Mng'aro wa Silver, dah bonge la pini. Wimbo unajisemea wenyewe
@jacksonbeluga2918Ай бұрын
Noma sana
@vonmotions1596Ай бұрын
Busy working for the things that I'm yearning....Ndio maana sometimes hamnioni.
@davidfire6099Ай бұрын
Unafanya kitu Powa sana my brother muller big up But umesema hakunaga ni Ngoma kali kuliko zote za sumalee Naaah bro nenda kaiskilize Chungwa tena then Rudi utuambie 😢
@sallyrotich4244Ай бұрын
What a beautiful video and song! I'll camp here for a long time. Thank you for this🤗
@kdloon2030Ай бұрын
Wasio mfaham D'knob ni hawa Gen Z.Kipinfi D'knob anafanya music watoto wa 2000,walikua bado wananing'inia kwenye korodani za baba zao!
@wonanjijabongah1906Ай бұрын
Geez alikua habari nyingine yani kama alikua gangster version ya Ngwear coz alikua na flows nyingi na flavour nying bt yeye alikua anazifanya kiganster ana ngoma kama party flani,dakika sifuri aliuaga sana n alikua mbele ya mda pia coz alifanya mziki mgumu bt wenye radha
@songombingo108Ай бұрын
Wimbo MAHABA YA DHATI ulikuwa ni wa Kikundi cha Taarab kutoka Tanga kilichoitwa Golden Star Taarab na uliimbwa kwa ustadi mkubwa na Bibie Mwanahela. Vikundi vingine vikawa vinaimba majukwaani wimbo huo na wengine kuurekebisha tu midundo yake. Lakini Mwimbaji halisi na wa kwanza kabisa ni Mwanahela
@stevenbupamba4161Ай бұрын
Great work, legacy its hot brother. Nitakutafuta tufanye ngoma.
@eliasaNgahehwa-l2f2 ай бұрын
Achia dude full bro, unaidumaza game
@barakaekuro2 ай бұрын
💸💸
@IddAthuman-o9s2 ай бұрын
👏🏿👏🏿👏🏿
@VacSeen_N2 ай бұрын
😂 🔥
@jestonaron14612 ай бұрын
🔥🔥🔥Cendrik wa bongo
@Fivara2 ай бұрын
Kuna raha ya kukusikiliza ukiwa abroad
@Fivara2 ай бұрын
Una schemes flani kali sana ngoja nikianza rap breakdown utaziona
@Fivara2 ай бұрын
You know my name
@Fivara2 ай бұрын
Fivara alieachiwa Mwanza ni mimi hapa.
@Fivara2 ай бұрын
🌊🌊🌊
@iraisolomon59902 ай бұрын
Whoouuufff!! Tatizo upo mbele ya muda alaf jamiii imeshibishwa ujinga kichizi itawachukua muda sana kuelewa huu uwezo. Umetisha sana 👊🏿
@danielfrancy60972 ай бұрын
Hv? Mulla tusha muongerea noorah tayari?
@FredrickMulla2 ай бұрын
Mulla tayari
@bakarikiroboto42682 ай бұрын
Top🎉
@goodmark13362 ай бұрын
Nakufananisha na Kendrick Lamar brother
@bongotrapaholix57462 ай бұрын
this shit crazy hooooot! ❤🔥
@FredrickMulla2 ай бұрын
asante sana
@webstersinje77122 ай бұрын
Hiyo House Party ilikuwa nyumbani kwa Sugu kipindi anaishi Ilala nimsikia Mackdizzo mwenyewe juzijuzi kwenye interview fulani....Kunta...Kinte.
@FredrickMulla2 ай бұрын
Walitisha sana
@LilDraino2 ай бұрын
🔥🔥🔥
@FredrickMulla2 ай бұрын
pamoja
@majojo912 ай бұрын
🔥🔥🔥
@FredrickMulla2 ай бұрын
asaante sana
@nixnovember2 ай бұрын
🔥💯
@FredrickMulla2 ай бұрын
🙏🏿
@karimjuma86712 ай бұрын
Manondoooo
@FredrickMulla2 ай бұрын
Oi🙏🏿
@karimjuma86712 ай бұрын
Manondoooo
@FredrickMulla2 ай бұрын
🙏🏿
@StevenMagazi2 ай бұрын
Xan 2 mulla
@chrisndelwa4902 ай бұрын
On point
@FredrickMulla2 ай бұрын
Pamoja sana
@t.h.a.t.k.i.d-Mw2 ай бұрын
Always ✍️
@FredrickMulla2 ай бұрын
Bila kuchoka
@t.h.a.t.k.i.d-Mw2 ай бұрын
Haaaaa
@FredrickMulla2 ай бұрын
🙏🏿🙏🏿
@c.e.olubaju76192 ай бұрын
Nakubali
@FredrickMulla2 ай бұрын
Pamoja sana
@STEVENMUSSA-h2x2 ай бұрын
On time bro✌️
@FredrickMulla2 ай бұрын
Umetisha
@williamernest-v7w2 ай бұрын
Party za temeke utaskia Muhogo mchungu anacheza na Mbuzi😂😂😂
@FredrickMulla2 ай бұрын
😂😂😂 ni vurugu tu
@webstersinje77122 ай бұрын
Wale jamaa watokea Mabibo,Temeke msitukanyagie sana kiasi hicho😂😂😂....Kunta...Kinte.
@mikemonstervox2 ай бұрын
Damn bro
@FredrickMulla2 ай бұрын
Pmoja sana
@mikemonstervox2 ай бұрын
You know ma
@FredrickMulla2 ай бұрын
nameeeee
@nakalikyumile32342 ай бұрын
Mchizi anayekifanya kiswahili kisound ka kiinglish😅😅😅😅😅😅
@gasceem2 ай бұрын
Kuna nyimbo ya Hao jamaa nimeitafuta Sana kila mahali...nlidhani ni wagosi waliimba lakini zii ni joni woka na ras lion... Inaitwa elimu fesheni
@billyclaude67062 ай бұрын
Fact bro
@FredrickMulla2 ай бұрын
Pamoja sana
@virginiakiarie17582 ай бұрын
Sijui what Kenyans really want because this is literally the shit😭.