DAKTUR AMEONGEA UKWELI MTUPU ALLAH AWAHIFADHI WATOTO WETU
@AA-sp7cl20 күн бұрын
Je, ni sababu gani msingi watoto wetu kupewa nafasi kuwa majumbani kupumzika baada Dhuhr na wasiweze kurudi kusoma Madrasah? Yaani sababu gani likizo kubwa kama hii wasirudi kusoma baada ya chakula Cha mchana?