Siku ya malipo unajikuta unachukia 😂😂😂 ni kweli kabisaa
@BahatiSeda2 ай бұрын
Mwenye sikio amesikia na mwenye jicho ameona kazi kwetu kuchagua mbivu na mbichi
@mohamedothumanhussein27923 ай бұрын
thank you mr luvand for good education to us
@JohnMedard3 ай бұрын
Pamoja sana kaka
@ManswetKimario3 ай бұрын
Safi Luvanda endelea kutuelimisha.
@angelomfilinge86624 ай бұрын
Nimejifunza sana kupitia mafunzo haya
@SimonBukuku-e7x4 ай бұрын
It's real
@lusianguno64346 ай бұрын
Ongea kiswahili, wenye elimu ndogo watakosa haya madini, ni ya wote, sio graduates oeke yao. Thank you bro.
@TeopistaKombaTeopista6 ай бұрын
Asante sana kaka Luvanda kwa elimu nzuri sana!!!
@lizybagamba20676 ай бұрын
Mbona Kama nilichelewa kufatilia hawa watu..
@Adamumwambiji7 ай бұрын
Viingereza vingi niwajibuwako unaetaka kujifunza kuuliza ili ujue kwani ni sehemu yajifunza pia.
@MursalnaHassan7 ай бұрын
❤❤❤
@KazarePaul7 ай бұрын
Kunawatu wanaamini huwezi timiza ndoto bila kupita kwa waganga wa kienyeji hivi hiyo ni kwel au vp hapo
@Abdulrahmanhassan187 ай бұрын
Yaani amengea kwa dakika 49 ila amefundisha mambo mawili 2 tu loh. Jambo la kwanza alilofundusha ni ANZA NA ULICHONACHO jambo la pili ni ONGEZA THAMANI ya liobakia ni maelezo mengi ila nihaki yao kwasababu ni semina ya bure.
@Fadhilbenedicto7 ай бұрын
Appreciated
@merylatieno37317 ай бұрын
Thanks my brother
@annamazengo9757 ай бұрын
Sijaelewa vizuri mbona kama unawakatisha watu tamaa ya kusoma,ina maana kila kitu sio muhimu?
@josephmigila8 ай бұрын
Good
@johnsololo65658 ай бұрын
Madini safi kabisa
@NelekwaDuma8 ай бұрын
Luvanda...unatumia kiingereza Sana...mengine yananipita tuu...
@brysonkaaya51519 ай бұрын
Thank you for your good encourage me
@Royal-d8c10 ай бұрын
Honour
@samwelnyambuya192010 ай бұрын
Hizi nondoooo nimezielewaaaa sana,Mungu azidi kutumiaa kwa ukombozi wa jamii
@erickmsele627411 ай бұрын
Bro unaongea point
@robertmgori816511 ай бұрын
Thanks so much brother luvanda
@ninjaisma7983 Жыл бұрын
Tatizo lenu motivational speakers wa Tz mnajisifia sana na kukosoa sana badala ya kuwapa watu moyo...Joel nanauka anajielewa sana na anajua sana kutia watu moyo na kuwapa ushauri tofauti na wengine
@dulieone9374 Жыл бұрын
Kwel anakaaa Sana kimya
@salma_74 Жыл бұрын
The interview was very short maana hukuwakilisha kila kitu. Luvanda nakukubali sana kwa speech zako.
@amoslumawa4315 Жыл бұрын
Nakukubali sana kwa madini mzee cjui kwa nini unakaaga kimya MDA mrefu, ni ombi langu atleast uwe unatoa kitu kila week
@nkomollaob7361 Жыл бұрын
Darasa zuri saana mkuu
@MariamuKassimu-h5i Жыл бұрын
Nimepend
@rosemarysulle9288 Жыл бұрын
😂😂yaan wtz kiingereza ndo shida kubwa maskini
@richardlugata5767 Жыл бұрын
Nimekuelewa sana ndg
@Chacha-r1s Жыл бұрын
Shukran kaka
@Djyusso Жыл бұрын
be blessed
@joycejacob6263 Жыл бұрын
You're Good teacher
@ImmanuellyWilliamAyo-jt8kg Жыл бұрын
Unaongea point kwa ufafanuzi ubarikiwe kwa somo nzuri
@AdamSamwely-rn1zc Жыл бұрын
Life is not ize
@sofiarugoye7929 Жыл бұрын
Kk nimeshindwa hata kuongea kwajinsi yote uliyotoa yote madini + Dimond Thanks so much
@abdul-razakichinenda8250 Жыл бұрын
chuo kipo sehem gn
@editormeda6250 Жыл бұрын
Here this One """"you are not the business and the business is not you""". I love this one.....
@ephraimkabeya9648 Жыл бұрын
Somo ni zuri Sana, hongera. Mimi najua wewe ni msomi, ujitahidi kutumia Kiswahili pekee ili iakisi uhalisia WA elimu yako na kuondoa matabaka maana wanaofanya biashara na kufanikiwa SIO hao tu, tukumbuke na Sisi wanakijiji kaka.
@tashingasithole9718 Жыл бұрын
Milkshake information
@imanimwamasangula3467 Жыл бұрын
Product of Tafes, i love Tafes
@asimiladomohamedi5354 Жыл бұрын
Nasikitika kuchelewa kukufatilia wow wow
@christopherderrell8470 Жыл бұрын
What a reminder, applicable to the Caribbean region as well. The way American companies scale may not always be applicable to the way we need to scale, in the context of our environments.
@virginiamumbua2972 Жыл бұрын
Wow
@bernieh6179 Жыл бұрын
Believe in what you are doing. Have real friends and partners.