Mwingoni mwa furaha nikusoma kwa ustadh Said.mwenyezi mungu atupe nafahati zake inshaallah.
@ashrafkhamis-du7rr5 ай бұрын
MashaAllah
@MahmoudMwacharo7 ай бұрын
زادك الله علما نافعا و فهما سديدا
@Ahmadasshii-raazy88888 ай бұрын
Hii ilkua ni katika kitu nnachokisubiri kwa hamu sana kifanyike nasi tufaidike shukran sana Al ustadh said, twatarajj baada ya hapo utupeleke katika usuulil fiqh in shaa ALLAH
@uthaymaanashshiraaziyy24137 ай бұрын
Maa Shaa Allah Shukran kwa Ilimu
@SuleimanMaalim-d4f8 ай бұрын
Maashaa Allah sh said Allah akuhifadhi na akulipe ujira wako kwa fanni hiyo adimu unayoitoa tupo pamoja
@AdnanMohammed-l6i7 ай бұрын
Siyo fani adimu fani khabith elmu chafu haram kuinasibisha na dini sikatika elmu ya kiislam atofaidika msomeshaji wala mwenye kusomeshwa
@AbdulMwishekh8 ай бұрын
Alhamdu lilah twaomb hii darasa iwe ya kuendelea inshaallah.
@Khalid-mf3iu8 ай бұрын
Ingekua uzuri atoe mafunzo ya upigaji gita na piano kwani wingine wataka kujua pia
@CubeedCali8 ай бұрын
حياك الله سيدى
@shabanihugo83327 ай бұрын
Hapo sawa
@wamsalsuyuwtwiy92293 ай бұрын
Ustadh saidi hiki kitabu kinaitwaje.
@husseinhassaname7 ай бұрын
DJ WETU MNJOO TUENDELEZE MZIKI VIP MBONA WATUACHA SASA HII IBADA YA KUPIGA MNANDA DUFU NA KUIMBA HUFANYITENA TUTAFUTE DJ MWENGINE TWAMBIE DJ WETU MPENDA BADO TWAKUPENDA UJE
@BIGFARMTVon8 ай бұрын
❤❤❤
@Badiyo19988 ай бұрын
Shukran sana ustadh tuko hadhir
@SA-ci6wk8 ай бұрын
Shukran ustadh Said kwa darsa hii ya mantwiq
@saidomarabdalla17688 ай бұрын
Twaomba usambaze hiyo link
@abubakarbakari93728 ай бұрын
Masha allah
@husseinhassaname7 ай бұрын
SASA DJ SAIDI VIP KUHUSU MZIKI UKU MBONA HATUKUELEWI WASOMSHA AU WAJATUENDELEE KUPIGA KINANDA MADUFU NA KUIMBA
@VukaRails-jp6mf7 ай бұрын
Chuki zitawaua nyien majibwa ya motoni
@hakikampitamumo-ut2yc7 ай бұрын
Chunga swaum yako ndugu yangu
@Saaid-yv6bg8 ай бұрын
Tunakusikiliza tukiwa south africa cape town somo yangu wa kisauni soko mjinga
@Saaid-yv6bg8 ай бұрын
Tafadhali naomba umtafute sheikh walid wa Tanzania ili muonge kuhusu kuja huku south afrca kwa ajili ya maulid msimu ukianza sisi garama juu yetu kwa sababu sheikh walid anakuja kila mwaka..
@AbdulkasimuDossa7 ай бұрын
Duuh. Subhanallah Alhamdulillah, hiyo Mantiq ya shekh Muhammad Ridhaa Al mudhaffar sisi tumeisoma bila sherehe nani ktk mantiq shepesi sana
@shilingi-Ahmadi7 ай бұрын
Tatizo si kusema amekwambia kuelewa mtu anayeanza sasa kusoma mantwiq ni uzito kwake kuelewa umesoma vipi manthwiq na hata kuelewa kimanthwiq washindwa alaf wasema umeisoma inaonekana ulijua tafsiir na siyo kuelewa.
