Zuchu - Lollipop Dance Video

  Рет қаралды 1,196,223

Zuchu

Zuchu

Күн бұрын

Пікірлер: 406
@Leakenvlogs
@Leakenvlogs Күн бұрын
Ey huyu mdada hatariii ❤️ zuchu East African Queen jamani 🎉
@benardkioko1840
@benardkioko1840 15 күн бұрын
Kweli tumetoka mbali, tulianza na Sukari, Honey na Chapati sasa ni Lollipop tukifika kwa Pombe na Bangi mnipigie. Hongera sana zuchu.
@RoidaChaula-l2z
@RoidaChaula-l2z 19 күн бұрын
Dada zuu unajua. nakupenda mpk natoa machoziii an voice,,dance kwote upo firee
@RUTYMDUGI
@RUTYMDUGI 6 күн бұрын
Hilo neno sasa😂😂
@ZamdaAmri
@ZamdaAmri 5 күн бұрын
Uyu dem fundi walah daaah zuchu kiuno icho mama
@KalebiWilson
@KalebiWilson 18 күн бұрын
Kusema kweli zuchu kuimba anajuaaa
@DayanaDayana-g8n
@DayanaDayana-g8n 12 күн бұрын
Unatufalijigi watu sana kwa nyimbo zako nzuri sana da zuchu as mtu akiwa na juzi 😢 akisikiliza anakua saw mungu akuzidishie maisha uzidikutufaliji siku zote hapa duniani tunakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤❤
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 8 күн бұрын
Kabis Umeongea Point San 💯💯
@alanoudalseari7208
@alanoudalseari7208 14 күн бұрын
zuchu weee muache mbora akupe ndoge nono usiwape waja faida endelea kupuromoti nyimbo zako ❤❤❤ zc
@MwanajumaJuma-q1m
@MwanajumaJuma-q1m 14 күн бұрын
Nakupenda sn zuchu kwa sababu ulijikubali ulivyo
@DieuzKzmofficielDRC
@DieuzKzmofficielDRC 11 күн бұрын
Zuchu amewezaa
@AshaAbdallah-g6f
@AshaAbdallah-g6f 18 күн бұрын
Wasikulinganishe kbs nawakina ndi cjui hao huu moto mwngne 🔥♥️
@GraceSafari-c4u
@GraceSafari-c4u 6 күн бұрын
Nakukubal sana zuchu nakuombea ufke mbal sana❤❤❤🎉🎉🎉
@GraceSafari-c4u
@GraceSafari-c4u 5 күн бұрын
Nakupenda❤❤❤❤❤❤❤🌹🌹🌹
@FlorisEmerimana
@FlorisEmerimana 19 күн бұрын
Mutu wangu 😘 unaweza kuimba🎉
@vivianmringi
@vivianmringi 7 күн бұрын
Zuchu uko poa ninakupenda sana uendelee kuiba
@Iddi69iddi7-w5u
@Iddi69iddi7-w5u 5 күн бұрын
Nakupenda zuchu
@Iddi69iddi7-w5u
@Iddi69iddi7-w5u 5 күн бұрын
❤❤❤❤❤
@ZaitunMohamed-i6d
@ZaitunMohamed-i6d 15 күн бұрын
Zuchu nakupenda sana naomba namba yako yaan simu yangu yote imejaa nyimbo zako zote nazikubali sana nyimbo zako mpy na za zamani zote nzur nakupenda sana zuchu ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️
@kevinryt4963
@kevinryt4963 6 күн бұрын
Tafta mke😂😂
@MugishaKazoba
@MugishaKazoba 13 күн бұрын
Kwa upo oggy sana nakukubali dada ww
@CathyKenaya
@CathyKenaya 19 күн бұрын
Jmn dada zuchu mm nakupenda na kukubali sanaaaa hujawahi kutoa nyimbo mby hata cku moja.....Mm niko upande wako siku zote...Nakuombea sana dada ufike mbali❤
@ZaituniJuma-i9t
@ZaituniJuma-i9t 17 күн бұрын
Unawezaaaa mpaka unaweza tena
@GystlaineNiyibizi
@GystlaineNiyibizi 7 күн бұрын
🎉🎉🎉mimi Na mupenda caaaana zuchu chuchuchu
@luisojr3480
@luisojr3480 18 күн бұрын
Mzanzibar unaonekana upo vizuri dats why mtoto wa tandale kadata😂
@rashidfatma2137
@rashidfatma2137 10 күн бұрын
Kila Nguwo Anovaa inamka! Hongera Kwa Kazi Nzuri❤
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 19 күн бұрын
Umeweza zuu ❤ hongera
@EmediKaskile-h2b
@EmediKaskile-h2b 14 күн бұрын
Ifanyie ihi nyimbo uwekezaji itahondoka international
@GystlaineNiyibizi
@GystlaineNiyibizi 7 күн бұрын
🎉🎉🎉mimi Na mupenda caaaana zuchu chuchuchu ❤❤❤❤❤
@JustinBonaneharerimana-zg1td
