Ustadh ilikuwa twaomba kama waeza tufundisha na tawhid pia itakuwa vizuri Kama mm tawhiid sijui vizuri
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
Ukitaka Tawheed kwa masufi utasubiri sana hao jeuri yao upande wa lugha2.
@swalahudinmohamed26662 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy 😂😂😂😂😂 Bila kujuwa lugha utaifahami tawheed ?? Weeee VIPI !! Kunaabisha tawheed yenu munaenda kimakumbo jumbo TU Ndio mukamgawa Allah utatu 😂😂😂😂😂
@hijahamadi57932 ай бұрын
Maashaallaah, hiyo ndio kazi ya kufanya sio kwenda kubishana na Bachu
@Mkombozi-j3p2 ай бұрын
UST said akifa darasa 4 hatoi tena xjui kwnn
@Mkombozi-j3p2 ай бұрын
Yn akifika darasa la 4
@maalimhamad12972 ай бұрын
Hajui huko mbele kawaida vitabu mwanzo vinakua vyepsi sana
@Hamis-ks1sy2 ай бұрын
@@maalimhamad1297 halafu naona mtu anataka afundishwe tawheed! Yaan masufi watakufundisha taeheed gani?
@swalahudinmohamed26662 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy Tawheed ya utatu mumeitowa wapi nyie 😂😂😂😂😂 Mtume saw haikufunza?! Maswshaba hawaijuwi ?? Maimamu wakuu wanne hakuna kitika VITABU vyao?? Muhadithuwn wote Akina Al imam bukhariy Muslim Al tirnidhy na wengineo hawakutuandikia KATIKA VITABU vyao?? Al mufassiruwn wote Attwabary Al bayhaqqy Ibnu kathiy na wengineo Hawaitambui kabisaaa Nyie tawheed ya utatu muipata Kwa nani? Karne Saba zimepita tawheed ni Moja TU Baadae ikazuka utatu WA tawheed Jee Munamfuata nani nyie Kwa tawheed???
@ArabiMuchande2 ай бұрын
جزاك لله خير
@budumahmud10082 ай бұрын
Mashallah ala barakatil llah
@salehabdallah41142 ай бұрын
Nilikua nafuatilia darsa zako za mantiq lkn hatuzioni tena
@Ahmadasshii-raazy88882 ай бұрын
ALHAMDULILLAH PEMBA TULITAMANI KUA NANYI KWA MUDA ILA ILKUA SHIDA SANA LKIN ALLAH AKIPENDA ATAWALETA TENA KWA WASAA ZAIDI NAWAPENDA SANA MASHEIKH ZANGU NA MASWAHIBU ZANGU,ALLAH AWAHIFADHI NA AWAPE UMRI MREFU KATIKA KHEIR, NIKIJA HABIIB ULE MJADALA WETU WA MWANI
@mohammedali16452 ай бұрын
A.a hebu tafadhali tumaliziye hichi kitabu.Maana huanza vitabu mukaata katikati.
@saidomarabdalla17682 ай бұрын
@@mohammedali1645 KAMA SISI HUATA KATI . ANZA WW UMALIZE KISHA KUWA NA HISHMA NA BUSARA HAKUNA MTUMWA WAKO HAPA
@shahidumaulidi97212 ай бұрын
Shekh umeambiwa ukweli sio kupaniki " inabidi kama mmeanza kufundisha kitabu fundisheni mwanzo mpaka mwisho sio mnaleta darsa nusu nusu " ikiwa imetokea dharula unatoa dharula hakuna wa kukulaumu @@saidomarabdalla1768
@saeedal-husny90652 ай бұрын
Sheikh mbona maneno makali? Yani hilo pia la kukaripia? @@saidomarabdalla1768
@مبارك-ض1د2 ай бұрын
انا من الصومال شكرا اخي جزاك الله خيرا على ما قدمت للاسلام
@Dr-ubaida9652 ай бұрын
@@saidomarabdalla1768Hiii ndo changamoto ya kuwafundisha wanafunzi ambao hatujasoma masomo ya adabu tunataka kusoma vitabu vikubwa vikubwa ila tuvumilie mwalimu wetu. Naamini wapo katika hao wanafunzi elfu walioview hii video wenye adabu zao. فأعرض عن الجاهلين. Allah akupe nguvu na afya ili tuweze kukielewa na kukimaliza hiki kitabu.