@AbdulkasimuDossa7 ай бұрын
@@shilingi-Ahmadi في أمان الله
@مبغضالبدع-ع9ص7 ай бұрын
💣 قال ابن عبد البر رحمه الله: "«أجمع أهل الفقه والآثار من جميع الأمصار أن أهل الكلام أهل بدع وزيغ ولا يعدون عند الجميع في طبقات الفقهاء، وإنما العلماء أهل الأثر، والتفقه فيه، ويتفاضلون فيه: بالإتقان، والمَيْزِ، والفهم." انتهى من "جامع بيان العلم وفضله" (2/ 942).
@ismailmsangule13807 ай бұрын
Sio nassw ya quran wala hadithi
@Twahamwela-ch5lz8 ай бұрын
Haha haha ha sheikh saidi umenichekesha sana mtu mwenye akili ya mchongo mantwiq haimfai dah hatari sana haya bhn allah akubariki mwalim
@VukaRails-jp6mf7 ай бұрын
Chuki zitakuua
@Twahamwela-ch5lz7 ай бұрын
@@VukaRails-jp6mf tatizo nin tena mwalim sheikh saidi hakukosea hii elimu ya mantwiq ni elimu inayokuwezesha wew uweze kuitumia akili yako vizuri ktk kuzalisha natija za maneno sasa mtu mweny akili mbovu haiwez hii elimu sbb atakuja azalishe natija za kipumbavu mwishon akaanza kuharibu watu kw hiyo nmefurahishwa na maneno ya sheikh tena nmeyapenda na mie darasa nalifatilia na hiko kitabu ninacho na sheikh anafundisha vizuri sana sijajua wew mwenzangu ulichochukia ni nin? Bhs km nmekosea kufurahia hyo ibara aliyosema sheikh wetu nisamehe bure mwalim maana sie waislam bhn hatuwez tukachukiana bila ya sbb lkn ila km utakuwa upo karibu na sheikh kimawasiliano hata ktk njia nyengn km facebook,au inster,au whtsap umwambia sheikh week hii darasa limechelewa sana na sie tunalisubiria kwa hamu haya allah akubarik na ambarik mwalim wetu
@khuseninory57237 ай бұрын
As alykm jmn naomb kuliz jina lkitbu pia ameanza kufundsh!!!
@IsmailiallyIsmaili8 ай бұрын
Ust said twaomba jina lakitabu au link
@abuuseifanaabdulqaadir11248 ай бұрын
WACHA UJINSA SAIDI SASA WASEMA NN WW
@ibrahim_4277 ай бұрын
Assalamu alaikum twaomba jina la kitabu usika pia latiba ya somo ikiwezekana link ya telegram inshallah
@Onlyforfun1992tube8 ай бұрын
Dj said mapanki khurafu
@seifmohd53578 ай бұрын
Wacha upumbavu we baradhul wa kiwahabi Shekh Said kwetu ni mti mkubwa san kuliko mnavomchkulia nyie wendawazimu
@Khalid-mf3iu8 ай бұрын
@@seifmohd5357mti gani huo? Jitu la kuchonga nyusi na kunyoa kihuni.....labda mti wa mgomba
@أبوفيصل-د3ش7 ай бұрын
Hili sio darsa ni porojo tupu kama wapo kijiweni.Badala asomeshe kitabu Anapiga porojo tupu.Mara achekeshe Hatumuelewi Anachosomesha.
@AbasiSharifali7 ай бұрын
Wajua kila ungonjwa unadawa yake sasa ww nlazima usimuelewe ustadh said sababu ww spo kwako ww wataka walimu wapotofu wasiokua nailimu wala adabu kama bahero bachu hao ndio ww utawaelewa lakn huyu tuachie sisi ulul abswar wa ulul nnuhaaa lakn ww watafute hao wapotofu
@أبوفيصل-د3ش7 ай бұрын
@@AbasiSharifali wapenda majisifu .Ww ni Juha jahil hupend Elimu Wapenda Hivyo visa. Adabu gan mliyonayo nyiny Mijitu ya Bidaa. Au nikuletee Daraa yyte Akisomesha Mtu wa sunna
@ahmedsalim20957 ай бұрын
Dj
@Twahamwela-ch5lz8 ай бұрын
Pia utujuze sheikh zkipita siku ngap ndo darasa linatoka
@Bimerimalindi8 ай бұрын
Afwan kitabu ni gani?