@JustinBonaneharerimana-zg1td 19 күн бұрын
Wa kumi toka Congo drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 from Goma
@mrbofu
@mrbofu 19 күн бұрын
Your are fist lady in Africa. congratulations. nice song❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 zuchu unaniweza kweli🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunakupenda sana
@GraceSafari-c4u
@GraceSafari-c4u 6 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@richardagama6862
@richardagama6862 19 күн бұрын
Yaani huyu mtoto anajua zaidi mpaka anaboa,,,daah,dada hataaaareeee🔥🔥🔥
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc 19 күн бұрын
Balaaa😂😂😂😂 aaaah huyu mtoto
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 19 күн бұрын
Moto 😂😂
@awatifalghanim1106
@awatifalghanim1106 19 күн бұрын
😂😂😂😂
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 19 күн бұрын
😂😂😂
@RUTYMDUGI
@RUTYMDUGI 6 күн бұрын
Fireeee huyo😂😂
@Ryan_niche
@Ryan_niche 19 күн бұрын
Wa kwanza kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤🙌🙌🙌🙌🙌
@MohammadAli-gv5pd
@MohammadAli-gv5pd 19 күн бұрын
Acha urongo wewe
@ISMAIRYRAMADHAN
@ISMAIRYRAMADHAN 19 күн бұрын
Nyie hamumpendi jmn ila mm jmn zuchu yupo kwny damu unaweza Simba kitotoooo iko jmn kiuno tu mm hoiiiii
@MohammadAli-gv5pd
@MohammadAli-gv5pd 19 күн бұрын
Sija uliza
@omarswaleh6082
@omarswaleh6082 18 күн бұрын
​@@ISMAIRYRAMADHANsi ukamstiri basi umuoe awache uchafu anao ufanya
@BelisoniMbezi
@BelisoniMbezi 18 күн бұрын
Nyie amna msanii
@MathiasKaruba
@MathiasKaruba 15 күн бұрын
Anajuwa sanaaa ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉
@SelemaniMikalano
@SelemaniMikalano 11 күн бұрын
❤❤❤ nikweli mtupu
@benjaminimwalimu3750
@benjaminimwalimu3750 14 күн бұрын
Tanzania ❤❤❤
@minahjay-k9e
@minahjay-k9e 19 күн бұрын
Wanaopenda kudance tuonane ❤❤
@GraceSafari-c4u
@GraceSafari-c4u 6 күн бұрын
Me najua kudance ni ndoto yang❤❤❤❤
@TausiKinyali
@TausiKinyali 14 күн бұрын
Ukweli ni mzuri sana zuchu
@NarisisiLugakingira
@NarisisiLugakingira 11 күн бұрын
Aka kadada kameshindikana 🔥
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 19 күн бұрын
Zuch Forever Anakiun Lain Hatar Yaan Hatumii Nguvu Kuzungush Kinazunguk Wenywe🎉🎉🎉
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l 19 күн бұрын
Sana aki❤
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x 17 күн бұрын
Kuna maisha baada ya kufa ambianeni ukweli msipotoshane
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 15 күн бұрын
Unalijua Hilo Baad Ya Kuigia Kweny Mtandao Na Kukoment ​@@Zainab-f9w5x
@MrteresFilamu
@MrteresFilamu Күн бұрын
Jaman zuchu anatok zanzibar na mm natok uku uku ten paje kwa bibi yake uku kwanin musinipe sapoti yenu mm
@tadeith7027
@tadeith7027 12 күн бұрын
Zuchu kiukweli Diamond nabid akuoe tu hakuna namna
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 14 күн бұрын
Hatari sana
@geofreykalawa2260
@geofreykalawa2260 13 күн бұрын
Nimemckiaa Alade humooo.....,🔥 hili nalo ni linyimbo likubwaaaaa🙌
@mudibojaffar9269
@mudibojaffar9269 17 күн бұрын
Jamani Tanzania 🇹🇿 kuna kinadada wazuri❤❤
@abdulabubacartuaibo6422
@abdulabubacartuaibo6422 18 күн бұрын
Zuchuwenu unhama sana🇲🇿&🇹🇿
@CamlonLogistics-ju6mb
@CamlonLogistics-ju6mb 19 күн бұрын
Mutu wangu unaweza music 😂😂😂😂😂😂