@muhammadikipera98002 ай бұрын
نحبك يا مولانا في الله
@AbuumihdhwariJuma-k9m3 ай бұрын
Bachuakasomekiarabu
@wamsalsuyuwtwiy92293 ай бұрын
Ustadh saidi hiki kitabu kinaitwaje.
@MudathirOmar-hh5ow3 ай бұрын
ما شاء الله وحفظك الله من الحاسدين
@seifseifmohamed71183 ай бұрын
Mashaallah barakaLlahu fiikum
@allysalalisalali3 ай бұрын
Mashaallah Allah akufanyie wepesi amini yarab akhy ukimaliza hiko Enshaallah tumalizie na الفية ابن مالك ujira wako ni kwa Allah from Morocco 🇲🇦 nasoma na nakupata vizur sana ostaz said
@adamjutto58493 ай бұрын
@@allysalalisalali hhhhhhhh sema ukiisha باب الكلام Amia kwenye alfiyyah, Kisha nayo ishia hapo hapo
@allysalalisalali3 ай бұрын
@@adamjutto5849 Allah atufanyie wepesi akhy kusomesha kazi ngumu sana Enshaallah atamaliza tu
Usimlinganishe bacho na huyu kijana nimbingu na ardhi huyu kijana yuko mbali mno haswa kilugha ,
@adamjutto58493 ай бұрын
😂😂😂 kusomesha ni swaifa ya rijaal,anasomesha vitabu afu havielewi mbeleni,hamalizi😂
@allysalalisalali3 ай бұрын
Kwani Muhammad mafuta huwa Ana maliza vitabu akiaanza au hahahaha
@mwemaissa26193 ай бұрын
Maasha allahu
@abuuseifanaabdulqaadir11243 ай бұрын
SAIDI HIYO LAMU HAJAINGIA KWA KITENDO na hilo utalioata katika hicho kitabu mbele umechemsha Mm ni mea
@abdulkhaliqmuhammed4563 ай бұрын
قال الإمام الغزالي (ر): لا تصاحب من يحب أن يراك معصوما.
@AishaRajab-dq7dn3 ай бұрын
و إذا صادقت فختبر الصديق@@abdulkhaliqmuhammed456
@saidomarabdalla17683 ай бұрын
HAPO NIMEKOSEA NINI HASWA NA WAKATI NIMEELEZA AL YAKUINGUA KATIKA FIILI IKO IKIWA NI YA MAUSOOL AMA WW HUELEWI HAYO MASOMO ? NAKAM WAELEWA NAMBA YANGU UNAYO PIJA UNIAMBIE MBELE ZA WATU AMA INGIA KWA LIVE YANGU TIK TOK UNIONESHE HAPO NIMEKOSEA WAPI KUSEMA KUWA HIYO AL IMEINGIA KWA FIILI ? KATOME MEA LINI ULISHIKA KITABU ? Namba yangu unayo nipijie nikuskie kama wajiamini kweli ?
@shilingi-Ahmadi3 ай бұрын
@@saidomarabdalla1768 Achana naye huyu hajielewi inawezekana akawa hajui pia yeye mwenyewe ni mwanaume au ni mwanamke.
@waladulikhlaas78703 ай бұрын
Mashallaah ... nimeangalia mwanzo hadi mwisho na nimestafidi sana ..Allaah akujazi kila la kheri katika harakaat zako
@AbdullahMukaria3 ай бұрын
Wachoyo sana wakikianza wakimalizi Mila hawape kheri
@abdulkhaliqmuhammed4563 ай бұрын
Ukiandika kua makini kisome tena kiswahili chako
@hilalkhalfan14523 ай бұрын
Ingekuwa unaanza upywa kwa mfumo wa u tube ingesaidia
@Khalid-xd2yl3 ай бұрын
Anaanzisha kusomesha kitabu alaf hamalizi Au unataka uonekana kuwa ni msomi kila kitabu unakijua mulha hujamaliza darsa la mantiq hujamaliza....leo unafungua kingine hhhhh
@abdulkhaliqmuhammed4563 ай бұрын
Kama unampata kielimu na wewe somesha, kisha usiwapangie watu namna ya kusomesha kama hajamaliza wewe malizia kuvisomesha
@shilingi-Ahmadi3 ай бұрын
Huyu sheikh saidi asomesha wanafunzi darasani kwa hiyo itategemea na wanafunzi anaosomesha
@kessynassoro28473 ай бұрын
salam alayka, sheikh kwa hisani yako naomba punguza spidi unaenda kwa spidi kubwa, sisi wengine wazito kidogo
@Mofaiz_113 ай бұрын
punguza playback speed youtube iende polepole😂
@kessynassoro28473 ай бұрын
@@Mofaiz_11 asante kwa ushauri lkn ishu sio play back speed bali mwalim yu aenda mbio mno afundishapo, sisi twataka darsa lkn aona afundishao ni magwiji watupu maana yake!!