@abdillahiwawa44727 ай бұрын
Hatoijulia umuhimu hii darsa ila mwenye akili pekee wasio na akili majuha wataipinga na sababu ni uvivu wa kusoma wao ni kufata tu manhaj ambazo hata hamjazisoma
@idarusalwi79627 ай бұрын
hawa wanafunzi wabachu wana shida wao ni wao na wala hajui kitu ,lkn hayo nimachungu ya kushindwa katika ile Niqash) in wachache wa ilimu ku Google na كتيبات.
@FahdIbnyussuf8 ай бұрын
Wafundishe watu milango ya funga na ahkaam zake kwan kaz rahic
@shilingi-Ahmadi7 ай бұрын
Wewe tayari fundisha hiyo milango ya funga na ahkaam zake
@sheikh_abdulkarim8 ай бұрын
Tunaomba hicho kitabu tunakipataje
@MordiySB8 ай бұрын
Video haina sauti
@SHABANI_HAMIMU8 ай бұрын
Asalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Habeeb Twaomba Darsa Hii Kwa Telegram Pamoja Na Soft copy ya kitabu hicho Inshaallah
@abuhudhaifa62688 ай бұрын
ما اسم الكتاب الذي تستخدمونه أيها السيد الأستاذ
@zuheorsalim77598 ай бұрын
broken arabic العرب لا تستعمل هذه الالفاظ يا سيدي 😅
@coolvoices66088 ай бұрын
tuandikie hiko kiarabu sahihi na sisi tujifunze. mwalimu mzuri hufundisha sio kukejeli
@AbdallaSultan-ci9vh8 ай бұрын
lkn imamu shafii kakataza kusoma ilimu hiyo
@Bimerimalindi8 ай бұрын
Yy ni imaam رضي الله عنه na kuna maimaam wengine wamejuzisha so ni pointless hyo yako
@ابومعاذاحمدناصر8 ай бұрын
Ukiwa sufi asubuhi haikufikii adhuhuri ispokuwa utakuwa punguwani wa akili
@IsmailiallyIsmaili8 ай бұрын
We huji elewi kusha soma icho kitabu vizur au waropokwa2
@AbdallaSultan-ci9vh8 ай бұрын
madhehebu yenu ni yepi
@ALIKHAMIS-un4fv7 ай бұрын
Porojo nyingi kuliko kusomesha pia ujue elimu hiyo haifai wameikataza wanawachuoni wa Ahlulsunnah waljamaa masufi ni mtihan nyinyi
@AhmedMohamedMadaiMadai7 ай бұрын
Nyie si mnatumw na mayahudi kuharib uislam ht shekh atende wema gn mtampond chuki na hasad tu nd Kaz yenu
@VukaRails-jp6mf7 ай бұрын
Nyie kuna watu wanachuki nyie yani mtu anafuatiliwa kila kona ili ili atukanwe tu
@HamisaMiraji-q9f8 ай бұрын
Je ni wanawachuoni wote waliokataza acheni chuki za kijinga
@JamaatuKhair8 ай бұрын
Mm nauliza hii darsa iko maeneo gani
@saidomarabdalla17688 ай бұрын
Mambrui masjid azhar
@JamaatuKhair8 ай бұрын
Mm naomba jina la kitabu au PDF yake
@Khalid-mf3iu8 ай бұрын
Ningeomba said atupe mafunzo ya kupiga gita na piano
@kkkkkkkkk778 ай бұрын
Huyu said mpumbavu.kwel elimu ya matiq ni elim ya kikhabithi iliokatazwa na wana chuoni wetu yaan huyu ni kaishiwa nenda kajibu nukta za bachu we dj said
@HusseinNyuki8 ай бұрын
Chunga kauli zko broo wach ushabik
@AbdallaMwagora-sm1rj8 ай бұрын
Wivu una kusumbua,unataka kupotosha watu huyo.bachu mwenyewe kapewa za chembe akakimbia mezab,kimya mpaka leo.akaanza kuongea na mapaka.