@lovarbicard4378
@lovarbicard4378 19 күн бұрын
Unataka Nini nipeni liké zangu 🎉🎉🎉🎉🎉❤
@SylvesterHiribae-i9j
@SylvesterHiribae-i9j 13 күн бұрын
Woow looking gorgeous in this song you kill it 👌👌💯💯💯
@Silvadasuzanabaixa-l7e
@Silvadasuzanabaixa-l7e 19 күн бұрын
Asanteeeeeeee mama watoto ❤❤❤🇲🇿😘
@Princelatnah
@Princelatnah 17 күн бұрын
Kiuno hio ndio inamuharibu simba❤❤❤❤❤zuhh
@rehemasauga7578
@rehemasauga7578 17 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@AminaJuma-r4y
@AminaJuma-r4y 14 күн бұрын
Kazi kweli🎉😂😂😂
@kassimrashid4374
@kassimrashid4374 15 күн бұрын
Inatosha baba mbosso🙏🙌
@simonmjema7352
@simonmjema7352 13 күн бұрын
Tunaomba videoooooooooooooooooo officially
@Nikkie254
@Nikkie254 17 күн бұрын
Zuchu has very amazing voice , I love her ❤ from Kenya
@halimajay606
@halimajay606 15 күн бұрын
Utafany cc single tupende tena mboso😅😅😅🎉🎉
@AmissaKashindi
@AmissaKashindi 4 күн бұрын
Nakupend daaaaaaaaaaazuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu xan❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ wake
@NDAYIZEYESOSTENNY
@NDAYIZEYESOSTENNY 19 күн бұрын
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼Rwanda zuchu
@امي-ظ1م
@امي-ظ1م 18 күн бұрын
Tamaaa, mbayaa ,waswahil wote wanakata mauno,,,,hayo mauno ni simba ili apagawe,,,na anafundisha wengine pia,,,wajue toa siri
@dandydeprince
@dandydeprince 13 күн бұрын
Kenya hii song imefanya
@jizzotheking9238
@jizzotheking9238 18 күн бұрын
yaan wimbo mzima ipo inasifiwa mboro😀😀😀
@greydonalds4286
@greydonalds4286 17 күн бұрын
Kakahaba haka kadem
@chalokenya
@chalokenya 19 күн бұрын
Zuchuchuchu❤ me naitwa chachacha Charles 😂
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 14 күн бұрын
Imetisha Tanzania 🇹🇿 one
@KemirembeSofia
@KemirembeSofia 13 күн бұрын
Jamanyi this Song na fireooh I love it thanks zuchu uganda
@nataliaserapiao1408
@nataliaserapiao1408 19 күн бұрын
Zuuuu keep shining my Daughter God is with you!❤🙏🏼
@magixk5753
@magixk5753 19 күн бұрын
First one from Kenya .wapi likes za zuchu
@tonydavid3637
@tonydavid3637 4 күн бұрын
great talent Zuchu
@RabiaWahadh
@RabiaWahadh 3 күн бұрын
Kabis Umeongea Point San Huyu Mtoto Ana Talent Ya Kuzaliw Nay💯💯💯
@Stevecoastkid
@Stevecoastkid 19 күн бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪❤
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 19 күн бұрын
Zuchu my queen❤🎉
@JimmynineManus
@JimmynineManus 19 күн бұрын
Nimerudia mara5 kuangalia chchu za zuchu na ashura pamja na mkenya mweus fran na rasta zke kama kuna mwnzangu like hapa
@Moreen-vg2gx
@Moreen-vg2gx Күн бұрын
Big up bro keep shining 💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥@king of dancehall in Kenya Addiiii to the world,🔥🔥🔥
@SaidaMdasiru
@SaidaMdasiru 19 күн бұрын
Machobyangu kwa vipenzi vyangu zuchu na ashurey❤❤
@KennedyOmondi-e5o
@KennedyOmondi-e5o 13 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@KimberlyMsanga-j7n
@KimberlyMsanga-j7n 15 күн бұрын
Urefu 👀Fulani🤝👍
@badboyjephanie-uh3mz
@badboyjephanie-uh3mz 19 күн бұрын
Tunao mkubali zuchu tujuane kwaku like hii comment
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 14 күн бұрын
Tanzania 🇹🇿 on the fire 😊
@Lizawansima
@Lizawansima 19 күн бұрын
Zuchu ni 🔥 ❤
@LAMPARDREMI
@LAMPARDREMI 15 күн бұрын
