HUU NDIO USALAFI.
1:11
Ай бұрын
SIKU YA ARAFA//SHEIKH SWALEH
1:19
Пікірлер
@user-xb6tr5vq4b
@user-xb6tr5vq4b 4 минут бұрын
Huukasim mafuta ninduguo? Mbona anakubebelea kwahiimada
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Сағат бұрын
Jazakallakheir sheikh
@seifseifmohamed7118
@seifseifmohamed7118 Сағат бұрын
Ugonjwa ni aina nyingi na huu pia ni ugonjwa. Dua zozote Allah Anazipenda na hasa tunazozianzisha lakin hawa mawahabi ni mazayoni na waharibifu wa dini na ni utumishi wa kizayoni kuharibu dini. Eti duaa hazikusihi haya ni maradhi na msiba mkubwa
@FahimOmar-hz1rm
@FahimOmar-hz1rm 3 сағат бұрын
Allah akueposhe na kila shari na tunakuomba utitembelee na ss katika mji wa matondoni uliyiopo lamu county
@FatmaMchenii
@FatmaMchenii Күн бұрын
Allah atupe mwisho mwema sote naota sana
@rajaburamadhani6612
@rajaburamadhani6612 Күн бұрын
Allah amjaalie mama yangu pepo ya juu ya Firdaus. Mama ni Mama Mpaka Qiyama
@user-hy7lu7qk3q
@user-hy7lu7qk3q Күн бұрын
Baraq allahu fiqar allah azidi kukupa ufahamu wa elimu ya zaidi.
@SalumKeya
@SalumKeya 2 күн бұрын
Allah akuhifadh kipenzi cha waislamu Dr islam shukran kwa darsa nzuri
@bimkubwakhali-g8o
@bimkubwakhali-g8o 3 күн бұрын
Mshallah allh akulipe ujira ulio mwema kwa daawa yko na awasamehe maiti wote walio tangulia mbele ya Allah na ssi atupe mwsho mwma na kauli thabit ya laailahaillah muhammada rrasulullah
@abukinyanjui1500
@abukinyanjui1500 3 күн бұрын
Allah akuhifadhi nakuskiza nikiwa marekani nashkuru
@sayyidhassanabdallah9746
@sayyidhassanabdallah9746 3 күн бұрын
Alhamdulillah thuma alhamdulillah 29 muharram leo mola amtilie muangaza kaburi lake amen ya rabbi
@AhmadSalim-dm4uk
@AhmadSalim-dm4uk 4 күн бұрын
Allaah awarehem marehem wote nasisi tulio hai Allaah atupe mwishomwema
@HassanUtoto-h9e
@HassanUtoto-h9e 4 күн бұрын
Nkupenda sana shekh mungu akubariki na akupe umri mrefu niliwahi kukukosoa kwenye comment kumbe mm ndio elimu yangu ndogo nisamehe sheikh wangu
@kabakarajabu2716
@kabakarajabu2716 5 күн бұрын
Ewe Allah nijalie mm mwisho MWEMA
@user-zh9jd9zv6e
@user-zh9jd9zv6e 5 күн бұрын
Mashaallah
@MatcoSalo-rf2qj
@MatcoSalo-rf2qj 6 күн бұрын
Mashallah
@fatimahassan1534
@fatimahassan1534 6 күн бұрын
AMEEN YARABB
@KarimaKrieger
@KarimaKrieger 6 күн бұрын
Ya Raab wajalie Jana walio enda mbele ya haki ..,Ameen
@AishaAisha-vt3ng
@AishaAisha-vt3ng 7 күн бұрын
Shukran saan sheikh wetu
@zuwenakhalfan4455
@zuwenakhalfan4455 7 күн бұрын
Inalillah wainailayhi ranjiuun Allah. Amfanyie wepesi ampe kitabu chake Kwa mkono. Wa kulia. Na sisi Allah. Atujalie mwisho. Ulio. Mwema
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 7 күн бұрын
Kivip
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 7 күн бұрын
Acha uwongo wewe
@abuuaisha6110
@abuuaisha6110 3 күн бұрын
Ukweli ni upi?
