Binadamu tumepewa hadhi kubwa Sana na thamani kubwa Sana.na kujitangaza kwetu na kujulikana na watu mbalimbali kunaanzia jinsi tunavyofikiri,tunapenda matukio gani,taswira yako unaitengeneza Kila siku unavyoishi.tengeneza na imarisha brand yako inahitaji mazoezi na mang'amuzi ya kweli.heshima kwako Antony Luvanda.naitwa Hosea na vile vile ni inspirational speaker.
@empoweredentrepreneurworld74466 жыл бұрын
I know one day you Will become among the members of mentors in my historical life brother Anthony Luvanda Godbless you.
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
kweli inatupaswa tusi vunjike moyo pale tunapo anguka kwenye kutafuta mafanikio, umenitia moyo sana na nimejina naweza sana kufanikiwa kaka, hongera sana kwa kipindi chako kizuri.
@emmanuelgeorge26304 жыл бұрын
You are doing well and I hope you have a great week at work
@florencenandawa63886 жыл бұрын
Wow! A Kenyan in Iraq. I'm so blessed with ua advice n I Wil never remain the same when I go back 2 my country.
@beatricepantaleo62825 жыл бұрын
Thanx xo much brother najifunza mengi kupitia ww nataman ck moja namii nije kuwa professional public speaker
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
Upo smart sana Brother hongera sana, kwa kutupa elimu zuri
@kayombog16943 жыл бұрын
The gift that you have is the gift from God, The way you use it should give back to God
@josephmigila7 ай бұрын
Good
@nyanzalakaporo42196 жыл бұрын
Asante sana my kaka nimeelewa jinsi gani ya kujitangaza , kuanzia leo ntakuwa najitangaza kwenye page zangu za social media.
@TonyInspirationalTalk6 жыл бұрын
nyanzala kaporo Safi sana
@ayubuchief91067 жыл бұрын
thanks bro my day starts well
@mdtv26256 жыл бұрын
My brother I can say in this country u a the best one for motivation cuz you talk with vivid example from Motivators speak from Abroad country so I'm enjoying and earn the new something in ma brain. Thanks
@beatricebenson90997 жыл бұрын
Bro you really inspire 1000's of people, may your dreams come true
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
My pleasure
@eliasluwela84987 жыл бұрын
Thanks. br ndio naicheki now I hope it will change my attitude
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Sure It will
@jacksonfestomatambalya75136 жыл бұрын
good presentation it inspire me a lot
@rehemapetro75066 жыл бұрын
Thank you
@rehemapetro75066 жыл бұрын
Thank you teacher
@jesseprosper9327 жыл бұрын
Kaka uko vizuri unafundisha sana na kutia faraja
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Shukran
@barikipeter7216 жыл бұрын
Thanks a lot I want one day to talk with other like you now
@konohadija47177 жыл бұрын
shkran.. kkng
@athumanomari97827 жыл бұрын
Asant sana kabisa uko poa how to get you number
@TonyInspirationalTalk7 жыл бұрын
Karibu. +255 717 393 922
@konohadija47177 жыл бұрын
nimefaidiaka
@gracejackson88106 жыл бұрын
Samahan mtumishi, nahitaj vitabu vyako sijui nitavipataje pia ninahitaj sana kuonana na ww kwa gharama yoyote maana nina uhitaji mno. Contact yng ni 0763 66 22 33
@benedictkapama22346 жыл бұрын
Good education naamini itanisaidia kufika nina blog naanza kuwa serious nayo katika kutoa habari na elimu kwa watu naomba niweza kuwa napost video zako ili watu waelimike kwenye blog yangu unaweza kuniemail kwenye Benedict Japan as gmail.com