nakubali kwahiye chalenji ya zuchu
@lulunicholaus9736
@lulunicholaus9736 22 сағат бұрын
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🔥🔥🔥🔥🔥🔥 zuchu wakuache tu umeshashindikana
@shadiwaigwa9230
@shadiwaigwa9230 19 күн бұрын
Zuchu endelea kutuburudisha, love you ❤️❤️❤️❤️
@marwa.aldowlia1
@marwa.aldowlia1 4 күн бұрын
N one to africa 🎉🎉🎉
@eagleculturetv4692
@eagleculturetv4692 19 күн бұрын
Afu hiz ndo bit za yemi Ade ulijuaje kwel ww ni genius at ol angles
@SilikaKadenge
@SilikaKadenge 3 күн бұрын
Nmependa sna zuchu hyo nyimbo 😅😅
@ElyseNIYONKURU-e1q
@ElyseNIYONKURU-e1q 18 күн бұрын
Zuchu nagupenda zuuuu❤❤
@BinSultan-t5g
@BinSultan-t5g 13 күн бұрын
Zuchu ndo wc kwa sasa lazma wamnganganie
@BisiMayala
@BisiMayala 16 күн бұрын
Keep it up mama babalevo💪💪💪
@EstherMwinza
@EstherMwinza 6 күн бұрын
Waaau zuchu mtoto wa watu kanona xx hivi nyama anazo
@raymondcharo9054
@raymondcharo9054 5 күн бұрын
Mwenye kilemba cheupe
@iddydule2287
@iddydule2287 15 күн бұрын
Khan mshededeeee🎉🎉🎉🎉
@NathanielMwangemi-w2f
@NathanielMwangemi-w2f 19 күн бұрын
Nakubali Zuu,ila collabo na Wakenya mzingatie hilo tunawasapot sana
@bryankyle-42
@bryankyle-42 13 күн бұрын
The facial expressions for me🔥🔥💯👌
@DivaOriginale
@DivaOriginale 19 күн бұрын
Zuchu with the hit everytime
@SadahMaulid
@SadahMaulid 16 күн бұрын
Zuuh kopa unajua mpk unajua tena nakuoenda walaah miee❤❤❤❤
@LilyNashela
@LilyNashela 19 күн бұрын
Waaah Noma sn from Kenya 🇰🇪 I think I
@BrendaMaimuu
@BrendaMaimuu 17 күн бұрын
Zuchuuuuu hatari😊
@JacklineGodfrey-y8y
@JacklineGodfrey-y8y 2 күн бұрын
Tanzania wakwanza kumsifia mdada wa Mozambiq hapa ametisha sana
@onlystarsdancecrew254
@onlystarsdancecrew254 19 күн бұрын
Zuchu your the first spead happiness over the world through top best songs keep it up Zuchu ❤❤❤❤❤❤
@rashidfatma2137
@rashidfatma2137 19 күн бұрын
Maasha'Allah!🎉🎉🎉
@AbuuMgeni-r9b
@AbuuMgeni-r9b 14 күн бұрын
Hongera zuchu
@SheilaJepchumba-i5b
@SheilaJepchumba-i5b 7 күн бұрын
nice❤❤
@RUTYMDUGI
@RUTYMDUGI 6 күн бұрын
Dont give up sis Zu😂😂
@VictorKikoti-k7o
@VictorKikoti-k7o 19 күн бұрын
ZUCHU WEEEEE 🎉🎉🎉🎉🎉 DADA UNAJUA MPAKA UNAKERAAAA NGOMA KALIII SANAAAAAA
@DieuzKzmofficielDRC
@DieuzKzmofficielDRC 11 күн бұрын
Tenasaaaaaana
@onlystarsdancecrew254
@onlystarsdancecrew254 19 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@TeresiaNgethe-o2p
@TeresiaNgethe-o2p 14 күн бұрын
Wakenya mko wapi na siwaoni😮😮😮
@rehemamwinyi2317
@rehemamwinyi2317 13 күн бұрын
Imeweza❤❤❤❤
@RoseSyokau-z6y
@RoseSyokau-z6y 13 күн бұрын
Kimbinza silabasi kabisa😂😂
@shamzanjeri6954
@shamzanjeri6954 19 күн бұрын
Michecheto michecheto😂😂😂😂
@neemakalugila7674
@neemakalugila7674 19 күн бұрын
Zuchuuuu ❤❤❤❤❤from Holland 🇳🇱
@eumenchiluzi
@eumenchiluzi 4 күн бұрын
love dis here malawi
Zuchu - Hujanizidi Feat D Voice (Official Music Video)
4:19
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
TOP 10 MASTAA WALIOPENDEZA MKUTANO MKUU CCM DODOMA 2025
8:15
Foevah Dee..
Рет қаралды 40 М.
Zuchu - Lollipop Dance Video Part 2
2:22
Zuchu
Рет қаралды 337 М.
Rayvanny X Harmonize - SENSEMA (Official Dance Video)
4:18
Rayvanny
Рет қаралды 10 МЛН
Zuchu - Antenna (Official Music Video)
4:06
Zuchu
Рет қаралды 6 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
36:55
bayGUYS
Рет қаралды 1,9 МЛН