TAFSIRI YA NDOTO KUOTA UNAVUA SAMAKI AU UNAKULA SAMAKI"SHEIKH ABUU JADAWI.

  Рет қаралды 7,784

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@ColobenAdart
@ColobenAdart 3 ай бұрын
shaikh mim naota namulalamikia mama kuhusu maisha mabaya katika Mimi na nduguzangu nataka unitafusir inshaallah
@MaryamKassym
@MaryamKassym Ай бұрын
Shekhe Mimi nimeota navua samaki wengi sana na sipo pekeangu nipo na watu wengi na Mimi ndo nilikuwa navua sana yani Kila nikiweka ndoano natoa samaki wengi wakubwa Kwa wadogo nawatoa nawapeleka pembeni ambapo mama yangu ndo anawakusanya nikipeleka yani ni wengi balaa watu wote niliokua nao wakawa wananishangaa na kunifurahia wengine wanasema si hatupati bwana tuache kuvua lakini ni kwenye mfejeri siyo mto Wala bahari na watu nilio nao nikama watalii yani tuneenda sehemu kutalii ndo tukafika hapo kwenye mfereji tukapewa ndoano Kila mtu yake
@FatmaHemed-fd1cu
@FatmaHemed-fd1cu Ай бұрын
Mi naota nimeenda Makkah
@MudhihirKhamis
@MudhihirKhamis 6 күн бұрын
Shehe mm niunge kwenye grupu wasapu
@mamaafrika1481
@mamaafrika1481 Жыл бұрын
Amiin 🙏🙏
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Siku hizi nashukuru na Mimi angalau ñajuwa kutafisili
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 Жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh,mkewangu nimjamzito ameota anakula nyama ya kuku yakuchomwa ,vpi tafsir habibillah
@rizikichike
@rizikichike 9 күн бұрын
Mimi shekhe nimeota nakula samaki lakini mchungu
@nassormohammed7805
@nassormohammed7805 Жыл бұрын
Sheikh mi nimeota ndoto kua niko baharini navua samaki wazuri wa rangi wengi sana wanaruka huku na huku
@omaryseif8961
@omaryseif8961 6 ай бұрын
Shaikh mimi nimeota ndoto navua Samaki wawili wakubwaa sanaa usiku wa kumkia Leo hii naomba tafsiri yake
@HafashimanaDorine
@HafashimanaDorine 8 ай бұрын
Asant sana mimi maramigi sana naota navuna samaki
@JosephdanfordBigombo
@JosephdanfordBigombo 2 ай бұрын
Shehee
@angle3600
@angle3600 4 ай бұрын
Nimeota nashika samaki ndoo kujaa ila nusu ikaibiwa nikabaki na nusu.
@ndayambajefikirini7252
@ndayambajefikirini7252 Жыл бұрын
Assalam aleikum sheikh,nimeota nanunua samaki wa aina tafauti wadogo kwa wa kiasi,kwa muza samaki ingawa ndoto ilishia hapo niko na elewana bei
@kadeejakadeeja1929
@kadeejakadeeja1929 10 ай бұрын
Cheikh naomba uniunge kweny group ya tafri ya ndoto
@AyubuMayunga-u2t
@AyubuMayunga-u2t 10 ай бұрын
Niliota navua samaki mbele yangu katangulia mwanamke na maji yalikuwa kwenye magoti nilivua samaki kama 7 niliwaingiza kwenye kamba na yule mwanamke nilikuwa naongea nae ila simjui sahamani nisaidie kwa hili
@ConfusedBoat-fw1cd
@ConfusedBoat-fw1cd Ай бұрын
Naota nikinunua samaki wawili waliobanikwa
@MvinzaDiyabilika
@MvinzaDiyabilika Жыл бұрын
Mm sheh nimeota navua samaki mzuli akaja MTU akanisaidia kumtiwa bahalini