@abunauthar53843 ай бұрын
Kitu alichokuzidi sheikh Muhammad bacho ni kuwa anajua ni namna gani mwanafunzi afunzwe sasa wewe kitabu hakijaisha warukia vyengine
@hadiabdallah15673 ай бұрын
Kweli watu wa hawaa na chuki Yaani chuki tu ndo ulioko nao ulilazimishwa kusikiza?
@abdulkhaliqmuhammed4563 ай бұрын
Toa na ww darsa tukuone umemzidi nini bacho😂
@BamadiBish3 ай бұрын
Wewe sijui Abu nani huyo mufti wenu bachu hebu mwambie awafungulie darasa za lugha alafu sisi tutachekea huku kwa comments😂
@seifseifmohamed71183 ай бұрын
Abunauthar hata kinacho someshwa hukielewi angalia tu screen yako kwa vile tv au sim na data ni pesa yako. Lakin darsa hii wewe umbali wa ardhi na mbingu lazima uwanze msingi.
@habibumadege81873 ай бұрын
Wewe sema hivi huyo unaemuita shesh katik nahau hayupokabisaaaa, achachuki na ushabiki, haya muambieni huyobachu afundishe fani kamahizi mtandaoni kama ataweza, mtu akiamua kufundisha kitabuhiki na kile siokosa ilawewe unachukizako binafsi kwakuwa huyomtuwenu jayawezihaya
@nagaah3 ай бұрын
Jamani hata ملحة haijaisha wasomesha nahw ingine
@abdulkhaliqmuhammed4563 ай бұрын
Kwan wewe ndo unampangia kitabu gan afundishe?
@genius00453 ай бұрын
I am Arab but this bajuuni boy no speaking Arabic , no knowing Islam .
@Muislamu3 ай бұрын
شرعت بمعنى بدأتُ ...
@Twahamwela-ch5lz3 ай бұрын
Darsa ya mantwiq vip ile mwalim mbona kimya?
@ShariifDhadho3 ай бұрын
Maashaallah, mwingoni mwa furaha nikusoma kwa ustadh Said,mungu atupe nafahati zake.
@SuleimanOmar-g4k3 ай бұрын
Sheikh Said tunaomba kama inawezekana hizi darasa turushie kwa mtiririko 4:01
@ShariifDhadho3 ай бұрын
Mwingoni mwa furaha nikusoma kwa ustadh Said.mwenyezi mungu atupe nafahati zake inshaallah.
@AliHaji-pd2oq3 ай бұрын
Mashallah
@qaseemayoub67583 ай бұрын
Maa shaa Allah
@BotBen-i8p3 ай бұрын
🙏🙏🙏
@BotBen-i8p3 ай бұрын
❤
@mohammedali16454 ай бұрын
Angaliya sheikh Muhammad Bachu anasomesha nahau sasa class ya 60 anakaribiya kumaliza.Ustadh wa twarika masifa mengi na hakuna ilmu munaoeneza mahsusi masheikh wa mambrui wazuri wakuanza lakini hawana hatima.Kaeni muzingatiye siyo kupoteza muda mwingi kwa maulidi.Ilmu muhimu.
@mohammedali16454 ай бұрын
A.a ustadh una vishindo vya kuanzisha darasa kisha ukaingiya chini ya maji mambo yenu nyinyi twarika nikujionesha muna ilmu nyingi wala hamuenezi.