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 7 күн бұрын
Alwahabbi
@user-dt5jn7rb8f
@user-dt5jn7rb8f 7 күн бұрын
Mimi hua namuota mama angu akiniambia kasafishe kaburi msibani hukufika niribaki najiuriza bs nakumshukuru mungu tu
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 8 күн бұрын
Ameen
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 8 күн бұрын
Mungu atujaalie sote viumbe mwisho mwema
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg 8 күн бұрын
Ameen mungu aamjaalie azitie peponi wote yarabiii mungu atupe mwisho mwema
@KassimShora
@KassimShora Күн бұрын
Amiin amiin amiin jazakallah khairul jaza fidunyaa wal akhera ya sheikh DR ISLAM
@VictoriaKayokolo
@VictoriaKayokolo 9 күн бұрын
Allaaah
@SuleimanIbrahim-b3y
@SuleimanIbrahim-b3y 10 күн бұрын
KISSACHA CHAKUELIMISHA KWERY❤
@nurumohammed1310
@nurumohammed1310 11 күн бұрын
Yaraby mungu Atustiri waja wake Yaraby tufanyie wepesi na utupe mwisho mwema yaraby 🤲🤲
@KhanifaJumapili
@KhanifaJumapili 12 күн бұрын
Subhanallah
@jumahili8121
@jumahili8121 12 күн бұрын
Kwa upande wa YESU sio hivyo. Ili tujue imetoka kwa Mungu ni lazma ipimwe kwanza kwa Jina la YESU. Saa nyingine Hizo ni roho za mauti kutoka kuzimu. Shetani ana uwezo wa kuvaa sura ya aliyekufa ili kuja kudanganya. Mimi nilimwota babu. Nikamkemea kwa jina la YESU. Akapotea ghafla. Ebu huyo anayekuja mtajie Yesu uone kama atakaa. Akikaa maana yake ametoka kwa Mungu.
@mwanaidally2924
@mwanaidally2924 6 күн бұрын
Mbna unadakia mada nusu kabla hujacomment jaribu uliza kwanza
@muznymuses3996
@muznymuses3996 13 күн бұрын
❤❤
@rukundohussein5906
@rukundohussein5906 14 күн бұрын
Kheir ya sheikh
@hamenyimanasalum7289
@hamenyimanasalum7289 15 күн бұрын
MashaAllah habib
@sifaayyldz6040
@sifaayyldz6040 15 күн бұрын
Aslm alykm yaa dctr wa umma wa muhammad sw allah akuhifadhi insha allah
@stradabricks6720
@stradabricks6720 15 күн бұрын
Allah akbar maneno mazito
@SaidJuma-ru7vm
@SaidJuma-ru7vm 16 күн бұрын
Sheikh ww ni msomi lakini ni Juha,na si kama hujui unachoongea ila ni unafik tu,Je kwani Mtume ametuamrisha kuwapenda maswahaba wote....? Je kwani hakukuwa na maswahaba wanafik...? Je maswahaba wote walikuwa ni waadilifu,Je hakuna maswahaba waliokaidi na kupinga amri ya Mtume,Je hakuna maswahaba watakaongia motoni...? Je hakusema Mtume kuwa kumpenda Ali ibn Abu Talib ni dalili ya imani na kumchukia ni unafiki...? Je hawakusema baadhi ya Maswahaba kuwa tulikuwa tunawatambua wanafiki kwa chuki zao juu ya Imam Ali....? Sasa tutawapenda vipi waliokuwa wanamchukia Imam Ali...? Tirmidhi 3717 Tirmidhi 3716 Sahih muslim 78 Musnad Ahmad 73 Ibn Majah 114 Sunan anasai 5022 Sunan anasai 5018 Hizo zote ni hadith zinazoeleza chuki za maswahaba kwa imam Ali,sasa ukiwa mnafik ndio utajifanya unampenda Ali na Maswahaba wote..! Na mtume amesema ameamrishwa na Allah awapende zaidi maswahaba wanne Ali,Abu dhar,Miqdad na Salmaan Tirmidhi 3718 na Ali ibn Abu Talib ndio kiumbe anayependwa zaidi na Allah Tirmidhi 3721 Na Ali ibn Abu Talib ndiye anayempenda zaidi Mtume na Allah na Allah na Mtume wake wanampenda zaidi Ali ibn Abu Talib Sahih muslim 2405 Sahih muslim 