@EnockSospeter-cd2mz
@EnockSospeter-cd2mz 6 ай бұрын
Nimeota nakula darasan
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Samaki nzur inawakilisha riziki
@ChrispinPhilipo-yu4uh
@ChrispinPhilipo-yu4uh 6 ай бұрын
Mim nimeota napewa samaki wengine sana
@harerimanaabdoul
@harerimanaabdoul 11 ай бұрын
Mie naitaji namba ya whatsap uniunge kwenye group
@FARAJIFADHILI-v6x
@FARAJIFADHILI-v6x 11 ай бұрын
sheikeh mm,nimeaota na mvua samakibaina ya sato,wengi,na mda mwinginebnanaotabnachimba visima au,au pesa maana yqke nn naomba,tafasiri yake
@DanielNtangale
@DanielNtangale 11 ай бұрын
Nimeota navua samaki
@omaryseif8961
@omaryseif8961 6 ай бұрын
Na samaki haoo nimeota nawavua baharini sheikh
@heznerkemunto3196
@heznerkemunto3196 Жыл бұрын
Mimi nimeota nmepewa samaki wadogo wadogo na samaki mojo kumbwa
@agnesmwajojo
@agnesmwajojo Жыл бұрын
mimi nimeota nakula kichwa cha samaki aliyekaangwa na akapikwa mchuzi samaki wa saizi ya kati kama changu vile
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
Mbona mimi naota samaki na vua toka niko bado mdogo mpaka sasa jaman
@lifeinmiddleeast8179
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Vipi.maisha yako samaki ni kheri
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 Жыл бұрын
@@lifeinmiddleeast8179 sija ona chochote labda baade
@Dafetty
@Dafetty 6 ай бұрын
Ndio ​@@lifeinmiddleeast8179
@Dafetty
@Dafetty 6 ай бұрын
Ndio ​@@lifeinmiddleeast8179
@kijakazinyalinga7003
@kijakazinyalinga7003 4 ай бұрын
​@@lifeinmiddleeast8179mbn sina kitu na maisha ya kawaida tyu labda kwa badaade ila hawa watafsili wa ndito wan tuchanganya sana😏
@dyana7405
@dyana7405 Жыл бұрын
Niliota mpango Wa Kando Wa Mume wangu ako Na mimba Kisha tunapigana Na yeye Hadi Na piga Na remote control kwenye sehemu yake ya Siri inamanagani?
@HajiIssa-gw1lc
@HajiIssa-gw1lc Жыл бұрын
Shekhe ukiota kumvua pweza au kamba Tena Kwa kuzamia Nini maana yake
@VickKulekana-si1ib
@VickKulekana-si1ib Жыл бұрын
Kuna kipindi nilikuwa naotaga sana samaki
@QueenAbdulAziz
@QueenAbdulAziz Жыл бұрын
Mimi naota navua samaki alafu wananiponyoka wanarud baharin
@ConfusedBoat-fw1cd
@ConfusedBoat-fw1cd Ай бұрын
Naota nikinunua samaki wawili waliobanikwa
@ConfusedBoat-fw1cd
@ConfusedBoat-fw1cd Ай бұрын
Naota nikinunua samaki wawili waliobanikwa
@ConfusedBoat-fw1cd
@ConfusedBoat-fw1cd Ай бұрын
Naota nikinunua samaki wawili waliobanikwa
TAFSIR YA NDOTO: PALE UNAPOOTA SAMAKI USINGIZINI HUMAANISHA HIVI
19:15
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 13 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 45 МЛН
УДИВИЛ ВСЕХ СВОИМ УХОДОМ!😳 #shorts
00:49
HARD_MMA
Рет қаралды 3,7 МЛН
TAFSILI YA NDOTO YA MTO! Ibn sirin
6:36
STARS TV
Рет қаралды 14 М.
Миллионер | 3 - серия
36:09
Million Show
Рет қаралды 2,1 МЛН