hapo kwa zuchu na nandy hongera sana zuchu you have good heart❤️ sina shaka na nandy upendo wake pia kwa zuchu, tunawapenda sana our beautiful tanzanian lady's kika mmoja kati yenu ana ladha yake yenye mvuto na mziki mzuri ...love to you nandy❤❤❤but also zuchu's too❤❤❤
@RoseGeofreyКүн бұрын
I really love zuchu's smile ❣️she's beautiful her tooth is very 👌👌 to be honest she's on fire 🔥🔥🔥
@Ahmad-yo9pkКүн бұрын
Mauwa Kwa mtangazahi naswali mazuri kabisa album inataka promo kubwa 🎉
@esthermwangi9458Күн бұрын
This baby girl is so well put together, soft spoken, humble, May God continue blessing the work of your hands.❤❤❤
@fbr5113Күн бұрын
AMEN KUBWAAA
@OlgaAmboulouКүн бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏 🇨🇬
@darajalakidatukilomgi2362Күн бұрын
Wewe Mtangazaji nimekupenda sana, Maua Kwa Mtangazaji na maua kwako Zuchu hii ndio interview za kusikiliza msanii anahojiwa kuhusu kazi yake na anaongelea kazi mwendo wa sisi watazamaji kujifunza na kuelewa shughuli za msanii wetu, sio zile interview za Juma lokole ni ngono mwanzo mwisho upunbavu mtupu, Dada Mtangazaji usije kubadilika mtindo wako wa mahojiano unajielewa sana na unauliza maswali ya kisomi ya uandishi usije kujiingiza kwenye mahojiano ya ngono micheluko na mabwana utaharibu sivi yako
@agbordorothy490122 сағат бұрын
😅
@margaretbirenge4081Күн бұрын
❤❤❤❤zuchuuuu zuchuuuu zuchuuuu 😘♥4rever gaaal
@BossybossyMachuru23 сағат бұрын
ZUCHU.kuna njia ya kupigiza unumbe ❤❤❤❤
@OlgaAmboulouКүн бұрын
Zuchuuuuu I LOVE u ❤❤❤❤
@OliveineSmithКүн бұрын
Zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@rashidfatma2137Күн бұрын
Allah akuzidishiye Kila la Kheri insha'Allah. Akulinde Nahsuda Za Wanadamu. Akuzidishiye Rizki Ameen.💯👍🥰
@JamilaNassor-i2vКүн бұрын
Wewe ni muislamu kweli baada umuombee atoke huko aliko Allah atusamehe sote amiin
@SalmaidrissКүн бұрын
Zuchu unaongea vizur unatumia akilisana kujibu maswali hongera sana
kijimbea icho kinatumia usanii wake kuchamba watu😅😅
@BossybossyMachuru23 сағат бұрын
Zuchuuuuuuu forever the queen ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@EvelynLissa-z5zКүн бұрын
Ninachompendea ninakili nyingi sana pia ana mvuto wakipeekee sana hachoshi kumtizama kabsaaa
@JoelMukulu-f4iКүн бұрын
Mi Nilitaka i don't Care. Ufanyiwe remix Na rosaree
@SharonWafoga15 сағат бұрын
I really love you ❤❤❤❤
@MwanamisiKhadodo-xh8cnКүн бұрын
Leo WA Kwanza naombeni likes zangu jamani 😂😂😂
@DaxixSeenКүн бұрын
Zuchu noma❤
@eleven-in5qwКүн бұрын
Mmekaa saaana bila interview na diamondi
@zulfaibrahim192917 сағат бұрын
Unawaimba wano jichubua wkt na wewe ni wale wale’ but nice uko juu
@SalmaSalma-rh1jrКүн бұрын
Anaakili nyingi ametulia akihojiwa anajibu kwaaliki sana nakituo
@humbleshoalКүн бұрын
Mungu ampe mume mwema jamani
@shukranimugasa3521Күн бұрын
ELIMU ELIMU ELIMU DEGREE YA UCHUMI BIASHARA UWEKEZAJI INDIA 🇮🇳
@fatumamahoiga3978Күн бұрын
Zuchu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@johnmichaellukindo21Күн бұрын
Zuhura❤
@estherminnahboaz6956Күн бұрын
Kajipaka oil nyingi aonekame ame glow😅😅
@ShabaniAdamu-j5s13 сағат бұрын
Sema nyie mnao comment mmekuwa majaji sana mnaleta ujuaji wakati wengi wenu mkiwekwa mbele ya camera tu mna unya unya😂😂
@dainesbenjamin8230Күн бұрын
I love my self 😊
@thedon8467Күн бұрын
Kwann usinipende Mimi ?
@dainesbenjamin8230Күн бұрын
@thedon8467 hahaha ety eeeeeh ni Sawa Ni sababu Kwa nn umesema hivyoo
@RayChausa-g6mКүн бұрын
@thed😂😂😂😂😂on8467
@darajalakidatukilomgi2362Күн бұрын
Leo nimejifunza mengi kutokana na hii interview kuhusu CD utunzi Zuchu yaani umetupa Ile interview za msanii mkubwa kama wa Ulaya wanavyohojiwa unaeleza kazi yako ulivyoipika mpaka umeipakua, safi sana Zuchu
@shadiwaigwa9230Күн бұрын
Zuchu 🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
@Meilleursmusiquekivu21 сағат бұрын
Akuna wa kongo kwenye album ?
@Meilleursmusiquekivu21 сағат бұрын
😡😡😡
@Mwanzaboy255Күн бұрын
ZUCHU anajua sana
@Peterchila-un2lxКүн бұрын
Huwa anampa ushuzi bosi wake
@alkhudhertarek976Күн бұрын
@@Peterchila-un2lxumejuwaje mbuzi ww
@azizahuruma7463Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤
@DelcarkeMunyampalaКүн бұрын
So cute ❤
@marymoshi572Күн бұрын
❤
@Peterchila-un2lxКүн бұрын
Zuchu anampaga ushuzi dimondiiii
@lucymtuka3199Күн бұрын
Mwanaume mzima unaonea wivu mtoto wa kike nanda Monday akuoe
@RehemaKatana-m6lКүн бұрын
Uyu comments zote lazima ASeme ivo...Kwan huwa uko nao chumbni
@munirasallim6450Күн бұрын
@@RehemaKatana-m6lPengine Huwa ako nao chumbani
@ErnestJoseph-cm4isКүн бұрын
😮
@godfreymbwambo4460Күн бұрын
KING'ANG'ANIZI HICHO HATA MAMA YAKE AMESEMA HAJUI UHUSIANO KTK YAKE NA DIAMOND. ALLIYAH NDIYE ANAYEFAHAMIKA KWA MAMA DANGOTE!