@Khalid-mf3iu8 ай бұрын
Alafu siku hzi mushaona ile picha yake alivo nyoa 😂 achonga mpka nyusi
@binzubeir8 ай бұрын
Tumieni lugha za hekma, ww kama huendani naye sikiliza tu au usisikilize ila usipende kukejeli watu. Hakika mbora wenu ni yule amchae Mungu
@saidomarabdalla17688 ай бұрын
Aamin
@hassanmohamedabdalla41088 ай бұрын
ويقول السيوطي رحمه الله : " فن المنطق فن خبيث مذموم ، يحرم الاشتغال به ، مبني بعض ما فيه على القول بالهيولى الذي هو كفر يجر إلى الفلسفة والزندقة ، وليس له ثمرة دينية أصلا بل ولا دنيوية ، نص على مجموع ما ذكرته أئمة الدين وعلماء الشريعة : فأول من نص على ذلك الإمام الشافعي رضي الله عنه ، ونص عليه من أصحابه إمام الحرمين ، والغزالي في آخر أمره ، وابن الصباغ صاحب " الشامل "، وابن القشيري ، ونصر المقدسي ، والعماد بن يونس ، وحفده ، والسِّلَفي ، وابن بندار ، وابن عساكر ، وابن الأثير ، وابن الصلاح ، وابن عبد السلام ، وأبو شامة ، والنووي ، وابن دقيق العيد ، والبرهان الجعبري ، وأبو حيان ، والشرف الدمياطي ، والذهبي ، والطيبي ، والملوى ، والأسنوي ، والأذرعي ، والولي العراقي ، والشرف بن المقري ، وأفتى به شيخنا قاضي القضاة شرف الدين المناوي ، ونص عليه من أئمة المالكية ابن أبي زيد صاحب " الرسالة "، والقاضي أبو بكر بن العربي ، وأبو بكر الطرطوشي ، وأبو الوليد الباجي ، وأبو طالب المكي صاحب قوت القلوب ، وأبو الحسن بن الحصار ، وأبو عامر بن الربيع ، وأبو الحسن بن حبيب ، وأبو حبيب المالقي ، وابن المنير ، وابن رشد ، وابن أبي جمرة ، وعامة أهل المغرب ، ونص عليه من أئمة الحنفية أبو سعيد السيرافي ، والسراج القزويني ، وألف في ذمه كتابا سماه "نصيحة المسلم المشفق لمن ابتلى بحب علم المنطق"، ونص عليه من أئمة الحنابلة ابن الجوزي ، وسعد الدين الحارثي ، والتقي ابن تيمية ، وألف في ذمه ونقضِ قواعده مجلدا كبيرا سماه " نصيحة ذوي الإيمان في الرد على منطق اليونان " وقد اختصرته في نحو ثلث حجمه وألفت في ذم المنطق مجلدا سقت فيه نصوص الأئمة في ذلك . وقول هذا الجاهل - كما جاء في السؤال الموجه إليه - : " إن المنطق فرض عين على كل مسلم
@coolvoices66088 ай бұрын
😂mbn umekata maneno kutoka kwa Islam Web waekee waislamu na haya uloyakata😅 ولكن ذلك كله لا يمنع أن يدرس طالب العلم المتخصص قواعد المنطق من كتب أهله ، كي يطلع على طرائق هذا العلم ويتعرف إلى مناهج أهله ، فيكون على بصيرة من اصطلاحات القوم وأساليبهم ، فلا يقع في مغالطات بعضهم ، وينتبه إلى ما عندهم من الحق فيعرضه بطريقته المعتدلة ، فيجمع بين العلوم النافعة ، وينتبه إلى العلوم الضارة ، ويستعين على ذلك بالله تعالى أولا ، ثم بأهل العلم الراسخين الذين مارسوا هذا العلم وخبروا ما فيه من حق وباطل ، كشيخ الإسلام ابن تيمية ، والعلامة محمد الأمين الشنقيطي ، حيث ألف الأخير كتابا في قواعد هذا العلم ، صفاه من الدخل والغلط الذي راج على الكثيرين .