- S01EP97 - Utabiri wa Nyota na Mnajimu Kuluthum Dokta Kuluthumu Salim Ndee maarufu kwa jina la Dk Love ni mnajimu wa nyota nchini. Tembelea Facebook account / utabiriwanyota
Пікірлер: 12
@shamimsalim51005 жыл бұрын
Mm mpenzi wng Ni A na mm T je nisaidie tunaendana kinyota
@hatamimnimempendabulejaman15965 жыл бұрын
Hapa koment zipo Asante Sana dokta tunashukuru Sana mana mengine unatuambiaga yanatuusu tushachukuwa namba usijal
@aminakibasame69962 жыл бұрын
Asalam aykum mama miesielewi nilizaliwa majinalangu mwezi mtukufu nikaitwa swaumu baadae wakanita.kidodo kipindi naanzalakwanza nikaitwa dogo nilipo fanyiwa mila wakanita amina je nisimamie wapi?
@nahishakiyesaid513 жыл бұрын
Mtu akisilimu akabadilisha jina ,nyota yake hubadilika vile vile???
@bakarihappy48905 жыл бұрын
Kama kavaa viatu je?
@naomimiss75804 жыл бұрын
Mafucho nini
@salmasaidi28754 жыл бұрын
Angalia Post zake za nyuma ameeleza
@ireneshirima23515 жыл бұрын
Mafusho ni nini?
@mercytyga26455 жыл бұрын
Irene Shirima mi mwenyew cielew
@khadijaali9884 жыл бұрын
Irene Shirima ni dawa za kiasaili zinauzwa katika madawa ya kisuni ulizia waislam kama unarafiki au jirani muislam atakufahamisha maduka yenyewe
@khadijaali9884 жыл бұрын
Mercy Tyga ni dawa za kiasili zinauzwa maduka yanayouza madawa ya asili ya kisun ulizia mwislam yeyote atakufahamisha maduka na dawa ni za asili