2405 Sahih muslim 2407 Sahih bukhari 3702 Sahih bukhari 4210 Sahih bukhari 3701 Sahih bukhari 3009 Ndugu waislamu tujitahi kusoma sana ili tujue yaliyo sahihi na sio kuburuzwa tu masheikh kwa ajili ya maslahi yao...! Ndani ya maswahaba kulikuwa na pumba na mchele, na ni faradhi zaidi kuwapenda na kuwafuata Ahalulybayt kwa mafundisho ya Mtume,ametutaka tushikamane na vitu viwili Quran na Ahalulybayt navyo kila kimoja ni kizito kuliko mwenzie,na tukishikamana navyo hatutopotea baada yake Tirmidhi 3788 Tirmidhi 3786 Sahih muslim 2408 Musnad Ahmad 2470 Na hayo ndio mafundisho sahihi ya Mtume sio kushikamana na wale waliokimbilia Saqifa kuchaguana na kuacha mwili wa Mtume na kukosa mazishi yake kwa tamaa ya uongozi na kupinga yale ambayo Mttume ametuamrisha Mtume amesema Ali ibn Abu Talib ni kiongozi na mshirika wa kila muumini baada yake Tirmidhi 2712 Tirmidhi 3713 Musnad Ahmad 1311 Musnad Ahmad 964 Ibn Majah 116 Sahih bukhari 3701 Na huyo ndio kiongozi wa waislamu baada ya Mtume kwa uteuzi wake Mtume mwenyewe lakini kwa utashi na uroho maswahaba wakasaliti maneno na amri ya Mtume. Na kama haitoshi Mtume amesema Ali anatokana na Mimi na hakuna yoyote anayeweza kuniwakilisha Mm isipokuwa Ali Ibn Majah 119 Tirmidhi 3719 Pamoja maimamu kumi na mbili kutoka katika kizazi chake Sahih bukhari 7222 Sahih bukhari 7223 Sahih muslim 1821d Nao ni Maimamu kumi na mbili kutoka katika kizazi chake Ali,Hassan,Hussein na mpaka wa mwisho anaitwa imam Mahdi nae anatokana na kizazi cha Mtume Sunan ibn 4085 Sunan ibn Dawoud 4284 Je ni nani anayefuta mafundisho ya Mtume...? Tuache chuki binafsi.
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 16 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu doctor Islam Zambia Izo nguruwe za Kishia
@asilahassan9965
@asilahassan9965 17 күн бұрын
Ni mtihani kiukwl allah atie wepesi ktk nyoyo zetu
@Raissaabdoul
@Raissaabdoul 17 күн бұрын
MashaAllah sheikh wetu ❤️❤️🥰🥰
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 17 күн бұрын
Halafu utasikia mtu anakwambia Dr Islaam halinganii daawatussalafiyyah daah!
@ahmedsoudathman5088
@ahmedsoudathman5088 17 күн бұрын
Mashia hawana mapenzi ya ukweli kwa Ahli beyt rasulilaah
@rukiajivanjee7390
@rukiajivanjee7390 17 күн бұрын
Jazzakallah khayra
@user-ug8hc4yh5k
@user-ug8hc4yh5k 18 күн бұрын
Shukran sana sheikh wetu Wangine wawachinga watoto wao siku ya ashura Mashia ni mtihani mkubwa
@user-ti1ol3ti9j
@user-ti1ol3ti9j 20 күн бұрын
Tabaraka Allah Rahiman
@AshrafAKhan-ql1tb
@AshrafAKhan-ql1tb 21 күн бұрын
Assalamu alaykum warahmatullahi Tunamuomba Sheikh Dr.Islsm atuandalie na kutufikishia historia kamili ya haya makundi ya kiislam kwa majina tofauti yalianza lini na wapi. Shukran
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 21 күн бұрын
Mwezi 10 Muharram pia ndio siku aliyouwawa mjukuu kopenzi cha Mtume katika kupigania haki. Aliuwawa na jeshi la dhalimu Yazid bin Muawiyyah ambaye Mawahabi wa sasa ndio asli yao huyu.
@ruwaidakarama4692
@ruwaidakarama4692 22 күн бұрын
Mashallah wa barakallah fiik ya sheikuna
@SalumKeya
@SalumKeya 22 күн бұрын
Jazakallahu khayra Dr islam M salim Allah akuhifadh