhiaabbas1040
@radhiaabbas1040 8 ай бұрын
Wakomeshe mama
@AishaKawisa-el1jq
@AishaKawisa-el1jq 8 ай бұрын
Mambo yako juu zuu
@lucymtuka3199
@lucymtuka3199 8 ай бұрын
Nakupenda mno na mziki unaujua
@ayshamzee7463
@ayshamzee7463 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@catherinemrosso2145
@catherinemrosso2145 8 ай бұрын
Mpaka waseme da zuu
@user-kw5yk3ui4t
@user-kw5yk3ui4t 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@user-ez8cl8fq6k
@user-ez8cl8fq6k 7 ай бұрын
❤❤
@user-to6gd5gq6o
@user-to6gd5gq6o 8 ай бұрын
Ay mwanafunziii😂😂😂
@user-qk4gt3dw6m
@user-qk4gt3dw6m 8 ай бұрын
Hawajui simba anaona nini kwako❤
@user-ok2np1mq6k
@user-ok2np1mq6k 8 ай бұрын
🥰🥰🥰
@user-qk4gt3dw6m
@user-qk4gt3dw6m 8 ай бұрын
Achana na wanaopinga penzi lako wivu ume wajaa
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 8 ай бұрын
💯💯💯💯
@priscaoman872
@priscaoman872 8 ай бұрын
Nouma sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Nimriysbabe984
@Nimriysbabe984 8 ай бұрын
❤❤❤
@user-jb1ve4gw9b
@user-jb1ve4gw9b 8 ай бұрын
,🎉🎉🎉
@MichaelBusinesHub
@MichaelBusinesHub 8 ай бұрын
💯💯
@AishaKawisa-el1jq
@AishaKawisa-el1jq 8 ай бұрын
Achana na wenye roho mbaya pambana na penzi llako
@user-gu2dj3qg6w
@user-gu2dj3qg6w 8 ай бұрын
Tupo wengi tunaompenda wanaomchukia mtanzania mwenzetu hasara yao
@aminali2677
@aminali2677 8 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🇸🇦🇸🇦🇰🇪
@cattovan_tz228
@cattovan_tz228 8 ай бұрын
SEMA ZUCHU INAONEKANA MTAMU KWENYE MIZAGAMUO MAMAEEE 😂
@elizabethchabluma-zw5qz
@elizabethchabluma-zw5qz 8 ай бұрын
Tantee
@QueenMishy
@QueenMishy 8 ай бұрын
Hatar😂😂😂😂
@CathelineElias-ri1cd
@CathelineElias-ri1cd 8 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@sylviembirize
@sylviembirize 8 ай бұрын
❤❤❤🎉
@user-rx9vd6uy3w
@user-rx9vd6uy3w 8 ай бұрын
zuchuu fundii faaa mchezooo niniiii....
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@anethlyanda801
@anethlyanda801 8 ай бұрын
Jaman Angel nyigu yuk wapi jamn pia huw nampend san
@mariamshabani7107
@mariamshabani7107 8 ай бұрын
Wewe mtoto unajua ila mondi asikuumize jamani hatakukata kipaji
@mariamsaidisaidi1953
@mariamsaidisaidi1953 8 ай бұрын
Zuchu unadjuwa tena unadjuwa tena
@user-gr6hj6qm8c
@user-gr6hj6qm8c 23 күн бұрын
We
@selmesaid7405
@selmesaid7405 8 ай бұрын
Zuchu na mashoga zako nyoote mumefanana sijui uko shule wanawatambuwa vizuri 😂😂
@user-lr5wc6kk7m
@user-lr5wc6kk7m 8 ай бұрын
Hawa wanafunzi ni nyokooo,na ako kadad ken daaah ni laana
@aminamusa9174
@aminamusa9174 8 ай бұрын
Wakati wa kulia kwikwi ndio ushafika😅😅
@em_vee_josh
@em_vee_josh 8 ай бұрын
Wenye wivu na chuki waende kaskie vibaya na huko
@AfRICA0404
@AfRICA0404 8 ай бұрын
Apa ndio nimeamini show Bora ni kiba TUUUU WENGINE MIDOSHOOOO
@HamisiRamadhani-kp7uz188
@HamisiRamadhani-kp7uz188 8 ай бұрын
Morogoro lini mana tumewamic
@zero50tv19
@zero50tv19 8 ай бұрын
Nini
@jameskarisa6333
@jameskarisa6333 8 ай бұрын
Mbona Angel Nyigu simuoni???
@mercylizah9205
@mercylizah9205 8 ай бұрын
Yuko US tour yake .hajarudi
@bettyfuraha4796
@bettyfuraha4796 8 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
Шокирующая Речь Выпускника 😳📽️@CarrolltonTexas
00:43
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
ПООСТЕРЕГИСЬ🙊🙊🙊
00:39
Chapitosiki
Рет қаралды 37 МЛН
Make me the happiest man on earth... 🎁🥹
00:34
A4
Рет қаралды 8 МЛН
Kontawa Feat Harmonize: Binadamu (Official Audio)
3:40
kontawa
Рет қаралды 321 М.
Founder TZ - Mfano (Official Music Video)
3:22
Founder TZ
Рет қаралды 509 М.
kitole
6:24
Stephen Kasolo Official
Рет қаралды 3,2 М.
DIAMOND | SIFA ZA ZUCHU, HAMISA, ZARI & TANASHA - USWEGE MURDERER
5:43
Uswege Murderer
Рет қаралды 1,5 МЛН
SHOW NZIMA: ZUCHU ALIVYOKIWASHA RUANGWA - WASAFI FESTIVAL 2023
40:16
MAMBO WANAYOFANYA DIAMOND NA ZUCHU JUKWAANI MMH! ONA KILICHOTOKEA
3:35
Озвучка @itsQCP  Нагетсы в постели @cookingwithkian
0:51
BigXep. Канал озвучки
Рет қаралды 6 МЛН
Final increíble 😱
0:39
Juan De Dios Pantoja 2
Рет қаралды 37 МЛН