Allah akuhifadhi napia tunakuomba utembelee na ss katika kisiwa cha Lamu
@sakinasakku83403 ай бұрын
Jazakallahu kheir Dr
@AbdulIssa-o7e3 ай бұрын
Tunashukuru dr kwa kutupa kisa kizuri cha salafi wakwwli walikuwa na tabia nzuri za kujifunza kwao so kujifunza kwa hawa mafezuli wa kijadida 2024 utajifunza kutukana ila hao ndo salafi wa kweli
@othumanmaulid34143 ай бұрын
Barakallaahu fiykum Allah amuhifadh sheikh letu Dr sheikh Islam bin Muhammad